MANAHODHA WANAWAKE WA KIGOMA WANAOENDESHA BOTI KWENDA CONGO, WAMEISHIA DARASA LA 4 NA LA 7

  Рет қаралды 23,520

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@tamimtours6934
@tamimtours6934 2 жыл бұрын
Safi Saana ALLAH Awabarki Zaid Naaawalinde Kwaklabaya Lajuu na Lachini.🙏🏽
@mundhiraliy1307
@mundhiraliy1307 2 жыл бұрын
Wanawake wanaweza. Mungu awapariki mama zetu
@salimramadhani740
@salimramadhani740 Жыл бұрын
Sawa from 🇧🇮🇧🇮 Burundi in Cape Town
@NiniOman-lx5lg
@NiniOman-lx5lg 5 ай бұрын
Masha Allah
@suzanalyatuu6074
@suzanalyatuu6074 2 жыл бұрын
Safiii Sana Ile dhana kwamba kazii hii anaweza mwanaume mwanamke hawezi fanya kazi hii hapa ndo majibu yake
@manasadunia3458
@manasadunia3458 2 жыл бұрын
Safi sanaa kazi Allah azidi kiwalinda
@alalwialalwiii8194
@alalwialalwiii8194 2 жыл бұрын
Maashallh mungu awalinde katika kazi zenu
@uswegemwamakula6101
@uswegemwamakula6101 Жыл бұрын
Nimefurahishwa saaana.ongezeni speed dada zangu
@iddyramathan4507
@iddyramathan4507 2 жыл бұрын
Hongereni wadada Kama wanawake wangekuwa na maamuzi Kama yenu wangejenga heshima KUbwa Sana serikali iwaanzishie umoja wao.
@marykibwana9413
@marykibwana9413 2 жыл бұрын
Wadada nimewapenda sana.Mungu awalinde!
@ntiliyothomas5146
@ntiliyothomas5146 2 жыл бұрын
👏👏👏 safi Mungu akawe mlinzi wenu
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Wanawake tunawez Mashallah kila lakher katk kazi zawo 🙏
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 2 жыл бұрын
Hongereni sana dada zangu nyie ni mfano wa kuingwa
@AsendeNyota
@AsendeNyota Жыл бұрын
Mbona mashahala mdogo saana
@aminaathumani6832
@aminaathumani6832 2 жыл бұрын
MashaaaIIaaah 🤲🤲🤲🤲🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿❤❤❤❤💃💃💃💃💃haiyaaa
@soudabdulrahman9359
@soudabdulrahman9359 2 жыл бұрын
Hongera mabaharia wanawake wa shoka
@zaidihussein4311
@zaidihussein4311 2 жыл бұрын
Hongera sana
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Vizur mashaalah
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 Жыл бұрын
Ongera dada
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Mashallah wamama tuchape Kaz ya halali , wengine njooni huku uarabuni
@saramss7262
@saramss7262 2 жыл бұрын
Pretty akili zako zipo chiniiii
@joyce55727
@joyce55727 2 жыл бұрын
Mmi Nipo uarabun kuna hela pia mm nimesoma nikaishia dalasa la saba kila mwez mshahara laki saba yan namshuku Mungu
@ismailnassor785
@ismailnassor785 2 жыл бұрын
Mbona naona mnaenda mpaka nje ya nchi ila mshahara mdogo
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Ka someyeni meli vizur sana
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 2 жыл бұрын
Wanawake unaweza Mungu awalinde
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 2 жыл бұрын
Mshahara ni mdogo compared na risks wanayochukua.
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 жыл бұрын
Mdogo sana. Ila kwa elimu ya darasa la 7 siyo mbaya.
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 2 жыл бұрын
@@Joe-tr2vk kwani darasa la 7hana haki ya kuishi hapo kinachozungumziwa risk sio elimu uwe la 7au phd risk ni risk tu kwasababu kifo hakina elimu
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 жыл бұрын
@@adaboychibu1659 Wapi uliona mzamiaji wa mgodini analipwa sawa na Engineer wa mgodini eti kwa kuwa anakuwa kwenye risk muda mwingi?Kazi zenye risk hufidiwa kwa kuwa na insurance siyo mshahara mkubwa eti kwa kuwa kuna risk,elimu inahusika popote pale. Haihitaji tochi kuona hiyo 😀
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 2 жыл бұрын
@@Joe-tr2vk kwani uyoo injinia wa madini kazi yake anaifanyia wapi wee unafikili kwakuwa injinia ndo anakuwa hayupo kwenye risk hakuna mtu ambaye yupo kwenye risk mbaya kama uyo engineer wako wa madini uliyemtaja ! Na ndomana iyo sekta inalipa vizur kutokana na risk yake kuwa kubwa haijalish kuwa wewe mwanaapolo au engineer mwenye digree yako
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 2 жыл бұрын
@@adaboychibu1659 Engineer hawezi kukaa huko chini kama wale ma-operator maana yake kama ni risk wale wengine wanachukua risk zaidi kuliko mkaguzi (Engineer). Kama huelewi Engineer anakuwa na wasaidizi (foremen) kwa hiyo yeye huwepo pale inapobidi kutoa maelekezo hashindi kule kama hao operatators na foremen lakini ndiye anayelipwa kuwazidi wenzake. Elimu ndugu, haihitaji tochi hiyo kuona 😁
@arafaomari1832
@arafaomari1832 2 жыл бұрын
Napenda mie
@yudamwinami6011
@yudamwinami6011 2 жыл бұрын
Kigoma mmetisha
@winfridaphilbert6511
@winfridaphilbert6511 2 жыл бұрын
Selina nmesoma nae jamani
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 жыл бұрын
Mash Allah wanawake hoyee
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 жыл бұрын
Safi sana. Allah awalinde.
@emanueliamosi9503
@emanueliamosi9503 2 жыл бұрын
Ongeleni wadada Kwa ujasili mlioonesha, na mmetaja mshaara wazi, kweli wajasili.
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Someni ndenge na meli mkubwa
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 2 жыл бұрын
Ni mfano mzuri nawashauri wanawake wengine wathubutu kufanya kazi zakiume kama hizi
@issamwalimu
@issamwalimu 2 жыл бұрын
Kila kitu kina risk yake ni kumuomba mungu siku zote
@habonimanadeo6686
@habonimanadeo6686 2 жыл бұрын
Hongera Sana dadazangukwakujituma.munitumihenamba zenuzasimu..asante.
@gingermarie1760
@gingermarie1760 2 жыл бұрын
God loves you so much that He sent His Holy Son Jesus from heaven to earth, to be born of a virgin, to grow up and die on a cross for our sins, and to be put into a tomb 3 days and rise from the dead the third day, and He (Jesus) went back up to heaven. We must receive Sinless Jesus sincerely to be God's child(John 1:12).After we get saved by grace through faith in Christ, if we truly love the Lord Jesus Christ, then we will obey Jesus(John 14:15). Mark 1:15 "And saying, the time is fulfilled, and the kingdom of God is at hand: Repent ye, and believe the gospel." Jesus said in John 14:15 "If you love Me, keep My commandments. "There's a real hell. It says in Revelation 21:8 "But for the cowardly, and unbelieving, and abominable, and murderers, and immoral persons and sorcerers and idolaters & all liars, their part will be in the lake that burns with fire and brimstone..." Please sincerely receive Holy Jesus and put your true faith and trust in Him today and please repent.
@nyotaasende9225
@nyotaasende9225 2 жыл бұрын
Ni wacongo hao
@nyembomajidi3027
@nyembomajidi3027 2 жыл бұрын
yaani wewe unapenda sana ubaguzi Tanzania inaupaka na inchi nyingi kuna familia pande lingine na pande lengine.
Diamond Platnumz - Mbagala (Official Video)
4:12
Diamond Platnumz
Рет қаралды 17 МЛН
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 81 МЛН
哈哈大家为了进去也是想尽办法!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:33
火影忍者一家
Рет қаралды 127 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 30 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
OFFICIAL VIDEO-LEKA DUTIGITE VIDEO-KIGOMA ALL STARS
5:43
ACT MEDIA
Рет қаралды 19 МЛН
UNAAMBIWA HII NDIO SABABU YA KUITWA 'KIGOMA UJIJI'
11:21
Millard Ayo
Рет қаралды 54 М.
MY HEIGHT vs MrBEAST CREW 🙈📏
00:22
Celine Dept
Рет қаралды 46 МЛН