UTAGUSWA SANA MWIMBAJI KIJANA ANAYEIMBA KAMA MZEE ATOA UJUMBE MZITO KWA KANISA LA LEO AKIIMBA LIVE

  Рет қаралды 232,555

Mito Ya Baraka TV Online

Mito Ya Baraka TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 198
@HappyRodrnn
@HappyRodrnn Жыл бұрын
Sikizeni ujumbe kuhusu alivyo vaa mchie Mungu mwenyewe,Wanadamu acheni kuhukumu sikazi zenu God bless you Na akubadishe
@KashumbaMshanzi
@KashumbaMshanzi Жыл бұрын
Wanawaka wakiva nguo za lime amsemi
@sweetluc2660
@sweetluc2660 Жыл бұрын
Hicho kipaji Mungu akubaliki sana nimewamiss mito ya Baraka
@stellahokworo6561
@stellahokworo6561 Жыл бұрын
Kumbukumbu la torati 22:5 mwanaume asifae nguo ya mwanamke nawala mwanamke asifae nguo ya mwanaume 😢😢😢
@justinebalaguyu7769
@justinebalaguyu7769 Жыл бұрын
Ndoo kavaa Sasa, kwanini kwa wanaume mnapaniki kwa WANAWAKE mnaona sawa au mwanamke ni TAKATAKA siyo MTU wanavaa mpaka viungo vya Siri vya mbele vinaonekana mpaka maofisini mbona hao hamuwahukumu hee mlokole anayejiona mtakatifu Sana kumbe hamna utamjua tu.
@victormkini2708
@victormkini2708 Жыл бұрын
Kweli kabisa
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 Жыл бұрын
Mavazi ya wanawake nigapi nayawanaume nigapi? Unaya just au umekalili andiko? Huyundugu Yuko sawa kavaa sawa somaneno litafakari na ulielewe
@gtgmediaproduction764
@gtgmediaproduction764 Жыл бұрын
Mbonamnavaa mavazi yauchi hayo huyaoni?
@MIRIAMANDREW-x1t
@MIRIAMANDREW-x1t 3 ай бұрын
Asante
@FaithKanini-j5c
@FaithKanini-j5c Жыл бұрын
From Kenya nice song and talented ❤
@IBRAHIMALMAS-i2g
@IBRAHIMALMAS-i2g Жыл бұрын
hayo mavazi amevaa kwasababu ameimba kama bibi hivyo ni sawa tu, cha msingi tumesikia na kuelewa ujumbe Mungu atuponye
@qatarworls1902
@qatarworls1902 Жыл бұрын
Ana act kama cucu mkongwe hana makosa ni concert but wimbo ni tamu sana❤😂
@SAMWELWILSON-h6o
@SAMWELWILSON-h6o Жыл бұрын
Kwan akiimba bila kuvaa kama mwanamke ujumbe haufiki? Mnaenesha ushoga bila kujua mnaona ni vizuri ujumbe mzuri lkn achana na mavazi ya kike utapata Baraka .
@najath-vd6iu
@najath-vd6iu Жыл бұрын
Umenena haswaaa ndugu
@RuthEtyang
@RuthEtyang Жыл бұрын
Kabisa 🙏
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Huo ni ubunifu ktk kufikisha ujumbe wa MUNGU
@uwezohekima-qk8ss
@uwezohekima-qk8ss Жыл бұрын
Acha unoko wewe umemuonea mwenzio wivu kama vzr kufkisha ujumbe kwa kuvaa uhusika acha roho mbaya we mjukuu wa shetani chekecheo limited kuanzia kwako
@fungoamon5858
@fungoamon5858 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni comedian huku kwetu anajulikana ivo na ndio kwao
@RhodaMshana-ih4qu
@RhodaMshana-ih4qu Жыл бұрын
Wimbo mzuri una ujumbe mzuri unaofundisha Mungu akubariki
@najath-vd6iu
@najath-vd6iu Жыл бұрын
Ni kweli ameimba vizuri kwa kumtukuza Mungu . Lkn kosa alilokosea uvaaji wa nguo angekuwa amevaa nguo za kiume mana ni mwanaume uyo ushauri wangu tuuu sii vyema kwa uvaaji wake na anachokiimba apana nyimbo zingine nakushauri uvae nguo za kiume utakuwa sawa tuuuu
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Yes hii Ni mizaa pia
@SAMWELWILSON-h6o
@SAMWELWILSON-h6o Жыл бұрын
Umesema kweli ni kufuru kwa Mungu mwanaume kuvaa mavazi yamstahiliyo mwaume
@SAMWELWILSON-h6o
@SAMWELWILSON-h6o Жыл бұрын
Kuvaa mavazi yamstahiliyo mwamke
@RachelMethod-rt1qx
@RachelMethod-rt1qx Жыл бұрын
Hata mimi nimeziona Hilo, kwanza kosa kusimama madhabahuni amevaa mavazi hayo
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 Жыл бұрын
Upendo haufurahh udhalimu Wa namna yeyote mizaha ni dhambi
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Yes Mizaa Ni MIBAYA mme KUVAA gaunia
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Wengine mnakosoa kumbe mnaona wivu tu
@سبحانالله-ظ4ذ5ل
@سبحانالله-ظ4ذ5ل 2 ай бұрын
Amina BiBi chala tunakupenda Sana mungu akutiye nguvu
@kitutujuma9602
@kitutujuma9602 Жыл бұрын
Nafurahi navyoona watoto wanajiachia kucheza. Mungu bariki kila mmoja wetu na kututoa katika yasikupendeza dunia nzima katika jina la yesu.
@MIRIAMANDREW-x1t
@MIRIAMANDREW-x1t 3 ай бұрын
Kwakweli usanii umezidi Yesu chekecha ❤
@dituphilipo527
@dituphilipo527 Жыл бұрын
Naona wengi mnahukumu kwa mavazi aliyovaa sanaa ina namna nyingi ya kufikisha ujumbe kwanza anatumia sanaa ya kuigiza kama mzee pili anakufikishia ujumbe kwanjia ya kuimba kwa kutumia maandiko endelea kuwaelimisha wasiokuelewa wakasome kiswahili vizuri ubarikiwe.
@speshoman833
@speshoman833 Жыл бұрын
Ameen ujumbe mkubwa Sana sana mngu anatumia njiya tofauti tofaut kutisaidia tuachane nadzambi balikiwa mtumishi wamngu kwawimbo mzuri Amina 🙏
@tonykonki1437
@tonykonki1437 6 ай бұрын
Hii ni act tu bona matusi ,humuhukumu mwenzio.
@iyvinekwamboka7012
@iyvinekwamboka7012 Жыл бұрын
The kids for me oo be blessed kijana na watoto wangu
@pyusypyusy3333
@pyusypyusy3333 Жыл бұрын
Ubalkiwe mungu akubalki sana
@boazimaganga
@boazimaganga Жыл бұрын
Me acha nami nami niimbe Chekecheo la bwana linapita bwana chekecheo unapolipitisha lianzie kwangu
@bonnymwajombe779
@bonnymwajombe779 Жыл бұрын
Grandmother, very nice work
@AnthonyNgonyani-x6r
@AnthonyNgonyani-x6r Жыл бұрын
Hongera kwa ujumbe mzuli sana nafundisho zulisana
@faithnasimiyu7455
@faithnasimiyu7455 Жыл бұрын
Mavazi hai matti hata mungu aliandika neno na isnasomwana wauwaji wachawi na wanaume nawanawake tunang'aria roho eaah hallelujah barikiwa massage imefika
@johndaniel5327
@johndaniel5327 Жыл бұрын
Kwan c Kuna mavazi kiume jamani n anaweza kuonekana Mzee y kike apana
@sarahnafulanafula5537
@sarahnafulanafula5537 Жыл бұрын
God bless you, una wimbo nsuri sana,ila mafazi nayo apana
@janemutono9270
@janemutono9270 Жыл бұрын
Mavazi no hayapendezi mungu
@ElizaMkenya
@ElizaMkenya Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana kwa ujumbe mzuri
@harrietkiden7808
@harrietkiden7808 Жыл бұрын
Amazing talented young man 👨 👏 🙌 ❤
@philimondanieli
@philimondanieli Жыл бұрын
kama masihala vile lakini kapiga mule mule mwenye kuelewa ameelewa amina sana mtumishi maana umefikisha ujumbe vizuli kabisa naimani bwana we2 anakutumia kutufikishia ujumbe
@MargrethMloka
@MargrethMloka 6 ай бұрын
Aise mungu akubarik sana
@maryeer6392
@maryeer6392 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah chekecheo lipite hadi 🇰🇪🇰🇪🙏
@fransiskarafael5697
@fransiskarafael5697 Жыл бұрын
Mungu akubariki san
@elishashijashija8472
@elishashijashija8472 Жыл бұрын
Ongera sana utazania kweli weni mzew
@amotv-kisii
@amotv-kisii Жыл бұрын
Fantastic , ujembe Bora sana
@myloveloycemhichemwiche8740
@myloveloycemhichemwiche8740 Жыл бұрын
Wimbo mzuri Ila tatizo mavazi hata angevaa suruali yake na likofia ujumbe ungefika , jinsia alionayo haiendan na maadili kabisa
@justinebalaguyu7769
@justinebalaguyu7769 Жыл бұрын
Hapo nyumbani inawezekana mpaka mama yako au Dada zako huwa Wana vaa SURUALI na hujawahi kuwaambia hata siku moja ila umeona huyu ndoo uje umvunje moyo kwa kazi yake kwani DHAMBI ipo kanisani tu majumbani mwenu ni mahali patakatifu kwa hiyo huko hata uchi unatembea.
@dianahshikanga7344
@dianahshikanga7344 Жыл бұрын
Wow 😳 nzuri sana 🙏🙏🙏👌🙌
@augustinenathansimotwo1071
@augustinenathansimotwo1071 Жыл бұрын
Amen Amen
@jumberichardkilopa6465
@jumberichardkilopa6465 Жыл бұрын
ubarikiwe
@Danielngoiva
@Danielngoiva Жыл бұрын
amen mungu anxidi kukuonekanie
@blessabbykyando2496
@blessabbykyando2496 Жыл бұрын
Ujimbe mzuri sana
@amotv-kisii
@amotv-kisii Жыл бұрын
Nice work 👍
@JohnSamu-f5e
@JohnSamu-f5e Жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa bwana
@janeroseodhiambo9878
@janeroseodhiambo9878 Жыл бұрын
Asante bwana kwa maonyo yako.. nisaidie niyapokee kwa unyenyekevu...bariki huu mtumishi wako kwa jina la yesu.
@JamesPaulo-u9d
@JamesPaulo-u9d Жыл бұрын
Bwana akubaliki sana bibi
@JamesPaulo-u9d
@JamesPaulo-u9d Жыл бұрын
❤bibi nimemukubali
@sharonamachio8715
@sharonamachio8715 Жыл бұрын
Very nice God bless you young man ❤❤❤❤
@christophermbiane3921
@christophermbiane3921 Жыл бұрын
Ujumbe mzuri barikiwa sana
@Zena-oq8fc
@Zena-oq8fc 8 ай бұрын
Hii n style ya kufkisha ujumbe kwa wadau kunawengne wanapona kuptia ujmbe wake.na yamkin angevaa kawaida watu tungepita bla kusikiliza
@HaulemasingaMasinga
@HaulemasingaMasinga Жыл бұрын
Yes nimependa ujumbe mzuri🎉🎉
@RhodaMsengi-g8g
@RhodaMsengi-g8g Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@VenelandaKabura-bc8dk
@VenelandaKabura-bc8dk Жыл бұрын
Tunasikiliza neno hatuangalii mavazi.
@josephmaliva5003
@josephmaliva5003 Жыл бұрын
Nice song brother
@johnmshan4017
@johnmshan4017 Жыл бұрын
Amen amen🎉🎉
@DillyHassan
@DillyHassan Жыл бұрын
Nikjana mdg sana ukimuona huwez mdhaania ila Mungu anaangalia ya moyon mwako sio nje ❤
@hancymbarikiwa7975
@hancymbarikiwa7975 Жыл бұрын
Mambo haya ni machukizo kwa Bwana Tena kuyafanya madhabahuni kwa kujigeuza kama mwanamke na wewe u mwanaume.😭😭😭... Baki kwenye asilia yako ujumbe wako utafika.
@MuhagamaSeletine
@MuhagamaSeletine Жыл бұрын
Maudhui ya wimbo yamamfanya avae hivo mana ameimba kama bibi mzee.
@janetbiyoze
@janetbiyoze Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏 shalom
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp
@RamadhanMwinyimvua-ry8yp Жыл бұрын
Mungu akubariki Sana Kwa ujumbe mzuri mtumishi wa Mungu.
@ManaseKisumbe
@ManaseKisumbe Жыл бұрын
❤❤❤❤ safi best
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Amina
@gracembulwa701
@gracembulwa701 Жыл бұрын
Cograts
@SangaMahanji
@SangaMahanji Жыл бұрын
Amen amen .mwalemi lukoro
@eyaswardeh9554
@eyaswardeh9554 Жыл бұрын
Wow amazing
@MitoYaBarakaTVOnline
@MitoYaBarakaTVOnline Жыл бұрын
Thanks for watching
@Dennismwagandi
@Dennismwagandi Жыл бұрын
Bibilia inasema mwanaume asivae mavazi yampasayo mwanamke naye mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamme.
@safarijoseph9591
@safarijoseph9591 Жыл бұрын
Kuhusu vazi alivyocaa hiyo no Sanaa TU ya namna ya kufikisha ujumbe Haina shida wewe sikiliza ujumbe
@MkaliWagoka-bz6im
@MkaliWagoka-bz6im Жыл бұрын
Kwaniii uyu ni Mwanaume
@mohamedsheria4954
@mohamedsheria4954 Жыл бұрын
Onesiforo budo amen kijana unatisha Mungu akujarie
@YusuphRuben-vw2dg
@YusuphRuben-vw2dg Жыл бұрын
Aache kuvaa mavazi ya kike, na kama ni mwanamke atujulishe, ujumbe mzuri tatizo mavazi yameondoa mahudhui ya wimbo wote,
@rehemafredrick7794
@rehemafredrick7794 Жыл бұрын
Nice 🎵 song
@monicamdendemi3491
@monicamdendemi3491 Жыл бұрын
Amen barikiwa mtumishi
@wilsongeorge1353
@wilsongeorge1353 Жыл бұрын
Amini
@RahelMbise
@RahelMbise Жыл бұрын
Mimi kama mm nimebarikiwa ❤❤❤
@denisbongore3098
@denisbongore3098 Жыл бұрын
Baba vazi la mwanaume muheshimu Mungu
@stellalwesya8790
@stellalwesya8790 Жыл бұрын
Mm nashaur avae Kama mwanaume mzee biblia inasema mwanaume asivae mavaz yampasayo mwanamke.
@muthonijgatia4350
@muthonijgatia4350 Жыл бұрын
Wewe hujui bibilia imeonya wanaume wasivae mavazi ya kike chunga sana usiende motoni
@zainajohn7297
@zainajohn7297 Жыл бұрын
Amen, barikiwa sana❤
@AyubuSimkoko
@AyubuSimkoko Жыл бұрын
Nyie wanadam mmekengeuka ndo maana tunafikisha UJUMBE kwa nguvu na wewe unasema asivaee mavazi hayo hujui
@MonicaEliud-iy4lu
@MonicaEliud-iy4lu Жыл бұрын
Ongera
@maryedwin1683
@maryedwin1683 Жыл бұрын
Nikweli usemavyo kwan hii inamana gan sehem ya mungu niyakuiheshim kwamana pale nisehem ya mazabaui inakuwaje iwe sehem yasanaa
@Beatriceandeyo
@Beatriceandeyo Жыл бұрын
Hallelujah
@braxynnekesa9096
@braxynnekesa9096 Жыл бұрын
sijafurahishwa na mavazi
@MargrethMloka
@MargrethMloka 6 ай бұрын
Chekecheo jamn linaoita
@mamaian-iv3zt
@mamaian-iv3zt Жыл бұрын
Ujumbe mzuri ila ndugu yangu soma kumbukumbu la torati 22:5
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 Жыл бұрын
Safi❤️
@ankogeorge8972
@ankogeorge8972 Жыл бұрын
Wimbo mkali sana huu
@janeroseodhiambo9878
@janeroseodhiambo9878 Жыл бұрын
Blessings
@miriamkadogo2229
@miriamkadogo2229 Жыл бұрын
Amen amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@fabiannguvumali2773
@fabiannguvumali2773 Жыл бұрын
Kumbe uyonimwanaume
@maryhaule5625
@maryhaule5625 4 ай бұрын
❤❤
@aminaasia-jl8fk
@aminaasia-jl8fk Жыл бұрын
Acheni kumchezea MUNGU
@highvoltages4169
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Mheshimiwa mi nakushauri uwe unaimba kama babu (sauti hiohio ya kizee ila iwe ya kiume) na mavazi kama babu, jina la brand liwe "BABU WA CHEKECHEO LA BWANA"
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Kabisa
@saratimoth4734
@saratimoth4734 Жыл бұрын
Unalmba vizuri sana isipokuwa mavazi vauhalisia wako niushauri
@amotv-kisii
@amotv-kisii Жыл бұрын
Wimbo wenye mafunzo
@OptionPackagingSolutions
@OptionPackagingSolutions Жыл бұрын
Avae kimuislam awache umama
@samsonnzisabira768
@samsonnzisabira768 Жыл бұрын
Huyu muimbaji ana umasanja furani😂😢😅
@imanimwampagama8390
@imanimwampagama8390 Жыл бұрын
Wanatoke mkoa mmoja
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 Жыл бұрын
kwani tafsiri ya ushoga ni mavazi? hii ni sanaa anavaa kwa muda tu wa uwasilishaji ujumbe wake.
@TumainiThomas-sg3rd
@TumainiThomas-sg3rd Жыл бұрын
Baba tuhurumie
@Fulltv5
@Fulltv5 10 ай бұрын
As we
@MndemeLoveness
@MndemeLoveness Жыл бұрын
kijana anajitahid kwakwel
@anyosisyedaniel1790
@anyosisyedaniel1790 Жыл бұрын
Hivi kwanini musiwe munawambia watu kuwa kwa mwanaume kuvaa mavazi ya mpasayo mwanamuke ni chukizo mbele za MUNGU? Na kwanini munakaribisha vitu vya hovyo katika madhabuhu za MUNGU?
@BensonKundu-f3w
@BensonKundu-f3w Жыл бұрын
Ujumbe umefika
@shady8125
@shady8125 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤,amen amen
@JamesPaulo-u9d
@JamesPaulo-u9d Жыл бұрын
Kama am ependa kubwa bib
@qatarworls1902
@qatarworls1902 Жыл бұрын
😂😂❤❤❤🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼☝️
@ibuphilipo7940
@ibuphilipo7940 Жыл бұрын
Hili chekecheo lianzie kwake kwanza,kuondoa hayo mavazi ya kike.
@nyavunitv12
@nyavunitv12 Жыл бұрын
good talent but nguo sio sahihi ivyo kuvaa madhabauni
@MarthaFocus-q8u
@MarthaFocus-q8u Жыл бұрын
Mh,mungu atusaidie kwakweli kwanza mwanaume anavaaje kama mwanamke??
UTAPENDA LINAH SANGA NA BIBI CHALA WALIVYO CHEZA KINGONI UKUMBINI
6:48
NEXT EMPIRE FIRM (NEF)
Рет қаралды 182 М.
🔴 LIVE - Big Brother VIP Albania 4 - Episodi 8
Top Channel Albania
Рет қаралды 352 М.
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
WANAUME NI VIUMBE VYA AJABU SANA AKISHAOA ANAKUWA MLEMAVU  "MCH MGOGO
17:20
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 1,1 МЛН
BIBI CHALA-UGONJWA WA MACHO MEKUNDU
27:05
AFYA COMEDY
Рет қаралды 7 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 345 М.
Paranjo Group wakiimba kanisa Zima lajaa Furaha na Shangwe - Yesu ni Mwema
7:33
Mito Ya Baraka TV Online
Рет қаралды 555 М.
Mwanamke ni Mshindi - Pastor Rose Shaboka /Mito ya Baraka church
18:34
Mito Ya Baraka TV Online
Рет қаралды 98 М.
Wimbo wake uliosimamisha mazishi...am looking for the boy
5:28
Mwamogusii TV
Рет қаралды 3,6 МЛН
Mtoto Yohana agusa Kanisa zima akiimba #Hata Sasa Umenisaidia #Yohana Antony
7:28
Mito Ya Baraka TV Online
Рет қаралды 1,4 МЛН
ANNOINT AMANI - NABII FEKI KULA CHUMA HICHO ( OFFICIAL VIDEO )
5:58
Annoint Amani
Рет қаралды 1,5 МЛН
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН