This is a great lesson thanks to Magdalene for sharing this story, Thanks to you Veronica we do appreciate the way you tell us this stories more love from kenya 🇰🇪
@jedidahbintidaudi82413 жыл бұрын
m telling you. she is so good. like how she narrates them..tunakupenda jirani yetu. karibu sana sana
@evasamwely79694 ай бұрын
My able God
@reginajustini5271 Жыл бұрын
MUNGU ni kila kitu kwetu tumwabudu MUNGU peke yake Amen,
@zakayokalinga62733 жыл бұрын
Asante dada vero, lakini tunaomba muongeze hata muda kidogo jamani liwe saa moja , mwenyezi mungu akubariki sana
@missmwayway47043 жыл бұрын
🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Allah azidi kukutia nguvu katika maisha yako MAGDALENA
@zubedamohamedi753 Жыл бұрын
Asante sana Da Veronica, simulizi hii imenifunza sana.
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
Mmmmmh hakika nimejifunza sana pole sana Mama angu kwauliyo pitia inauma sana hongera dada Vero kwasimulizi ALLAH akulipe
@jemedarikalimasi5754 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mkubwa siku zote hata ukimkosea ukimrudia atakusamehe tu , asante mungu mshindi wetu.
@josephmshana87943 жыл бұрын
Mungu wetu ni Mungu wa miungu 💪🏿
@selvestarjoseph2649 Жыл бұрын
Mungu wetu awai wala achelewi 🙏🙏🙏
@glorybonifasi37043 жыл бұрын
Mungu ndo kila kitu kwenye maisha yetu
@halimahamisi85193 жыл бұрын
Alhamdulillah Asant da vero hakik nimejifunz san Mung akubark
@joycelaizer460010 ай бұрын
Jesus you are Able😊
@maryjohn44343 жыл бұрын
Nimejifunza saana Dada Mungu amsaidie tuu
@mariambakari9963 жыл бұрын
Asantee sana dada nimejifunza mengi kupitia magdarena mungu atuepushe na ushetani amiin
@annettecilus73503 жыл бұрын
Mungu akuweke dada vero uzidi kutuburudisha
@lilyrose79833 жыл бұрын
Asante kwa simulizi nzuri dada Veronika.Hakika nimejifunza mengi.Be blessed.
@naomiepeter37573 жыл бұрын
Kama umepitia nyakati hizi unaelewa zaid ni mateso mnoooo,,,,Mungu akubariki da Vero nimejifunza mnoooo
@ndugumwananchi56442 жыл бұрын
We are praising God
@jossyayielo75763 жыл бұрын
Asante Sana nimejifunza vingi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@salehali4saleh193 жыл бұрын
Ahsante sana dada Veronica hakika kupitia mkasa huu nimejifunza mno
@jemedarikalimasi5754 Жыл бұрын
Hakika mungu anaweza amina
@celinagadiel46343 жыл бұрын
Huyuu wifi niwa tofauti sana Haya maisha yamagadrena yamenifundisha mnoo, Ubarikiwe sana
@bhokemasyaga6244 Жыл бұрын
Uwepo Wa Mungu hakika ‘ funzo tosha
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Asante sana dada tumejifunza pole na majukumu
@estarkapinga61263 жыл бұрын
Mungu acha aitwe mungu kabisaa
@rithaalphonce68643 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa simulizi ya mafunzo
@neemajoseph620411 ай бұрын
mungu nimwema sana
@fei36683 жыл бұрын
Asante kwa ushuhuda dada maggie
@winnicbrito41723 жыл бұрын
Kweli utajiri wa walimwengu una siri kubwa sana. Tumwombe neema ya kuridhika na kile kidogo tunachomiliki na kutuepusha na tamaa kwa mali za wenzetu.
@boazambokile2587 Жыл бұрын
Simuliz nzur san tamaa mbaya jmn😭😭
@elishaalex17473 жыл бұрын
GOD IS THE LORD OF ALL THE LORD
@calskim41733 жыл бұрын
Inafundisha sana hii simulizi
@irenekimaro65233 жыл бұрын
Ubarikiwe dada wengi tumejifunza kupitia simuliz hi
@galiyamwakibinga32583 жыл бұрын
Nimejifunza saaana
@zaituniminaduu33263 жыл бұрын
Asante kwa ushauli
@naomisamatwa66903 жыл бұрын
Hakika mungu amlinde wifi na Magdalena
@arnodswai73513 жыл бұрын
Barikiwa sana
@jafaryjey3 жыл бұрын
AMRI 10 ZA MUNGU ZINA MAANA KUBWA SANA EBU ZIREJEENI TENA
@sitivinivalence3753 жыл бұрын
Hubalikiwe Sana kwa kuwakilisha vizuri na pole kwa dada magradarena na hongera kwa wifi mtu kasimama kwenye nafasi take vizuri
@sabrinasab29103 жыл бұрын
Ubarikiwe na sio hubalikiwe
@memorydaniely92473 жыл бұрын
Ubarikiwe da vero
@kelvinmabanda67233 жыл бұрын
De first
@bukuratanchande45883 жыл бұрын
Shukrani sana 🙏
@aggiejohn2410 Жыл бұрын
Mdogo wake alipona??au alifariki
@garikiganjani91633 жыл бұрын
Mbona Leo redio ilikuwa na changamoto
@user-tz9ic7jn4j3 жыл бұрын
Amen
@christinajulius85013 жыл бұрын
Niliikosa iih kweny radio
@faudhiasalum72793 жыл бұрын
🤝
@joycethomas80633 жыл бұрын
Jmn Morogoro radio inasumbua mida ya saa12
@reginasales47873 жыл бұрын
Asant
@tumumchomvu52003 жыл бұрын
,🔥🔥🔥🔥
@mubarakgajjali90033 жыл бұрын
mng amlinde 🙏🙏
@JBB8753 жыл бұрын
Mpendwa acha tabia ua kuandika jina la MUNGU kwa kifupi na kwa herufi ndogo ivo, sio vizuri rafiki yangu
@zainabumbondei86353 жыл бұрын
@@JBB875 hakika nikweli kabisa lazima ulitukuze jina la mwenyezi MUNGU
@kelvinpaul24643 жыл бұрын
🙄🙄🙄🤔🤔
@rehemakiza67413 жыл бұрын
ata mimi pia nimejifunza sana katika mahisha usitamani vya mtu
@annajuddy93253 жыл бұрын
Eee! mungu wangu nifanye niridhike na hiki nilichonacho
@adrianovalence43143 жыл бұрын
Bora kuishi miaka 5 ukiwa tajiri kuliko kuishi miaka 💯 afu bado maskini
@HubertVitalis-ou9szАй бұрын
We ni kenge
@adrianovalence43143 жыл бұрын
Nani mwenye namba ya margeth nataka anipe connection ya kwa mtaalam
@annakbunga83772 жыл бұрын
😅😅😅😅
@adrianovalence43143 жыл бұрын
Bora kuishi miaka 5 ukiwa tajiri kuliko kuishi miaka 💯