God is real now watu wanadhani wanaostahili kumiliki vitu vikubwa ni Watu wa wasiomwamini Mungu mambo yamebadilika aise, Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu wenye wivu waendelee kuwa nwa wivu wao na umefika wakati Wana wa Mungu lazima tuwe wa juu
@jeraldjensen65048 ай бұрын
Thank you pastor, umetupa challenge nasisis tupambane, tusiishie kwenye vitu vya buku buku , because we are the sons of God
@evelinelema45637 ай бұрын
He deserve more than that,tafuteni ufalme wa Mbinguni na mengine mtazidishiwa
@justertilusubya95959 ай бұрын
Yani Tanzania ndio mana kuna watu wanakufa maskini alafu kuna mimtu inawivu sija pata kuona yani inawivu hadi na pastor yani mtu yeye kazoea kutumia vitu vya buku buku akiona mwingine anatumia vitu vya dhamani kubwa eti inaumia kwa sisi wafanya biashara tuna jua hakuna kitu chauongo alicho ongea pastor Tonny hapo vyote ni ukweli kabisa.shida watu wakiambiwa ukweli hawataki wanataka uwongo tuu eee basi
@veeJesus9 ай бұрын
Tell themmmm
@rosejohn33629 ай бұрын
Ni wale ambao hawajui brand za vitu..tunao hua tuna jua hapo ni ukweli mtupu,watu washazoea vitu vya k,koo huwezi muaminisha vitu vzr
@jumaamohamed28158 ай бұрын
Acha upuuzi huo wewe
@gerry_macopper38088 ай бұрын
Niko naiwaza hyo jins ya million 3 ni ya ainagan hyo
@leopoldmashaka8 ай бұрын
Mh itakua aichaniki wala haichafuki
@eaglecrown11019 ай бұрын
Inawezekana watu hawajui kuwa maisha ya mwanadamu yako kwenye matabaka nguo hiyohiyo unayoweza kuinunua kaliakoo kwa elfu hamsin ukienda mlimani city unaweza ukainunua 500,000
@jumaamohamed28158 ай бұрын
Acha uongo wewe
@eaglecrown11018 ай бұрын
@@jumaamohamed2815 wivu utakuuwa wewe😂😂😂😂
@Saitabau998 ай бұрын
Kwa wale wanaocheck zaidi mavazi wanasahau kuna jambo la muhimu zaidi from 4:19 apo kuhusu kurithi mali za Mungu
@odhiaodhia98988 ай бұрын
Kwanza nilikuwa sijui kama unaulimbukeni wa kiwango icho ndio maani dini zingine zinaamini wachungaji wa kristo ni wezi
@jenalasimbeye95917 ай бұрын
Ayo ni matatizo yao Acha na wao wakaibe kama rahisi😂😂😂
@damianlyimo10119 ай бұрын
Anavaa nguo brand lazima ziwe na gharama
@sarahmwasyoge18307 ай бұрын
Ebr 13:7 (SUV) Wakumbukeni wale waliokuwa wakiwaongoza, waliowaambia neno la Mungu; tena, kwa kuuchunguza sana mwisho wa mwenendo wao, iigeni imani yao.
@jacksonmichael7998 ай бұрын
Si vibaya kutaja price lkn kwa nafasi yake kama mchungaji haimpasi kutengeneza ukakasi au maswali yasiyo na ulazima wowote.....Binafsi nashauri next time aseme No comment on price people will search Google themselves.
@njeyaduniatv8 ай бұрын
umeongea vzr mno, tena sana, ukishakuwa mtumishi wa MUngu kuketi vibarazani pa wenye mizaha siyo poa, SEMA BADO NA KIJANA PIA UJANA MAJI YA MOTO.
@musamalaba64017 ай бұрын
Wisdom
@arrfamush32858 ай бұрын
Mungu yupo jamani
@MbumiTimoth5 ай бұрын
❤
@deesouth58879 ай бұрын
Aaaaaah Dunia ni uwongo tuuu.
@eunicekissanga20609 ай бұрын
Umaskini wako ndio unakuponza kudhani watu ni waongo . Tafuta ela wewe tena na Mungu
@veeJesus9 ай бұрын
Tafta helaaa
@eunicekissanga20609 ай бұрын
@@veeJesus ela zipo watu waache kumsema pastor
@leopoldmashaka8 ай бұрын
Msiongelee na kuamini moja kwa 1 wew yasikie pita kule et kisa mchungaji bas unaweka imani yote kwake oya hamjui nyinyi et
@veeJesus8 ай бұрын
@@leopoldmashaka Tumemwona Mungu kupitia Yeye kwa nini tusimwanini
@meflorlionel74976 ай бұрын
Uwongo hamna t shrt ya dola 500 kwenye hiyi dunia tumetembe kwenye maduka makubwa
@alextarimo49729 ай бұрын
Repoter fanya research mpaka grenader unaita mercedes
@DidasPeter-uv3mi8 ай бұрын
Walton wengi hatujui kiingeleza
@edo644636 ай бұрын
😮
@lymsannouncement23219 ай бұрын
Unajua watu hawajui Kuna jeans ya kariakoo bei ndogo na kubwa na Kuna jeans 👖 ya brand na Kila brand Ina bei yake it depends ni wap unaipata Jaman kama wewe hujawai kuona t-shirt 👕 au jeans za bei za garama kubwa basi ujatembea dunian 😂😂😂😂
@mkambaselemani-ej7np7 ай бұрын
Siuongee kiswahili unaboa past
@DidasPeter-uv3mi8 ай бұрын
Mbona pasta anapenda kuongea kiingeleza sana hadi kero yani
@yonakamwela71637 ай бұрын
😂
@patrickKitambo7 ай бұрын
aliekwambia usisome ni nani?
@Klvn_Chriss7 ай бұрын
Mmh mwili ni hekalu la MUNGU sijui ni nguo......
@aristidessaristarck34949 ай бұрын
Huyu pastor kanisa lake liko wap
@elishacharlesjr36119 ай бұрын
Morogoro sehemu panaitwa kasanga kokoto morogoro
@veeJesus9 ай бұрын
Lakn pia Dar makumbusho
@yalhafoundationafrica99619 ай бұрын
Hata mimi nilinunua hiyo bei
@LambeDon_9 ай бұрын
😂😂😂 mpaka ma pastor ni waongo?
@kari_ahmad069 ай бұрын
Ww nimuongo mbwa tena dah! Sema nmecheka sana
@WilfredWilfred-v5q9 ай бұрын
Tafuta hela ww pastor sio muongo
@jumaamohamed28158 ай бұрын
@user-dr6sd6bb2f muongo huyo pastor fake
@hildamasonda65288 ай бұрын
@@jumaamohamed2815fake ni wewe kijana tafuta helaaa
@neemamgowole52277 ай бұрын
Kuwa mwangalifu usije bidi kumtafuta uombe sory he is something else
@jumaamohamed28157 ай бұрын
@@neemamgowole5227 Hamna kitu Hao madalali tu kama madalali wengine, Sema ukishawaamini sana unakuwa dizain kama yako unahisi Wana Power sana kumbe si tunawaonaga kama Comedian tu"
@bustabruce4809 ай бұрын
🤣🤣🤣
@SamwelKiyanga9 ай бұрын
Hiyo ni mishahara ya watu
@subiranathanaeli-yd1tw8 ай бұрын
Chunga kauli usije ukahukumiwa kwa kinywa chako
@AlvanEdwine-ih4vy9 ай бұрын
Kijana hujaokoka.
@barakamashimbe94579 ай бұрын
Hvyo vyote ni uongo hlf hamna t shrt au surual ya milion 3 labda iwe suit
@kimongapro9 ай бұрын
Tafuta hela mzee
@tokomezavidondasugu41229 ай бұрын
😂
@damianlyimo10119 ай бұрын
Umeniwahi
@eunicekissanga20609 ай бұрын
Zipo tishrt hadi za milion 6. Ela zipo kijana tafuta na jifunze zaidi kwa this man of God ufunguke ata ayo macho
@barakamashimbe94579 ай бұрын
@@eunicekissanga2060 m n moja kat ya watu mwenye experience na hvy vtu nitajie kampuni ya hayo mavaz na material yake cz zote nazjua