Ujumbe huu umenigusa sana. 😭😭😭Ee Mungu, unifunze kuzifuata na kutii Sheria zako kamili niyatende mema kwa Kila mja ili nikilala basi mie pia nikumbukwe Kwa mazuri niliyotenda .
@tumainjoseph28462 жыл бұрын
Wimbo n mzuri Sana mbarikiwe kwaya yangu ya kujidai😁🙌
@salasalasdachurchchoir43462 жыл бұрын
Sifa na utukufu kwa MUNGU juu!
@enezashogholo24154 жыл бұрын
Asante salasala sda choir moja ya nyimbo zenye ujumbe mzito MUNGU aendelee kuwabariki
@petersungwa22994 жыл бұрын
Huuu wimbo unanibariki sanaa kwa kwelii
@sarahdaniel78304 жыл бұрын
Amen barikiweni sana salasala
@keheyemwitamsabi5803 жыл бұрын
Mungu azidi kuwatetea
@jonathanmselli23804 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa huduma hiyo nzuri.mko serious Mfike mbali
@basakikiboye77594 жыл бұрын
Barikiweni kwa kazi nzuri
@estherphares83314 жыл бұрын
Tumuombe Mungu atusaidie tuwe Kama Tabitha
@denotush20203 жыл бұрын
thanks GOD SHINE TO THE WORLD
@Clinton-x8k7 ай бұрын
Tabitha tabitha indeed our God is merciful Clinton from Kenya kisumu
@stevenmakene90624 жыл бұрын
Mbarikiwe
@winstonochenge23497 ай бұрын
I have been 🎧 listening to this song on repeat since it came out. It has made me believe that Mikwayule the thief and the crowd that was jeering at Jesus may have been attending His sermons and may have been present when he fed multitudes with fish and bread Mikwanyule repented at the cross because he had listened to Jesus' sermons , while committing his crimes on the multitudes.
@daviswekesa23684 жыл бұрын
Mbarikiweee
@Iano316 Жыл бұрын
I am blessed with song❤❤😊😊
@kevinatwoly98984 жыл бұрын
Am blessed so much, indeed he is my provider
@winifridakihwele2704 жыл бұрын
Be blessed salasala
@gracekilingo65024 жыл бұрын
Salasala be blessed
@AngelPeter-en6hr7 ай бұрын
Salasala mnapatikana wapi nije tuimbe pamoja maana nawapenda sana
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Dar es salaam , Mbezi Africana
@rachelmueni22743 жыл бұрын
Amina a very nice song I do listen to it more than ten times a day
@charlsmarwa53003 жыл бұрын
Be blessed
@promisemhlanga78594 жыл бұрын
I'm blessed by this song brothers and sisters. You have really blessed my day here in Canada
@charlsmarwa53004 жыл бұрын
Thanks you are welcome
@maryamaljabri97524 жыл бұрын
Thx salasala 🙏🙏🙌
@AbelLazaro-y4p4 ай бұрын
Kazi nzursana
@johnsonoyugi17733 жыл бұрын
A great song. Glory be to God on high
@estherphares83314 жыл бұрын
Ujumbe mzuri barikiwa sana salasala
@godianrudugu82034 жыл бұрын
Mbarikiwe kwa wimbo mzuri sana, mnatubariki sana kwa uimbaji wenu. Mungu azidi kuwabariki ili mzidi kueneza utume kwa njia ya uimbaji. Mimi ni mfuasi wenu na kamwe hamjawahi kuniangusha. Nabarikiwa sana kwa nyimbo zenu
@genevivaombui16103 жыл бұрын
Am blessed this morning
@moshanaaman55884 жыл бұрын
AMINA
@wayunanichoirmbalizimbeya9213 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo natamani ningekuwepo huko mliko ningeimba na mimi
@adventistcontentkenya.85414 жыл бұрын
May God bless SalaSala SDA Choir
@charlsmarwa53004 жыл бұрын
Thanks. be blessed
@adventistcontentkenya.85414 жыл бұрын
Tenda Wema wakati ambapo Uko hai
@kivulidental34783 жыл бұрын
Wonderful enriching songs. God bless
@charlsmarwa53003 жыл бұрын
Much blessings to you
@joycegesare15713 жыл бұрын
Sante huu wimbo una ujumbe wakutufungua akili kwamba yuko mungu aweza yote, tegemeo lako likitoka mtazame mungu hakika utakua salama
@charlesmarwa16583 жыл бұрын
Amina
@aronnzioka31763 жыл бұрын
NICE SONG MAY GOD BLESS YOU. We plan to invite you to Kenya.
@sacredministers-sacredprod335 ай бұрын
AMEEEEN
@mathiasmakongorogamba16733 жыл бұрын
Amina. Salasala sdchurch choir
@asooraaasooraa48164 жыл бұрын
Ameen
@nyanjarabwire47883 жыл бұрын
Mungu awabariki Kwa kazi njema
@dralfred79373 жыл бұрын
Nifundishe kuwa mtu wa kutenda mema.
@abasrich77933 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana Na Wimbo mzur .. From Usa River, Arusha