Mnanibariki sana. Hiyo dada mwenye mwanya awe anasimama mbele siku zote. Mungu awabariki
@JacklineAlbano7 ай бұрын
Am an Anglican but I love you songs.always throughly blessed by your songs guys.Mungu awabariki
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Barikiwa
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
You are welcome
@Josephine-u8l6 ай бұрын
Wow amen be blessed guys wonderful song ❤❤
@RodgersBundi-e6n4 ай бұрын
Mungu akubariki nawe pia Jackie na mungu hakuonekanie uingie katika nyumba yake ya ukweli kwa maana anasema ikumbuke siku ya sabato uitakase exodus 20:8
@nicksononkundi35683 ай бұрын
karibu
@gloriousnp7 ай бұрын
“Hata kama upo Katika kingo za mwisho”UJUMBE MZITO SANA HUU😢😢😢 Mimi na wewe hatuna tofauti na Yule mwizi pale msalabani , aliiona fursa na akaitumia vyema , haijalishi ni dakika ngapi umepata, TUSEME NA YESU KWA DHATI, na kwamwe hatotuacha Kama tulivyo. Asante sana SALASALA CHOIR 🙏🏿🙏🏿🇹🇿
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Barikiwa
@beatriceigba4023Ай бұрын
Amen, he's still the same God that we serve today, what he did in the past, he's still doing today ,he changeth not, Jesus the same yesterday ,today and forever , thank you brothers and sisters, and may God continue to use your voices to his glory ❤❤❤❤😊
@ombenigodfrey11825 ай бұрын
Jamani msiache kuimba hizo nyimbo zinatubariki Mungu awabariki kwa kutumia karama zenu vizuri
@DieudonnéMutamba-k4y6 күн бұрын
Kwa kweli wimbo ume ni bariki saana. Aliye tunga wimbo huu Mungu wa mbinguni amubariki na piya kwaya yote mubarikiwe.
@nellymnzava52777 ай бұрын
Barikiweni kwa hiyo confidence, ujumbe ktk wimbo, mpangilio wa sauti na mavazi vyote vinamtukuza Mungu wetu!
@charleswangwe57037 ай бұрын
AMEN
@NivekTz7 ай бұрын
Amini nakwambia leo utakua nami peponi🔥🔥 Best song is out now🔥🔥🎧
@theredemptionministerskenya7 ай бұрын
Amina.Ukipata nafasi ongea na Yesu hakika hautabaki kama ulivyokua
@ElizabethMhezi5 ай бұрын
Nabarikiwa sana ninaposikiliza nyimbo zenu.🙏🙏
@monicamueni59982 ай бұрын
Am Catholic but love your song God bless you
@maelezokitabwire88552 ай бұрын
If our songs bless you it is good.and we have the good word of God,try to visity some Sda churh near you you shall be blessed more than.we love you in Jesus Christ.
@danielarego8874Ай бұрын
Amen amen. Sema na Yesu kwa dhati. Hautabaki kama ulivyo. Mbarikiwe sana
@AbelLazaro-y4p2 сағат бұрын
Mungu awake maisha marefu,watu WA munguuu, nawapata vizuri Nikiwa Dr kariakoo
@gabrielsamweljr7 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥 mkumbuke kujiandaa na kambia Nyamongo central Sda Tunawasubilia ohooooo😂😂😂
@FlorencePaul-i7s5 ай бұрын
Nitakuja niwaone live...mimi nikiwa na stress nikisikiliza tu nyimbo zenu nabarikiwa😊
@ronnykham25434 ай бұрын
Wow!! Nice piece. Your sign language interpreter is such a blessed one, doing it passionately. Mungu awabariki🙏
@osrkevin69453 ай бұрын
Wow am short of words such a lovely item mungu awabariki sana salasala endeleza injili
@kyorubacentralsdachoir.11377 ай бұрын
Kuna ujumbe mtamu sana kwenye huu wimbo, Barikiweni sana kwa kutupa nyimbo tamu na zenye ujumbe mzuri.
@simanjiroanold63827 ай бұрын
Mimi ni mkatoliki lakni nawakubali sana Salasala mnajua sana Mungu azidi kuwainua mumtukuze ktk viwango vya juu zaidi
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Barikiwa
@toyotaqrcode7 ай бұрын
Naitwa Paul Malyosi , Nyie watu Mungu aendelee kuwatunza tu maana mnabariki walio wengi na tukumbuke tukipata nafasi tuongee na Mungu maana ni nyakati za mwisho sasa
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Barikiwa
@luckysichone67055 ай бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah be blessed sala sala
@winstonochenge23497 ай бұрын
This is a wonderful sermon. Salasala Mungu awabariki sana.
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Amen. Be blessed
@TheNashangaa7 ай бұрын
Naam, hii ni fursa tuinue sauti ya toba #Praise #Bwanaunikumbuke
@onikedavidelifuraha19026 ай бұрын
Nawapenda mpaka nawapenda tenahhhh!!!!! Bwana awabariki na kuwatunza salasalaaa
@joshuaaggrey91427 ай бұрын
Any time I listen to SALASALA Choir, I get inspired as SDA member in Ghana
@salasalasdachurchchoir43466 ай бұрын
Be blessed❤️
@Kipchumbaboaz73 ай бұрын
Mnaimba vyema sana napenda utunzi,ujumbe na muziki wenu Mungu awabariki sana tusonge mbele zaidi
MWALIMU HAKIKA ROHO MTAKATIFU ANAKUTUMIA SAWA SAWA ,,HATUNA CHA KUSEMA ZAIDI ...UNAJUA ...WIMBO MZURI SANA KASAHUNGA TUMEONA,,WAIMBAJI NAO NI HODARI ,,BWANA AWABARIKI SANA .
@Jedidja_IRANZI7 ай бұрын
Mbali kiwe sana ndugu zetu, love from Burundi
@antonymachogu30517 ай бұрын
Huu nao umeweza ujumbe umefika barikiwa saana,
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Amen
@FaustinaPhilimoni-wc4mc6 ай бұрын
Kwa kweli napenda sana nyimbo zenu zina nibarki hasa nikimuona dada rinah mbarikiwe
@rebeccaitssonicenyabonyi41406 ай бұрын
Amen, God gives you guys strength to praise God ❤❤❤
@obedmtesigwabwire10612 ай бұрын
Wimbo una ujumbe mzito sana mbarikiwe-waimbaji wote.by dr bwire WA NGURUKA.
@KeziaSamwely-so1cp2 ай бұрын
Mungu awabariki sana .....mnatubariki sana sana. Mfike mbaya
@veronicaonchuru2 ай бұрын
Nyimbo zenu ni tamu sana 🎉🎉🎉
@kennedyomburo5887Ай бұрын
Amen. Mubarikiwe sana kwa wimbo mtaamu.
@williammustdo6 ай бұрын
God doesn't call the Qualified for his mission spread but he makes them Qualified for his mission work,for sure God is great and this is such a powerful song,Ama kwa kweli ukipata nafasi ni muhimu sana kuchukua muda wako na kuwasiliana naye .God bless you all for his righteousness is great.🙏🙏🙏🫶🫶
@WashingtonOmondi-pr1lp7 ай бұрын
Ameeeen mbarikiwe salasala 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@enockomwoyo35267 ай бұрын
Waiting man
@eunicenyandiko13897 ай бұрын
Mbarikiwe Aminaaaa❤🎉🎉🎉🎉
@alvineolonde61547 ай бұрын
Salasala 🔥🔥🔥
@violetadhiambo29957 ай бұрын
Amen!🙏 A new favourite❤. God bless your ministry.
@NaomOngeri-i8q6 ай бұрын
The song is ablessing to me and my family 🎉🎉🎉
@marymhagama15977 ай бұрын
Kazi nzuri 🔥🔥
@dorismoraa94567 ай бұрын
Amen ame happy happy Sabbath lovely be blessed
@eximamtv9267 ай бұрын
Bwana awabariki sana watoto wa Mungu! Hakika nyinyi ni viombo vinanyosikika
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Amina barikiwa
@SolomonMokeira7 ай бұрын
Kazi nzuri kweli ndugu sosteni na kikundi kizima❤
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Barikiwa na Bwana
@sabatojacob96207 ай бұрын
Mungu aendelee kuwabariki team❤
@donalddonald457 ай бұрын
Amina Mungu awainue
@aliceakinyi23047 ай бұрын
Ninavyo penda huu wimbo Mungu tu ndio ajuaye..🥰🥰. asanteni sana Wana salasala Mwenyezi Mungu awabariki Kwa kazi safi🙏🙏
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Amen. Barikiwa pia
@YulianaAlbert4 ай бұрын
Mungu azidi kuwabarik Sana wapendwa
@kigwashopaulkigwasho81472 ай бұрын
Mungu awabariki Sana , salamu nyingi sana
@GraceMkula7 ай бұрын
May God bless you for the wonderful message ❤️❤️❤️
@LilianKemunto-hk6fv4 ай бұрын
Mnanibariki sana.amen
@enockomwoyo35267 ай бұрын
Natoka kazi mapema ju ya huu wimbo
@MkwajuniSdachoir-mv6te3 ай бұрын
Barikiweni sana watu wa MUNGU
@elilumbamkumbo16762 ай бұрын
Wow what a beautiful song be blessed ❤
@AngelinaHosea-y3w27 күн бұрын
Amina mnanibariki sana tuko pamoja
@rabbecahmuindi4384Ай бұрын
Awesome message. Nawapenda Sana
@verochazy39677 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@fredrickotieno39347 ай бұрын
God bless this choir I love the message in this song
@marionjons22882 ай бұрын
Alleluyah Ameeen God bless you all Ameeen ❤❤
@EliasanteOsward-r5n7 ай бұрын
Amin
@geofreyjoseph31907 ай бұрын
Wimbo wa maana sana dah!
@CharlesOgwenoOgweno7 ай бұрын
❤kweli nabarikiwa na nyimbozenu🎉🎉Mungu atukuzwe
@vanitete23997 ай бұрын
Mbarikiwe sana wana mfalme
@MeshackAtuti-dg6xv4 ай бұрын
Amazing song with incredible message ❤
@AllysonDevid7 ай бұрын
Waaaaaoooooo wimbo n mzri sana nawapenda sana salasala kwaya yangu pendwa
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Barikiwa
@barnabasagar40717 ай бұрын
Amen! Great song,with words of hope
@Godwin_Gideon7 ай бұрын
The programming for me❤
@willmoherai7 ай бұрын
Amina
@evaristgamba42047 ай бұрын
Amina amina Bwana apewe sifa ujumbe mzuri sana
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Great work of ours
@tivombodia21897 ай бұрын
Amen, wimbo wa kuinua mioyo. Mungu Azidi kuwabariki
@salasalasdachurchchoir43467 ай бұрын
Amen barikiwa sana
@Sunmonz2267 ай бұрын
Mwizi mwizi mwizi
@ruthstacey75767 ай бұрын
Amen.. Salasala to the world
@EsterKyando-c5c24 күн бұрын
Aminaaa kubwa mbarikiwe
@nyakundijoseph84217 ай бұрын
Amen 🙏 glory be to God,indeed have been nourished through your music, it blesses me alot. 🙏