MashaAllah zanzibar ilevokuwa mwanzo ilikuwa makka ndogo leo kila kona makanisa yametujaalia na wabara nchi imekuwa kama yatima wahamiaji kilakona
@mwatumsaidi51047 жыл бұрын
Mungu atuwekee utamaduni wetu wakizanzibari
@dodomikleni92997 жыл бұрын
ni kweli asemayo..yaani kama hatujaskia honi basi unajiuliza kunani...pia honi ikilia saa 12 na nusu jioni ama jua kukuchwa ni time ya watoto wote kuingia majumbani,na wengine ndo time ya kuelekea tuition au darsa za madrasa..
@idreamfoto7 жыл бұрын
Beatiful Island For Real.
@damariszuckschwert94897 жыл бұрын
Honi iendelee hadi Yesu atakaporudi, msiacha utamaduni huo kwa ajili ya teknolojia. Kila nchi ina tamaduni zao na hawajaziacha kwa sababu ya teknolojia. Swiss wanapiga mlio mkubwa wa saa kila lisaa nilipotimia usiku na mchana, na hawajaacha kwa vile kila mtu ana saa au simu zenye saa, pamoja na teknolojia nyingine zote walizokonazo.
@oopsm35747 жыл бұрын
Damaris Zuckschwert : wewe bangi, yesu imehusu nini na honi jinga kubwa.
@samsonmwijage53017 жыл бұрын
Zanzibar is a beautiful place to visit
@hammerQ9547 жыл бұрын
😊pia ndo watu pekee tunaomiliki magorofa yanayofanana na treni
@oopsm35747 жыл бұрын
Former east German yapo!!
@brisketkidari16237 жыл бұрын
msalaba mkubwa duniani kote
@saumujuma82173 жыл бұрын
Hahaha
@lilobooker20527 жыл бұрын
hio si honi ni IDUVI kwa kiswahili cha asili na ukisema honi ni neno la kizungu.
@naimaabdallah95076 жыл бұрын
Masha Allah
@MonicaMwoka2 ай бұрын
Yaani rais mwinyi ukiweza kujenga mpaka huko beaches du utapiga pesa mpska huko nungwi
@omarkhamis95147 жыл бұрын
Kila mji ambao ulikuwa chini ya wakoloni ina hivi ving'ora. Hata kuna mtaa hadi leo Mombasa unaitwa King'orani, na ving'ora vinaendelea na ukikisikia kulia ghafla basi ujuwe kuna hali ya hatari inajaribu kutangazwa.
@aliboikerfitness17944 жыл бұрын
Kitaa changu icho
@ahmedyoung73007 жыл бұрын
beautiful island
@FatmaothmanFatmaothman-ch5oi Жыл бұрын
Mmmh nyny watu hamujaacha tu kuisu mba Zanzibar hamuna jema nyny watu kila mtu na dini yake au mmekatazwa musimuabudu Allah kisa honi na makanisa
@oopsm35747 жыл бұрын
Inamaana mmekuja kutoka nje mmejifanya kuwa wenyewe basi rudini kwenu
@alihijiiddi89777 жыл бұрын
IKILIA HONI WATU WALIKUWA WANASIMAMA BADALA YA KUKAA KITAKO NI HESHIMA YA ZANZIBARI UKIWA HUSIMAMI POLISI WANAHAKI YA KUKUKAMATA NA KUSHITAKI KWA NINI HUKUSIMAMA ULIPOISIKIA HONI ULIZIA ZAIDI
@alihijiiddi89777 жыл бұрын
NA AKIPITA RAISI VILE VILE KUAMKIA KWA KUSIMAMA LAZIMA ILIKUWA HESHIMA NZURI SANA KWA RAISI WA HAKI SIO KAMA HUYU WA KUBAMIZA BAMIZA TU NA WATANGANYIKA KWA KUMTUMIA KWA KAZIZAO ZA KITUMWA TUMWA KIUKOLONI WA NCHI YAKE
@coogyelectrislabs7 жыл бұрын
millard hizoo honiii (VING'ORA) mpaka tangaa zipooo mbilii bandari na reli na sIKU ya mwakampya vinaliaaa pia kila saA moja na NUSU ASUBUH KILASIKUUU
@thabitmohamed87446 жыл бұрын
Kuhusu honi na kuingia kwa sala ya magharibi hivi vitu haviendani hiyo sio kweli ukweli ni kwamba honi ya magharibi inafata saa za sala sio sala inafata honi si kweli,
@nassorhilal98076 жыл бұрын
Kauli ya kwamba wao ni wenyewe,angalifafanunuwa "wenyewe "ni nani?.
@jmwalimutv51147 жыл бұрын
nikweliunayo yasema
@brisketkidari16237 жыл бұрын
zamani hata meli zikiondoka zilikuwa zinapiga honi na inaskika hadi michenzani ila sasa haziskiki