UTANGULIZI | NI NANI IMAM JAFFAR AL-BARZANJI? EP 1 | USTADH SAID SHIRAZY & USTADH SAAD AHMED

  Рет қаралды 6,131

Al Ihsaan TV

Al Ihsaan TV

Күн бұрын

Пікірлер: 114
@salimobeid1470
@salimobeid1470 11 ай бұрын
Asante sanaaaa nyie ni ahlu ilmu sio blaa blaa mungu atuwekee said wetu na shekhe zake wtee
@AbuuOthman
@AbuuOthman 11 ай бұрын
Sanaaa Hawa Jamaa Sio Watu Wa Mchezoo
@jemedarmohamed3644
@jemedarmohamed3644 11 ай бұрын
Mashaa Allah , maustadh wetu Allah awazidishie ilimu zaidi na zaidi ili tunufaike
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 11 ай бұрын
Asalaaam aleykum, Shekh ALLAH akuzidishie elimu wewe na sisi na sote tufe hali yakuwa ni waislam na waumini na Inshaa Allah Allah atulidhie na atujalie ni watu wa peponi.
@Mariam99-ld4gw
@Mariam99-ld4gw 11 ай бұрын
Mashall ah 😂❤❤mukimaliza barazanji tuleteeni uovu wa mawahabi maana wao wanaficha uovu wao inshall ah
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Hao watu wanatakiwa wachambuliwe waislamu wawafahamu ni akina nani hasa.
@mokitaa8750
@mokitaa8750 11 ай бұрын
MASHAALLAH ALLAH ALETE KHERI KWA KILA MUISLAMU MWENYE NIA NJEMA NA UISLAMU WAKE NA ATUUNGANISHE WAISLAMU WOTE DUNIA TUWE WAMOJA NA TUPENDANE SOTE NA TUKIFIKISHIANA TUFIKISHIANE KWA HEKMA NA KWA HESHMA NA KWA UPENDO NA ALLAH ATIE NURU NA MAELEWANO KWA UMMAT WA MUHAMMAD
@AbuuOthman
@AbuuOthman 11 ай бұрын
Maaa Shaaa ALLAAAH waalimu Wangu ALLAAAH awazidishie Afya njema umri Mrefu tuzidi nufaika nanyi inshaaa ALLAAAH
@FadyaMansoor
@FadyaMansoor 11 ай бұрын
ماشاء الله تبارك الله
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Kazi nzuri ustadh said Simba wa dariqaa n ustadh ahmed said. Allah awahifadhii
@salimobeid1470
@salimobeid1470 11 ай бұрын
Yani tuachene ubishi watu wa twariqa mungu kawapa fasaha mashallah
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 11 ай бұрын
Fasaha na aqida mbovu إن من البيان لسحر ata watu wa falsafa Wana fasaha na hilo sio hoja ya kua katika Haqqi
@salimobeid1470
@salimobeid1470 11 ай бұрын
@@abuurayaan3902 hayo mtayajua wenyewe sie tunasema hivo mnyie kaeni kwenye vipindi vyenu huko vya kulishwa matango pori na watto eti manowaita mashekhe hahhhaa bachu eti kawa shekhe muabasa Allahu akbar mawahabi wanavichekesho vikubwa sana kama sasa huyo bachu ndo ulamaaa wenu wanafunzi si ndo kaa wewe ulokua hujui haki wala batil
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Hadi saa hii niko dakika ya 10 na sioni ufafanuzi wa barzanji, sijui hio ufasaha umepata wapi
@iddimohamed254
@iddimohamed254 11 ай бұрын
Mi nashangaa watu wazima wamekaa wanatetea bidaa ,na mtume ashasema bidaa inapeleka watu Motoni...🤔🤔🤔
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Huelewi maana ya bidca
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 11 ай бұрын
Nawapenda kwa ajili ya ALLAH.
@hadiabdallah1567
@hadiabdallah1567 11 ай бұрын
Shukran sana mashk zetu, Allah awazidishie ilmu na taqwa. Mungu awahifadhi Al-Ihsaan
@IsmailiallyIsmaili
@IsmailiallyIsmaili 11 ай бұрын
Mashallah allah awalinde mau staz wetu
@abuuzainab8581
@abuuzainab8581 11 ай бұрын
Maa Shaa Allah
@mibsamswedi928
@mibsamswedi928 11 ай бұрын
Mashallah Barakallah Swalawaat
@Ahmadamaan2222
@Ahmadamaan2222 11 ай бұрын
ALLAH aitikie dua zenu kama nyinyi vipenzi vyetu mlivoitikia wito wetu BAARAKALLAHU FIKUM
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 11 ай бұрын
Maashaallah
@mchakhamis-fr5nc
@mchakhamis-fr5nc 11 ай бұрын
Mashaallah shekh said tuendeze hizi durusu wataelewa tu
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 10 ай бұрын
Haezi endelea
@abubakarbakari7042
@abubakarbakari7042 11 ай бұрын
Masha Allah Allah awahifadhi na kila balaa endeleeni kutuelimisha munafanya kazi mzuri
@MohammedSaid-tf5qc
@MohammedSaid-tf5qc 11 ай бұрын
Mashaallaah Allah akuzidishie Mashekh zetu tupo pamoja
@ahmedmohamed-zz8gk
@ahmedmohamed-zz8gk 11 ай бұрын
Mashaaallah very educating, mungu awabarikiii
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Ni nini educative na hio ni introduction tu, hata mambo ya barzanji hawajaguza
@rushu1232
@rushu1232 11 ай бұрын
Mashaallah Tabaraka Mwenyeezi Mngu awajazi kila la kheir vijana wadogo lakini mumefanya kazi kubwa sana mumetuondolea makero tliokua nayo.
@Ahmadamaan2222
@Ahmadamaan2222 11 ай бұрын
الحمد لله، نحمد الله كل قد بلغ ما تمنا
@BaburaIssa
@BaburaIssa 11 ай бұрын
Mashaallah nawapenda kwaajili ya Allah
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Ustadh Ahmad Mimi pia namshukuru Allah hakunifnya miongoni mawahabiii ....akanijalia mm niwe ahlu suanh .ahlu dariqaa
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 11 ай бұрын
Interesting. Sasa labda tutapata majibu.
@SaidKhalifa-x4o
@SaidKhalifa-x4o 11 ай бұрын
Mashallah
@mahatmohamed8392
@mahatmohamed8392 11 ай бұрын
Alhamdulillah tumepata kipindi ya kutueleza kuhusu barzanji. Naomba Al Ihsaan TV kipindi kiwe live nikimaanisha hapo hatujui ni ya kurecord ama ni vipi. Ili kuthibitisha kuwa kipindi ni live mutuekee nambari za simu hapo tuweze kuuliza maswali moja kwa moja ili tufaidike .
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Wallah elimu ni pana sana watu tusome tu mambo ya kujikamba nakujiona tunajua ni ujinga na upuizi kbsa
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 11 ай бұрын
Wekeni nafasi ya masuali tafadhalini. Wenzenu watupa nafasi ya maswali.Shukran
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Wahabii unataka kuleta vurugu kupitia smu mm najua ww n wahabii hutafutii haqii
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 11 ай бұрын
Hehehe mbona wanijaji shekhe? Alhamdulillah haqi iwazi na sababu nii hii ...Ndio nikayamua kuyawacha maulid.
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 10 ай бұрын
Hawana ujasiri huo akhy
@ustadhayub8733
@ustadhayub8733 11 ай бұрын
Hayyakumu llah
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 11 ай бұрын
Wekeni live questions tuulize.
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 11 ай бұрын
Daah hizi zama tunatakiwa kua makini sana haswa sisi tusiokua na elimu
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Ustdh ahmed uko swa eleza pia uovu ya mawahabii n atharii yao ambya kaitka uislamuu
@Biziman-pu4kf
@Biziman-pu4kf 11 ай бұрын
Mpaka duniya itakapokwisha hamtatutowa kosa lolotte Iyo shika😂😂😂😂
@allylassuh4947
@allylassuh4947 11 ай бұрын
​@@Biziman-pu4kfpole bro kasome mazishi ya ibn taymiyyah uone vituko kma hutaficha sura yako
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Mawahabii imejaa uovu nyingi. Tujiepushe n wao 😂😂
@Ahmad.ali1-r9o
@Ahmad.ali1-r9o 11 ай бұрын
مَنْ أَطَاعَنِي دَخَلَ الْجَنَّةَ، وَمَنْ عَصَانِي فَقَدْ أَبَى ‏
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 11 ай бұрын
Assalamu aleykum swali langu kwa sheikh said ni ittifaq ipi ya wanazuoni walojuzisha upijaji wa gita ama kinanda .... shukran
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Wacha upuzi wahabii hakuna mtu anapiga gita
@ahmadabdallah740
@ahmadabdallah740 11 ай бұрын
Alaa kwa hivo hujui sasa hahahaha kawaida ya mwatarika uongo kwenu c jambo zito sababu mwamsingizia mpaka mtume S.A.W. ​@osmanmanbile9327
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Wasomi tena vijana wamebahatika kumfahamu mtume s.a.w na kumjua Allah. Wametulia wapo vizuri?
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 11 ай бұрын
Vzr kuzidi kutueleza tukijue Ila masheikh zetu wa kiwahabi hawaezi kukubaliana na nyinyi ht mkiwa Sawa Ila sisi wafuasi wao tunaskiliza tujue xaidi ufafanuzi na tueze kuepusha midomo yetu kusema maovi kuhusu mwanachuoni
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Ndgu yangu leo ndo nimekutana na komenti ya wahabi nzuri kama hii sjawai kukutana nayo mara zote nimakejeli tu na matusi
@ABUU426
@ABUU426 11 ай бұрын
Hapana ndugu yangu,huyo si wahabi ,kwa sababu mawahabi hawakubali kuitwa mawahabi.
@rushu1232
@rushu1232 11 ай бұрын
Hiyo ndio taabu kubwa Sh.Barzanji ni Shariff na kutoka Sh.Mohd Abdulwahab aliwapiga masharifu na alwaua wengi ndio mpaka sasa hii vita zote ni kupingwa masharifu ndio kila jambo la masharifu lafanywa ni shirki.
@omar83ke
@omar83ke 11 ай бұрын
Mashallah kipindi kizuri lakini very short.
@AbuuOthman
@AbuuOthman 11 ай бұрын
Sanaaah ingawa Wenyewe Wamesema Wamerefusha Muda lakni Me Naona kama Muda Umekuwa Mdogo Sana'a kwa Namna Ya kipindi kilivyokuwa kitamu ALLAAAH atuwekee Masheikh zetu Na awalinde Na Mahasidi
@AbuuOthman
@AbuuOthman 11 ай бұрын
Sanaaah ingawa Wenyewe Wamesema Wamerefusha Muda lakni Me Naona kama Muda Umekuwa Mdogo Sana'a kwa Namna Ya kipindi kilivyokuwa kitamu ALLAAAH atuwekee Masheikh zetu Na awalinde Na Mahasidi
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Part 2 iko wapi? Tunataka kujuwa tafsiri sahihi ya maneno ya barzanji
@AliDaud-si3fg
@AliDaud-si3fg 10 ай бұрын
Hawawezi endelea
@abuuseifanaabdulqaadir1124
@abuuseifanaabdulqaadir1124 11 ай бұрын
SOMA HII AYA VIZURI انما حرم ربي الفواحش ما ظهر منها…….
@asalafiyahhussein7767
@asalafiyahhussein7767 11 ай бұрын
Allah awaongoze muache uzushi wa maulid. Sote ni kitu kimoja
@abuuzainab8581
@abuuzainab8581 11 ай бұрын
salamaaa
@rushu1232
@rushu1232 11 ай бұрын
Nawewe Mwenyeezi Mngu akupe ufahamu upate kujua haqqi na batwil.
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Peleka mapumbu yako huko uzishi unafikir hatuna elimu nalo wewe uje utufundishe apa
@abuushaymaajuma1211
@abuushaymaajuma1211 11 ай бұрын
Hao wahunitu
@irshadabuhafsi6585
@irshadabuhafsi6585 11 ай бұрын
Mumeacha sunnah za mtume mumeshikilia bidaa na ushirikina Allah awaongoze
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 11 ай бұрын
irshadabuhafsi nakuuliza Sunna zipi ambazo wewe wazijua ambazo watu wa Twariqa waziacha wakafwata Bida'a? Kwani huko kwenu hamuna Bida'a? Au Bida'a za kwenu ndio Sunna ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم kigawanyo cha Tauhid AL-ULUHIYYAH, AL-RUBUBIYYAH, AL-ASMA ' WA SWIFAT hii Sunna? Nakutahadharisha Mtume S.A.W maisha yake yote hakuwai kuita mtu Mushrik au kaafir au mnafiq. Mtume S.A.W asema ktk Hadithi yake عن حذيفة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : «إنَّ ما أَتَخوَّفُ عليكم رجلٌ قَرَأ القرآنَ حتى إذا رُئِيَتْ بَهْجتُه عليه، وكان رِدْئًا للإِسلام، غَيَّرَه إلى ما شاء الله، فانْسَلَخَ مِنْه ونَبَذَه وراءَ ظَهْرِه، وسَعَى على جاره بالسَّيف، ورمَاه بالشِّرك»، قال: قلتُ: يا نبيَّ الله، أيُّهما أوْلى بالشِّرك، المَرْمِي أم الرَّامي؟ قال: «بل الرَّامي». [حسن] - [رواه ابن حبان] yatafakari na uwache ushabiki fungua akili ya kutaka kujua Elimu musipelekwe kimbumbum
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 11 ай бұрын
Usufi Uongo ndo mwingi kuliko ukweli tulizofundisha na Mtume wetu Muhammad (s a w)
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Wewe kama huna cha kukomenti achana na hizi video za watu wa twariqa acha ujinga hatutaki ujinga hadithi gan wwe unaijua ambao sisi hatuijui wewe fala tu boyaa wee
@abuuseifanaabdulqaadir1124
@abuuseifanaabdulqaadir1124 11 ай бұрын
HIYO HAYA ABAWA UMEISOMA KWA NJIA YA HATARI SAAA YAKUPONDA
@Mohamedharith-wb4op
@Mohamedharith-wb4op 11 ай бұрын
Munafanya vizuri kueka kipindi cha barzanji Tulikua tuko na hamau sana...sababu tuko na maswali mengi sana
@RaslaniAbedy-qs8vd
@RaslaniAbedy-qs8vd 11 ай бұрын
Tarajieni urongo mwingi Sana kutoka kwa hawa jamaa
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Haya bas tufundishe wewe mwenye hasadi mpk unakonda usikute huna ata mwili umeisha kisa uhasidi wako pimbi wewe
@RaslaniAbedy-qs8vd
@RaslaniAbedy-qs8vd 11 ай бұрын
@@abubakarymaulidy5681 uliye konda www. Uliekuwa ukizungukia pilau la maulid sasa mfungu wasita umeisha pilau utakutana nalo mwakaniii 😂😂
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Kumwita Imamu kuwa muongo, mushriki ni katika mambo yanayo dhihirisha ujuha wa anaye sema. Mchwa hula miti mingi, ila kuna miti mingine ni migumu sana kwake, mti kama mkurungu, na kiini cha mti wa mninga, mchwa hujitahidi lakini hushindwa na kubaki na uchu wake.
@abuuseifanaabdulqaadir1124
@abuuseifanaabdulqaadir1124 11 ай бұрын
MTUME HAKUZIKWA MSIKITINI
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Mawahabii musilete vurugun hapa ss tunatka faida bachu aliishi akisema barzanjii n muongo n mushrik lkn siku y niqasha akasema hamjadili mtu akapewa nafasi ngine kua altet dalai y kua haya maneneo n muongo akashindwa badye akatiroka sabaubu yule mtu alikua akiongea rai yke siku ya naiqash mjdla ilikua y kieleimu n yy hana elimu😂😂
@BTV_ONLINE_CHANNEL
@BTV_ONLINE_CHANNEL 11 ай бұрын
Wewe osman wacha ushoga, mjadala hujaangalia pekeako, na baada ya mjadala pia tumeskia kila kitubalichosema bachu, ametowa vitabu vinavosema hadithi munkar huitwa kuwa ni uongo, na akasema kuwa hajadili kuhusu mtu, sasa hawa mashega wenu waambieni waeke kipindi Chao live tupige simu uone kama watajabu maswali, watuambie ninani aliesema kuwa hadithi munkar huitwa kuwa ni ukweli?
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
@@BTV_ONLINE_CHANNEL atii hathit munkar hitwa uwongu hyo Rai y bachu mbn siku ya niqash hakusema hvyo anasema baadye ya niqash chumvni peke yke hakuna mtu anamkoseoa kama wajiiamn muwambiye bachu arudi mezanii asharazwe tena
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 11 ай бұрын
الإسناد من الدين ..... Dini ni silsila na lazma uwe na sheikh....wa kukuongoza
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl 11 ай бұрын
Wasufi wa kishia wanatafuta kiki Kwa sheikh Muhammad bachu .Masafi acheni hasad na chuki .
@mohagurey2214
@mohagurey2214 11 ай бұрын
Mtu anajivunia kuwa katika vikundi, kisha vp jina ni kikurdi na shehe ni wa Saudia?
@OsmanAli-zb3tu
@OsmanAli-zb3tu 11 ай бұрын
Elezeeni pia uovu WA uliwati
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Kuwa na akili ya kueleqa lengo kuu la hichi kipindi kwn hakuna mashkhe wanaeleza wengi tu apa ni ufaham sahihi wa albarzanji tunafundhshwa usahihi wake
@abdiabdu7179
@abdiabdu7179 11 ай бұрын
Chuma hiko kiboko ya bachu
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI 11 ай бұрын
😂😂😂😂munapata tabu
@MuhidiniNassor
@MuhidiniNassor 11 ай бұрын
Anopata tabu hajarudi Zanzibar anasoma kenyaaaaa
@sharifuburuhani1969
@sharifuburuhani1969 11 ай бұрын
Naam hii iwe endelevu ili watu waliolishwa propaganda sana juu ya MAULID wafahamu
@hajjhassan7099
@hajjhassan7099 11 ай бұрын
Wachenini n watu mufunze vle salafiyah bachu amefunza bna wanyama wazungumze n mufafanue vzri
@iddimohamed254
@iddimohamed254 11 ай бұрын
Tunajua alikua mwanachuoni bt ata mwanachuoni anaeza kosea...mpende msipende
@osmanmanbile9327
@osmanmanbile9327 11 ай бұрын
Mawanchuini anaweza.kosea.lkni Yale ninyi munaona n makaosa siyo makosa Kwa uchache wa elimu zenu na machukin zenu mawahbii
@allylassuh4947
@allylassuh4947 11 ай бұрын
​@@osmanmanbile9327hakika kaka unaweza ona mtu amekosea kumbe ni fahamu yako ina maradhi ndg zetu wakiwahabi elimu yao finyu kabisa
@abubakarymaulidy5681
@abubakarymaulidy5681 11 ай бұрын
Aya eleza makosa yako wewe jahili usiye weza kutunga kitabu ata cha mustari mmoja unamkosa mufti wa mkkah wakati .wake
@iddimohamed254
@iddimohamed254 11 ай бұрын
@@abubakarymaulidy5681 alfarooq pia alikosea akarekebiswa so,barzanji pia inawezekana acheni ujinga matwarika tumieni hadhithi sahihi,mtapotea..
@ahmedmalau1791
@ahmedmalau1791 11 ай бұрын
Waswahili wasema ,msema pweke huwa ni kweli .yani hamukueza kututhibitishia wakati wa munaqasha sai mwatueleza kipi hasa cha faida hapo.failure amfundisha failure hamna natija yoyote.
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 11 ай бұрын
Akili huna aliekimbia mnaqasha ni nani?
@azizisingi7068
@azizisingi7068 11 ай бұрын
Allaah awarehemu na awajaze kheri nyingi nyingi allaaah atupe mwisho mwema.
@OsmanAli-zb3tu
@OsmanAli-zb3tu 11 ай бұрын
Acheni kumjadili bachu Kwa sababu ye hawajadili nyinyi tunalotaka kujua ni alioko kwenye barzanji ni ya ukweli ama ni YA uwongo na hadith mulikubali wenyewe kuwa ni munkar sasa twataka kujua hadith munkar yatumika au haitumiki Kwa mujibu WA wanazuoni?
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 11 ай бұрын
@@OsmanAli-zb3tu na sisi tunataka dalili kuwa Hadith ikiwa munkar huitwa maneno ya uongo
@OsmanAli-zb3tu
@OsmanAli-zb3tu 11 ай бұрын
Hayo ni maswali ya kusondwa kutoka mambrui
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 52 МЛН
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 6 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 9 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН
ผศ. มัสลัน มาหะมะ TAHU DUNIA
55:50
Tahu dunia
Рет қаралды 2,7 М.
RAMAI ORANG TERTIPU!! DR MAZA JUMPA SEORANG USTAZ PENIPU DIMAKKAH
15:08
DR.SULLE SHEIKH SHAFI NA SHK.OTHMAN MICHAEL WALIVYO MSHAMBULIA PASTA NDACHA
27:37
Ust Izz al-Qadiri: Perbezaan AsyMat Hanya Sedikit Dan Sekadar Lafzi (Benarkah?)
29:28
Hafiz Firdaus Bin Abdullah
Рет қаралды 9 М.
BARZANJ. Mfahamu sheikh JAFAR Al BARZANJ mtunzi wa kitabu cha maulid ya barzanj
11:39
FIKRATUL MUHIBB ONLINE TV
Рет қаралды 16 М.
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 52 МЛН