Makosa ni mengi anayetangaza haruhusiwi kuchungulia ovyooo kabisaaa tuendeleee Kujifunza
@Sean18773 ай бұрын
Poor and disorganized awards, rehearsals, planning and coordination is crucial 🇹🇿🇹🇿
@uwezokinahi78703 ай бұрын
Tumeaibika sana Hapa
@kulyaboyforex43 ай бұрын
Mbuziiiiiiiiiiiii🎉
@verickkabyemela16913 ай бұрын
Hakuna TUZO mbovu kama za mwaka huu kuanzia huandaaji hadi wawasilishaji wa tuzo plz kuweni serious tunaangariwa na watu wengi duniani
@sumairahjohn-jt4qy2 ай бұрын
Kabisa maana mwanamziki bora wa kike wanampa zuchu kweli
@mesasaid-kj3nq3 ай бұрын
Watanzania everybody is watching not luking dadeki😊
@ALLCONTENTSRECAP3 ай бұрын
Wew ndio umekariri vbaya hajamaanisha ya kutazama.. everybody is looking at us.. means MACHO yote yapo kwetu kwahyo anasisitiza watu wabehave.. still right😊
@davidmarik46333 ай бұрын
Mambo wa kubwa heshima yenu😂😂😂
@DavidMbwilo-qk1bz3 ай бұрын
Bado tuko nyuma kwenye teknolojia yaan bado sana
@sophiakimaro51743 ай бұрын
Iv kweli walikosa watu wa maana wa kusherehesha watu wamepoa kama viporo kweli?
@Igauf32 ай бұрын
It was dumpster fire 🔥
@JewsJews-c8w3 ай бұрын
Where is song where is nominee's.,mbona bado ni uswahili
@bestianomsafi82813 ай бұрын
Toxic is the best
@USWAZITVONLINE3 ай бұрын
Kwani hawakujiandaa? Issue kama Tuzo jambo kubwa mambo yanaenda hovyohovyo mpaka aibu
@kidyking2543 ай бұрын
nominees hatujawaona
@saidmohd19753 ай бұрын
Iv toxic yuko wapi mpaka anashinda uyu chiz
@mgendijr73803 ай бұрын
Aisee,poor presentation of the awards,..kwan hamkufanya rehearsal Presenters mmefanya awards night uwe boring
@SantosJayval-o1l3 ай бұрын
Kila mtu anakosoa mmesahau kam kuna miaka zilikua hazipo kabisa na hapakuwa na chakukosoa kuandaa vitu kam hiv sio kupika maandaz vinaitaj muda,fedha na watu so jaribun kuheshim juhud za watu.kaz nzur basata
@heartmanbreven71862 ай бұрын
Kama kipaimara
@Noufal_25-s6d3 ай бұрын
Hii tunzo alipaswa apewe toxic
@MartinMchovu3 ай бұрын
Iddris Kila time anavibe
@Kichacani3 ай бұрын
Even the presentation was “stupid” Imagine this is broadcasted around by MTV and BET or something.
@mugapro3 ай бұрын
Hizi zilikuwa awards au standup sijui nini, comedy sio comedy, Taka taka sio taka taka, yani ujinga ulikuwa mwingi
@ZaynabAlly-n8d2 ай бұрын
Upumbavu upumbavu Yan tafran😅😅😅😅
@BarakatuTravella3 ай бұрын
Watangazaj weng ujui umsklze nan
@JninjaH2R3 ай бұрын
😂😂😂😂
@CharlesKioko-e7m3 ай бұрын
Ebukwanza mkue naheshima af mkue organized stop making a lot of miner mistakes and Ur saying the wards is being "looked"in steed of being watched...internationally
@michaelepictv3 ай бұрын
Its minor not miner
@platotaurus23013 ай бұрын
Hizi tuzo ni AIBU kubwa sana kmmmk. Yaan usenge mtupu
@goodluckmichael34923 ай бұрын
Ni usenge na uchoko mamae
@platotaurus23013 ай бұрын
@@goodluckmichael3492 Aibu tupu mwanangu. Tunajichoresha na kujiaibisha tu kama Taifa kmmmk. Sasa imagine hapo tena Idris anaanza Kumdish Khaligraph like that yan mbele ya umati mixer kuiponda Kenya yaan very Unprofessional kmmmk. Hizi tuzo bora zingefutwa tu.
@limbomambo97283 ай бұрын
Tuzo zaki puuuziiiiii poor organisation
@limbomambo97283 ай бұрын
Wapo na upuuzi mtupu hawa watu utopolo mtupu
@limbomambo97283 ай бұрын
Kumbavuzenu
@agreymlaki74933 ай бұрын
Very poor presentation
@sylvestersanawa403 ай бұрын
Hao watu wengi hivyo huwa wanafuata nn hapo mbele?