No video

UTAPELI WA MA AGENT WA SAFARI ZA ULAYA | NILIKUJA POLAND KUSOMA | MAHUSIANO SIO MTAJI

  Рет қаралды 10,187

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Maggy ameeleza safari ya maisha yake kutoka Tanzania akiwa ni mwanasheria mpaka kufika Poland kwa lengo la kujiendeleza kielimu.
Amepata kazi na mahusiano na kuamua kuishi Poland.
Ameeleza kuhusu fursa za kazi za kimataifa na namna ya kupata kazi hizo.
Unaweza jifunza yote hayo kupitia KZbin Channel yake @maggy diary
Thank you Maggy for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 64
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
KZbin channel: Maggy diary Instagram: Maggy.diary Utapata kujifunza namna ya kuomba chuo Poland, scholarship, namna ya kupata kazi Poland, mahusiano na enjoy lifestyle yake.
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
Mbona siipati KZbin channel ya Maggy diary? Please help
@Mimi.Official
@Mimi.Official 2 ай бұрын
Hata mimi ​@@homeandaway2811
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 2 ай бұрын
Maggie una bahati mshukuru Mungu. Wazungu wanaume wako very shy kum approach mwanamke. Kwanza wanaogopa kutokubaliwa. Huyo ni Mpolo wa aina yake mshukuru Mungu.
@flavianakanga4726
@flavianakanga4726 2 ай бұрын
Sheena kupata KZbin ya huyu dada ni ngumu pls
@Aziza-gv8tm
@Aziza-gv8tm 2 ай бұрын
❤❤❤
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 2 ай бұрын
Gratulacje Maggy kwa hatua. Nakupongeza.Mimi pia ni matunda ya Warsaw Universty. Nilipomaliza nilifundisha hapo hapo Warsawa University. Kuna Watanzania wengi tu bado wapo hapo ukiwa na tatizo lolote tutafutane. Kwa kupitia Shena nitampa number yangu.Pia waambie ambao hawana kazi wa apply Amazon. Poland kuna Amazon nyingi zimefunguliwa na Wanafunzi wanaruhusiwa kufanya kazi. Process za Amazon ninaweza kuwasaidia pia.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza mengi +4367764790884
@NyotaYao
@NyotaYao 2 ай бұрын
Naweza kukupataje Annamaria.?
@maryammrembe345
@maryammrembe345 Ай бұрын
Naomba contact zako annamaria
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
Hongera sana mdada mzuri kwa kuweza kusaka info mwenyewe. Ila agents ni lazima waweke cha juu, ndio SERVICE FEE nao wanasaka ugali wao. Watu wengi sana sana hawajui kutafuta info, Labda kusaidia wengine unaweza pia tengeneza videos kuonyesha watu namna ya kusaka basic information mitandaoni.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Subscribe kwa KZbin Channel yake utapata Info : Maggy diary
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistancenimeisaka channel siipati
@maggydiary
@maggydiary 2 ай бұрын
Kabisa
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 ай бұрын
Hongera dear Kwa kupata familia nzuri yenye kujali na kuonyesha upendo dhidi yako
@JessicaAllen-ce3ok
@JessicaAllen-ce3ok Ай бұрын
Nimeipenda hii interview, naomba nimcheck maana naumiza kichwa sanaa
@maryammrembe345
@maryammrembe345 Ай бұрын
Me too yaani
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 ай бұрын
Hongera sana Maggy. Umeelimisha kisomi vizuri sana. Keep it up.
@Its_Goodluck
@Its_Goodluck 2 ай бұрын
Safi sana dada Shena,interview nzuri
@pmpaga1063
@pmpaga1063 2 ай бұрын
Eeeey mie huyo Poland 🇵🇱 ♥️ 🏃‍♀️🏃‍♀️
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 ай бұрын
Ndo maana bongo elimu ni ngumu walimu wengi ni wavivu na hawana roho nzuri mishahara midogo zero
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 ай бұрын
Ukitaka chuo tafuta Mwenyewe jamani ,Mimi nimepata chuo Australia Kwa kutafuta alone bila hata agent,tuingie mtandaoni tufanye research
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
Hongera sana, Karibu sana kwa kipindi uwafungue wengine +4367764790884
@priscasimsonga
@priscasimsonga 2 ай бұрын
Sorry, naomba unielekeze nimetafuta sana vyuo lakin nashindwa jinsi ya kuomb Naomba msaada wa kunielekeza
@maryammrembe345
@maryammrembe345 Ай бұрын
Nahtaji kusoma australia naomba contact Zako dear
@samniza1763
@samniza1763 2 ай бұрын
Very good question? Wengi tu wamekua wakisema hivyo ooh! Kuna agent anapeleka watu poland.
@von-zs4rw
@von-zs4rw 2 ай бұрын
Anaongea kisomi sana hadi raha
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 ай бұрын
Sana yani mnoo, ndio mana ya elimu hii inafungua upeo wa kufikiri. Huyu ndio wale beauty with brains ❤
@CatherineNyange-ku7yk
@CatherineNyange-ku7yk Ай бұрын
For sure I like the story
@ashafaulkner
@ashafaulkner 2 ай бұрын
Hongera
@valentinemulokozi510
@valentinemulokozi510 2 ай бұрын
Maggy diary haipatikani.
@samniza1763
@samniza1763 2 ай бұрын
Probably is Meggy.
@samniza1763
@samniza1763 2 ай бұрын
Nimeshaacha hizo story za michango baada ya kuichanga sana tu.
@zidatv1122
@zidatv1122 2 ай бұрын
Ugumu wa kupika afrika ni mazingira ya jiko, mwanaume uanze kukoreza jiko la mkaa ni ngumu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 2 ай бұрын
😂😂 Kwa hiyo inakuwa rahisi kwa mwanamke kukoleza mkaa? Wanunulieni gas basi kuwarahisishia.
@zidatv1122
@zidatv1122 2 ай бұрын
Sio kwamba huwa hatupendi ,mazingira tu ulaya wanafua kwa mashine wanaosha vyombo na mashine bado huoni tofauti
@Robert-b2t
@Robert-b2t 16 күн бұрын
❤❤❤
@hedayamohammed2781
@hedayamohammed2781 Ай бұрын
@SipeKato
@SipeKato 2 ай бұрын
Kweli unaongea vizuri
@deuskusaga8156
@deuskusaga8156 2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 ай бұрын
Mimi huwa najiuliza mbona maisha ya uko yapo juu na elimu ni bure apo inakuwaje?
@evanswekesa5372
@evanswekesa5372 2 ай бұрын
Wanatozwa ushuru mkubwa mno, hivo hio ushuru inagharamikia masomo
@Terryhermajesty
@Terryhermajesty 2 ай бұрын
Elimu ni bure kwa shule za msingi, secondary kuna kiwango kidogo mnalipia na vyuo mnalipia sio bure. Na hiyo bure sio kwamba hakuna gharama zozote, kuna gharama kidogo mnalipia kama chakula nakadhalika.
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 2 ай бұрын
Dada Shena, ninakukubali kazi yako kwa jamii. Hapa sipendi niongee mengi, ni mzee miaka yakutosha, nina maoni yangu natamani ningekupata kwa WhatsApp. Je, wapatikana vipi. Yahusu zaidi maelezo ya dada huyu aliyepo Poland.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 2 ай бұрын
+4367764790884
@themanofgod7562
@themanofgod7562 2 ай бұрын
Kikubwa Kila Jamii ziishi Kwenye tamaduni zake.
@mariambakari8065
@mariambakari8065 Ай бұрын
Hasante shena kwakutuletea watu ambao sio wachoyo wa elimu nimempenda maggy ameongea kwa uwazi
@user-jh3mz5hc7j
@user-jh3mz5hc7j 2 ай бұрын
Hiyo michango dadangu
@maggydiary
@maggydiary 2 ай бұрын
Ni shida
@maggydiary
@maggydiary 2 ай бұрын
Asante Shena kwa interview nzuri
@ericfelician7996
@ericfelician7996 2 ай бұрын
Ma agent ni wauni wengi
@maggydiary
@maggydiary 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd 2 ай бұрын
Wahoooo
@Wondersshallneverend-
@Wondersshallneverend- 2 ай бұрын
Kua na fadhila na useme ukweli ulisaidiwa na mTanzania.
@SuzanMkeyenge
@SuzanMkeyenge 2 ай бұрын
Mbona unaongea kingeleza sana sisi atukuelewi ongea kiswahili
@ngwakamongateko8696
@ngwakamongateko8696 2 ай бұрын
Wewe ndo usome English
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 Ай бұрын
@@ngwakamongateko8696 utasoma kwa siku moja uelewe siyo jibu hilo yeye nimtanzania aongee kiswahili lugha yetu mama kwenda ulaya siyo kujisahaulisha lugha yako
@neemaseiler1122
@neemaseiler1122 11 күн бұрын
Wewe ht ulaya hufiki😢
@gracemahugi4380
@gracemahugi4380 11 күн бұрын
@@neemaseiler1122 ulaya nimbinguni kwanini hamtaki kuambiwa ongea kiswahili ndiyo wewe si nimtanzania ongea watu wakuelewe siyo kutishia watu eti ulaya huwezi fika wewe ndiyo mwamuzi wamaisha yake au ulaya wako wasomi tu???
@JessicaAllen-ce3ok
@JessicaAllen-ce3ok Ай бұрын
Nimeipenda hii interview, naomba nimcheck maana naumiza kichwa sanaa
MIMI NI MWALIMU ALASKA | CHANGAMOTO ZA KUISHI NCHI ILIYOZUNGUKWA NA BARAFU
1:04:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 17 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 70 МЛН
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 22 МЛН
TULIISHI MIAKA MITANO TUKAACHANA | NILIKUA NAMILIKI KAMPUNI YA UTALII | MAISHA YA SERBIA
55:41
SISHIKIKI "NAPENDA WANAUME WAZEE KUANZIA MIAKA 50, VIJANA SIWATAKI"
13:14