SEMA Morogoro ni mji uliojaa ushirikina sana Bila Mungu uvuki mjii huu si kifamilia kiuchumi ata kiafya huu uji auna maendeleo pole mama
@ablashaffy28605 күн бұрын
Wew unaongelea kilombero labda
@magejay47155 күн бұрын
@ablashaffy2860 kilombero Kuna ayo Mambo sana au mie kwa ninavoona huu mji unamuitaji Mungu sana sababu mikwamo ni mingi sana
@TausiMokiwa11 күн бұрын
Kwani shida iko wapi hebu mlizisheni huyo mama kufiwa sikia kwajilan tu usiombe yakukute jaman
@FatimaAli-of4gh11 күн бұрын
Itakuwa kachanganyikiwa tu msiba usikie kwa jirani tu omba usikukute ingawa tumeumbiwa sisi😢😢😢😢
@Catty-e7o11 күн бұрын
Wacha wa mpeleke ajiridhishe Mungu mtetee
@bhokesaid326411 күн бұрын
Kabisaaaa
@LamaribamJumbe11 күн бұрын
Kabisa Wamlizishe Bi Mkubwa Mambo Mengine Yaendelee
@NaomiSanga-p5y11 күн бұрын
Ila kweli wangempeleka kanisani alizike mama ana uchungu mkubwa sana
@fettyrashid904211 күн бұрын
Mmmmmmmhhhh sina chakuandika ngoja tumuachie Mungu 🙏
@femidayahaya929311 күн бұрын
kifo kickie tu kwa mwenzio ucombe kikukute tena hasa ikiwa ni mama kupoteza mtoto na co mtoto kupoteza mama...weee huu mziki ucombe kuucheza 😢😢😢😢😢
@ROZITHOMAS-y4q10 күн бұрын
Wamwache mama ampeleke kanisani hii dunia ni mbaya sana
@JoyceSelemani11 күн бұрын
Ambao halijawahi wakuta hawatamuelewa hyu mama Me baba ang kafark mwaka jana bado siamin had huwa na Google jins ya kumfufua m2 nyie achen2 Mungu akupe wepes mamang
@AmelitaKadudu11 күн бұрын
Yaan naelewa hii Hali kumbe c Mimi tu 😭
@JoyceSelemani11 күн бұрын
@@AmelitaKadudu 💔😭
@Goodness68311 күн бұрын
Pole mwaya
@JoyceLuhasha11 күн бұрын
Pole sana
@JoyceSelemani11 күн бұрын
@@Goodness683 Asant
@HanifaOman-oo4pl11 күн бұрын
Pole sana mama uchungu uwo unapelwkea kuongea hayoyote naiimani. Inyewe ya mkonowakusho mtihani sana.Mungu ampe subra. Kwakufufuka. Haiwezekani.
@rerisamba10 күн бұрын
Pole sana mama ulikua usitangaza msiba ungeita waombaji wakaja hapa wakamuita
@ShabanMainde10 күн бұрын
.😅
@ilakozasembumende197511 күн бұрын
Masikini😢😢😢😢😢😢 ndini hizi jamani zinawapa watu mangonjwa ya akiri😭😭🥱🥱🥱😭😭😭😭😭
@reginamlay526311 күн бұрын
Mwacheni apelekwe kanisani mama ajiridhishe kwani ni uchungu umemzidia mama haamini mwanae kamwacha
@SharonShibalia11 күн бұрын
Mama haamini amechanganyikiwa jamani
@MariyimJumanin11 күн бұрын
Kabisa
@RosemaryMalya11 күн бұрын
Kweli kabisa Mungu amtie vguvu😢😢😢
@gladnesswazir-zz9lk8 күн бұрын
Daah pole sana mamayng mama amechanganyikiwa jamani mridhishen tuu basi baadae atapokea hali😭😭😭🤲🙏
@sophianyemele77156 күн бұрын
Mama Kapata tatizo hayupo sawa kachanganyikiwa
@Aziza-w5h4z11 күн бұрын
Duncan imefika mwisho tutaona mengì😢😢😢
@joycekalago5329 күн бұрын
Mama amechanganyikiwabkwa maumivu Mungu amsaidie tu mwanae azikwe hakuna namna nyingine😢😢
@divahairshow764611 күн бұрын
Jaman Irene... RIP mamaaa
@ZulfaMohamed-sx1it9 күн бұрын
Atakuwa sio mzima kichwani mama
@ariphkimani379010 күн бұрын
Hiyu ni arch bishop
@candyboniface349311 күн бұрын
Huyo mama Toka Jana niliskia hakuwa sawa kuwa aliamini mwanae hajafa na aligoma hata kwnd hosp kuona mwili so tusimlaumu kufiwa sio kitu rahisi na binti yake wa pekee inaumiza sana na watt wenyewe ndo hao tu 2 walikuwa lazima aumie sana tumuombee tu kwa kweli naamini yataisha salama
@Maya-bm9bu11 күн бұрын
Harikaa 😃
@MamuKemal-z3d11 күн бұрын
Harikaaa avaee
@mariambwambo988511 күн бұрын
Ni ndimaa avae
@gililwise11 күн бұрын
Shigha du hii ni ndima
@Maya-bm9bu11 күн бұрын
@@gililwise😄😄😄😄
@Yana_queen111 күн бұрын
Sa si mumkubalie tu ..mwacheni ajiridhishe
@AminaLibisa11 күн бұрын
Yote kwa yote mpelekeni kanisani akifufuka tunaomba na bsba yetu magu wetu mfufueni kwa imani yenu please 🙏
@AmelitaKadudu11 күн бұрын
😅😅
@HaniffaOmary-v5r11 күн бұрын
Namuelewa sana yani hamiini kabisaa
@zaitunimasangula466811 күн бұрын
Duh na kweli .Bibblia ilishajionea mengi "watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa"...."Enyi wagaratia mliopotea ni nani aliyewaloga?😢
@japhetnjovu85311 күн бұрын
Mbona biblia hiyo hiyo ndiyo imeandikwa watu wanaweza mukufuliwa kwa maombi Acha mawazo mgando
@JanethKisuda11 күн бұрын
Ww u ajua kufiwa ww nyau ww
@Ambwene11 күн бұрын
Kawaloga mamaako mbwa wewe
@merrynancesimon15628 күн бұрын
Anahaki huyu mama roho ya mtoto ni mama tusiwahi kukimbilia kuzika Kwani wengine wanawekwa misukule
@IlyasaJuma-cc3ee11 күн бұрын
Mamae huyu mama😅😅😅
@tupegigwensajigwa262911 күн бұрын
Eee MUNGU msaidie mama huyu najua anapitia nini maana kiatu chake nakijua ila wapo wa kudhihaki
@SabihaibrahimRajabu11 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂mama kafiliwa anauchungu na huyu mpotoshaji anamzidisha maumivu makubwa
@SwaumChawage11 күн бұрын
Kwaiy knacho kufrahsha nn mwenze 2
@SabihaibrahimRajabu11 күн бұрын
Namcheka huyo mfufuaji wakati yeye kazika watu wengi kwenye familia yake halafu anataka kumuibia huyo mama
Ni kama amechanganyikiwa haamini kama mwanae amekufa kweli
@mussaelias353511 күн бұрын
Ww mchungaji ndiyo unachangia vurugu kwenye hiyo family
@celinamosha942011 күн бұрын
Kachanganyikiwa mama
@Zuwenamchuzi11 күн бұрын
Kwani shida ikoap mperekeni
@magdalenasirikwa5179 күн бұрын
Si apelekwe kanisani?
@Andres-qt6kp11 күн бұрын
Tatizo la afya ya akili ni kubwa sana Mungu angilie tu
@bibitogo778911 күн бұрын
Subuhanallah😢😢
@dayana5513story11 күн бұрын
Makanisa ya siku izi jamani
@rahema90711 күн бұрын
Nyinyi humjui maybe kuna siri ya uchawi kwa hii familia pengine anahisi kachukuliwa msekule
@pendo808211 күн бұрын
Labda
@Yana_queen111 күн бұрын
Kbs
@liberatharichard455611 күн бұрын
Nalo neno
@dorissmrosso74209 күн бұрын
Mama Kuna kitu anawasiwasi kimefanyika. Na kwanini baba ndio anakataa .
@AshuuuBakari10 күн бұрын
Mimi nasema tu wangemsikiliza mama wampeoeke wamuombee wakiona hafufuki basi azikwe atakujaga kufufuka baadae. Na hizo kanisa za kilokole nawaohaga wengi sana kama machizi yaaani wao kanisa wanaoha kila kitu
@faudhiasalum727911 күн бұрын
😢😢😢😢Pole sana mama
@magdalenasirikwa5179 күн бұрын
apelekwe kanisani
@marcynhumbi353411 күн бұрын
Mpelekeni jmn kanisani tuone kama atafufuka
@HadijaOman11 күн бұрын
Mmmh
@HaniffaOmary-v5r11 күн бұрын
Mchungaji siku hizi ukifa umekufa haufufuki kabisaaa mpumzisheni tuu apumzike na anamani
@LeoniaLyimo11 күн бұрын
Kwa nini wanaandikia mate wakati wino upo. Wampeleke asipomfufua atajua mama na mchungaji wake.😂😂😂😂😂
@sofitanzanian95511 күн бұрын
Masikini mama kama kachanganyikiwa
@EstarPoul-e6u11 күн бұрын
Wangempeleka uyo alizike maana inaonekana ajaamin kilichotokea baada ya apo wakazike
@Jamila-c7k11 күн бұрын
Muachemi jamani inauma
@Pentecost59811 күн бұрын
Sasa unuitaje marehemu wakati mnaamini atafufuka?😮😮😮😮
@DottoCharles-j9j11 күн бұрын
Kufiwa kusikie kwa jilani tu ,utaweza kutafuta hata gaun zuri la kuvaa ,lakini yakikukuta looo
@gilliardgodfriend574511 күн бұрын
Mchapeni fimbo huyu😢😢😢😢😢 au kelbu nzito😊
@Jimmywampinda8 күн бұрын
Dah
@HalimaMayunga11 күн бұрын
Tatizo la ugonjwa wa Akili
@yukundapeter820011 күн бұрын
Jamani Wapendwa! Kufiwa inauma mpaka kwenye maini,yaani unaita baba ili afufuke,uchungu utaisha baadae.
@mwitaagness45511 күн бұрын
Achaaa, mpk Leo kaka angu WA damu alinifilia mikinoni, huwa naamini walimzika mzima, msiba usikie kwa jiran jamani😢😢😢
@Maya-bm9bu11 күн бұрын
Atiiiii atafanya nini??? Mchungaj tuache bana 😢! Kaanze na wale wa mochwari kwanz
@janengowi-lt9gu11 күн бұрын
Kwani mngemuacha ampeleke kanisani wafanye maombi akiona imeshindikana atazika mtoto wake kufiwa jamani kusikieni tu huyu mama bado hajaamini
@Jacklinejohn711 күн бұрын
Mtu ingekuwa anakufa nakufuguka mbona ndugu wazazi wetu wote tungekuwa nao mpaka leo hio imani hakuna bwana 😢😢 acheni mambo yenu wee ndugu zako walio kufa umeweza kuwa fufua kwann msimfufue huyo dorikas
@IsaackKileo11 күн бұрын
Huyo mama ana utahira kichwani alafu mm namtamani huyoo, chizi kweli maiti ikaombewe ifufuke?? Kweliiii
@Salomeigigo11 күн бұрын
Kaka uliwahi kufiwa mtu waumuhimu kwako?? Kufiwa mtoto kusikie tu,unaweza ukawehuka hata usijue unazungumza nini
@kakagift835611 күн бұрын
Afya ya akili
@AmeenaBulilo11 күн бұрын
Hahahahahahaha uwiii
@Lucianaludovickmaro11 күн бұрын
Mwacheni abaki naye akishaharibika ataelewa
@LindaMbilinyi-n3n11 күн бұрын
😭😭😭😭
@memehhhahshshdhdhd11 күн бұрын
Sasa kwanini wanakataza asiombewe? Si wamuache aombewe asipofufuka basi wenyewe shida yao nini?
@Jamila-c7k11 күн бұрын
Mpelekemni huko kanisani jamani inauma kufiwa
@subiralema11 күн бұрын
Mpeni iyo maiti akaweke ndani kweke siku tatu akianza kuoza atazika
@pendo808211 күн бұрын
😂😂
@subiralema11 күн бұрын
Watu wamekuwa vichaa kweli sijuwi ni maisha magumu eti aombewe afufuke ata mkijikusanya dunia nzima mkiomba ata jicho alifunguki😂😂😂😂
@FatumaMsuya-j5u11 күн бұрын
Kama kachukuliwa msukule ataamka ila Kama nimpango wa mungu sahau
@Rahima-kv6mn11 күн бұрын
@@FatumaMsuya-j5u toa neno msukule weka aliyekufa ndo anamaanisha uyo bibie uko mbona misukule wapo na ukibahatika wanakuwa wazima. Apo neno kufa alafu aombewe na kufufuka 😢 Mungu Atuongoze na kujua alipangalo Mungu akuna wa kupangua 🙏
@magigesabai867411 күн бұрын
Vaa viatu vyake ulishawahi kufiwa na mtoto wako ?
@NechLove11 күн бұрын
Shida ya lulishwa izalimu
@adamzachariakinyekile694811 күн бұрын
nasoma coment tuu
@Juma-qd5eq11 күн бұрын
Hiki kijij tukikiwah kwa viboko hatatokea mwingine kusema atafufuk !! Swali la kujiuliza tangu Yesu alipoondika kuna alie fufuka au ndo ataanza huyu ??
@yasintajoseph749511 күн бұрын
Wapo wengi tu we ndio hujui
@NeemaMasala-o7c11 күн бұрын
Kha
@NoviaRaphael11 күн бұрын
Nyie wachungaji wa mchongo achaneni kudangana watu eti mtu akifa anaombewa anafufuka 😂😂😂nacheka kama mazuri Mwenyezi MUNGU amupunguzie adhabu ya kaburi marehemu sisi sote kwake tutarejea 😢