Gabon ina madini mengi kama vile mafuta na manganezi na lango la Afrika kwa makampuni ya Ufaransa. Tazama vidio yenye kuangazia hali ya Gabon kabla ya mapinduzi ya kijeshi.#kurunzi
Пікірлер: 2
@mayombomajenga977810 ай бұрын
Wafaransa majambazi sugu ya utajiri wa AFRICA
@marehemudanielarapmoi642410 ай бұрын
Mwizi humtafuta Mjinga....anayeibiwa amekubali kuwa mpumbavu mwenyewe.