Utetezi wa PhD Online UDOM wazidi kupamba moto| Helena Asota Miaka 6 kupata PhD

  Рет қаралды 3,321

UDOM TV

UDOM TV

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@khamiswaziriame5371
@khamiswaziriame5371 Ай бұрын
Hongera Madam Helen Tunashukuru na tunafurahia uwepo wako SJUT
@success-only
@success-only 2 ай бұрын
Hongera sana Dr Helen Japokuwa cha moto umekilamba 😂😂😂 Mungu akutangulie ktk kuitumia kiwango vyema kuisaidia watanzania na zaidi
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@success-only asanteeee sana sana
@denismichael9065
@denismichael9065 2 ай бұрын
Hongera sana mtumishi Helena Marco Gemuhayi! Mungu akubariki sana sana
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@denismichael9065 asanteeee sana
@johnmanasi2428
@johnmanasi2428 2 ай бұрын
Much congratulation my wi na bibi yangu kipenzi.
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@johnmanasi2428 asanteeee mjukuu wangu
@neemandabila3153
@neemandabila3153 Ай бұрын
Sincerely, I u have done greatly Job. I appreciate. Wish you best luck my dear sisy.
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@neemandabila3153 asanteeee sana
@collinskimweri4461
@collinskimweri4461 2 ай бұрын
Aloo, hongera sana kwake nilikua live jana kwenye defence yake. Nipende kusema PhD sio level ya mchezo mchezo😂 sasa naweza kuwaelewa walimu ambao huwa wanatuona undergraduates kama wazembe na hatuko serious maana sio mchezo.
@imamuadinani5321
@imamuadinani5321 2 ай бұрын
Link ulipata wap ya kujoin
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 2 ай бұрын
Asanteeee
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 2 ай бұрын
Asanteeee
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f Ай бұрын
Na bado waliogungua vitu sio wasomi
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@collinskimweri4461 Asante sana
@shabantelack5716
@shabantelack5716 Ай бұрын
Kama alitumia masaa ma3 kujitetea hakuna Kitu alifanya , kama alifanya alichofanya kingejitangaza .. P.L.O Lumumba
@Braspo7
@Braspo7 Ай бұрын
Hongera maadam
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@Braspo7 asanteeee sana sana
@Ashurajackson91
@Ashurajackson91 Ай бұрын
Hongera wifi yangu mie❤
@gemuhayhelen9399
@gemuhayhelen9399 Ай бұрын
@@Ashurajackson91 asanteeee sana wifi barikiwa
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Ай бұрын
Mm nitaishia degree tu mana english kipengeleè
@Lugongam
@Lugongam Ай бұрын
kama utafaulu degree kwa hiyo kingereza amini unaweza mudu zaidi ya hapo, usijiwekee mipaka mzee kama una resources za kukuwezesha kusoma zitumie muda ni sasa
@jumannerizimbura6750
@jumannerizimbura6750 Ай бұрын
Hata huyo Helen kiingereza kilikuwa n tatizo, japo amejitahidi, lakini alikuwa na rafudhi na grammar problem ndogo2​@@Lugongam
@hamenyayohanakasase5836
@hamenyayohanakasase5836 Ай бұрын
Kingereza hakina maksi kwenye maksi. Maksi zinatolewa kuzingatia mantiki ya utafiti na ubora wa utafiti. Usiogope, nchi zingine tumeshuhudia watu wakichanganya na hata kubadili kabisa lugha wanapokuwa wanafanya wasilisho au utetezi, na wanafaulu.​@@jumannerizimbura6750
@Lugongam
@Lugongam Ай бұрын
@@jumannerizimbura6750 uko sahihi
@miltonmachage2462
@miltonmachage2462 Ай бұрын
Resources ninazo ndugu ila english yanikwamisha sanaaaa
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter Ай бұрын
no logic kabsa
@elimuvisioncenter
@elimuvisioncenter Ай бұрын
sasa hii ndio sifa au .. ??? kazi ya elimu sio watu kusota ...
# LIVE: UDOM 15th CONVOCATION MEETING - DECEMBER 04, 2024
4:06:57
路飞做的坏事被拆穿了 #路飞#海贼王
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 14 МЛН
How many people are in the changing room? #devil #lilith #funny #shorts
00:39
Чистка воды совком от денег
00:32
FD Vasya
Рет қаралды 5 МЛН
Waliotunukiwa PHD UDOM walivyoshindana kucheza wakipewa udokta.
27:49
Mwananchi Digital
Рет қаралды 15 М.
Mwanafunzi UDOM atetea PhD kwa Zoom Meeting
5:30
UDOM TV
Рет қаралды 13 М.
KWAYA YA VIJANA YENYE STEP KALI KULIKO ZOTE KAHAMA MJINI | REVELATION CHOIR
7:28
FPCT Shalom Temple Kahama
Рет қаралды 1,1 МЛН
UTETEZI WA TASNIFU YA UZAMIVU (PHD) YA BW. STEPHEN JAMES
4:31