Jinsi Ya Kubadilisha Maisha Yako Ndani Ya Mwaka Mmoja - Joel Arthur Nanauka

  Рет қаралды 573,184

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 592
@Simbasc-mw4zk
@Simbasc-mw4zk 5 ай бұрын
Tunaoangalia hii video mwaka 2024 gonga like hapaaaaaa
@Madam255
@Madam255 5 ай бұрын
Niko hapa
@philipomgovano
@philipomgovano Жыл бұрын
Hiki kichwa ni hazina yetu vijana taifa, Bara la Afrika na Ulimwenguni kote. Mungu akutunze kaka Joel
@emmanuelkimaro4171
@emmanuelkimaro4171 6 жыл бұрын
Hizi elimu zingekuwa zinatolewa kila mahali watu wengi tungekuwa mbali sana.Mungu akubariki.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Emmanuel Kimaro nashukuru sana ,pamoja
@emmanuelmlengevaf5092
@emmanuelmlengevaf5092 5 жыл бұрын
ANDIKA NAMBA ZAKO ILI TUKUTAFUTE NAUKA NAMBA ZANGU NI IZO 0684663534,0676928180 NITAFUTE KAKA
@khamiskesi9472
@khamiskesi9472 5 жыл бұрын
Teacher joeil na mm nataka vitabu vyako kiac gain nanita vipataje mm nipo zanzibari
@khamiskesi9472
@khamiskesi9472 5 жыл бұрын
Naomba nambayako teacher joeil. Zangu mm izo 0677466564
@abdulqudra8758
@abdulqudra8758 4 жыл бұрын
@@joelnanauka thanks bro nakupenda san kupitiya mafunzo yako one day i,gonna see u
@beatricemwambene9486
@beatricemwambene9486 6 жыл бұрын
Nimependa sana mafundisho yako, natamani ningepata nafasi ya kukuona kwa mafundisho ya ziada
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Karibu nikupe fursa 100%
@TusaKiblaga-vp9jg
@TusaKiblaga-vp9jg Ай бұрын
Asante sana mwalimu hakika Muda nimal wengi tumechelewa san
@azzomapesa7879
@azzomapesa7879 5 жыл бұрын
umenikumbusha kipindi nipo kidato cha NNE nilikuwa naambiwa sitafauru kwa sababu ya hati yangu mbaya ila hauwezi amini Mimi ndio mwanafuzi wa kwanza kupata ajira serikarini katika lile darasa
@Creative_Feny
@Creative_Feny 4 жыл бұрын
Hongera sana
@stivejayngoga1403
@stivejayngoga1403 4 жыл бұрын
Inawezekana hata hiyo kuajiriwa tayari ushafeli
@HappyFamily-qz9up
@HappyFamily-qz9up 7 ай бұрын
Hahahaha kuajiriwa sio kufaulu ajira ni kitu kingine wapo ambao walifeli kabisa darasa au alikuwa na 4 chafu lkn kaajiriw ila wa 2 au digree yupo tu home
@humblemantresor7890
@humblemantresor7890 6 ай бұрын
Asante kwa usimulizi njema
@shukranjs4307
@shukranjs4307 5 жыл бұрын
Aisee yani mungu akubariki sana kaka, joel ,kiukwel nimekua nikipanga malengo lakini nimekua mwepesi kugairisha mambo,natamani sana kubadilika
@MeripaMusa-b1q
@MeripaMusa-b1q Ай бұрын
🎉🎉❤big up nanauka GOD blessed u mr I play for u Thanks i have change's enough my life
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Nanauka Mungu akubariki. Wish to be my coach
@ayshaal6957
@ayshaal6957 6 жыл бұрын
Asante kaka nami ntaanza kuandika malengo yangu
@mfalmegideon
@mfalmegideon 6 жыл бұрын
Ahsante Sana Mentor J Nanauka
@thb9561
@thb9561 3 жыл бұрын
Dah..brow upo makin sana nimeipenda hii mada..ipo activitie..!!
@nahimanaprince5818
@nahimanaprince5818 4 ай бұрын
Asante brother mm from Rwanda
@jumachanewstrends6899
@jumachanewstrends6899 5 жыл бұрын
nakupta vizur sana brother una mafundisho mazur sana
@reginakarema8584
@reginakarema8584 5 жыл бұрын
Joel Asante sana nimejifuza mengi mola akubariki
@AlexSadick-oy1rs
@AlexSadick-oy1rs 6 ай бұрын
👍👍nauona utajiri mkubwa juu yako bro @@@nanauka
@tumainijastus326
@tumainijastus326 Жыл бұрын
You're the best bro Keep going on
@MMUNGAHOSEA
@MMUNGAHOSEA 4 ай бұрын
Shukrani sana
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
unamahakili kaka angu
@queenmwasanguti2370
@queenmwasanguti2370 6 жыл бұрын
Shukran
@suleimanseif7538
@suleimanseif7538 3 жыл бұрын
hii wee mtu unaupeo mkubwa sana mungu akuzidiahie
@sayyidtawaqal1754
@sayyidtawaqal1754 5 жыл бұрын
Mungu akubariku
@WAKRISTOKANISALAMUNGU
@WAKRISTOKANISALAMUNGU 5 жыл бұрын
Kwakweli hicho ni kipaji kutoka kwa Mungu.
@danielmlanda5597
@danielmlanda5597 5 жыл бұрын
Namuona SAM SASALI ANATAMANI KUMMEZA HUYO JAMAA ILA ANASHINDWA.........😂😂😂😂😂😂
@alimatambwe8864
@alimatambwe8864 6 жыл бұрын
Shukrani
@mohamedmkubagwa3874
@mohamedmkubagwa3874 6 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa kutoe elimu hii muhimu katika maisha ya mwanadamu ili aweze ishi maisha yatofauti
@tumainmatokeo586
@tumainmatokeo586 6 жыл бұрын
Naomba kitabu hicho 0764781372 dom
@maricelajohn942
@maricelajohn942 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@patrickrutungo4262
@patrickrutungo4262 6 жыл бұрын
Hongera sana umetoa siri kubwa ya maisha kwa wengi
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Nashukuru sana
@williamreuben4866
@williamreuben4866 5 жыл бұрын
0755849390,nitafute
@apensilinetama3161
@apensilinetama3161 5 жыл бұрын
Huwa najifunza mengi kupitia speech zako,asantee sana kaka.
@papykakozi4192
@papykakozi4192 4 жыл бұрын
aise kaka nakukubali saaaaana
@sechelelamadeje4894
@sechelelamadeje4894 6 жыл бұрын
Nimeanza kukufuatilia ninaimani nitafanikiwa katika malengo yangu niliyojiwekea...nimekuelewa sana katika lile somo la mambo 3 yanayomfanya mwanamke asifanikiwe
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Karibu wewe mwanamke mwenzangu nikushirikishe katika fursa upate kipato cha ziada
@UpendoKazimoto-h8n
@UpendoKazimoto-h8n 11 ай бұрын
Asante
@suleimanali3716
@suleimanali3716 6 жыл бұрын
We jamaa noma sana nimekuelewa
@alfredemmanuel6879
@alfredemmanuel6879 4 жыл бұрын
🔥🔥
@ramadhanjuma1183
@ramadhanjuma1183 5 жыл бұрын
Habar Mr Joel,me nataka kitabu chako ,nakipataje ? Nakinauzwa pesa ngap ?
@JohnMedard
@JohnMedard 23 күн бұрын
Kaka naomba naomba nielekeze namna ya kupata vitabu vyako
@jescamreri18
@jescamreri18 5 жыл бұрын
Asant mnoo kaka unanijenga na kuniimarisha san
@gabrielbarnabas68
@gabrielbarnabas68 4 жыл бұрын
Sante kaka
@maxminswai9804
@maxminswai9804 2 ай бұрын
2024
@mezani782
@mezani782 5 жыл бұрын
Kuweka malengo bila kuweka mikakati ya kuitimiza ni ndoto tu kama ndoto nyingine
@josephmsangawale9925
@josephmsangawale9925 5 жыл бұрын
Ahsante saaana Brother Nanauka kwa Darasa zuuri
@oseapaul2897
@oseapaul2897 6 жыл бұрын
Naitaji Kitabu ...Ila Nipo Bukoba . Naomba Unipe Maelekezo Au Niambia Nitakipata Vp Ndugu Nanauka..
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Unaweza kuwasiliana na 0756094875 utakipata
@abdilahijuma2852
@abdilahijuma2852 4 жыл бұрын
@@joelnanaukanami nahitaji
@markamwakibete7149
@markamwakibete7149 5 жыл бұрын
Hivi kwanini hukuepo toka mwanzo mbona unagusa maisha yawatu
@faustaraymond3303
@faustaraymond3303 6 жыл бұрын
Kweli kaka Mungu azd kukupa maarifa zaidi ndo nimeanza leo kufatilia somo hili lkn limenifanya kupata maarifa nakuelewa sana
@neemalino4220
@neemalino4220 5 жыл бұрын
Fausta Raymond kweli kaka namshukuru kwa somo zuri
@mansouromary9246
@mansouromary9246 2 жыл бұрын
2021 December
@joakimkiamba7357
@joakimkiamba7357 6 жыл бұрын
MIMI NI MKENYA LAKINI NDUGU UNA MVUTO MKUBWA SANA.
@joelnanauka
@joelnanauka 5 жыл бұрын
Nashukuru sana naamini utajifunza mengine mengi kupitia video hizi
@jano254jayc4
@jano254jayc4 5 жыл бұрын
Vipi bro jkiswili kiamba
@jano254jayc4
@jano254jayc4 5 жыл бұрын
Joel nanauka Kenya tueza pata vitabu vyako kweli
@francsadock3062
@francsadock3062 5 жыл бұрын
Brother vitabu vinapatikana wapi?
@noeliakapwaka7658
@noeliakapwaka7658 3 жыл бұрын
Kaka nakipataje hicho kitabu kikohapo mezani
@Saranabwire
@Saranabwire 3 ай бұрын
Kitabu hicho cha kutimiza malengo naweza kipita vipi nipo kenyA
@kapasimoses98
@kapasimoses98 4 жыл бұрын
Naomba kupata daftari hilo huyu jamaa ana akili sana naomba maelekezo kupata kitabu hicho
@kapasimoses98
@kapasimoses98 4 жыл бұрын
Ni kweli inzi akiondoa ujinga anaweza kutengeneza asali
@jumacharles7233
@jumacharles7233 5 жыл бұрын
tuko pamoja mkuu
@SalumMansourNassor
@SalumMansourNassor 23 күн бұрын
Broo vp
@albinoentreprises2176
@albinoentreprises2176 5 жыл бұрын
HUO MFANO WA SIMBA NI MUHIMU SANA UENDELEE KUUTUMIA
@mamumamu1718
@mamumamu1718 3 жыл бұрын
Icho kitabu nakipataje? Nipo dar
@calvinmdee2510
@calvinmdee2510 5 жыл бұрын
Broo Nanauka ni kwel unachozungumza kwani malengo nilikuwa nayo yamevurugika kwa mwaka huu
@evodiusdiocles7669
@evodiusdiocles7669 3 жыл бұрын
kwema
@samwelpanga2404
@samwelpanga2404 6 жыл бұрын
joel nakukubali mno
@gilberttingwaza850
@gilberttingwaza850 3 жыл бұрын
Ok
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 4 жыл бұрын
🏆🏆🏆🏆🏆💪💪💪💪
@FrankeyDremoh
@FrankeyDremoh Жыл бұрын
ukiwa n umri mdogo kama 22yrs hapo unatumia mbinu gan hadi unafanikiwa kaka
@fadhilrehan5129
@fadhilrehan5129 5 жыл бұрын
Nikiwa bado mdogo nilikuwa Nina malengo makubwa ya kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa na nilikuwa naendelea V izuri ila tu nimekuja kukwama baada ya kwenda kwa mzazi wangu ambae ni Baba yangu alienifanya nikakatisha masomo na kujikuta mpk nimeangukia kuwa mpiga Debe siendi.mpk sasa nimejikuta nikiwa wa kujaribu tu kufanya biashara na K ukata tamaa mara kwa mara.Je nifanyeje?
@goldgod9963
@goldgod9963 6 жыл бұрын
nmewapata vyema
@vairethmwaikono488
@vairethmwaikono488 6 жыл бұрын
Joel nakutafuta sana tuwasiliane 0757010979
@mussadionizi9418
@mussadionizi9418 5 жыл бұрын
Joel yuko vizuri Namwelewa sana
@africaglobalsuccess8990
@africaglobalsuccess8990 6 жыл бұрын
real Joel is genius
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
mlekwa schools ahsante sana
@mactongathe179
@mactongathe179 Жыл бұрын
Wacha nirudie KIPINDI Leo!
@Umalaya-y7f
@Umalaya-y7f 8 ай бұрын
Broo tengeneza group whatsapp utume link tujiunge
@saidnomano3667
@saidnomano3667 5 жыл бұрын
Wew ndiye utakaye badili maisha yangu kama ntakufatilia, keep it up broo. You are my role model from now. Una IQ kubwa sanaa ya kuhusu kupambana na maisha, kumfanya mtu atoke chini alipo awe juu zaid. Kama unakubali huyu ana IQ ya hatare gonga like please
@mafanikioimanida3626
@mafanikioimanida3626 4 жыл бұрын
da mimi nalakitisa lakini na amini paka niwe namiliyoni 500
@edwardkavishe3139
@edwardkavishe3139 2 жыл бұрын
Jamani akuna utajiri sio kuwa na msjariti kafanya kaz asate Sana Kaka
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Karibu nikushirikishe kwenye fursa na kipato endelev
@mactongathe179
@mactongathe179 Жыл бұрын
Vp ukoapii
@kabotezeey8474
@kabotezeey8474 8 ай бұрын
Hii ni miaka 5 iliyopita leo 2024 na bado ni madini sana
@kennytwinzi821
@kennytwinzi821 5 жыл бұрын
Ahsante saana kaka Nanauka... Anaeangalia video hii 2019 ,,gonga like tuendezetu!
@feedomcharles4722
@feedomcharles4722 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nimejua mambo ambayo nikuwa siyajui
@masanjajunior3097
@masanjajunior3097 4 жыл бұрын
Imeisha hiyo💯
@menzachangawa2218
@menzachangawa2218 4 жыл бұрын
I love this motivational teaching,keep it up
@danieljouhn6792
@danieljouhn6792 3 жыл бұрын
P
@bivactanzania9642
@bivactanzania9642 3 жыл бұрын
Naomba kitabu hiki
@mayombotz
@mayombotz 3 жыл бұрын
Anaeangalia video hii 2021 ,,gonga like tuendezetu!
@eliaspaul5289
@eliaspaul5289 4 жыл бұрын
Hapo ndo utajua elimu ya kuambiwa ni bora kuliko ya kufundindishwa gonga like
@laurentlyati5452
@laurentlyati5452 3 ай бұрын
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 4 жыл бұрын
Video km Hz zina viewers wachache but video za Diamond na nyngine nyng km x videos zina VEIWERS wengi, hapo ndo nimegundua kuwa cc wenyewe ndo tunatengeneza MAISHA ya mazuri na mabovu🤔✔️ Daah!!!🤣 Blessed kk ndauka!!!!!🤝
@obadiayusuph7096
@obadiayusuph7096 3 жыл бұрын
Acha x ziwe na wengi watavunja walichopanda
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Na ex zao watapata wanaachokitafuta
@BARAKAKulaya
@BARAKAKulaya 8 ай бұрын
Kaka unatufunza vitu muhimu sana
@aminanurudini9233
@aminanurudini9233 3 жыл бұрын
It's Nov 2020 na bado nachek this video
@chrystiankagasheckjr.5287
@chrystiankagasheckjr.5287 6 жыл бұрын
bro nanauka umenifanya najutia nafasi nyingi nilizowahi kuzipata sasa sitakia kujutia tena naamini kupitia mafundisho haya naweza kutumia vizuri fulsa ntakazo zipata kwanzia ivi sasa @see yuo at the top
@shabansalum6014
@shabansalum6014 3 жыл бұрын
Hongera sana professor Joel Nanauka... Kila kheri juu yako.... Mambo mazuri sana... Swali: "Nini ushauri wako kuhusu kuondoa umasikini, kwa sababu asilimia kubwa ya watu inahisi kuwa haiwezi kubadilika hata kama itapewa maarifa ya kutosha?
@theeyechannel8601
@theeyechannel8601 4 жыл бұрын
Brother Nanauka! Thank you so much 👏 nmegongana na video yako hapa then nika stuck,na cjutii and I didn't wast my time to listen to you. You got my attention it is so sweet to listen to you,Kabisa! Thanks a lot to make me rethink myself natoka wapi naenda wapi. From from Rwanda and welcome to the country of thousand hills.
@lilianelines8419
@lilianelines8419 2 жыл бұрын
Nimejifunza jabo asante
@flowinfelix8289
@flowinfelix8289 Жыл бұрын
Ppp p
@meleajohnkisaka7969
@meleajohnkisaka7969 3 жыл бұрын
Kaka asante ,nimefanikiwa kutimiza malengo yangu kwa asilimia kubwa sana kwa kufuata kanuni zako
@shukurobson1201
@shukurobson1201 3 жыл бұрын
Daaah kwel yn
@AredFered
@AredFered 10 ай бұрын
Asante sana proffes nanauka yan we ngoja niinuke mpaka watu washangae .... Anaengalia video hii 2023 agonge like
@MarcoMchele-e7b
@MarcoMchele-e7b 2 ай бұрын
Usijikweze Sasa na wewe
@JusterTumsime-gn2nk
@JusterTumsime-gn2nk Жыл бұрын
Mungu akutunze kwaajili ya uzao wangu na Taifa zima Umekua baraka sana kaka sijutii kukufahamu🙏🙏
@paulinyoisrael6079
@paulinyoisrael6079 6 жыл бұрын
Good boy Nanauka we ni habari ya Shule maishani
@fidespancras7337
@fidespancras7337 3 жыл бұрын
Kaka kazi nzur napataje kitabu cha kupanga malengo
@lizalaw8663
@lizalaw8663 5 жыл бұрын
Bro....kazi nzuri....naomba nijue.napataje vitabu vyako niko mbeya
@nichorousmpala5366
@nichorousmpala5366 6 ай бұрын
Nenda soko kuu mwanjelwa chumba namba 165 utapata kila aina vitabu vyake
@faudhiatmasoud4025
@faudhiatmasoud4025 5 жыл бұрын
Mm cjui niseme nn kaka cjui cjui yan..ni cku kama ya 11 tu tangu nianze kukufaham..yu be blecd
@dafady
@dafady 5 жыл бұрын
Huyu Kijana yuko vzuri amenisaidia
@felixbakari4845
@felixbakari4845 6 жыл бұрын
Daaaa kaka I'm speechless nimeanza kufuatilia video zako najiona nilikwama sehemu najiona kubadilika sana
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Karibu ubadilishe maisha yako kupitia fursa nitakayokushirikisha ujipatie kipato cha ziada
@OfficialyourboyMLuckson
@OfficialyourboyMLuckson 7 ай бұрын
Hizo namba zingeandikwa hapa chini tafadhala🙏
@professamuddy5407
@professamuddy5407 5 жыл бұрын
Tukipata viongozi wenye upeo na Uelewa kama wako nchi itapiga hatua kubwa Sanaa!!
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Karibu nikushirikishe katika fursa upate kipato cha ziada
@sayyidtawaqal1754
@sayyidtawaqal1754 5 жыл бұрын
Bwana nanauka kwakweli mungu amekupa neema nakuombea ulinzi baraka na ujuzi zaidi
@robertgwelela6581
@robertgwelela6581 6 жыл бұрын
Asante sana mr Nananauka.kweli nimekuelewa sana.Wkt niko shule ya msingi kuna dada alikuwa mnene kuliko wote shuleni.lkn lilipotokea shidano la mbio na mshindi anapewa maziwa ya cowbell sisi wembamba tulikuwa na asilimia mia kushinda na kupata maziwa.lkn hauwezi amini dada bonge alitushinda na kupata maziwa.thank you so much.
@salummohdnyiga9760
@salummohdnyiga9760 6 жыл бұрын
Hahahahahahaaaa duh
@africanhappyadventure6951
@africanhappyadventure6951 6 жыл бұрын
Haaaaaaahaaaaaaa....
@elizajamas1796
@elizajamas1796 6 жыл бұрын
what an inspiring speech thx soo much
@mlunguonlinetv2067
@mlunguonlinetv2067 6 жыл бұрын
HAHAHAHAHA NIMEKUELEWA SANA
@fatmarashidi8353
@fatmarashidi8353 6 жыл бұрын
Robert Gwelela hahaha hahaha
@mwakifunatheprominent7394
@mwakifunatheprominent7394 6 жыл бұрын
Dah yani hii video ni Shule Toshaaa, Shukrani sana kaka.
@joelnanauka
@joelnanauka 6 жыл бұрын
Mwakifuna The Prominent pamoja,help to share
@emmanuelchristian8777
@emmanuelchristian8777 5 жыл бұрын
Kuam
@briankapotwe6287
@briankapotwe6287 2 жыл бұрын
Ahsantey sana Boss kwa somo hili zuri
@miriamwinston9908
@miriamwinston9908 2 жыл бұрын
Njo nikushirikishe fursa itakayokupa pesa
@Costantine-l8p
@Costantine-l8p Жыл бұрын
Hakika kakaNanauka inatisha munguakupewepesi wamboyako kufanikisha jamii
@JosephLeonardMatemba
@JosephLeonardMatemba 3 жыл бұрын
Daah we kaka nimekuamshia mkono uko vzr 0789345040 nakuitaji mkuu
@JosephLeonardMatemba
@JosephLeonardMatemba 3 жыл бұрын
Naitaji kujua zaid
@markamwakibete7149
@markamwakibete7149 5 жыл бұрын
Nilijua nimiujiza kwangu kuona ninavyovipanga nakuvifanya kumbe ni ubongo tu nakile nilichopanga.
@henemwamboja5749
@henemwamboja5749 2 жыл бұрын
Huyu mwamba akili kubwa. Kongole kwake.
@goon9384
@goon9384 6 жыл бұрын
you are great bro....much respect and blessed
@selemanismail8359
@selemanismail8359 5 жыл бұрын
Ivi kaka unaweza ukiwa huna hela ukafanikiwa malengo yako
@mosesnyirenda6359
@mosesnyirenda6359 5 жыл бұрын
Tatizo siyo pesa mkuu, tatizo ni idea
@jeremiebahane6679
@jeremiebahane6679 Жыл бұрын
J'aime ça vraiment moi c'est jeremie je viens du Congo je vous écoute à 90%
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 5 жыл бұрын
Hilo la walimu ni kweli mno. Yaani wapewe elimu namna ya kumjenga mwanafunzi na kumpa moyo na si kudhalilisha mbele za wanafunzi wenzake au kumbeza. Mi darasa langu wengi waliachia shule njiani kutokana na mambo km haya. Mtu anakwambia siji shule mi ni mjinga. Na hakuna mtu mjinga jamani. May God bless you.
@nyamoyenyamoye6077
@nyamoyenyamoye6077 6 жыл бұрын
Ndo asili ya kila mtu kukasirika mtu fulani anapofanikiwa, nashukuru kaka Kwa somo hili mm nimefarijika sana
@professamuddy5407
@professamuddy5407 5 жыл бұрын
Daah kaka Joel uko vzuri. Uelewa wako uko juu, nashauri ugombee ubunge, maana comment zote inaonyesha wamekuelewa na wamependa somo lako.
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Ubunge so dili
@lyagandaHosea
@lyagandaHosea Жыл бұрын
Hogera. Kaka. Joel
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 4 жыл бұрын
My Brother JOEL You're the Best of Best keep Motivating us,Happy New year 2020.
@tobiasjohn3901
@tobiasjohn3901 3 жыл бұрын
Be blessed brother joel
@jamesjohn8891
@jamesjohn8891 5 жыл бұрын
Hongera Mr Joel Nanauka, nimeipenda sana elimu hii. Kama hautojali naomba uni-add kwenye group lako ili niendelee kujifunza. Nina tamani kuwa na elimu hii ili niwasaidie wengine.
Njia 4 Za Kuongeza Thamani Yako Ili Ulipwe Zaidi
22:28
Joel Nanauka
Рет қаралды 46 М.
Mambo ya Kuzingatia Ukitaka Kufanikiwa Kwenye Maisha - Joel Nanauka
17:05
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 12 МЛН
Mambo 5  Ya Kufanya Kila Siku Kama Unataka Kufanikiwa
21:53
Joel Nanauka
Рет қаралды 267 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 7 М.
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 201 М.
JINSI YA KUJENGA MIKONDO MINGI YA KIPATO na Edmund Munyagi
21:18
Edmund Munyagi
Рет қаралды 49 М.
Je,Wewe Una Maono Gani Kwenye Maisha Yako?
46:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 184 М.
SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.
17:59
Victor Mwambene
Рет қаралды 12 М.
Joel Nanauka - Vitu Vinavyozuia Watu Wasifikie Malengo Yao
35:09