Wimbo mzuri sana ujumbe ni mkubwa mno na watoa ujumbe mmependeza sana.
@ErickThomas-xx8zq8 ай бұрын
Barikiweni Mungu akawe pamoja nanyiiiiii siku zote
@JoyceBayo-de6sq Жыл бұрын
Mbarikiwe nawapenda sanaaa songeni mbele zaidi mfike mbinguni nawaombea sana
@zawadigeorge531 Жыл бұрын
Hongereni Sana nawapenda Sana Mungu azidi kuwainua viwango vya juuu. Joy ngigwa
@nyamariarori57775 ай бұрын
Kwa hakika nimekabarikiwa na tungo zenu.Barikiwa
@SagasagaSagasaga-k3d Жыл бұрын
Hakikaa wimbooo in mzur sanaaa❤❤❤❤❤❤❤
@edaamos1479 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana ❤❤❤❤safi sana Mungu awabariki kwa kazi nzuri sana akawatimizie mahitaji ya mioyo yenu
@luckiusmajanja88768 ай бұрын
Hongeren sana kwa utumishi,mmetubariki wengi sana
@GeofreyMosi8 ай бұрын
Hongereni sana kwaya kazi ni nzuri
@rozaaofficial187 Жыл бұрын
Hongereni sana wimbo mzuri mno
@pinkad28677 ай бұрын
Asanteni Kwa wimbl mzuri watu wa Mungu naendelea kubarikiwa nao Kila siku
@benjaminbhokeye78856 ай бұрын
Mungu awabariki sana. Wimbo huu umenibariki sana
@PendoChoro Жыл бұрын
Ameen 🙏🙏 ujumbe mzuri Sana Bwana awabariki
@ahazimtindo34511 ай бұрын
Hongereni sana ,wimbo mzuri
@andrewomari6053 Жыл бұрын
Amina watumishi,hebu na mzidi kumsifu Mungu.
@tunenebamyava6167 Жыл бұрын
Nabarikiwa na sana na wimbo huu wa Tengeneza
@saidismailally Жыл бұрын
Safi sana uwanjan Mungu wambinguni awabariki
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Amina je umesubscribe
@jamesmbwambo5378 Жыл бұрын
Safi kazi nzuri saana wimbo wenye ujumbe mzuri sauti zuri zilozo pangika vizuuri maneno yamtamkwa vizuri yaan Bwana awabariki Sana Sana
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Amina barikiwaa
@mrmhezi2653 Жыл бұрын
Hii ni moto saana.. Mungu azidi kuwatumia vyema kwa kazi yake
@wemaelimsuya Жыл бұрын
Nimeupenda sana wimbo huuu mungu azidi kuwabariki Sanaa nasi tuzidi kumtegemea munguuu
@easternyerembe7271 Жыл бұрын
Wimbo umenitoa machozi, Mungu tusaidie! Amen
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Pole sana tengeneza mambo ya nyumba yako je umesubscribe ili kupata mazuri zaidii
@MdumaSekiete Жыл бұрын
Mbona haina quality audio and video
@amos1234ful Жыл бұрын
MUNGU AWABARIKI SANA ❤
@AnnaLimbe-g9l6 ай бұрын
Mbarikiwe kwa nyimbo nzuri
@edaamos1479 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri
@ayubudancan4434 Жыл бұрын
MUNGU ni mwemaaa sanaaa kwetu hvyo tutengeneze mambo ya nyumba zetu hakika hatujui ni liniii....., pia marafiki wa uwanjani tunaomba sanaa maombi yenu ili tusijiinue na tuzdi kunyenyekea chini ya mkono wa MUNGU ulio hodari, barikiweni sanaaa
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Aminaa
@erastorichard4426 Жыл бұрын
Amina barikiwa sana
@babyjanezablon8823 Жыл бұрын
My family sichoki kuwatazama muende mbali ujumbe unanigusa sanaaa tutengeneze mambo ya nyumba zetu 🙏
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Barikiwa sana
@marymhagama1597 Жыл бұрын
Waooo wimbo unaujumbe mzito.good job👏👏👏
@dorothymaina5522 Жыл бұрын
Amen
@petermsafiri3145 Жыл бұрын
Ujumbe Uniqueness saan,, hakika mtunzi wa wimbo huu na waimbaji be blessed
@jamesalfred2020 Жыл бұрын
Mungu awabariki Sanaa nawamisi pia
@petermwita729111 ай бұрын
Hongereni sana kwa ujumbe mzito. Bwana awabariki kwa wimbo mzuri. Mmetisha sana watu wa Mungu
@BenjaminKisakali-iq4sb Жыл бұрын
Rererujah wimbo mzur,,mbarikiwe San ❤❤
@JoyceMsuya-zh1do Жыл бұрын
Mungu was mbinguni awabariki sana
@tumainigeofrey604 Жыл бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri, kwa utukufu wa Bwana mkazidi kuinuliwa na Mungu mwenyewe👏👏
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Amina je esubscribe
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Asante
@machenjamaduhu7636 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri
@ngassapeter Жыл бұрын
Mungu awapeleke mbali.
@KajenoBarabungwa-yi8ri Жыл бұрын
Mfike mbali watumishi wa Baba
@elisifasanka4818 Жыл бұрын
Wooow tutengeneze mambo ya nyumba zetu ...Mungu awatunze
@lovenessgeorge3172 Жыл бұрын
Ameenni mda wa kutengeneza mambo ya nyumba zetu Mungu awabariki sanaa ❤❤
@KajenoBarabungwa-yi8ri Жыл бұрын
Huu wimbo naupenda sanaaaaaa
@KASAHUNGASDACHOIR Жыл бұрын
Bwana awabariki sana
@PastorBobRobert5 ай бұрын
Mungu awabariki sana
@maotolalumbe2411 Жыл бұрын
Ameeni wimbo mkali saana
@SulianaDickson-mm5uh Жыл бұрын
Barikiweni Sana
@agnessjonas9357 Жыл бұрын
Tengeneza Mambo ya nyumba yako nimebarikiwa sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Umesubscribe
@GraynessNkyason7 ай бұрын
Wimbo went wa Ezekiel unanibariki
@rodgerjames1028 Жыл бұрын
amen Mungu awabariki sana
@georgenyangi3685 Жыл бұрын
God bless you 🙏 all CHOIR you touch me
@JanethMartin-sk5we Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni awe nanyi mwimbo mzur mnoo! Tutengeneze mambo yetu maana hatujui ni lini tutakufa, Amen
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Barikiwa je umesaubscribe
@georgemaneno17805 ай бұрын
God bless you for your good work.
@janethmwihumbo1289 Жыл бұрын
Mungu awabariki Watumishi,mnatukumbusha kutengeza njia zetu,,
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Amina je umesubscibe
@devancpoul5524 Жыл бұрын
Kazi nzuri Kama king’ongo sda choir nice
@PraiseKashanga Жыл бұрын
Daah! Ujumbe mzito huu kwa kila mmoja wapendwa, Hebu kila mtu aweke mambo yake vizuri na Mungu wetu.
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Amina je umesubscribe
@rodneyrichen9421 Жыл бұрын
Wimbo mtamu kweli.Pokeeni salamu kutoka Tassia Central.Bado twawakumbuka
@faustinechegeni1454 Жыл бұрын
Ameen, Wimbo wa Unabii..
@drwilliammmbugu838 Жыл бұрын
Mungu awainue
@EsterKimori-lc1oi Жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@MatildaAbel-k1y Жыл бұрын
MUNGU wetu wa mbinguni azidi kuwatumia zaidi,, Wimbo mzuri Sana
@ivanbusumbiro6429 Жыл бұрын
Amina
@KajenoBarabungwa-yi8ri Жыл бұрын
Kwa hakika ninabarikiwa
@IbrahimKibona-i1m Жыл бұрын
Hezekiah is the song of year
@frankmadumba7243 Жыл бұрын
❤
@WardaKasian Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana kwa Wimbo mzuri Hakika mmenibariki❤
@emmanuelpaulo5865 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana,, what a song,,, 😍😍😍💞
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Barikiwaa sana wote mlioona vyema kutumia jumbe zenu msisahau kasbscribe
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Amina
@nancycharles4294 Жыл бұрын
Nawapenda sana Mungu aendelee kuwatumia❤❤❤Ujumbe huu ukabariki watu wote ulimwengu ❤❤
@uwanjanisdachoir Жыл бұрын
Twakupenda pia
@ImanuelMsifuni Жыл бұрын
Namuomba mungu azidi kutukrimia pumz na sauti nzuri zakumtukuz yy