HAPO SIAJABU NA HAO WAUAJI WAPO HAPOHAPO. MUNGU AWALAANI WOTE NA WAHUSIKA NA VIZAZI VYAO WOTE NA WAO WAJE WAFANYIWE HAYOHAYO. SERIKALI TUSAIDIENI KWA HILI
@khadijahamisi55615 сағат бұрын
Pole baba angejua asingerud tena duh
@naomigenchiri22235 сағат бұрын
😢😢 poleni familia inauma sana
@sharifamahamudu1824 сағат бұрын
Watoto sita duh Mashaallah kaacha cop japo kila mtu na mama ake
@faithjonathan38453 сағат бұрын
Shangazi kaumia maskini na ni shangazi aliyekuwa anaelewa kuwa kijana hajamuona toka mwaka jana lakini anaelewa kuwa ni sababu ya maisha kuwa magumu. Kuwa na ndugu ambaye anakuelewa kama huyu shangazi inakuoa amani ya maisha. Siyo haya mandugu lawama ambayo ukipotea tu yanapiga makelele bila kujua kuwa unakaribia kufa kwa stress
@NascoTalent3 сағат бұрын
Poleni sana daah ni bora umdhuru mtu kuliko kupoteza uhai wake
@bravoh17055 сағат бұрын
Poleni sana 😢😢😢
@Baday_8Сағат бұрын
Hii imezidi jamani😢😢 kilasiku matukio mm mtu akichez na familia yangu siendi polisi nitaita maostadh yani nitafanya dua nzito ata dondoka mmoja mmoja wausika wote🥲 familia zao ziumie kama tulivyo umia ss yani mbona watajuta tukiendelea kuwachekea hili itakuwa mazoea🙌
@angelraizam76834 сағат бұрын
Jamani poleni sana
@Chombezaflava6 сағат бұрын
Poleni sana daah
@hamisaramadhan-ft9mi5 сағат бұрын
Pole sana baba😭😭😭
@hindukasimu5255 сағат бұрын
Innalillah wainalillah rajuun
@AtifaIslam-t6g2 сағат бұрын
Wewe wakuhoji umpumbavu mtu yualia bado wamrudia tena uwa mwatakaje hasa mtu smefiwa mpaka mkamuhoji upuzi mtupu
@RitbayRitbay4 сағат бұрын
Mshamzulumu nafsi yke na dhambi washabeba sasa wasubiri siku ya hukumu aende zke peponi maaan tyr mshamchukulia dhambi zke
@AsmaAmeir-c6rСағат бұрын
Umekufa guest ushazini umeuliwa ndo mzigo wa dhambi anaubeba alokuuwa, hapana kitu icho kile kinakuwa nikifo kilichokuondoa dunia alokuuwa atahukumiwa kwa jinsi ya kukudhulumu wewe, tuombee mwisho mwema lakini pepo inataka ibadan na kumjuwa MUNGU wako
@dignakanje4508Сағат бұрын
Hivi shida Nini jmn.Niwivu nikukoza akili ,ama tatizo kubwa nilipi.Mbona vijana mmekuwa watu wajabu sana .Kuwa ndio mmeoma suluuhu latatizo ama kumaliza shida .Jeshi lapolice liingilie kati hili swala lavijana kuwa tu kwakukosa ueledi.Mauji yavijana kwavijana yamekuwa mengi sana kwasasa .Hta kma nitamaa sio kuuwa jmn.
@Miriam-m2b6 сағат бұрын
Poleni
@Chakol123-k7s6 сағат бұрын
Kama kaacha watoto basi n vyema kaacha copy zake.. mungu ampe kaul thabit