Nakubali sana brother Clam umetisha kwa kweli yaani kila kukicha unazidi bora zaidi ya jana
@JovinMafuru-i4x26 күн бұрын
Hahahahahahahaha kipara umbeya kuanzia snake boy hadi hukuu
@PendezaPendo-k6i26 күн бұрын
MUNGU akusaidie umtumaini yeye kwa kazi zako umuhusishe yeye usiingie kubaya ju kipaji unacho. Mengine yaachee hayakufai.
@LeonardWak26 күн бұрын
Uyu ni memba
@HusnaChelicheli26 күн бұрын
Kazi nzur kutoka kwa clam vevo❤❤❤
@SharonChepngeno-d7e26 күн бұрын
Mwanangu nakuomba ufuate maagizo ya mama Baba atakupoteza 😅😅
@CyrusChirchir-ze3hr26 күн бұрын
Iunapenda clam Vevo
@YohanaJoseph-k3d26 күн бұрын
Kaka nakufatilia sana kazi nzuriiii hatareee ❤
@SaidyRamadhan-dj8lz26 күн бұрын
wote tulio amka salama leo sio kwa uwezo wetu bali ni mungu gonga like hapa
@IbraorgTarzan26 күн бұрын
Wakwanza kutoka Nairobi Kenya naomba like zangu
@Max_kingMk66526 күн бұрын
Clam Na Kipara Nikama Selengo Na Kanumba😊
@Agyy62824 күн бұрын
😂😂😂😂😂kbs
@WedsonAnangisye-t6m23 күн бұрын
umeee wazaaa mbaliì sanaaa mkuuuu
@RoseNyalusi26 күн бұрын
Clam unatisha San Mungu aendelee kukuweka uzid kutupa burudani
@AugustinhoManyangaunitedboetz326 күн бұрын
Vevoo nakukubali sana brother kazi nzuri May God give you and your team strength to continue to provide us with good work ukizingatia mko na princess YANGA Suda ❤❤🎉🎉
@zuluRaphaelItangishaka26 күн бұрын
Big up sana team nzima ya mzee vevo!nawapenda sana!love from burundi❤❤❤❤❤
@NeemaEli-wl1dz26 күн бұрын
Tunawapenda sana kazizuri unatupavitu vizuri sana
@DonMooFILMES_Express26 күн бұрын
Nikimuangalia KIPARA na CLAM kama vile namuona SELENGO na KANUMBA 😂❤
@mamaaanmar126126 күн бұрын
Kweli. Kabisa. Hujakosea 😂😂😂
@DonMooFILMES_Express26 күн бұрын
@mamaaanmar1261 umeona ee 😁😁
@Mrchochote-f2i26 күн бұрын
HAYO nimatumizi mabaya ya macho
@DonMooFILMES_Express26 күн бұрын
@@Mrchochote-f2i hauwezi nielewa nilichokimaanisha kama haupo makini. Nakusudia uigizaji wanamna hiyo walikuwa nao Kanumba na Selengo. Kanumba baba mwenyenyumba na mtoto wake, getini kakaa Selengo
@Mrchochote-f2i26 күн бұрын
@DonMooFILMES_Express hahahah Ili kumbukumbu nimecheka sana jmn
@Kerrylayzzymz25 күн бұрын
Já gostei muito do seu trabalho clam vevo, yani nimeipenda kaziyako clam vevo
@MwagadiJamilaAbdalla26 күн бұрын
Nakukubali sana clam unakazi mbaya. MuNGU AKUTANGULIE IN SHAA ALLAH❤❤❤tuko pamoja kaka
@WilbroadLudovick26 күн бұрын
Clam hupoi kaka let's go vevoooooow🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mashchacha26 күн бұрын
CLAM ndie KANUMBA wa leo nakukubali sana NYOTA wa AFRICA na Dunia nzima
@Faahash-ln5iv26 күн бұрын
😂😂😂😂😂 tobatoba the whole world 🌎 we umetisha kinyama hahahaha
@TausRaj26 күн бұрын
😂😂 kanumba ukafananishe Na Clam Mxwiiiiiiiiii
@mashchacha26 күн бұрын
Nakuambia aisee CLAM yupo level zingine kinyama tu saaana
@mashchacha26 күн бұрын
Ebu niambie nani mkali saizi bongo movie kumliko VEVO..... ebu mtaje tu
@mashchacha26 күн бұрын
@@TausRaj hamna zaidi yake nakuambia
@godfreychedego26 күн бұрын
Nimekuwaa wa piliii😂😂
@amanimataligana273425 күн бұрын
Tulio toka TikTok kwa binti kigoma like hapa..nilicho penda kumuona suda ndani🔥🔥🔥💐💐
@celebrity.79526 күн бұрын
KAZI Safi......next n big boss 🎉
@EriyaRichard26 күн бұрын
Tupo nae hapa kama Mama wa nyumbani 😂😂❤ ila Baba anamtetea mwanae kwa kumpoteza😂
@Newtonwafula-g3s26 күн бұрын
safi sana clam tunakupenda sana ke🇰🇪 kam ke🇰🇪
@HellenChangwe26 күн бұрын
Jamani aisee!!!!! Duuuh!! kisa mtoto amefukuzwa kazi hatari 😢😢😢💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 aibuuuu
@nyamiziramadhani423226 күн бұрын
kuna maboss visiaan balaa😂
@JolieMajay26 күн бұрын
Nawapenda San pia mungu awabariki
@PanarBoina26 күн бұрын
Wakenya tujuane tafadhali pamoja na wafrika wenzetu ❤
@MuraniSalim26 күн бұрын
Season nzuri vidakika viduchu duuh kipengele
@johnsonisack113326 күн бұрын
Sipati like kabisaa toka big boss ,snake boy hadi sasa, Clam is on fire
@PamellaCarlos26 күн бұрын
Dak leo zmepunguzwa jamn mnapunguz utam🤣🤣🤣 ila hii movie tam kinoma kam unaikubali nipe like😉😉
@LewisHamiltonGLD26 күн бұрын
Kibonge unanifurahisha na huyo angle ety mjumba alafu hivi ww unajua n ñnñ maana ya kuua😢😂😂😂
@florencengolo648026 күн бұрын
Ndio sisi hatuchelewi kabsa😂😂 lete vitu mkali
@jofreyevansantony277026 күн бұрын
Tutafuteni hela jamanii 😅 ila kipara
@PendoJembegirl26 күн бұрын
Clam Ongeza dakika ila haka katoto duu😂😂😂😂
@nyamiziramadhani423226 күн бұрын
kajeur balaaa
@Faru80826 күн бұрын
Clam ukiwa serious hupendez na hio saut yako
@KibweOnlineTv26 күн бұрын
Wale Tunaoikubali My Daughter Series Gonga like hapa Tujuane, Ni ya Moto hii jamani🎉🎉❤❤❤❤