JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@JamilaMohammed-n8n7 сағат бұрын
godimuya daheppy manyota mpo nawatakia kazi njema
@mack_vita_onyango84093 сағат бұрын
Mh. Rais Samia Suluhu Hassani Allah Amjalie kile Atakacho katika mambo mazuri. miezi 5 iliyo pita alisema huko kwa wapinzani kuna fukuta kuna waka moto hakuna maelewano 😅 watu hawaku muelewa Muheshimiwa Rais. badhi wakawa wana bisha, ni mwezi 7 au 8 alisema hayo... Leo tumejionea kunawaka moto bwanaaa....
@wallacemngoma7947 сағат бұрын
Uelewe CCM hawana uchaguzi kama baadhi ya vyama kwani CCM wanapeana tu. Sasa hivi tusiendelee kuupepgeta na kuhisi kwa kumpendelea Mbowe, tusubiri uchaguzi ufanyike kwa haki kwani pengine kutakuwa na wagombea zaidi ya wawili tutajua.
@JamilaMohammed-n8n7 сағат бұрын
manyota ni shida😊
@AbediHeli6 сағат бұрын
Hivi umetoka bar gani kwani aliyekwambia chadema watashinda uzhaguzi ni nani acha upotoshaji kwani yaliyotokea mpaka wabunge wakapotea
@MalkiadiNaano6 сағат бұрын
Umeeleza kwa usahihi ,kama mbunge ni mmoja ,madiwani karibu hawapo , wenyeviti wa vijiji na mitaa na wenyeviti wa vitongoji karibu wote hawapo wa cdm nchini sasa mnasema Mbowe na Lissu ni viongozi wazuri mna tumia viegezo gani.Fukuza wote mwekeni mwanachama mwingine atakayekuja na akili mpya ya tackle changamoto ya wakati huu
@GasperKapungu7 сағат бұрын
Lisu ni mnafki.huu ni mwaka sahihi wa kikatiba kwa chadema kufanya uchaguzi..na miaka yote huwa ndo ivi.sema mlikuwa hamfatiliagi uchaguzi wao.sisi wanachama ndio tunafahamu
@JooLusajo6 сағат бұрын
Kwa sasa ni lisu
@AllyMwakyioma6 сағат бұрын
Hivi watanzania tumelogwa na Nini?. Huyu mwamba anang'ang,'ania kitu Cha uwenyekiti hapo Kuna Nini?. Hilo ndo la kujiuliza. Na Hawa machawa ni changamoto sana. Wanagalia matumbo yao tu.