CHALAMILA AFAFANUA TUKIO LA ABDUL NONDO KUTEKWA, TUKIO LA TARIMO NA MATUKIO YOTE MAKUBWA YALIYOTOKEA

  Рет қаралды 11,040

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 18 күн бұрын
Point nzuri niliyoielewa polisi wavae sare wanapokwenda kumkamata Tena inabidi waambatane na kiongozi wamtaa husika
@StewartUkason
@StewartUkason 15 күн бұрын
Asante kwa Maelezo Mkuu.
@AlexMkwama
@AlexMkwama 18 күн бұрын
Jambo tv mnaspeed , hongereni. Naona mnakaribia kumpita Ayo tv
@gastonjohn537
@gastonjohn537 18 күн бұрын
Kwa hiyo unamaanisha asie kuwa na sale akikukamata auwawe Asante kwa kibali hicho tutapambana na ao
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 17 күн бұрын
Mimi nili mtarajia IGP au ikibidi msemaji wa Polisi kuyazungumzia haya na wala si mwanasiasa.
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 17 күн бұрын
Kupitia kosa la wananchi kutomsaidia Tarimo! Kule Tegeta ( TRA )Wananchi walisaidia wakakamatwa!
@eleutermhumba347
@eleutermhumba347 18 күн бұрын
Nimekuelewa br
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 18 күн бұрын
Mbona juzi hapo wananchi walijihami wakaambiwa watasafishwa wote😢😢😢
@sadikidaudi460
@sadikidaudi460 15 күн бұрын
Yaani watu wajitambulishe kua ni polisi halafu raia ajifanye anazui kukamatwa mtu apewekosa lajinai kumzuia askali kufanya kazi yake !!! Hapo sheria ifanye kaziyake askali akikamata bila kua nasale wala kitambulisho iruhusiwe kuwazuia
@JosefuSwai
@JosefuSwai 18 күн бұрын
Leo umeongea vizuri angalau
@BonifaceBonala-w9j
@BonifaceBonala-w9j 18 күн бұрын
Kiongozi mimi siamini use mayo ira nakaa kimyaa tuu
@AnaniaIsaya-z9g
@AnaniaIsaya-z9g 16 күн бұрын
Kwa hiyo Serikali imeruhusu magari ya police yatumike kut...... Unatuambia vipi kuhusu Ali Kibao na akina Soka Vipi kuhusu lisu ambaye amewatuhum moja kwa moja police kuwa wanahusika na jaribio la kumuua. Fanyeni uchunguzi na kutoa taarifa Kwa umma.
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 18 күн бұрын
Huyu mpuuzi kama wapuuzi wengine hizo story za uzushi angekuja na mapendekezo ya uchunguzi HURU ndio tutapata majibu yote sio mazingaombwe, Matukio yote ya utekeji kupoteza na mauaji ni kuruhusu Uchunguzi Huru full stop
@StephanoGwelino
@StephanoGwelino 18 күн бұрын
Mbona, soka hapatikani na police wapo tuu
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 18 күн бұрын
Warudisheni hawa vijana wakasherekee sikukuu za mwishoni mwa mwaka
@michaelpatrick9317
@michaelpatrick9317 18 күн бұрын
Ahaaa sawa ngojaaa wajeee hao watuu mamae si wanakuja na magari ya polisi😅😅😅😅
@Mussa-jd6nMussajd6nv
@Mussa-jd6nMussajd6nv 18 күн бұрын
Bashungwa hoyeeeeee!
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 18 күн бұрын
Yaani hawa viongozi wa ma ccm wanatuona sisi watanzania ni mazezeta ,,,du kwa sasa sisi watanzania hatudanganyiki ,
@albertshelukindo9877
@albertshelukindo9877 17 күн бұрын
Rc... sasa tutaamini nani. Kama wahalifu wanapingu na uniform
@RajabuLanda-t2e
@RajabuLanda-t2e 17 күн бұрын
Yanzani chafu chafu kutokana ccm
@ip_header
@ip_header 18 күн бұрын
Akili za kuambiwa changanya na zako...!
@lovegodmunisi1006
@lovegodmunisi1006 18 күн бұрын
Lkn tukiwapiga tunakamatwa. Tupen ruhusa wakija bila kujitambulisha tuwanyooshe
@mfaumesaid-x6r
@mfaumesaid-x6r 18 күн бұрын
Nafikiri tujitafakari ndani ya moyo wako na mzee kibao naye
@TeacherBoda
@TeacherBoda 18 күн бұрын
Mbona ya ally kibao hujaongelea unajisahaulisha eeeh..Sisi bado tunakumbuka
@vkmtaki
@vkmtaki 18 күн бұрын
Tuombe tu jambo moja inapotokea Polisi mmeokota mwili basi muwe mnatangaza kuwa mmeokota ili ndugu wawe wanafija mapema na ku identify ili kuondoa sintohafamu hizi
@karolikisaka8991
@karolikisaka8991 18 күн бұрын
Kuna matukio mengi hayana majibu mpaka sasa Itoshe tu kusema ccm ni chama kinachojibu maswali magumu kwa njia nyepesi Mfano tu kifo Cha kibao
@bongo39
@bongo39 18 күн бұрын
Ila yootee haya polisi ndio wanaosababisha matatizo yote utamkuta polisi kavaa nguo za kiraia huku kashika smg sasa unategemea nini hata jambazi na watu wabaya wanatumia njia hiyohiyo hiyohiyo mnatuchanganya tuu
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 18 күн бұрын
Kiukweli tu, Tanzania niyako wewe na ccm na serekali yako,ila Mungu Mkuu mtatufanyia usawa siku 1,
@king_King-4029
@king_King-4029 18 күн бұрын
Utaratibu wa polisi unapofanyiwa mabadiliko mbona hamsemi yaan kimya kimya, wengine tutapitia changamoto hiyo na madhara yatukute, maana Hawa watu wenu wenyewe hawafuati Sheria, mfano tu ni huo utaratibu wa kukamata, si mnasema Kuna taratibu zimebadilika zimebadilika...? Lkn hata hvyo, inaonesha jinsi gani pia Bado hatufuati Sheria, baada ya marehemu kuwekwa mochwari mbona hamkufuata hizo taratibu za kipolisi?.
@enockamas9332
@enockamas9332 18 күн бұрын
Waelimishe police namna ya ukamataji , waache kuvamia na kutumia nguvu hivyo ndivyo majambazi wanafanya. Police waoneshe vitambulisho vyao kabla ya kumkamata mtu. Pili waruhusu mtuhuniwa kutoa taarifa kwa ndugu na jamaa zake au nwanasheria wake kabla hajachukuwa kwenda kituoni.
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 15 күн бұрын
Mkuu ni hv moja tu askari wakienda kukamata wavae sare ndo mana hata jambo ambalo hamuhusik tunawahis mana polis wamekuwa wakikamatwa kiholela
@frankjohn8706
@frankjohn8706 18 күн бұрын
MUNGU AKIWEKA WAZI MAMBO HATA MAELEZO HAYAHITAJIKI
@JamesSichimata
@JamesSichimata 18 күн бұрын
Ivi kila anaye potea anatekwa? Waandishi bwana ndo maama Yesu aliwakataa.
@Seifkassimmkumba
@Seifkassimmkumba 18 күн бұрын
Sasa vitambulisho vya NIDA tujitaidi kuvipata vipi wakati ninyi ndo mnazingua
@noelbryson7840
@noelbryson7840 18 күн бұрын
Kuna mahali nimekuelewa vizuri sama bwana Chalamila kwamba watu wanaona mtu anatekwa na wao wanaemdelea kushangaaa.. Huo ni upuuzi uliopitiliza
@comsmkemwa2671
@comsmkemwa2671 17 күн бұрын
Lkn tegeta walisaidia wakakamatwa
@Gmanartist08
@Gmanartist08 18 күн бұрын
Hapana hapana ss tusimamie nn km police awausiki nani muhusika na kwa lengo gani me siamini hili gem Mungu atajb sk moja
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 18 күн бұрын
Kwa hiyo mtu akija kavaa nguo za kiraia anataka kukukamata yafaa kuchagama nae
@thomasmollel9465
@thomasmollel9465 18 күн бұрын
Bro shida silaha kuwepo mtaani pasipo vibali ni wajibu was serikali kuhakikisha kwamba watu wote wanafuata Sheria kumiliki silaha na vitu vingine vya kisheria
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 18 күн бұрын
Tunataka uchunguzi uru tujue kama kweli amusiki, mbona mnakataa
@hassanirajabu9191
@hassanirajabu9191 18 күн бұрын
Hatawewe nisehemu ya utetezi mbona waliotekwa kuteswa na kuuwawa mfano Mzee kibao hujatoa uchunguzi?
@StephenMpallange
@StephenMpallange 18 күн бұрын
Je na gari ya Watekaji wa Abdul Nondo inawezekana kwa Amani kuonekana kuegeshwa Maeneo ya Police?
@SKY-fk3fz
@SKY-fk3fz 18 күн бұрын
Sasa hakuwa na vitambulisho, huyo alopata ajali na alikuwa anakwenda kuchukuwa mzigo
@Ambwene
@Ambwene 18 күн бұрын
Watu wakichukua sheria mkononi munawakamata yaani hii serikali ya ajabuajabu sana
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 18 күн бұрын
Acha uongo ni polisi wamezoea
@hassaniulende-sp6io
@hassaniulende-sp6io 18 күн бұрын
BADO HATUJAKUSIA KWA MZEE ALY KIBAO KULE TEGETA NA YEYE ALIRUKA KWENYE GARI KISHA AKAFA ? AU ILIKUWAKUWAJE ? HAPO MBONA UMEPIGA KONA NYINGI ? AU NDIO MFANO WA PANYA ANAUMA HALAFU ANAPULIZA ,, AU SIO,
@swalehaltooq5233
@swalehaltooq5233 18 күн бұрын
Yani kiongozi mzima unaongea utumbo kweli hizi ni habari za kuongea na kuita media zote Mbona za wanaotekwa kweli hamzitoi na wanauliwa mjinga mtupu mnabahati Tanzania raia wenu wapole sana
@gastonjohn537
@gastonjohn537 18 күн бұрын
Msituchukulie7 vilaza vilaza ni nyinyi
@paull8659
@paull8659 18 күн бұрын
We Chalamala mbwa sana wewe, mpiga propaganda tu, shenzi.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 18 күн бұрын
Mb zangu
@Ranaimuye
@Ranaimuye 18 күн бұрын
RC ni msemaji wa Polisi?
@mustafakimalio9129
@mustafakimalio9129 18 күн бұрын
ni m/ kiti wa kamat ya usalama ya mkoa ,
@mohammedbakar4142
@mohammedbakar4142 18 күн бұрын
Tunataka suwala la Ali Mohamed Kibao?
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 18 күн бұрын
Mkuu wa mkoa wa ajabu sana wewe, watu wanakufa we unakuja kuleta siasa, we ni msemaji wa polisi,kwendaaa uko
@HhhTt-vl9ct
@HhhTt-vl9ct 18 күн бұрын
Mbona hukusema tukio la Ali kibao kutolewa kwenye bus la abiria? Hata mujikoshe nyie ni wauwaji tu. +Lissu kushambuliwa ndani ya DDM
@ThadeoKomba
@ThadeoKomba 18 күн бұрын
Duu!
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 18 күн бұрын
Tangu umehamishiwa Dar utekaji umeongezeka Sana inaonekana umeenda kuongoza genge la utekaji nyamaza TU tutajipigania wenyewe
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc 18 күн бұрын
Akuna mtanzania kilaza siku hizi, tunajua nyinyi ndio watekaji wakuu, mbona tegeta wananchi walijilinda ukatumia kauli za vitisho watu wategeta
@king_King-4029
@king_King-4029 18 күн бұрын
Utaratibu wa polisi unapofanyiwa mabadiliko mbona hamsemi yaan kimya kimya, wengine tutapitia changamoto hiyo na madhara yatukute, maana Hawa watu wenu wenyewe hawafuati Sheria, mfano tu ni huo utaratibu wa kukamata, si mnasema Kuna taratibu zimebadilika zimebadilika...? Lkn hata hvyo, inaonesha jinsi gani pia Bado hatufuati Sheria, baada ya marehemu kuwekwa mochwari mbona hamkufuata hizo taratibu za kipolisi?.
Tundu Lissu: Watu hawaji kwenye maandamano kwasababu hawakiamini chama tena
28:12
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН