RC MAKONDA: DUDU BAYA Tulia Kwanza | Sakata la Ushoga

  Рет қаралды 125,953

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

RC MAKONDA Amtaka DUDU BAYA Atulie
SAKATA Ambalo linaendelea katika mitandao ya kijamii ambapo msanii wa muziki Dudu Baya Master Konk kuwataja waandishi wa habari ambao wanahusika na tuhuma za ushoga ametakiwa kutulia na kutuma majina hayo kwa njia ya namba za simu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amesema Dudu Baya anachotakiwa kutulia na kutaja majina ya hao watu kama alivyoagiza mara ya kwanza.
#DUDUBAYA #RCMAKONDA #MASHOGA
SUBSCRIBE: Global TV Online: goo.gl/nQY3hy
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: globalpublishers
Instagram: globalpublishers
Twitter: GlobalHabari
Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV
Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 227
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 6 жыл бұрын
Hongera mheshimiwa makonda na pambana na ushoga na mwenyezi mungu atakulipa kwa ubinadamu wako
@ashuu7youz326
@ashuu7youz326 6 жыл бұрын
go go Tz msiogope human right machozi yana nitoka,ya Allah mungu wangu
@rizikimabruki4131
@rizikimabruki4131 6 жыл бұрын
Kamata makonda tanzania nzima upereni hadi zenji wakome adabu yao iyo utapata fungu lako kwa mungu kwa jitihada zako
@sayrachuna6705
@sayrachuna6705 6 жыл бұрын
Nakupenda sana makonda mungu akuongoze
@getrudamatoto1979
@getrudamatoto1979 6 жыл бұрын
Tunakuombea makonda Mungu akutangulie
@mlewaisavile9793
@mlewaisavile9793 6 жыл бұрын
R.c makonda nakupenda coz huna woga,na kampeni yoyote ile unayoianzisha huwa urudi nyuma.wanaotajwa wachunguzwe hata kama wana majina makubwa.pia ukimaliza ushoga uje na wanaopiga kata k au mitepe na vimini na modo za kubana.hii ni laana kabsa twapasa kumuunga mkono mungu akusimamie.
@mototv1599
@mototv1599 6 жыл бұрын
*@Global Tv online* Chanel yenu imekuwa kubwa sana sasa fanyeni mambo kiufundi zaidi, haya mambo ya kukatakata sauti mara inakwaruza siyo sawa kwa level mliyofikia
@azizauledi4108
@azizauledi4108 6 жыл бұрын
Ndio nchi inamjua mwenyezi mungu hali ndiyo hiyo je? ingekuwa hatuamini km Nchi za magharib sjui ingekuwaje yaraab unusuru
@stewartkilewo4433
@stewartkilewo4433 6 жыл бұрын
Hatari sana !
@akramsayjr591
@akramsayjr591 6 жыл бұрын
Some time lisemwalo lipo watoto wengi wakiume wanapokuja mjini wanataka maisha mazuri bila kujituma. Aidha wanataka nafasi nzuri makazini au kupata nafasi muhimu kazini bila ufanisi na taaluma ya kutosha. So kwa mwenye akili atajua. Kama wanawake wengi wamjini wanapata maisha mazuri bila kujituma kwa kutoa penzi na watoto wa kiume nao ni hivyo hivyo....Usitegemee unakuja mjini huna elimu....hauna networking za kikazi alafu unataka vitu vizuri unataka kazi nzuri..Wahuni lazima wakuguse mjini si kuzuri... Ila the Dudu hakutakiwa kutaja hadharani...kawatuhumu watu kabla ya ushahidi sio fea....
@kelvinkylin5052
@kelvinkylin5052 6 жыл бұрын
Safi sana mkuu
@tumainimango8140
@tumainimango8140 6 жыл бұрын
May be yes
@samanthaali873
@samanthaali873 6 жыл бұрын
Tunakilaani hicho kitendo safi sana Rc
@gabrielmalecela3701
@gabrielmalecela3701 6 жыл бұрын
Eti mipango ya mungu- wakati wenu umewadia kuondoka maana mpo bzee saana na vitu vya ovyo kuliko maisha bora kwa watz- taifa linaangamia kwasabab ya umaskini mkuubwaa- hivyo fanyeni kudeal na umaskini- hayo yote hayato tokea-
@yohanamaduhu520
@yohanamaduhu520 6 жыл бұрын
nakukubari sana mweshimiwa piga kazi mkuu sarut kwako
@galayagalaya48
@galayagalaya48 6 жыл бұрын
Mungu atakusimamia wala usiogope vitisho
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Mmenifurahisha sana mkuu wa mkoa wetu konk konk konk master nampenda sana hahahah
@magrethmagretotwara6521
@magrethmagretotwara6521 6 жыл бұрын
walipue dudu baya washezi sana mashonga
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 6 жыл бұрын
aisee ni movie imepangwa kuiharibu clouds FM
@SUZIBALE_OG
@SUZIBALE_OG 6 жыл бұрын
Nakuamini mlezi wetu
@zungutouch6508
@zungutouch6508 6 жыл бұрын
Ma konki tunacomment wapi??
@vivianlenard3618
@vivianlenard3618 6 жыл бұрын
Hivi kabisa unamjua mungu na ww, mungu axhezewi ka mnavodhani anawaona
@johnsonocculy9444
@johnsonocculy9444 6 жыл бұрын
ni kweli mkuu
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 6 жыл бұрын
Hili ni janga la dunia....kuishi itachukua Karne
@jhompafect3352
@jhompafect3352 6 жыл бұрын
Sema Baba! Ambia waache ushoga waende mbinguni!
@rashidkassim7836
@rashidkassim7836 6 жыл бұрын
Kweli kabisa wanafanya mambo kama wachawi wakijua hawajulikani kumbe watu wanawajua 😀😀😀😀 dah noma kabisa
@BontamLee
@BontamLee 6 жыл бұрын
Tatizo LA mashoga ni la kumlilia Mungu,mwanadam aliwezi.
@ramadhankibwana6425
@ramadhankibwana6425 6 жыл бұрын
Wewe dudu baya nikweli wale mashoga mashoga ati mbona kitamboo duu noma sana
@rosemeryjimy9711
@rosemeryjimy9711 6 жыл бұрын
Aiasee imeniuma cos watajwa woote nawakubal sanaaa
@walterngowi3164
@walterngowi3164 6 жыл бұрын
Dudu na jamaa wote wasaka kikk hamna jipya 😎😎😎😎
@mwambietv7614
@mwambietv7614 6 жыл бұрын
Dudubaya wee bro umekurupuka alafu sio vizuri we jitu Zima jiheshim Ata mziki umekushinda unatafuta Kiki tu fwala wee
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 6 жыл бұрын
anasema ukweli🔥njia wanazo pita mashoga nayeye anakuepo namishe zake
@robertjunior9916
@robertjunior9916 6 жыл бұрын
Hivi ndo jina lake la serikali hilo @ Dudu baya
@Watema23
@Watema23 6 жыл бұрын
Kiongozi, chapa kazi, my full support for you. Ila habari zako za kusaka mashoga imezua mijandala kwenye vyombo vya habari hapa Marekani sana. Kituo kimoja cha NBC news tulikuwa na mjanda Mkubwa sana hapa, kwakuwa kitu hiki kina mlengo wa kushoto na ku support LGBT.
@pettymmasi4958
@pettymmasi4958 6 жыл бұрын
Kawapime bhana.....mwache dudu baya awataje watu wake
@elaijahsav8733
@elaijahsav8733 6 жыл бұрын
Umemsahau gwajima
@jacklinemushi4326
@jacklinemushi4326 6 жыл бұрын
dudu baya usiogopeeeee
@ashurahaji3475
@ashurahaji3475 6 жыл бұрын
Dudubaya alikuwa mwanaume wao
@irenemushi2885
@irenemushi2885 6 жыл бұрын
Duh DUDU BAYA kweli ni DUDU
@mpopcornyplatnumz149
@mpopcornyplatnumz149 6 жыл бұрын
Konki konki konki konki
@jimjam4162
@jimjam4162 6 жыл бұрын
Yawezekana dudu ni moja wao ama ashawai
@lenjeevara3407
@lenjeevara3407 6 жыл бұрын
pwaaaaaaa
@kassimusaidi4002
@kassimusaidi4002 6 жыл бұрын
Konk masta
@fatmahchambo2037
@fatmahchambo2037 6 жыл бұрын
Woyoooo... wakikamatwa hao mashoga, wawataje na mabwana zao wanaowatafuna....wote sukuma ndaniiii.
@athumaniidi2606
@athumaniidi2606 6 жыл бұрын
👍👍👍
@yusuphmachera3032
@yusuphmachera3032 6 жыл бұрын
kiongozi usisahau pia tarime watu hawa wana tuaribia nguvu kazi
@mariamkasminaseifu6320
@mariamkasminaseifu6320 6 жыл бұрын
Dudu baya anapaparaaa jmn
@priscashirima5286
@priscashirima5286 6 жыл бұрын
Konk master ni konk tu
@benardmanyama3415
@benardmanyama3415 6 жыл бұрын
Ujue ktk Maisha uwezi kumtaja mtu usiyemjua kwa kwelii
@georgewilliam7657
@georgewilliam7657 6 жыл бұрын
Amesema wakapimwe ili kumprove wrong
@queengee988
@queengee988 6 жыл бұрын
Ni kweli kbxaaa
@zainabujuma4278
@zainabujuma4278 6 жыл бұрын
Ila jamani watu wanapenda kulalamika! Hivi jamani kuna watu wanatak serikali ipite kila nyumba inagaw hela, khaa! Jamani watu tufanye kazi tu, hakuna kingine, biashara zipo nyingi tu, mtu ukifanya kazi au biashara lzm tu upate hela! Lkn usipo fanya kazi huwz kupata hela.utabaki tu kulaumu serikali, serikali huw ipo kwa ajiri ya kutengeneza miundombinu ili iwe rfk kwa wananchi!!!!!!!!!!!!
@sharifabdul6085
@sharifabdul6085 6 жыл бұрын
Hapana mh wangu unapochukua ushuhuda wa muhuni yule alieamua kuwachafua watu wenye hadhi zao,ni kuwachafulia watu majina yao na sio jambo zuri,kwani wengine hupenda kupata umaarufu tu kupitia migongo
@msemakweli9626
@msemakweli9626 6 жыл бұрын
eti mtaondoka kwa wakati wa Mungu! Acha upuuzi Mtaondoka Kipindi chenu kikiisha na ni eidha 2020 au 2025. Hilo suala la Mungu akiamua Msijaribu
@breymbasa3451
@breymbasa3451 6 жыл бұрын
Wee sikio la kufa umesikia mwenyewe au umetuma mtu akusikilizie
@destiny4life439
@destiny4life439 6 жыл бұрын
kweli kisikia si kuelewa
@فيصلفرج-ر2ه
@فيصلفرج-ر2ه 6 жыл бұрын
ww kwl kishethi akili yko
@islimhassan7800
@islimhassan7800 6 жыл бұрын
Miongoni mwa mashoga na ww ni shoga uxhafumuliwa marinda
@msemakweli9626
@msemakweli9626 6 жыл бұрын
Islim Hassan we mm sishindani na boya kama wewe maana ww kusema mm ni shoga hakunifanyi kuwa mm ni shoga. Suala la ushoga weka pembeni mm wala silizungumzii hapa. Nazungumzia ninyi MACCM. Viva Chadema Viba
@bmglassworkltd6947
@bmglassworkltd6947 6 жыл бұрын
Rc, hyo ni taarifa tosha 😂😂 dudu baya konk, oil chafu
@mwitajamhuri6474
@mwitajamhuri6474 6 жыл бұрын
Dudu baya mhhhh
@stellampandiko188
@stellampandiko188 6 жыл бұрын
Tumeumia Sana ndugu zetu kuja ovyo kwa hiyo naye mmoja wao amefezesha familia zao hasa watoto wao wanao Soma watataniwa Sana inauma sana
@jennydaudi9869
@jennydaudi9869 6 жыл бұрын
Stella Mpandiko
@jayweathertv5376
@jayweathertv5376 6 жыл бұрын
@@jennydaudi9869 ikiwa mungu aliwaangamiza kpindi cha sodoma iweje tuwaonee huruma ss hilo nifunzo ata familia zao zikijua haina shida maana hatuwez kumshinda mungu kwa huruma so wacha watajwe
@fgjjgbnko4383
@fgjjgbnko4383 6 жыл бұрын
Alio wataja dudu baya itakuwa kweli anasema kama wanamarinda afungwe yeye duh itakuwa kweli acheni kufirana wanaume duh hatari mtauwana
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 жыл бұрын
Fgjj Gbnko unajua jamani tusikurupuke hili swala ni zito, ni kumlilia mungu atupe neema kwa watoto wakiume vinginevyo Dunia inaenda kuangamia .hii ndio dhambi iliyoiangamiza sodoma na gomora ni ufiraji
@princessfairy4146
@princessfairy4146 6 жыл бұрын
😂😂😂
@benardmanyama3415
@benardmanyama3415 6 жыл бұрын
Saw bana
@davidwambura5915
@davidwambura5915 6 жыл бұрын
Dudu baya kajiamini sana itakua ni sahihi au atakua kasha wapitia ndio maana kajiamini sana.
@zeddysamo1276
@zeddysamo1276 6 жыл бұрын
Aiseee hayo ndio niliyokuwa nawaza uenda kuna kitu Co bure
@zainabboss5619
@zainabboss5619 6 жыл бұрын
Hata yeye kawapitia ndio maana anawajuwa
@zainabboss5619
@zainabboss5619 6 жыл бұрын
Si wamewatomba ndio maanaanajuwa
@zainabboss5619
@zainabboss5619 6 жыл бұрын
Kawapitia ndio maana amewajuwa
@zeddysamo1276
@zeddysamo1276 6 жыл бұрын
😅😅😅mama angu we zai we kiboko 😅😅😅
@myself4128
@myself4128 6 жыл бұрын
Safisheni nchi inanuka mavi na hiyo laana ikemewe nchi nzima acheni uoga hatuhitaji misaada ya nje!! Nchi yetu inajitosheleza hatutaki kuingiliwa na mataifa mengine kama wao wanaona ni haki zabinadamu kufirana basi wakafiranie nje ya nchi hapa tumechoka!!! Sio dhambi kabisa kuwahukumu kwa sheria ya Mussa au watekwe tu wapotee wasionekane tena!!!
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 жыл бұрын
OK mpita njia Nina ushauri was bure kwa dudu hebu ndg yangu nakuomba ufate utaratibu uliyopangwa coz hii ni hatari sana kwa maishayako usijekuwapa police kibarua cha ziada.lkn kingine unaweza kuvuruga utaratibu na kuleta taharuki kwa jamii nzima ,binanafsi kunamajina uloyaja nimetetemeka sana dudu, sitasha hili zoezi LA kuwataja hadharani ni hatari sana
@sish7012
@sish7012 6 жыл бұрын
Nimegundua dudu baya ndobahasha mwenyewe alafu kataja watu amboo atawajawai kumuoji wala kumuliza kuhusu habari zake mbona kama yeye anawajuwa bongo wasanii wengi mashoga sema wakati wanatumiwa awashikwi sehemu zao lakini msanii mmoja anajulikana sana nilivyojuwa sujategemea eti nyege zikimshika anatembea na kiboo cha pratiki unamuingiza alafu anakupa pesa cha ajabu simuoni wakimkamata
@saimonmpaki3905
@saimonmpaki3905 6 жыл бұрын
Nawe dudu baya itakuwa upo
@simanjilo5
@simanjilo5 6 жыл бұрын
Me naomba hao wote wapgwe ndani mkuu msiangalie uwezo wake hao ndo wana tuharbia wadogo zetu
@subesawa3516
@subesawa3516 6 жыл бұрын
kuna watoa coment baazi yao mashoga ndo maana wana pindisha mananeno
@salmasaid2401
@salmasaid2401 6 жыл бұрын
Sube sawa hahaha
@mawazomwaituka9408
@mawazomwaituka9408 6 жыл бұрын
Namimi msipo piga nyimbo ninazo zipenda nawataja dudu baya anatafuta kiki kwa pikipiki ila atapata anacho taka ivi naomba kuuliza shoga Anauwezo wa kusalisha?
@njeerysalum5862
@njeerysalum5862 6 жыл бұрын
anawabanduaa mwenyewe
@K25795
@K25795 6 жыл бұрын
Bwana dudu baya mbona umemsahau diamond umenihuzi kwa kwl
@omychuma4764
@omychuma4764 6 жыл бұрын
Mbona sio daimond 2 hata baba yako ..
@harithhassan3374
@harithhassan3374 6 жыл бұрын
ifike mahala pawe kama SAUD ARABIA yaani mawe mpaka kufa uyo shoga
@larickmtui2852
@larickmtui2852 6 жыл бұрын
Dudu baya ametaja maana wlimiomba awafire
@sarafutatu5946
@sarafutatu5946 6 жыл бұрын
Tulipokumbatia mambo ya kigeni, basi na hapo ukawa mwanzo wa kupokea yote. Tuzidi kujikakamua kuupunguza ila nawaambia hivi, ushoga hutaisha ila utazidi kunawiri. Kwetu wapo, tena wengi sana, muda tu kisha wajitokeze hadharani. Cha muhimu ni kila moja agange ya kwake. Mashoga wengi jamani. Mola awe nasi.
@shungushula4340
@shungushula4340 6 жыл бұрын
mkuu wakoa angalia na mabaasha wao wakamatwe maana wakiachwa tatizo alita isha na uku katika shule ya kivule kunatukio liliwai kutokea kuna mzee alimuingilia mwana funzi kunyume na maumbike walimu wana jua iyo kesi
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 6 жыл бұрын
Daa na waurumia wanapenda kupima mbona wanaipata fresh 😔🤔 maana nimemuona uyo ruti adi kukaa hawezi
@selemankishema5780
@selemankishema5780 6 жыл бұрын
Pia hata wanaovaa hereni watoto wa kiume muwachunguze
@aurora2010ist
@aurora2010ist 6 жыл бұрын
Halafu unakuwaje wanaume wanaoingilia wanawake kinyume na maumbile wanashtakiwa pamoja na wanawake wao, lakini wanaume wanaoingilia wanaume wenzao kinyume na maumbile wanajitapa tuu, hatuambiwi tuwataje na wao ndio wapo mstari wa mbele kuwataja mashoga???
@ishaq9925
@ishaq9925 6 жыл бұрын
tobaaaaa kimenuka
@catherinekigutu3606
@catherinekigutu3606 6 жыл бұрын
Dudu baya kajuaje au nae dunga dunga
@mamachris6811
@mamachris6811 6 жыл бұрын
Zoezi hili lisitumike vibaya kuna watu watapata mwanya wa kulipiza visasi na kuchafua wengine. All in all,mtoa rushwa na mpokea rushwa wotw MAZGANYANDA😁😁😁😁
@aishaabdalla9323
@aishaabdalla9323 6 жыл бұрын
wachukuliwe kamawanakataa wapimwe kamaanavodai dudu bays me naonaanauhakikando maana anajiamini
@Papa2thaE
@Papa2thaE 6 жыл бұрын
Simlitaka kulakula kuku wa kisasa na mbolea za kisasa. Samadi ipo wapi? Astakghaffirirwah!
@rizikijohn4594
@rizikijohn4594 6 жыл бұрын
Lakin cy kupigwa mana nimeona mtu anapigwa mpk huruma
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 жыл бұрын
angalia usijetumiwa SMS ya; you said to much the time for you togo
@kilazajr3720
@kilazajr3720 6 жыл бұрын
konki konki master... oil chafuu.. (huku sauti ya mkwaruzo ikisikikaa)😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@joharibashir8643
@joharibashir8643 6 жыл бұрын
Dudu baya anaposema ivyo na anakubali kuwa kamasio mashoga afungwe ina maana ana uwakika kwaiyo naeza nikasema dudu baya hana kosa
@ernestsinje9532
@ernestsinje9532 6 жыл бұрын
Taifa tumesahau kujadili mafisadi tunajadili kuhusu mashoga na wasagaji ili tusahau mengine tukimaliza mashoga tujadili singeli basi........
@stephenemganga3604
@stephenemganga3604 6 жыл бұрын
Konk konk konk master😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@azezaalkh8536
@azezaalkh8536 6 жыл бұрын
mm2, hapo!kwenye konk konk ameniacha hoi
@rehemamahmud855
@rehemamahmud855 6 жыл бұрын
Stephene Mganga cheka ila angetajwa baba yako ungelia,
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 6 жыл бұрын
hayo matusi sasa,tena unakosea sana
@stephenemganga3604
@stephenemganga3604 6 жыл бұрын
@@rehemamahmud855 unajua babaanga alipo au unaongea ongea tu?
@stephenemganga3604
@stephenemganga3604 6 жыл бұрын
@@rehemamahmud855 hebu ongerea vtuvngne sio kumleta babaangu hujui yupo wapi jiheshm .. Sana nilchokfnya hapo nikucheka ,, sa ultka watajwe nilie? Ndgzang mpka malfk zng awawez kufanya ushetan wakjnga kma huo kwahio wala hawawez kutajwa .. Nikushaur kujiheshim
@ramadhanikhamisi770
@ramadhanikhamisi770 6 жыл бұрын
RC madawa ya kulevya yamekwisha?
@williamyohana6415
@williamyohana6415 6 жыл бұрын
DUUUUUUHHHHHHHHHHH KUMBEEEEEE NA YULEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
@selemanimasatu2421
@selemanimasatu2421 6 жыл бұрын
Mtu akinena kwa kujiamini na kujiweka bondi anajua nn anakimanisha na wapi ambapo alishawahi kupita akaona either yeye au mwingine.
@ggjghh6245
@ggjghh6245 6 жыл бұрын
Dudu mweh kambiwa tuma sms akaambiwa yy awataje hazharani mwenye zhamana hiyo ni mkuu wa mkoa tuu na vuongozi wengine sasa yy anashupalia kutaja majina vp???
@pastormkamanga248
@pastormkamanga248 6 жыл бұрын
hahahahahaaaa konki master
@cestlaviecestlavie4606
@cestlaviecestlavie4606 6 жыл бұрын
inabidi tanzania nzima ipimwe mikundu ? 😂😂😂, watafungwa wengi dah !
@makkaally1011
@makkaally1011 6 жыл бұрын
Kwery
@nkuhimmary6007
@nkuhimmary6007 6 жыл бұрын
Dudu baya anakosa bcz kaenda kinyume na taratibu zilizotolewa na mkuu kwani wengine wanaotuma SMS walishindwa Kufanya kama yy? Amekosea tena sana! Na mkuu naona kama kuna dalili ya kunyamazia hatukatai yy kuwataja bt afuate taratibu zilizotolewa.
@naahsalim9472
@naahsalim9472 6 жыл бұрын
Wenda na yy ni xhoga sasa amejuaje
@hamisiilotwa7584
@hamisiilotwa7584 6 жыл бұрын
culitaka kujua!!!???
@upendorobert7298
@upendorobert7298 6 жыл бұрын
kina Ben kinyaiya, Sam mahela, kwisa na wengine, si nao wakanushe, kubalance story
@bahatiabc4291
@bahatiabc4291 6 жыл бұрын
Dudu bayauheshimiwa muajiri kazi yakuwasaka ni jasir kazi anaiweza amewataja coz hapendezewi na hulka hio.....
@baragatimaingu5623
@baragatimaingu5623 6 жыл бұрын
Konk master anahuhakika maana kama hana uhakika hawez seme kama c kwel bas afungwe.....
@weraufoo7560
@weraufoo7560 6 жыл бұрын
Dudu baya naye atakuwa shoga
@iqramkhambi7208
@iqramkhambi7208 6 жыл бұрын
Dudubaya mwehu
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 6 жыл бұрын
mm nimechoka kuwasdikia
@gambinonyalys3357
@gambinonyalys3357 6 жыл бұрын
We nae ulikua unataka Kiki tu,Kama shida yako ilikua ni mashoga, anza nao hao uliotajiwa na konki master
RC MAKONDA ATAJA ORODHA YA MASHOGA
9:07
Global TV Online
Рет қаралды 40 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
DUDU BAYA ACHUKIZWA NA KIBOKO YA WACHAWI, ONA AIVYO MUUMBUA
14:43
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 108 М.
WILLE:  Simuombi Msamaha DUDU BAYA (Baba Yake)
22:14
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
DRAMA AT D.C.I GACHAGUA ARRIVING [GACHAGUA SURMONED BY DCI]
7:12
WAMUCHEMBE JUNIOR REALITY VIBES
Рет қаралды 100 М.