No video

#PART

  Рет қаралды 110,394

Global TV  Online

Global TV Online

Жыл бұрын

#PART 1: MCHUNGAJI HANANJA - ''KUZAA SIO KIGEZO CHA NDOA, NILIOA NIKIWA NA MIAKA 40'' | HARD TALK
KWENYE HARD TALK ya Mtumishi wa Mungu na Mwandishi wa vitabu nchini Lilian Mwasha amezungumza na Mchungaji Richard Hananja ambaye ameeleza mengi juu ya maisha ya ndoa na mahusiano huku akiyajibu maswali mazito kama vile, umri wa mwanamke/ mwanaume kuoa ama kuolewa pia amejibu juu ya kupishana umri kwa wanandoa ni sahihi au sio sahihi?
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 110
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@LiveTrader5686
@LiveTrader5686 Жыл бұрын
Ma yt studio open kar ka dako ga ok
@solangebagal149
@solangebagal149 Жыл бұрын
Unaweza Ku zarau mtu kumbe haujui kinacho kuwa ndani kwake past hongera sana🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌💪💪
@zenassylvester125
@zenassylvester125 Жыл бұрын
Yani Mchungaji unavyoshusha vifungu vya biblia ni raha sana, hapa ndipo watu wajue Biblia ni mfumo wa maisha ya DUNIANI na MBINGUNI unapata kila kitu yani ni ful package. ... tusome Biblia tuzidishe viwango vya hekima na uchaji MUNGU. Asante Hananja na Mwasha. Mungu wa mbinguni awalinde
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Amen
@novatusmataba-bg3rt
@novatusmataba-bg3rt Жыл бұрын
Napenda maswali ya dada na vile mchungaji anavyojibu.hakika najifunza zaidi🥰
@bryfrancis7879
@bryfrancis7879 Жыл бұрын
One of the Best Interviews alizowahi fanya Mchugaji Hananja,Congrats kwako dada Lily,Mungu akaendelee kukuogoza na kukubariki.🙏
@marywairimu5682
@marywairimu5682 Жыл бұрын
Muchaji ajengewe bangooo......he always speak the truth....in and out i wish all postar would be like him .......Hua unafunza vizur sana mpaka mtu anaelewa
@milliardere9177
@milliardere9177 Жыл бұрын
Wanasifiwa wakisha Kufa
@linnetmbotto7212
@linnetmbotto7212 Жыл бұрын
It’s very easy to listen to this man, he is very easy to talk to also
@safiahassan6121
@safiahassan6121 Жыл бұрын
Mchungaj ana majibu yanayoeleweka na lily unauliza maswali mazuri sana👏
@ambakisyemwakinunu2002
@ambakisyemwakinunu2002 Жыл бұрын
MCH RICHIE BILLIONAIRE mzee Asante kwa mafundisho yako mazuri hususani kupitia mifano ya maisha yako(kuishi kwako ni kitabu tosha)
@Mamatonny2065
@Mamatonny2065 Жыл бұрын
Napenda mazungumzo yako mchungaji. Naangalia kipindi hiki nikiwa Scandinavia.
@rittaaziz4470
@rittaaziz4470 Жыл бұрын
MY PASTOOOR AND FRIEND RICHYYY NIMEFURAHII KUKUONA KWENYE TALK NA MY FRIEND LILIAN. NIMEONA GHAFLA ON YOU TUBE BAADA YA KUMWANGALIA DR ELIE...NIKASEMA LET ME LISTEN TO IT TOO. GOD BLESS YOU BOTH
@mayungaagnes5660
@mayungaagnes5660 Жыл бұрын
Amina.Kipindi kizuri na kinamafundusho Mungu AWATUNZE wapendwa ❤️❤️❤️
@miriamumbwilo164
@miriamumbwilo164 Жыл бұрын
He is so realistic 🙏
@mako331
@mako331 Жыл бұрын
This Pr God bless him abundantly, he’s very really and direct to the point, sio mnafiki, tunamuhitaji US huyu
@marymachibya630
@marymachibya630 Жыл бұрын
The most realistic man I’ve seen 🙌🏾🙌🏾
@aureliayuktankabebwa5066
@aureliayuktankabebwa5066 Жыл бұрын
Sis Lily,Asante kwa hardtalk ya Leo nimejifunza vingi sana ✍🏽🙏🏾,yaani Imenitouch sana tena sana .UBARIKIWE SANA NA WATU UNAOTULETEA WENYE HEKIMA WANATUFUNZA SANA SISI MABINTI🙏🏾.MUNGU ATUSAIDIE KUWA WATU SAHIHI KWA WATU SAHIHI NA KUPATA WATU SAHIHI🙏🏾.
@JacqueJoseph
@JacqueJoseph 19 күн бұрын
Mungu akubariki Mshungaji
@hosianathomas6309
@hosianathomas6309 Жыл бұрын
Halleluya Mungu wa mbinguni awabariki sana sana, mnatubariki sana
@Tonyezekiel639
@Tonyezekiel639 9 ай бұрын
Baba anaongea kweli ❤nmejifunza mengi shukrani Mchungaji 😊
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Sijawahi kuachwa ninagopa sana kuachwa.mungu amenipauwezo kwa kusoma red flag na kuamini my instict.nimerudisha posa tatu ya nne ndio nikaolewa naye lakin wale wote watata niliowaacha nilikuwa sahihi kabisa
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 Жыл бұрын
This was so nice, blessings Mchungaji Hananja 🙌 🙏. And kudos Mwasha kwa kutuletea insightful people 👏
@AgapeandGlorySingersTz
@AgapeandGlorySingersTz 10 күн бұрын
Amina
@fatufatu5754
@fatufatu5754 Жыл бұрын
Nimependa kwakweli kumbe hizo roho ni za kustawi Asante baba
@eliwitnessjoseph4350
@eliwitnessjoseph4350 Жыл бұрын
Kwakwel mchungaji hananja, unasema mambo makubwa , na yanatibu maisha yetu!
@kizadina6448
@kizadina6448 Жыл бұрын
Jamani uyo baba Mungu hahendelea kumlinda ❤❤
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Ahsante sana dada pamoja na mchungaji kwa Elimu hii
@Coachsamwel
@Coachsamwel Жыл бұрын
Daah! Huyu pastor balaa unajifunza huku unacheka jaman😂... Barikiwa Hananja na Lilian
@maishakisunzu391
@maishakisunzu391 Жыл бұрын
Sema tu Lilian Mwasha hautakiwi kuwa kufanya kazi platforms hizo, unatakiwa kufanya kazi na platforms za kimataifa kama BBC, VOA, DW n.k. You are so so so talented Mwasha hakuna mwingine tz. Interviews zako lazima zimuongezee mtu akili
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Жыл бұрын
Mchungaji ana akili ndefu sana, Mungu amtunze. Tuletee part 2 haraka
@barakamatovu4277
@barakamatovu4277 Жыл бұрын
Hii jamaa ni sheeda. Namkubali sn
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Bahati nakataa..,sisi watu wa Mungu hatukutani kwa bahati.,tunakutana kwa neema na mapenzi ya Mungu. Nikikutana na mtu ni neema ya Mungu siyo bahati. Waachien wa dunia waendelee na hilo neno lao la kila kitu ni bahati...,watu wa Mungu tusonge kwa neema na mapenzi ya Mungu. Ni maneno mawili tofauti hata kwa maana.
@ninenine7169
@ninenine7169 Жыл бұрын
Neema ni jambo zuri(baraka) kutoka kwa Mungu, Na bahati ni jambo zuri linalopatikana kutoka kwa Mungu.
@marendegodispansary4911
@marendegodispansary4911 Жыл бұрын
Mwamba huyu hananja anapiga nondo za kiroho na binafsi namuelewa
@eliachalamila2259
@eliachalamila2259 Жыл бұрын
Bahati ndiyo neema hiyo. Usitutoe ktk reli wewe
@alearn2714
@alearn2714 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana..nakufuatilia sana siku zote nikiwa qatar.
@SophiaPatson
@SophiaPatson Ай бұрын
Nashukulu nimepata kitu hapo Roho ya kustawi
@rahmaabdalla7643
@rahmaabdalla7643 Жыл бұрын
Shukran sana,
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Жыл бұрын
Nakukubali mchungaji Hananja bb Mungu akupe maisha marefu 😘
@gracelema2374
@gracelema2374 Жыл бұрын
Nakuelewa sana Mchungaji 😢 ubarikiwe😊
@beckasmile762
@beckasmile762 Жыл бұрын
Uyu dada ni kama ametumia kipndi kuelezea situation zake binafsi
@maryschroeder521
@maryschroeder521 Жыл бұрын
Oh lord what i was waiting for ❤❤❤❤❤
@olivaerasto6669
@olivaerasto6669 Жыл бұрын
Kwa kiha tunasema uwumusi ni leo.kutachimbika💜💜💜
@eliwitnessjoseph4350
@eliwitnessjoseph4350 Жыл бұрын
Baba unahekima sana, mm napenda kuuliza maswali hayo, alijiandaa kabla au amekutana nayo hapo? Maan ni maswali magumu lakin father anapiga tu.
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mchungaji kwa elimu kubwa, hakika tunasaidika sana.
@dhahiriwaseka1526
@dhahiriwaseka1526 Жыл бұрын
Nmeipendaaa saaan hii interview😋
@samwelikahema2090
@samwelikahema2090 Жыл бұрын
Amen mchungaji wangu asante kwa somo
@Bbwaoy
@Bbwaoy Жыл бұрын
Ni kweli aise. Mwanaume akitoa kitu huwa ana ambatanisha na maneno machafu moyoni mwake. Laiti wange yasikia wasinge vipokea.
@SalumuHasan-us6kk
@SalumuHasan-us6kk Жыл бұрын
Genius hanajaaa
@ziadasalimu1730
@ziadasalimu1730 Жыл бұрын
Hivi ndio vipindi vya kusikiliza
@mensahmansour9408
@mensahmansour9408 Жыл бұрын
Mzee anaakili sana
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
Mbarikiwe Sana😍😍😍😍😍😍
@mr.kaporo2479
@mr.kaporo2479 7 ай бұрын
God bless poster
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 Жыл бұрын
very bright 👊
@isaackchumba8655
@isaackchumba8655 Жыл бұрын
I love this hard talk
@lucyemichael7814
@lucyemichael7814 Жыл бұрын
Asante Da Lilian🙏🏻🥰
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Ubarkiwe sana babaangu
@saraphinalupondo1115
@saraphinalupondo1115 Жыл бұрын
Love baba nimekuelewa sana
@user-exauceimani
@user-exauceimani 9 ай бұрын
Amen
@bmdele5816
@bmdele5816 Жыл бұрын
Mtu simple, Maneno simple lakini mazito na ya thamani kubwa
@peterkichochi7510
@peterkichochi7510 Жыл бұрын
Bora turudi KWENYE Agano la Mungu. Haya mambo ya 50 kwa 50 yatawamaliza hichi kizazi Hakina hata msahuri WA maana..kipofu hawezi kumiongoza kipofu mwenzake.
@solangebagal149
@solangebagal149 Жыл бұрын
Aki mimi ni binti Ila nitowa shauri nyingi katika hii interview
@ambrosmtupili4668
@ambrosmtupili4668 Жыл бұрын
More inspired
@shedrackdamian2870
@shedrackdamian2870 Жыл бұрын
Nakupenda Sana 💋💋💋
@milliardere9177
@milliardere9177 Жыл бұрын
Sister ubarikiwe hujajicubuwa
@issayasosolo6033
@issayasosolo6033 Жыл бұрын
Wachungaji Kama huyu kaniisa huwa haliwataki linawalima barua ya kuachishwa huduma yake, Hapo ndipo Mungu anawaumbua mtumishi anatoa masomo yenye kufundisha jamii, Wàcha makanisa yaongozwe na wapenda sadaka na kudema beans asifiwe na ibada ndiyo imeisha hapo!
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 Жыл бұрын
Mtangazaji tatizo we mwenyewe hujikubali maana hata kope ulizopewa na mungu umeona hazifai ukaweka zakwako
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 Жыл бұрын
Mtangazaji huwa unabia.una.maneno.mengi.mnooo unaboa
@edwarddaud6785
@edwarddaud6785 Жыл бұрын
Leta.part 02 mwasha
@marryathumani1398
@marryathumani1398 Жыл бұрын
Baba amemeza mistari mpka Raha.... Yaani biblia imekaa kichwani... Mafundsho mazuri Sana
@fora2009
@fora2009 Жыл бұрын
😘😘
@pendomartin3504
@pendomartin3504 Жыл бұрын
Amen 🙌🙌
@jacklinenziku4865
@jacklinenziku4865 Жыл бұрын
😘😘😘
@elizaberthpius4511
@elizaberthpius4511 Жыл бұрын
May God bless my pastor 🙌😍
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣kama nyau ana mume lakini hajui kaolewa umenichekesha baba mchungaji
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Lily ‘ mimi pia nataka baba ‘ jamani Kuna vitu vigumu sana kwenye haya mambo.
@leticiaharry8229
@leticiaharry8229 Жыл бұрын
Nimejifunza kwenye ustawi
@Mfundo272
@Mfundo272 Жыл бұрын
Watangazaji Hamna maswali Wala topic nyingine zaidi ya mahusiano ( mnakwama wapi)
@simonmollel2727
@simonmollel2727 Жыл бұрын
Nilikuwa simwelewi Mchg Hananja lakini sasa naanza kumwelewa
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
HIV hamjagundua MCH Hananja Ni hazina hapa nchini kwetu? Jamaa anaongea AMENYOOKA mno
@Fabio-qx2ns
@Fabio-qx2ns Жыл бұрын
Sababu ya kuoana ni kuzaa ndoa bila kuoana wakati hutaki kuzaa ni uzinifu
@vivianbampikya4484
@vivianbampikya4484 Жыл бұрын
Aisee ninasubiri part 2...ni moto
@shakiraally2821
@shakiraally2821 Жыл бұрын
Asanteee Kwa somo
@victorphilibert1629
@victorphilibert1629 Жыл бұрын
Umeona ee
@lovenesslukas5360
@lovenesslukas5360 Жыл бұрын
Uwiiiiiiiiiiiii
@melisamasawe4565
@melisamasawe4565 Жыл бұрын
Part 2 iko wapi sasa mnakera
@HabibuHababu
@HabibuHababu 3 күн бұрын
Et mchungaji samahan Nina swali apa eti kupata Dem Kwa umri WA miaka 20 ilikujipoona kuepukana na his zakutaman taman s ni saw kufanya ivyo
@soplisjoachim5884
@soplisjoachim5884 Жыл бұрын
Wewe mama kila mada unazungumzia mahusiano tu ? Hebu uliza maswali yanayohusu topics nyingine bwana ........
@kilimajohn5600
@kilimajohn5600 Жыл бұрын
Noma sana hii 😂😂😂😂
@farida7645
@farida7645 Жыл бұрын
Yaani humu Moto utawaka💃💃💃❤️😘
@mamydidaammar6660
@mamydidaammar6660 Жыл бұрын
😂 Kazi kweli kweli
@balljmushi9599
@balljmushi9599 Жыл бұрын
Mmekosea,,kutokutaja---mapepo ya ngono. Malango hayooo,,,
@user-vs7gs2xq4c
@user-vs7gs2xq4c 11 ай бұрын
Huyu hananja ajengewe sanamu yake
@mohamedaden8483
@mohamedaden8483 Жыл бұрын
Mi mwenyewe nilioa nikiwa na Miata 40
@shakiraally2821
@shakiraally2821 Жыл бұрын
Uyu mwenzangu 🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulyayubu-jg5lw
@abdulyayubu-jg5lw Жыл бұрын
Wewe mchungani Yani wewe nihatali Sana
@ayubuamli3348
@ayubuamli3348 Жыл бұрын
Hapo kwenye kushika mzigo na kukuingizia 😂😂😂
@Oye494
@Oye494 Жыл бұрын
Kipindi kizuri saaana
@madeleineniyoyankijije5332
@madeleineniyoyankijije5332 Жыл бұрын
mchugaji huu awekewe ulinzi wakutosh
@leonardsolomon8458
@leonardsolomon8458 10 ай бұрын
Mananja 😂😂😂😂 kubatuana.
@alphashayo2323
@alphashayo2323 Жыл бұрын
Bilashaka huyu Mwandishi/Mtangazaji yuko too emotional with stress zake binafsi kutokana na kuumia au kuwa majeruhi wa maisha ya ndoa yake..very poor Unprofessional.
@vickydan2869
@vickydan2869 Жыл бұрын
Yes kitu kama hicho
@jeannettenyabitanga9999
@jeannettenyabitanga9999 Жыл бұрын
Mucungaji ubalikiwe
@catherinesembeka1417
@catherinesembeka1417 Жыл бұрын
Ndoa Haina mwenyewe msomi na mbumbumbu wote chet kimoja . Chezea ndoa ww.
@saidmajeba9791
@saidmajeba9791 Жыл бұрын
Utaniona mfupi kitandani 😂😂 Ufupi wa maandamano😂😂
@qualiamaxwell6305
@qualiamaxwell6305 Жыл бұрын
She’s desperate 😮😅
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 27 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
WANAWAKE SIKU HIZI KAMA GARI LA MKAA / YESU HATUJUI
36:45
Mjini FM
Рет қаралды 37 М.
MCHUNGAJI HANANJA AINA NNE ZA MAHUSIANO, AINA NNE ZA MKE
20:39
Tacmen Group
Рет қаралды 605 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 27 МЛН