HUYU JAMAA ALIPASWA KUWA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM
@samxx4114 ай бұрын
Mie muislam ila huyu mzee mara nyingi husema ukweli tofauti na wengine
@hamidudigogo58634 ай бұрын
Huyu jamaa namkubali sana Wakosto wange mwelewa huyu jamaa wange kuwa na kafaida
@dicksonkilupa22584 ай бұрын
Kweli tunaona vijana wengi wasomi ila maisha hawana , hivyo kuna wakati watachoka maana wana waswali mengi yasiyo na mtu wa kuyajibu. POINT MUHIMU.
@nozesybafikege84174 ай бұрын
Uko sahihi Ndugu Ubarikiwe
@jumasaghida54924 ай бұрын
Safi sana mch
@gracekagoma32314 ай бұрын
Huyu ni mchungaji wa kweli🎉❤
@IsmailMjeshi-y6d4 ай бұрын
Namkubali sanaaaaaa, anasema shetwaaaaniii😅😂😂😂
@hassaniibrahim3004 ай бұрын
Mchungaji msema kweli
@juliuskitaluka12064 ай бұрын
Ukweli mchungu
@rabaniAmri4 ай бұрын
Nikweli sahihi kambisa❤
@NdayishimiyeLookman-g3w4 ай бұрын
Kweli kbc
@suleimansamweli73164 ай бұрын
Shetwani😂😂😂😂😂
@Kuminamoja19954 ай бұрын
Points 👉
@rashidkihunga29384 ай бұрын
Sijawai kutoa kasolo kwa neno lako humng^nyi maneno
@simonnjovu5864 ай бұрын
Rum. 13:1-mamlaka ni mfumo na siyo mtu. Serikali inatakiwa kuitii Katiba iliyopo kwa wakati huo hata kama kiongozi mkuu hakubaliani na baadhi ya mambo yaliyomo humo ni lazima aitii. La sivyo kufanyika mabadiliko ya Katiba na siyo kutumua amri zake.
@celestinshayo72954 ай бұрын
Miaka ile kulikuwa na maandamano Julai mosi kila mwaka al-maarufu kama matembezi ya mshikamano. Tulikuwa tunahamasishwa tuandamane. Leo mambo yamebadilika tukitaka kuandamana tunakatazwa!
@germanusmtono63524 ай бұрын
Fikra tunduizi
@AllyUliza4 ай бұрын
Viongozi wachukuwe madini hayo.
@yassinm694 ай бұрын
Tatizo mhalifu ukimpa upenyo wa kupita atakushambulia .
@MakuoeJafary4 ай бұрын
Nikukumbushe kilichosababisha wasitishiwe maandamano ni Neno Samia masti go