SHILOLE AZINDUA MGAHAWA MPYA DODOMA, MAWAZIRI, NAIBU SPIKA, WABUNGE WAFURIKA Kupata MSOSI...

  Рет қаралды 12,274

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SHILOLE AZINDUA MGAHAWA MPYA DODOMA, MAWAZIRI, NAIBU SPIKA, WABUNGE WAFURIKA Kupata MSOSI...
MSANII na Mjasiriamali, Shilole, ameendelea kutanua wigo wa biashara zake ambapo amefungua mgahawa mpya jijini Dodoma na kuwakaaribisha wabunge pamoja na mawaziri kushiriki nae katika uzinduzi huo...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 55
@habibernest9556
@habibernest9556 3 жыл бұрын
Sijui hata niseme nn, ila shishi matende yako yanajenga na kuwapa nguvu mabint waliokata tamaa.. God bless you shishi.🙏
@roseatieno6691
@roseatieno6691 3 жыл бұрын
What a hard working woman 💪💪 well done Shishi . Sasa ukuwe makini na kulea vi ben ten, na utakuwa mbali kimaendeleo .
@huseinsenior4429
@huseinsenior4429 3 жыл бұрын
Congratulations 👏🎉👏 shilole big up mummy keep on moving God 🙏 blessings from nowhere I love because you work hard🏆🏆🌟🌟🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@irenemkwizu2041
@irenemkwizu2041 3 жыл бұрын
Hongera sana Shilole. Mungu azidi kukutunza na ufike mbali zaidi na zaidi.
@magimartin8523
@magimartin8523 3 жыл бұрын
Hongera Sana dada
@elizabethhonere2931
@elizabethhonere2931 3 жыл бұрын
Huyu mwanamke wa shoka Mungu akufanikishe zaidi shilole wangu
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Dada shilole ongera sana nami natamani sana nami unipe kazi dada napenda kupika my dada kujituma ni jambo zur sana ongera
@veronicatweve8908
@veronicatweve8908 3 жыл бұрын
Hongera Sana mdogo wangu
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Mashalllah ❤️
@janetkimati4645
@janetkimati4645 3 жыл бұрын
Wow super woman
@musallam00alhrassi57
@musallam00alhrassi57 3 жыл бұрын
Mashaallah ❤️
@magrethdamiano6603
@magrethdamiano6603 3 жыл бұрын
Hongera Shishi!pambana mama!wanawake oyeeeeee
@judamsaki5609
@judamsaki5609 3 жыл бұрын
great shishi wangu......great....
@upendolema9809
@upendolema9809 3 жыл бұрын
Hongera Sana Sana💪💪
@hajimassawe2592
@hajimassawe2592 3 жыл бұрын
Hongera Sana shishii
@khadijacharles2433
@khadijacharles2433 3 жыл бұрын
We dada hongera sana
@jasminjamali9518
@jasminjamali9518 3 жыл бұрын
Mashallah
@nuruhassani2337
@nuruhassani2337 3 жыл бұрын
Hongera sn shishi kwa jiendeleza Safi san
@ennymajaliwa4486
@ennymajaliwa4486 3 жыл бұрын
Hongera. VIPI TENA KUKUMBATIANA ! TAHADHARI KWA COVID WANDUGU.
@kudrantegakaje1624
@kudrantegakaje1624 3 жыл бұрын
Mashaallah
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Hongera mama
@rosedavid7600
@rosedavid7600 3 жыл бұрын
Hongera shishi
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 3 жыл бұрын
Hongera shishi👍🇹🇿
@magrethwezza1339
@magrethwezza1339 3 жыл бұрын
Hongera sn shishiii
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Hongera Shilole!
@kadashijunior2141
@kadashijunior2141 3 жыл бұрын
Good,, creativity woman
@angelinamayombo5511
@angelinamayombo5511 3 жыл бұрын
Wa kukaya igunga,safiiii
@sarahmunga5885
@sarahmunga5885 3 жыл бұрын
I Salute her from Kenya
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
Mwanangu ongera sana mimi hapo paja la kuku hilo analonyayua Dada Ummi
@miriamsaidi1047
@miriamsaidi1047 3 жыл бұрын
Safi
@zawadikininga5706
@zawadikininga5706 3 жыл бұрын
Nice dada
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Win win win Big up Shilole watimulie vumbi.
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 3 жыл бұрын
Naic shishi
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 3 жыл бұрын
Kweli kaz iendelee
@pendezanamamaeuge812
@pendezanamamaeuge812 3 жыл бұрын
hongera shishi chapa kazi , ila wafanyakazi zaidi wapishi wavae gloves wakitayarishachakula nawanapo kuwa wakipika ao ku choma please.
@stellaprince4871
@stellaprince4871 3 жыл бұрын
Ndio maana amesema chakula chake chakiafrika 🧤 za Nini Tena, tu salaama
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 3 жыл бұрын
Shishi hongera uckatishwe tamaa na viumbe mn wana roho mbaya fursa itumie haswaa ucje ukawa km yule mposti waganga fursa alipewa akaiacha kuitumia ata jina lk kashindwa kulitumia ukimjua na ikikutachi post yng vyuma vigae umezee ufee lkn ukweli ndo huu ukiwa na jina litumie kwa maendeleo utafika mbali
@rachidesaide3638
@rachidesaide3638 3 жыл бұрын
Shishi njia zako nazikubali sn mpambambanaji mungu atakupaa nakuombea dua
@manish-fp1fb
@manish-fp1fb 3 жыл бұрын
Dada ana akili sana huyu... unatengeneza kiki alafu unafanya kilr unachomudu. Safi sana, bila umaarufu hautoboi kirahisi.
@benedictmrisho2361
@benedictmrisho2361 3 жыл бұрын
Mwekezaji mdogo mzalendo. Aungwe mkono.
@mwanjaarashidi7402
@mwanjaarashidi7402 3 жыл бұрын
Hongera sana shishi upo vizuri mwenyezi mungu akusimamie kazi zsko
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 жыл бұрын
Ukisikia mtu anasema eti hakuna ajira, jua huyo anataka sehemu ya kuiba Mali za Umma.
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Ongera sana wa kwetu tabora
@sukariyao6537
@sukariyao6537 3 жыл бұрын
😳😳🥰🥰🥰🤗
@amzamrid3571
@amzamrid3571 3 жыл бұрын
Na vyakula vya kichina vinapatikana???
@happinessmwenda2773
@happinessmwenda2773 3 жыл бұрын
ULIPAJI WA KODI UPEWE KIPAUMBELE KWA MAENDELEO YA TAIFA.MSISAHAU KUTOA NA KUPOKEA RISITI.HIZO NDIZO BIASHARA ZA NCHI ZENYE MAENDELEO.
@jasminjamali9518
@jasminjamali9518 3 жыл бұрын
Bufee ya nguvu dada shishi
@faidahalisi592
@faidahalisi592 3 жыл бұрын
Shishi Mimi hiyo nyama choma tu hapo na juice itanifanya nikutafute
@officialedyjr924
@officialedyjr924 3 жыл бұрын
Kula kujigalagaza
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 3 жыл бұрын
Mama umi mama wa covid nakuona vile
@emmanuelmkeba7901
@emmanuelmkeba7901 3 жыл бұрын
Kaanza Kama msanii shavu lazima we kapuku nenda uanze uone
@rezegerezege691
@rezegerezege691 3 жыл бұрын
Usiogope ndugu yangu kwenye maisha haupaswi kuogopa chochote ww nenda mbele kwa mbele.
@asifiwekitunga4655
@asifiwekitunga4655 3 жыл бұрын
Ni dom maeneo gn tukutembelee
@ricksonlyimo5594
@ricksonlyimo5594 3 жыл бұрын
Nami nimeuliza swali kama lako nasubilia majibu
Real Or Cake For $10,000
00:37
MrBeast
Рет қаралды 60 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 6 М.
NYOMI LA STESHENI YA SGR DODOMA NI HIVI 🔥🔥🔥🔥🔥
10:13
"RUTO KAMA UMESHINDWA NA KAZI 2027 TUTAJIPANGA" MP GAKUYA SENDS A MESSAGE TO RUTO
11:11
Real Or Cake For $10,000
00:37
MrBeast
Рет қаралды 60 МЛН