KIJANA ARUSHA ALAWITIWA BAADA ya KUGOMA KUMLAWITI MWENZAKE - ADAI ALITISHIWA KUUAWA na CHUPA...

  Рет қаралды 38,144

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

KIJANA ARUSHA ALAWITIWA BAADA ya KUGOMA KUMLAWITI MWENZAKE - ADAI ALITISHIWA KUUAWA na CHUPA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 135
@globaltv_online
@globaltv_online Ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@hamisaally968
@hamisaally968 Ай бұрын
Kwa nini mumuonyeshe sura yake uwa amuhakiki video kabla ya kupostiii au ndo kupuuza, hii video mngeitoa kabla wengi awajaangalia ni kumdhalilisha uyo kijana japo mmepostii kwa msaada
@khamis9187
@khamis9187 Ай бұрын
Allah atulinde wanaume wote na vizazi vyetu...
@OmanAlkamil-nl2zw
@OmanAlkamil-nl2zw Ай бұрын
Innalillah wainaillah rajiuun 😭😭😭 M.mungu atulindie vizazi vyetu
@maryamrashid8499
@maryamrashid8499 Ай бұрын
Kamuonea kwa sbb mlemavu wa miguu mungu atamlipia
@damianikimario5695
@damianikimario5695 Ай бұрын
kumuonyesha live ni kosa kubwa muwe mnaficha picha za uzaliliahaji kama hivi maana nivitendo vya aibu sana jamii itamuonaje. sauti tu inatosha 🙆
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 Ай бұрын
Mwandishi umekosea sana sana kuweka wazi sura yake . Kwakweli umekosea, sasa tukio la aibu na kikatili kama hili unamwanika mhanga namna hii. Maadili gani haya ya habari!!
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Ай бұрын
naamini kaghafilika koz Global Arusha wanajitahidi ndugu.
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER Ай бұрын
Hiyo ni bahati mbaya bhana😢!
@jonaspatrick2871
@jonaspatrick2871 9 күн бұрын
Huyu ni mzazi na sio muhanga, ila wasingemuonyesha pia kwakuwa ni rahisi watu kupata picha ya muhanga.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Allahu akibar. Subuhanallah. Inalillahi wainailahi rajuun
@mamasalhat
@mamasalhat Ай бұрын
Subhanallah jamani laana imeingia Tanzania laana isio na mfano
@claudiangowi9628
@claudiangowi9628 Ай бұрын
Tena siyo laana ndogo, nuksi imeingia awamu hii mauaji kila Kona ubakaji ulawiti kubakwa Yani ni laana tupu
@BablayEagle
@BablayEagle Ай бұрын
Hii kitu imeniuma sana tena sana afu izi media za saiz nazo zakisenge inamdhalilisha mtu kiasi iki kwa kumuonesha muonekano wake je akichukua hatua ya kujiua nani alaumiwe kama sio hii media
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Usikubali kumalizia nyumbani kienyeji ,kwanza ni mlemavu apatiwe haki yake jaman
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Ай бұрын
Mngeweka tu sauti jamani Sasa mnaficha uso Wakati anaonekana akitembea watamjua tu😢😢
@aminamareta9297
@aminamareta9297 Ай бұрын
Uyo anyonge tu asiperekwe gerenzani yani anyogwe anzarani mshenzi sana 😢😢😢
@user-mu1uf2rl4x
@user-mu1uf2rl4x Ай бұрын
Aisee umekosea Sana kumuonyesha mwili wake wote afu ukaja ziba uso si Sawa kabisa
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 Ай бұрын
Sasa umemuonyesha chini mpaka juu kuna sababu gani ya kumficha sura maana wapo wanaomjua tayari keshazalilika
@JJTSUPERCLEANER
@JJTSUPERCLEANER Ай бұрын
Bahati mbaya bhana!
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
😢😢😢 masikin pole sana yaani Dunia tunaipeleka wap jaman watu wamekuwa hawana huruma Tumrudie Allah jaman
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Ай бұрын
Pole sana mwanangu lakini ningekuwa serekali watu wa hivi ni kunyonga
@joycelinelyimo-fenske8745
@joycelinelyimo-fenske8745 Ай бұрын
Uganda 🇺🇬 wanafanya vizuri. Wanawanyonga.
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 25 күн бұрын
Tatizo ..hii Tabia watu wanataka kuimaliza jienyeji! Ndo Tabia hii kuendelea kuenea... Na polisi wanausika kwa kumaliza Mambo kiholelaholela....
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Ай бұрын
Subhana Allah 😢😢😢 Huyo mlawitiji akamatwe haraka iwezekanavyo
@pillyseleman8090
@pillyseleman8090 Ай бұрын
Yaonekana alikua akimfuatilia kitambo alijipanga , kwakweli serkali haitilii maana haya mambo inatakiwa wapewe adhabu ya kunyongwa,, inabidi wananchi tuchukue hatua wenyewe kuwachoma moto ,,, tuuu bola huruma
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Nyinyi waandishi wa habari kwa nini mmemuonyesha huyu kijana sura yake mmemzalilisha sana ,kwa sababu tumemuona sura yake .
@leokamil6284
@leokamil6284 Ай бұрын
Kesi hakuna kwisha huyo mtu tabia yake itaendelea kudhalilisha watoto wa kiume wa watu .Tunaomba Serekali isikubali haya mambo ya kumaliza haya mambo kienyeji. Polisi kama kweli mnajali watanzania kamateni huyu mtu .Huyu mtu analawiti watu kwa nini msikamate hao wanaoleta Ngo'mbe na soda mpaka wamlete
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Ай бұрын
Hiyo mbwa ni yakuchoma moto tuu, hao watt wake pia hawastahili kuwa na baba kama huyo
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m Ай бұрын
😢😢😢pole sana mdogo wangu😢😢
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Huu unafiki wa kuonesha sura yake umefaidi nini?
@birgithatimotheo-bf5ti
@birgithatimotheo-bf5ti Ай бұрын
Mnapata fahari Gani kumuanika Mtu kiasi hicho lakini si ndio mnazidi kumdalilisha
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Ай бұрын
Mungu wangu huko Arusha kuna nini mbona kuna matukio mengi ya ajabu
@user-yh7ui7hw1i
@user-yh7ui7hw1i Ай бұрын
Mpaka naogopa 😢😢
@khamis9187
@khamis9187 Ай бұрын
Yani wanawake wazuri walivyojazana mpaka kuna mda napagawa, lakin kuna mashetan wa kiume wanawatana wanaume wenzao!!!! This is END of the world..
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f Ай бұрын
Jamni futeni hii video mu edit muweke tena mficheni sura daah😢
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 Ай бұрын
Xaxa mbona mmepost sura yake jamn dah Mungu akutetee
@ZurfathZuu
@ZurfathZuu 2 күн бұрын
Innalillah wa innalillah rajuun
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 Ай бұрын
Subhana Allah
@lothatarangei8187
@lothatarangei8187 Ай бұрын
Ni ukweli tukio hili lime limetokea mitaani kwetu
@yfconlinetv
@yfconlinetv Ай бұрын
😢sijajua kwa nn Mambo hya yanaendelea kwa Kasi serikali inapaswa kuangalia kundi hili la walemavu na ukatili inawakumba Sanaa..
@LuckyTemu
@LuckyTemu 29 күн бұрын
NYIE GLOBAL HUYU JAMAA KAMA AKIWA SERIOUS ATAWAFILISI MNAWEZAJE KUMUONESHA SURA YAKE WAKAT KADHALILISHWA KIASI IKO
@mpefu_4936
@mpefu_4936 Ай бұрын
Hiyo ndio Tanzania kwanini polisi wasimtafute
@ullujaffariyohani1186
@ullujaffariyohani1186 Ай бұрын
Subhanallah😢
@lothatarangei8187
@lothatarangei8187 Ай бұрын
Mtaani kwao taarifa hizi zimetapakaa na kila mtu na wanamjua na pia aliyefanya tukio,,,
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 12 күн бұрын
He jameni kijana pole sana jamani watu Kama hao akuna sababu ya kuishi wauwawe maan ata mungu atapata furaha
@susannesusie3217
@susannesusie3217 Ай бұрын
Kama mnaonesha watu hivi watu watafanyiwa hivi vitendo na hawata sema kwa kuogopa kudhalilishwa zaidi global TV tafuteni namna ya kufikisha habari bila kudhalilisha watu big no👎👎👎👎👎👎👎👎👎
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s Ай бұрын
Na ni thambi kweli.
@ayshunamir
@ayshunamir Ай бұрын
Dunia imeisha kilichobaki nikutubu tu .Allah atusameh waja wake😢
@rachelmikey5493
@rachelmikey5493 Ай бұрын
Dah😢pole ndugu yangu😢😢
@adellaishengoma5301
@adellaishengoma5301 Ай бұрын
So sad😓😓😓
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 12 күн бұрын
Apana usikubali kabisa kijana hao wazee pia sio wazuri Yaan mambo Kama hao munakubali yaishe he wazee kweli nyie ndio munaendekeza laana kweli ujinga Kama huo munaomba musamaha hivi mutakua my namujengea uyo kijana wenu nn
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Ай бұрын
😢
@AishaHussen-i7m
@AishaHussen-i7m Ай бұрын
Duuuh pole
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 12 күн бұрын
Jamani wazee wskiarusha wa siku hizi lakin ni nn inawafanya mupotokwe kinamuna hiyo yaani mwanaume amubake mwanaume mweza alavu ndio munataka iishe hivyo
@faidhajuma4743
@faidhajuma4743 11 күн бұрын
Daa mm naogopasana
@lellovenance5702
@lellovenance5702 Ай бұрын
13:47 watanzania na waafrika tujitambue etii hahahahaha Mungu kaniokania nilikuwa niuwawe wakati kashafirwa 😂😂😂sasa eeh Bwana eeh kafirwa lakin Bwana kamwonekania na jamaa kashakuwa shoga
@annamulungu2876
@annamulungu2876 21 күн бұрын
UNAONDOKAJE NA MTU USKKU MKUBWA KAMA HUO???? NA MAMAYAKE ALIMRUHURUSU VIPI?????? ILA JAMANI WATOTO WETU NA JAMII YETU IJIFUNZE ( TUSAIDIANE KUELIMISHANA ) KWAMBA DUNIA IMEBADILIKA.
@user-xw8om1qd1g
@user-xw8om1qd1g Ай бұрын
Mnakosea sanaaa,hata wazazi hawatakiwi kuonekama sura,mnakosea
@user-rf4yq9yj7u
@user-rf4yq9yj7u Ай бұрын
Sitaki kuangalia mpaka mwisho inaumiza Dunia imechafuka kila kukicha matukio
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 10 күн бұрын
Huyu ni gademu ni mshenzi sana wa tabia. Lazima serikal imuangalie vizuri. Laasivyo atawaharibu vijana wengi
@user-ih7go2qq6k
@user-ih7go2qq6k 7 күн бұрын
vitendo vya ulawiti vime shamiri sana skuiz sjui shida ni nini akat madem wapo kibao na wapo wanao toa na nyuma
@minaelnathanael1846
@minaelnathanael1846 10 күн бұрын
Ndugu muandishi ungetuwekea sauti tu
@user-qg7fw7si5i
@user-qg7fw7si5i Ай бұрын
Mungu simama
@SinemaZaChina
@SinemaZaChina Ай бұрын
Daah inahuzunisha sana aseeh😭😭
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 12 күн бұрын
Nakuambia uyo ata pamoja akiwa na mke na watoto apo akuna maisha ni heri uyo auwawe ndio wale watoto wabaki na amani maan kweli uyo ni mushirikina
@ImmaBahati
@ImmaBahati Ай бұрын
Mhuuùi😢😢😢
@LeahCosmasNzoka-po3dr
@LeahCosmasNzoka-po3dr Ай бұрын
😢
@user-ew9cp4jh9e
@user-ew9cp4jh9e Ай бұрын
Hey
@theodorythobius3965
@theodorythobius3965 Ай бұрын
Global please iondoeni hiyo video kisha mui-upload upya ili kumuhifadhi kijana, maana tendo alilofanyiwa ni la kinyama na la aibu sana
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Mngetafutia mwanasheria huyu kijana ili kuishitaki Global Tv Na kudai mamililion ya fidia hata million 600 kwa kosa la kuonyesha sura yake !
@RamoDee
@RamoDee Ай бұрын
Wanazo sasa
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
@@RamoDee ndio wafilisiwe mbwa hawa
@AishaHussen-i7m
@AishaHussen-i7m Ай бұрын
Duu,kaluinallilah pole.kipenzi
@EmmanuelNyinyigwa-m1o
@EmmanuelNyinyigwa-m1o 28 күн бұрын
Mbona mnamthalilisha Sura Yake mmeshindwa kuificha. Mpga picha umemthalau sindio bwege kweli kweli mpga picha Yani inawezekana nanyinyi wa ndishi mnahuska kinge nyinyi mnajia kama MTU anaweza jiuwa
@lazaroletion2420
@lazaroletion2420 Ай бұрын
😢😢
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb Ай бұрын
Afungwe ......kwani alivokuwa anafanya hiyo laana alikuwa hajui kuwa ni kosa? Huyo kazoea ama ndio kaanza na atamaliza watu.auwawe tuu 😢😢😢😢😢😢😢😢
@user-ps4oc3nt3u
@user-ps4oc3nt3u Ай бұрын
Pole sana kaka ila mwandishi umekoseya kum onesha je huyo mt alie mlawit akim ona kwenye media siatam uwa kabisa😢😢
@karibunyumbani3824
@karibunyumbani3824 Ай бұрын
Jamani muriet Kuna shida gani halafu kwani makonda yuko wapi jamani kwani viongozi wazuri hawadumu jamani 😢😢😢😢😢 Ee MUNGU utusaidie hatuna kimbilio lingine labda tumetegemea watu Sana jamani tunageukia kwako tuokoe Walinde na viongozi wanaoonewa sababu ya kutetea haki za wanyonge ee MUNGU
@elizabethnelson583
@elizabethnelson583 Ай бұрын
Akamatwe huyo kijana atawaumiza watu
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Atoe faini na afungwe jela
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 Ай бұрын
Arusha bana mmmh
@user-on5vm6qs4c
@user-on5vm6qs4c 22 күн бұрын
Kuna maswali ya kujiuliza hapa , hivi Mtu ambae hajawah kuingiliwa anaweza kutatuliwa malinda alaf akapa nguvu za kukimbia kwel?😮😮😮
@khamis9187
@khamis9187 Ай бұрын
Itabidi tz tuishi kama korea kaskazini, yan mtu anaetenda kosa kama hili anaadhibiwa yy na kizaz chake...
@CyprianMartin
@CyprianMartin 9 күн бұрын
Mbona muna muonyesha Uso
@HassanAbdillah-e6l
@HassanAbdillah-e6l 11 күн бұрын
Tanzania ya liwati ndio nyimbo yenu??
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 27 күн бұрын
Kunyonga kumesaidia watu kuacha kuuwa kwa kukusudia kuogopa kitanzai cha kunyonga. Kwanini walawiti nao wasitengenezewe mtambo wao wa kuwaadhibu? Tunasubiri mzungu aje kutengeneza mtambo wa kuwaadhibu hao wakorofi hawataacha..
@laylayl5166
@laylayl5166 Ай бұрын
Jamani dunia simama nishuke mpeleke msikubali Kesho anamfanyia tena mwingine huyo kashazowea huyoo
@fatmamuhammed9713
@fatmamuhammed9713 Ай бұрын
Muachie. Allah ndie atakae kulipia
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s Ай бұрын
Kwan umemuonyesha sura na jins mlemavu Hakuna siri tena
@user-il8wx3eq8i
@user-il8wx3eq8i Ай бұрын
Kwanini isiwekwe sheria wabakaji wakikamatwa wakatwe chuchuru zao yani itengwe sehemu ambayo ni maarumu kwa ajiri ya kukatwa tu kisha wapewe watafune
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Ай бұрын
Msikubali ngombe kwani ngombe mnamlinganisha na binadam Kesha kuharibu mtoto sasa nyie mwambieni hiyo soda akanywe na huyo ngombe na akamparamie huyo ngombe laana za Mungu zimkube mshirikina na hiyo mtoto akapimwe ukimwi
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta Ай бұрын
Kwani wakati anamzaliliaha mwenzake alikuwa hajui kuwa ana familia,au alikuwa hajui kuwa ana watoto,mwacheni hiyo roho chafu iende jela mbona wazazi wanakufa na watoto wamaishi,
@neemaryan9947
@neemaryan9947 Ай бұрын
Hii murieti imezidi jmn
@MelejiMollel-ky1qm
@MelejiMollel-ky1qm Ай бұрын
Jemn tuwe n roho y nzur walai kwel mwanaume mwexio unalalia awe mwanamke
@jamilarajab4610
@jamilarajab4610 Ай бұрын
ushenzi unazidi kila kukicha siku zisiende haraka zifanye nini
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s Ай бұрын
Kunawat wanadhamb san iv serekal ikisem anyongwe huy mtu itaon watu wanakosea kak wa wat mwenye anamatatiz yak unaend mfanyia matatiz mengie wallah inauma san
@HasnaSawaid
@HasnaSawaid Ай бұрын
😂😂😂😂
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Ай бұрын
K​@@HasnaSawaidkinakuchekesha Nini
@gasanatv4077
@gasanatv4077 Ай бұрын
Looks like ameshaua watu kwa hiyo nyumba
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 Ай бұрын
Fanyen Edit mapema sana mmekosea sana 😢😢
@azizirania63
@azizirania63 24 күн бұрын
Very unprofessional media zimevamiwa na vijana wa hovyo uliona sauti pekee utapata kiki ya like na comment???
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Ай бұрын
Baba usikubali kupokea ivyo vitu akafungwe uyo mshenz
@DaheerK
@DaheerK Ай бұрын
Yan ww mzee unapokea Ng'ombe nauyo kafila mwanaume usipokee uyo mnyama huo niuzalilishaji baba usikubali km Ana mke kwann afile mwanaume ndan uyo
@nsiamasawe4578
@nsiamasawe4578 Ай бұрын
Mfiraji afungwe au anyongwe kabisa
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj Ай бұрын
Mwandishi uyujamaa aukutaka kumuonesha miguu wakatianatembea walasulayake
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 Ай бұрын
Kwa hiyo ng’ombe na soda ni kishika uchunba? Wapuuzi wakubwa!!
@snagnax
@snagnax Ай бұрын
Arusha mna nini lakini?
@MarryMassawe-wr2zi
@MarryMassawe-wr2zi Ай бұрын
Msikubali jaman wazaz naomba akanyongwe
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu Ай бұрын
Angekuwa ndio mwanao je ungeyasema hayo unayoyasema
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Jaman Hii dunia
@CTM.24Updates
@CTM.24Updates 26 күн бұрын
⚫😭😭
@jamillahaidha8184
@jamillahaidha8184 Ай бұрын
Mbona nyie mnamuonyesha sura, shusheni hii habari muweke nyingine hivi angekuwa mmoja wenu hapo mngeruhusu hii iruke hivi
@FrankGasper-eq2ui
@FrankGasper-eq2ui Ай бұрын
Sasa mda wote huo siungepiga kelele alivyotaka kukulawit mbona hii habar sielew
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 Ай бұрын
Hilo eneo ni kama nyumba ziko chache hata angeweza kumwua .
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 80 МЛН
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 838 М.
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 9 МЛН
Top U.S. & World Headlines - September 4, 2024
10:56
Democracy Now!
Рет қаралды 151 М.
LIVE: The Latest in Israel
7:56
CBN News
Рет қаралды 109 М.
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН