INAUMIZA! HAMZA ATUPWA JELA MIAKA 30 BAADA ya MKEWE KUMSINGIZIA KUMBAKA BINTI YAO - AKAA MIAKA 10..

  Рет қаралды 9,478

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@globaltv_online
@globaltv_online 11 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@dennishyera5448
@dennishyera5448 11 ай бұрын
Pole sana, Uwe makini sana na wanawake . Lakini tuendelee kuwaombea kwa Mungu. Wanaoteseka kwa kuonewa.
@zefamange7281
@zefamange7281 3 ай бұрын
Muziki mnaweka wa nn? Unatutinga tuu
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 11 ай бұрын
Poleni sana ndugu. Mke wangu alitengeneza hayo juu yangu lakini namshukuru MUNGU MKUU ALIYE HAI MILELE YOTE kunipigania . Wanawake wengi Mbinguni ataingia kamwe.. mmechoka achaneni kwa amani maana dunia tunapita.
@omanoman2044
@omanoman2044 11 ай бұрын
Pole ulikutana na mwanamke mubaya nanyie mnatabia yakuoa wanawake waxuri uso nasiyo wazuri watabia oen wanawake wenye din naiman ya lwelikweli
@jamesnkanga3107
@jamesnkanga3107 11 ай бұрын
Pole sana kaka Mungu akulinde
@monalisaally4387
@monalisaally4387 11 ай бұрын
Shukuru Mungu angeweza hata kukuuwa uyo sio mtu mzuri
@atupakisyemapuli8637
@atupakisyemapuli8637 11 ай бұрын
Huyo dada kama aliweza kusema mzazi mwenzie kafa na yupo hai, kufanya hivyo hashindwi. Na askari walivyo natabia mbaya, kufanya walivyofanya wanaweza. Ila hata huyo binti maisha yake siyo salaama hasa Kwa muda huu ambao huyu baba ametoka. Sababu sifa yake ya maisha inachafuka hata kama anamaisha yake, na Nina amini siyo mazuri.
@ClementinaNyawile-dw8sw
@ClementinaNyawile-dw8sw 11 ай бұрын
Huyo alitaka abaki na nyumba ndio Maana alimfanyia hivyo huyo Kaka.
@shamzone388
@shamzone388 11 ай бұрын
Subhana allah kama amekudhulumu akae akijua hukumu ya allah itamfika hapa hapa dunian kabla akhera kwenye hisabu
@IYEGU-p3n
@IYEGU-p3n 11 ай бұрын
Watoto nao wazuri Sana wasikuhz ndiomaana wanatupa mitihani Mana wanafanana na manazao
@AnnaSanga-bs7pl
@AnnaSanga-bs7pl 11 ай бұрын
Mh haya
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 11 ай бұрын
Swali langu je huyo mtoto anasemaje hadi leo? ikiwa alipangwa aseme uwongo ipo siku atasema nilitumwa na je nyumba yako haijauzwa baada ya kufungwa ?
@chrisekonga9092
@chrisekonga9092 11 ай бұрын
Tujifunze kitu hapa, Pole kwa yote
@IsmailChilunda
@IsmailChilunda 10 ай бұрын
Mapodooooo
@matrida.lunyilija5196
@matrida.lunyilija5196 11 ай бұрын
Ukweli anaujua yeye,mkewe, na Mungu tu wengine tuache kuhukumu maana hayo mambo yapo sana tu wanaume wanabaka watoto wa wake zao na wanawake wanasingizia waume zao,yote kwa yote Mungu ndo anajua ukweli kama alisingiziwa au laaah
@bebebebe5677
@bebebebe5677 11 ай бұрын
We gaby vp kuna saa 2 ya mchana😂😂😂
@Leylah-pz5sc
@Leylah-pz5sc 11 ай бұрын
Labda kaikusudia kwa kizungu😂😂😂 saa 2 si ndo inakuwa 8
@kutailass6671
@kutailass6671 11 ай бұрын
Saa 2 huwa ni mchana kwani we huoni
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 11 ай бұрын
Na wakati wa kiarabu huo
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 11 ай бұрын
Siyo rahisi kujusingizia mnawabakankweli.mabinti zetu wewe siyo wa kwanzq
@attunelson8828
@attunelson8828 11 ай бұрын
Wabakaji wakitoka kwa msamaha wanasema wamesingiziwa,hakuna hata mmoja anakili alibaka.
@gongotv8132
@gongotv8132 11 ай бұрын
Ipo siku yako
@aminashoo7923
@aminashoo7923 11 ай бұрын
Kwani mtoto hakupimwa kuthibitisha amebakwa?
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 11 ай бұрын
Kuoa au kuishi na mwanamke ambae ana mtoto tayari ni kujitafutia matatizo mwenyewe
@chrisekonga9092
@chrisekonga9092 11 ай бұрын
Anaweza kupimwa na majibu yakawa sahihi ila aliyembaka akawa sio mtuhumiwa, akaingiliwa na mtu mwingine kutafuta ushahidi
@ahmedyrutumo
@ahmedyrutumo 11 ай бұрын
Pole kaka
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 11 ай бұрын
Mwanamke wa mjini ni matatizo
@upendogreutert199
@upendogreutert199 11 ай бұрын
Hakuna wa mjini wala kijijini
@MawaddaKhamis-zh3kc
@MawaddaKhamis-zh3kc 11 ай бұрын
😢😢😢mtihani
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 11 ай бұрын
Yote hayo chanzo zinaa hamkuowana mnaishi kwa zinaa hiyo laana kutoka kwa mungu
@omanoman2044
@omanoman2044 11 ай бұрын
Haswaaaa.acha watandikwe ndo wajifuze
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu 11 ай бұрын
Acha kuhukumu watu ndoa ngapi tunasikia baba kambaka mwanae na kumpa mimba sijui km ushamaliza uzazi
@dennishyera5448
@dennishyera5448 11 ай бұрын
Pole sana, Uwe makini sana na wanawake . Lakini tuendelee kuwaombea kwa Mungu. Wanaoteseka kwa kuonewa.
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 11 ай бұрын
Pole kaka
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН