Na Mwenyezi MUNGU BABA mwenyezi aendelee kutulindia Mh Rais wetu MAMA SAMIA🙏.
@aishaarusha894 Жыл бұрын
@@pancraskazimoto3028 amin
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Mashallah
@fatimahirakoze7311 Жыл бұрын
Mie ni murundi lkn nafuraiyaga sn unavi Léa watoto miaka 2 kimya kimya wanaume marais wa Afrika mtuachie kwanza wamama hadi Raha uongozi wa kiwislam anatia n'a huruma n'a hofu ya Allah
@WilbertMmary Жыл бұрын
Pongezi nyingi kwa Mama👏👏👏
@faridapandu7579 Жыл бұрын
❤❤💕💯💯💯
@mussandikumana3561 Жыл бұрын
Mama yetu tunampenda sana
@InocentPius4 ай бұрын
Naona kinana mbn alijiuzulu
@manish-fp1fb Жыл бұрын
Dah, tushafika huku... kweli
@tuntufyecharles1647 Жыл бұрын
Mama hana papala ni mkongwe katika uongozi, ametulia
@AgnessKomba-qg1es11 ай бұрын
Pambe sana
@JosephPlasidy-ov5pb Жыл бұрын
We
@shughulipevu4697 Жыл бұрын
Hizo nyimbo za hivyo Huwa wanatunga hapo hapo ujanja ujanja tu
@lydiamsheri4095 Жыл бұрын
Duuuu haya
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@shukulutumaini Жыл бұрын
Mnasifu upumbavu na ujinga semen ukwel sio kutaka sifa za kijinga
@johnsulle4679 Жыл бұрын
Vigodolo kawaida tu
@maulidimuhammed7851 Жыл бұрын
Ni kawaida sana maana kwa kweli tumetoka kwenye utawala wa ukatili, udictator,kuuliwa kwa watu,upinzani kuonekana ni uadui na wapinzani kuwekwa ndani kubambikiziwa kesi,kupigwa risasi wapinzsni,Miradi yote aliyoiacha Magu ,Mama anaiemdeleza hakuna iliosimama na maendeleo mengine yanafanywa kama kujengwa shule za kisasa nchi nzima,kuimarishwa kwa kilimo nchi nzima.Mama anaupiga mwwingi na wananchi wake wanaishi kwa Amani na utulivu.Nani kama Mama?.Hakuna.