Duh!!! Kumbe Sheta na Steve Nyerere Wanajua Kucheza Hivi, Watazame hapa

  Рет қаралды 62,834

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

SUBSCRIBE NOW / uwazi
Ilikuwa patashika nguo kuchanika jana jula 6, 2017 katika ukumbi wa Escape One mikocheni, kwenye hafla ya kusheherekea miaka 15 ya Mwanamama mkongwe kwenye tasnia ya muziki wa asili Tanzania, Saida Karoli.
Wasanii mbalimbali walijitokeza ukumbini hapo kwa ajili ya kumpa sapoti na kupata burudani , ambapo Jicho la GlobalTV lilimnasa msanii wa Bongo Fleva Sheta na muigizaji Steve Nyerere waliokuwa pamoja, wakicheza taratibu.
Hali iliyomaanisha kuwa wanafurahishwa na burudani kutoka kwa Saida Karoli.
Global TV imekuletea habari kamili, itazame video hii mpaka mwisho kujionea mwenyewe.
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1

Пікірлер: 41
@joycemachibya4380
@joycemachibya4380 3 жыл бұрын
Saida karoli forever hachuji
@annahockson1427
@annahockson1427 7 жыл бұрын
anaimba vzr bila CD big up mko wachache Tanzania nadhani we na Christian bela
@habarizauhakika9376
@habarizauhakika9376 7 жыл бұрын
NA ALIKIBA,
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 7 жыл бұрын
Anaimba vizuri sana live,sio unakuta mtu anafanya show live anaweka CD sasa ndo nini??inakuwa haina ladha
@saidachoti21
@saidachoti21 7 жыл бұрын
Nimependa 🔥🔥🔥🔥 hongera saida
@saidachoti21
@saidachoti21 7 жыл бұрын
Bora hata kidogo umetukumbushia ngoma navitu vya asili yetu maana hizi miziki za bongo sikuiz 🙄
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
huy na Ali kiba tu hao walobaki kaz kutoa nyimbo tu ila sijaona mim
@habibafeithal4014
@habibafeithal4014 7 жыл бұрын
yani hiyo show mungevaa kiasili saida ungenoga sana na steji shoo zako
@sallykanze
@sallykanze 7 жыл бұрын
Kwanza Huyo dem hiyo brazia Yani imekaa vibaya sanaaa
@godfreykanelela9448
@godfreykanelela9448 7 жыл бұрын
anajua mziki huyu mama
@happinesserick8981
@happinesserick8981 4 жыл бұрын
Mwakola muno.fide mnafiki kubaki yabaile ataikubigobya?
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
Nguo walovaa wanaume zinaonyesha madudu yao vile yalivyo ☹☹☹
@homeafricaone
@homeafricaone 7 жыл бұрын
Show ilikuwa poa umenikumbusha mbali Dada Saida Kaloli
@ramsonismaely6539
@ramsonismaely6539 7 жыл бұрын
hongera xn mama wa kihaya wakitambo ndio mnaujua mziki
@agathaamon5512
@agathaamon5512 7 жыл бұрын
Old iz gold big up sana
@msevenmakongoro2274
@msevenmakongoro2274 4 жыл бұрын
said a.karoli
@adnanramadhanjunuzage1629
@adnanramadhanjunuzage1629 7 жыл бұрын
ongera sana
@johsonmodest4220
@johsonmodest4220 4 жыл бұрын
Uyu ndomsanii pekee tanzania anyejua kuimba nyimbo bora za kiasiri akuna mwingine
@michaelmdoe9368
@michaelmdoe9368 2 жыл бұрын
Mama anajuabsana
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 7 жыл бұрын
sauti tanzania zipo mbili tu saida na alikiba
@dottohongerasanamabala1739
@dottohongerasanamabala1739 7 жыл бұрын
luge Donation kweli
@revinafaustine1567
@revinafaustine1567 7 жыл бұрын
luge Donation watakula saut zao sasa au
@fredrickitala3903
@fredrickitala3903 7 жыл бұрын
nibonge LA show ila sijapenda kabisa mwanaume kuvaa hivyo
@newkhamza1339
@newkhamza1339 7 жыл бұрын
ongera tena sana
@jacksonthobias9587
@jacksonthobias9587 3 жыл бұрын
Binafsi huyu mama ananikoshaaa
@matikajoram588
@matikajoram588 7 жыл бұрын
yaani saida apige na kucheza kama a kijo
@faridymkandala1767
@faridymkandala1767 7 жыл бұрын
tupe maujanjaa nonuzaa engoma bojooo
@fatmaali4921
@fatmaali4921 7 жыл бұрын
ww mama auzeeki nakupenda mie ww
@zolikatnzani1559
@zolikatnzani1559 7 жыл бұрын
steve ana kat kiuno😁😁😁😁
@atukuzwemungudaimaariseand6156
@atukuzwemungudaimaariseand6156 7 жыл бұрын
wakola saida
@rosemarykaroli6703
@rosemarykaroli6703 7 жыл бұрын
huo ndo mziki cyo unakuta msanii yupo live hata huelewi ona mama anavyojituma hakop wala nn anapiga live mpaka unapenda wakola mwenewachu hongera sana sana👍
@matikajoram588
@matikajoram588 7 жыл бұрын
saida fire
@matikajoram588
@matikajoram588 7 жыл бұрын
saida fire
@elvithamutagwaba2462
@elvithamutagwaba2462 7 жыл бұрын
wape mautam upo juuu ka so wewe duuu
@crowboyyeeyee4779
@crowboyyeeyee4779 7 жыл бұрын
saidia ivon peke yao
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Wapeee mama wahaya mpoo.
@Manshyne
@Manshyne 7 жыл бұрын
hapo sheta lazima TILALILAAAA 😂😂😂😂😂😂
@dottohongerasanamabala1739
@dottohongerasanamabala1739 7 жыл бұрын
frank manSHYNE hongeraaaaaa
@dottohongerasanamabala1739
@dottohongerasanamabala1739 7 жыл бұрын
hongeraaaaaaaaa sanaaaaaaa
@EcoEssence_wellness
@EcoEssence_wellness 7 жыл бұрын
Okay
@davicedavid9771
@davicedavid9771 7 жыл бұрын
wanuza engoma ya'buhaya
Sebene la Saida Karoli Lapagawisha Mashabiki
27:46
Global TV Online
Рет қаралды 438 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
ROUND 1: Kama ulimmiss Saida Karoli kwenye Stage
22:21
Millard Ayo
Рет қаралды 182 М.
SIMTAKI MTU
2:56
kingbale_tv
Рет қаралды 2,5 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2,1 МЛН