ROUND 1: Kama ulimmiss Saida Karoli kwenye Stage

  Рет қаралды 180,491

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

Usiku wa July 7 2017 Saida Karoli amekutana na mashabiki wake Escape one Jiini DSM hapa nimekuwekea alichokifanya round ya kwanza

Пікірлер: 195
@galubaalebobjimmy7501
@galubaalebobjimmy7501 5 жыл бұрын
Nakupenda sana saida, maama wa Africa yeitu.Bob from Uganda
@mwandiadam5490
@mwandiadam5490 7 жыл бұрын
huyu ebitoke na ben paul Mungu anawaonaaaa
@hezronmagwesela9402
@hezronmagwesela9402 7 жыл бұрын
Nimependa sana Live Music band bila CD. I Feel Good with African rhythm s from Saida.
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
saida wewe miaka 100 Mungu akuweke huru na afya njema hakika unastahili
@ericohmzalendo5028
@ericohmzalendo5028 7 жыл бұрын
Mungu na akutie nguvu za kusimama tena saida...Tokea Nairobi Kenya Twakupenda
@kwisa4899
@kwisa4899 7 жыл бұрын
Hongera sana Diamond kwa kujua mchango Wa mama na kufanya wengine wakamwona baada ya kupotea kwa zaidi ya mk 15
@aunirasheedy8443
@aunirasheedy8443 7 жыл бұрын
True​
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 7 жыл бұрын
powerful voice, amependeza, show nzuri sana, tunapenda kumuona saida ana nyumba, gari, watoto wanasoma shule nzuri ana biashara na bank papendeze. ana kila sbb ya kupata vitu vyote hivyo na vya ziada, nimefurah sana, amerudi na nguvu ileile.
@blendabenny271
@blendabenny271 7 жыл бұрын
😂 😂 wahaya wanajua kuchanganya makongoro
@jonasjme
@jonasjme 7 жыл бұрын
mwehu
@josephgomalo41
@josephgomalo41 7 жыл бұрын
Saida Karoli the Tanzanian Diva.. aisee Saida we Mbayaaaa.. !! Sio mwanamuziki wa mchezo mchezo..ati..!!
@mwangithomas6713
@mwangithomas6713 7 жыл бұрын
this is a show and a half....hope saida comes for a live show in kenya
@aishamohd9852
@aishamohd9852 7 жыл бұрын
woooooooooooh was amazing show... so lovely... 👌 go on saida karoli
@YamunguYb
@YamunguYb 7 жыл бұрын
Raha sana kumuona mama karudi
@dogorasially5317
@dogorasially5317 7 жыл бұрын
jamani wazamini nawaomba mama saida ackose kwenye tamasha la maonyesho bagamoyo mwezi wa tisa ackoese kabisa
@veronikamwamsimbi8412
@veronikamwamsimbi8412 7 жыл бұрын
nimeipenda sana
@jenivavedasto636
@jenivavedasto636 7 жыл бұрын
nice performance!
@hoodparkinspiration5575
@hoodparkinspiration5575 7 жыл бұрын
safi sana watu wamenyanyuka wenyewe dadadekiiii🔥🔥🔥🔥🔥 #Saida
@murielleharushamagara6461
@murielleharushamagara6461 7 жыл бұрын
Dancers wameweza pia. voice tangu nakua ni ile Ile mpaka nazeeka but n bado Ni ile Ile tu. heshima kubwa sana kwa Queen
@saifsaif3010
@saifsaif3010 6 жыл бұрын
saida ni international singer .huyu mama m.mungu yupo naye daiman. special kabisa nimempenda sana
@Ebendentalclinic
@Ebendentalclinic 7 жыл бұрын
hiv unaonaje kama wimbo wa maria salome wangeperfome na diamond,wakaweka kama hybrid flan hivi?
@alibhaihabib3358
@alibhaihabib3358 7 жыл бұрын
she is so bestfull I love u mama keep it up
@jasminembaraka9610
@jasminembaraka9610 7 жыл бұрын
mashaallah kaua mama kweli rizki kama ipo ipo tu! kafunika hata hao vijana live perfomance zero go mama gooooooooooo
@ruthroberts4625
@ruthroberts4625 3 жыл бұрын
Loved it bad bad big tune. Bless
@alexandrinadomaino1085
@alexandrinadomaino1085 7 жыл бұрын
Ebitoke namuona mumeeeee Benpol
@Rugemalilatv1994
@Rugemalilatv1994 7 жыл бұрын
heshima kwenu wasanii naona hampo nyuma kumsaporti mwenzenu nawashukru mchango wenu nimeuona japo nimeangalia utube kuna wale wanajiita team falani sijamuona hata mmoja hapo cjui walikuwa na shoo wapi mana wana misifa na miguu ile
@azaqzszs1972
@azaqzszs1972 7 жыл бұрын
mama nakubonfeza njooo basi burundi tunapenda chambuwa kma karanga
@munaongoeliebamongi8128
@munaongoeliebamongi8128 4 жыл бұрын
Many thx for your return back
@nellaneth578
@nellaneth578 7 жыл бұрын
22:30 That was awesome! I wish i was there!
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 7 жыл бұрын
Kukosa hii show naumia Sana,, kweli kipaji cha ukweli hakipotei,, asante Sana mama saida karol
@egidiusdenis8713
@egidiusdenis8713 2 жыл бұрын
Nakukubali dada yangu kipenzi
@ibrahbaila6174
@ibrahbaila6174 7 жыл бұрын
I love her voice for real
@hakimhamis7436
@hakimhamis7436 7 жыл бұрын
Ben pol yuko juu simu ameaka kando kuna mijitu peleka dem kila saa macho ganda kwa simu
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 7 жыл бұрын
Hakim Hamis u r right
@domtilawakesho3030
@domtilawakesho3030 7 жыл бұрын
Hakim Hamis hahaha wanimaliza kaka
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
Hakim Hamis hahaha ndio hapo sasa
@salvinalibongi1261
@salvinalibongi1261 7 жыл бұрын
si mchezo
@CollinsKhalumi
@CollinsKhalumi Ай бұрын
Good song
@jovnatajonathan4099
@jovnatajonathan4099 2 жыл бұрын
Bonjo hii nyimbo inanikumbusha mbali jaman mwakola
@benardmunna9194
@benardmunna9194 7 жыл бұрын
kina nshomile wana yarudii balaa
@geofreygodifrey3485
@geofreygodifrey3485 7 жыл бұрын
am happy that umerud mama. ulimweng wa mziki ulikumiss mmoo
@EMMANUEL42541
@EMMANUEL42541 7 жыл бұрын
ben pol na ebi pol nawaona nawaona
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
Emmanuel Frank hehehehe
@kimwelanakhumicha6320
@kimwelanakhumicha6320 7 жыл бұрын
Din't Ben Pol is that cute,alaaah!!! mmetisha
@samuelndoveni4660
@samuelndoveni4660 7 жыл бұрын
Emmanuel Frank nawapenda Ben na ebitoke wawaache miaka mia name na said Mungu akuongoze
@samsan95tvlaizer59
@samsan95tvlaizer59 7 жыл бұрын
good job Mama I'm laizer
@verdianasteven304
@verdianasteven304 7 жыл бұрын
wakola owaishe
@dolphineramah1141
@dolphineramah1141 7 жыл бұрын
#254 Welcome back to stage mummy God give you strength
@godfreymarley.1124
@godfreymarley.1124 7 жыл бұрын
nice job karoli one love frm kwapole
@ashameyomfatma347
@ashameyomfatma347 4 жыл бұрын
Huyo dancer Super ruder/ American height ameweza ❤❤🙊🙊
@bienamapanje8108
@bienamapanje8108 7 жыл бұрын
yaan my nakupend mpk nalia mungu hakubar San katika kaz zako
@halimamasai2234
@halimamasai2234 7 жыл бұрын
Saida karoli maashaallah kazi nzuri hongera sana
@innocentmatoju7442
@innocentmatoju7442 7 жыл бұрын
Walio kuwa wamemterekeza mungu anawaona
@bonchrisgissey6975
@bonchrisgissey6975 7 жыл бұрын
Best show ever
@aggreymgalla5634
@aggreymgalla5634 7 жыл бұрын
I love you mama yetu saida karoli
@oliviakidosho6420
@oliviakidosho6420 Жыл бұрын
🥰🥰watu wanajua job zao
@ombenivasha7361
@ombenivasha7361 7 жыл бұрын
mwandish ana mbwe mbwe kweli said a umetisha sana dada
@amnejulle7768
@amnejulle7768 7 жыл бұрын
love you saida caroli
@alexmulwa7844
@alexmulwa7844 7 жыл бұрын
Team kujipaka mafuta Ben Pol na Ebitoke√√
@bisekoc.k.jenjela7936
@bisekoc.k.jenjela7936 4 жыл бұрын
Saida Karoli safisana, Mziki mnene.
@erickmoses6395
@erickmoses6395 7 жыл бұрын
OG voice
@privalibent3311
@privalibent3311 3 жыл бұрын
Aiseee bonge la show
@kessykazimana9103
@kessykazimana9103 7 жыл бұрын
nimeipenda xana iyo
@4realstudio728
@4realstudio728 7 жыл бұрын
Nice show saida njooni Dodoma
@marychiwanga3023
@marychiwanga3023 7 жыл бұрын
Very Nice
@eliuthamangula1791
@eliuthamangula1791 Жыл бұрын
2022 💖
@johntogoro6191
@johntogoro6191 7 жыл бұрын
Show imependeza sana dada, komaa 2
@rwegasirairene8569
@rwegasirairene8569 7 жыл бұрын
Good
@josephhenry3398
@josephhenry3398 7 жыл бұрын
uko vizuri mama kurudi kwako wenye wivu watajinyonga Kweli
@hadassperez494
@hadassperez494 7 жыл бұрын
show ya ebipol&bentoke😂😂😂.mama katisha👏👏
@amanichanga3448
@amanichanga3448 7 жыл бұрын
Keep going Tanzania
@zenaali4255
@zenaali4255 7 жыл бұрын
asante kwa mond kumrudisha mama kwa game.
@tauskasimu9100
@tauskasimu9100 7 жыл бұрын
👍👍
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 7 жыл бұрын
mma saida karibu xna uko juu sauti yke haijabadilika
@boniphacewambura2042
@boniphacewambura2042 7 жыл бұрын
nice performance
@jasminisaidi5173
@jasminisaidi5173 7 жыл бұрын
Ikopoa sana
@aminaombuya8565
@aminaombuya8565 7 жыл бұрын
Big up mama
@ommythegreatblog7040
@ommythegreatblog7040 7 жыл бұрын
dah.....natamani ningejoin with these crowd of people
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca 7 жыл бұрын
NICE PERFORMANCE #SAIDA Waliokua nakodoa kwa #BenPol na #Ebitoke give me some feedbacks....!!
@vivianrobert7136
@vivianrobert7136 7 жыл бұрын
Waooo hadi raha jamni...hongra Mma yetu... wanachza Hdi natmni ningekuepo lol🙈🙈
@roseshiombo1450
@roseshiombo1450 7 жыл бұрын
Amazing
@roseshiombo1450
@roseshiombo1450 7 жыл бұрын
happy mallya Thanks sanaa
@mkwechemedy9929
@mkwechemedy9929 7 жыл бұрын
Tuko pamoja sana mama kaza vilevile
@godmysaviour2232
@godmysaviour2232 7 жыл бұрын
wakola omurungi mama.....ndagukunda chaneee
@godfreykanelela9448
@godfreykanelela9448 7 жыл бұрын
goog sound
@sarahkabwelile3619
@sarahkabwelile3619 7 жыл бұрын
nice
@user-yv4ku7fn5o
@user-yv4ku7fn5o 10 күн бұрын
Mandar um forte abraço a Tanzânia yote.
@mwambirekwamboka9525
@mwambirekwamboka9525 7 жыл бұрын
madee ndani
@newkhamza1339
@newkhamza1339 7 жыл бұрын
asante sana umenikosha sana daida
@DIAMANTE1999
@DIAMANTE1999 Жыл бұрын
Wuuuhuuu bk Town to de word
@wardalward3693
@wardalward3693 7 жыл бұрын
laknii hizo gita zina leta kelele sauti yako hatoki vizuri
@pettyjoffy9381
@pettyjoffy9381 6 жыл бұрын
we mbona unakosoa sana embu zakwako zikoje
@faridmobji
@faridmobji 7 жыл бұрын
Our Identity bk stand up
@sadikimaira5567
@sadikimaira5567 3 жыл бұрын
Hello
@zarymassmasuma2538
@zarymassmasuma2538 7 жыл бұрын
show kali kinoma
@johngasto9384
@johngasto9384 7 жыл бұрын
nan aliedislike hapo kubafu sakee
@habarizauhakika9376
@habarizauhakika9376 7 жыл бұрын
HAJUI MAANA YA HIVYO VIDOLE HAPO JUU YE ANABONYEZA BONYEZA TU
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
John Gasto umeiyona labda alikosea huyu mama hana ubaya na mt
@marimarimu3697
@marimarimu3697 7 жыл бұрын
Evar Samndeli uhhhhh mbavu zang
@mwanaidiabdallah6504
@mwanaidiabdallah6504 7 жыл бұрын
wengine awajui maana ya hizo alama
@wardalward3693
@wardalward3693 7 жыл бұрын
wana haribu
@gracerosi6179
@gracerosi6179 5 жыл бұрын
Nyimbo zako zinamaadili mazur
@coldernolas5183
@coldernolas5183 7 жыл бұрын
saida umebarikiw sauti nzuri
@josephmakofia9716
@josephmakofia9716 7 жыл бұрын
Iko poa sana
@sethstiven3393
@sethstiven3393 7 жыл бұрын
OK anatsha yuko vzr
@faridarahma9996
@faridarahma9996 7 жыл бұрын
vizuri said a
@happyjohn1895
@happyjohn1895 6 жыл бұрын
wow penda sana saida
@talantap4966
@talantap4966 7 жыл бұрын
mkufunz legend
@wardalward3693
@wardalward3693 6 жыл бұрын
Said we hatari mama
@suleimanaula447
@suleimanaula447 7 жыл бұрын
love your voice..hit the gym a little though..
@kingdeniscrocodile
@kingdeniscrocodile 3 ай бұрын
Sijamuona mwingine zaid ya ebitoke kw ben paul
@privalibent3311
@privalibent3311 3 жыл бұрын
Dance wake mbona hawapo
@mukhtarisaidi1776
@mukhtarisaidi1776 7 жыл бұрын
bentoke na ebipol, nawaona nawaona, Mmetisha xana
@justinemalima6701
@justinemalima6701 7 жыл бұрын
mbona wamejaa wahaya?
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
Justine Malima sisi ndio watemi kabila teule Tanzania nzima.
@justinemalima6701
@justinemalima6701 7 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe hahahahaha!
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 7 жыл бұрын
Justine Malima mtani wangu ninekuvunja mbavu hahaha inabidi nijicheke Mtani
@justinemalima6701
@justinemalima6701 7 жыл бұрын
Renalda Kamugisha Zeramula Kemilembe umenifurahisha kweli kweli coz tokea asubuhi nilikuwa sijacheka
@sajiduathuman1560
@sajiduathuman1560 7 жыл бұрын
ni shida hii ni ya kibabe
@danieldaniella9428
@danieldaniella9428 7 жыл бұрын
krb saida dada yetu
@valeriaveda7519
@valeriaveda7519 3 жыл бұрын
Olugambo 😂😂😂😋
@medeckmedady247
@medeckmedady247 5 жыл бұрын
Okakola kazilo
@erickwinchislaus1344
@erickwinchislaus1344 7 жыл бұрын
abokuzana akabaiya nkai au alienda bk kuwatafuta maana wanatisha
@erickwinchislaus1344
@erickwinchislaus1344 7 жыл бұрын
muache sisi wahaya tuzungushe makongoro
@swidatyomary1380
@swidatyomary1380 6 жыл бұрын
Jamn nilikumiss mamy kalib tena.....
FULL VIDEO: Saida Karoli alivyoimba na watu wake Mwanza
24:24
Millard Ayo
Рет қаралды 33 М.
BEST VIDEO SONGS OF SAIDA KAROLI 2023 / MIXTAPE 1
39:11
TechDaudi Movieshop
Рет қаралды 28 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН
Sigma Girl Past #funny #sigma #viral
00:20
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
Tony Nyadundo LIVE performance | FineTuned to perfection 🔥🔥
51:04
Saida Karoli - Baba Tajiri (Official Audio)
10:01
WMJ STUDIO - CHIPMUNKS
Рет қаралды 1,4 МЛН
Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI
22:07
BONGO 24 NEWS
Рет қаралды 28 М.
Saida Karoli anaendelea kuweka Historia kwenye Tigo Fiesta.
19:49
SAIDA KAROLI - Live performance at ONGALA MUSIC FESTIVAL 2023 (B)
8:43
Nuru Media Tanzania
Рет қаралды 16 М.
Twenzetu kigamboni Live Perfomance by Saida Karoli
13:45
Kats Music
Рет қаралды 17 М.
Sebene la Saida Karoli Lapagawisha Mashabiki
27:46
Global TV Online
Рет қаралды 434 М.
ОДИН ДЕНЬ ИЗ ДЕТСТВА❤️ #shorts
00:59
BATEK_OFFICIAL
Рет қаралды 8 МЛН