KIJANA 'HANDSOME' ALIYEPIGWA NA SHOTI YA UMEME AKAWA MLEMAVU, WATANZANIA WAGUSWA, WAMFUNGULIA OFISI

  Рет қаралды 12,345

Global TV  Online

Global TV Online

2 жыл бұрын

KIJANA 'HANDSOME' ALIYEPIGWA NA SHOTI YA UMEME AKAWA MLEMAVU, WATANZANIA WAGUSWA, WAMFUNGULIA OFISI
GLOBAL JAMII wiki hii na Daniel Joseph (26) Mkazi wa Dar es salaam ambaye amepoteza muonekano wake halisia baada kupata ajali ya shoti ya umeme Mkoani Kilimanjaro wakati akiwa katika shughuli zake ambapo katika tukio hilo mwenzie aliyekuwa nae amepoteza kabisa kumbukumbu na Kwa sasa kijana Daniel hana makazi ya Kuishi.
UNAWEZA KUMSAIDIA CHOCHOTE KUPITIA NAMBA +255686162614
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 46
@zakiakondo2849
@zakiakondo2849 2 жыл бұрын
Allah atakufanyia wepesi Daniel na Kila jambo lako litafanikiwa inshaalah umetufunza sana 🙏
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Mungu akusimamie kk kwenye utafutaji wako
@mekkyymohd1541
@mekkyymohd1541 2 жыл бұрын
Pole San kaka Allah atakusaidia inshaallah
@nestoemanuel1768
@nestoemanuel1768 2 жыл бұрын
Nimefurahi kukuona kwa Mara nyingine tena🙏🙏
@consalvamsigwa7870
@consalvamsigwa7870 2 жыл бұрын
Hongera sana Daniel! Nimefurahi kukuona, tena ukiwa kawaida tu bila zile nguo zako unazozipenda za usoni! Nikuambie kitu Daniel, kwenye interview hizo hufichi uso, na upo OK., hivyo kama haikuletei matatizo, waweze vaa barakoa na miwani kuzuia vumbi. Na kichwani kofia! Mwenyezi Mungu akuzidishie baraka katika kazi zako zote.
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 2 жыл бұрын
Mungu ataleta kheri juu yako kaka
@tatumussa6813
@tatumussa6813 2 жыл бұрын
Mungu ataendelea kukupigania Daniel
@hagarbills4023
@hagarbills4023 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie braza nakuombea sana
@sabahiali6021
@sabahiali6021 2 жыл бұрын
Pole sana
@plujoncylugano4611
@plujoncylugano4611 2 ай бұрын
Aaaah! Nimefurahi kukuona tena mdogo wangu Daniel[Shaaaaa] Kaka Jose Kia
@janethnyamate1173
@janethnyamate1173 2 жыл бұрын
Hakika mungu mwema Daniel mungu ako na kusudi Zur Sana na ww
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 жыл бұрын
Mashaalah masofa mazuri duuh natamani nikuwe mteja wake ninunue sofa kawake lkn niko gulf asaiv
@ashuuuaisha9122
@ashuuuaisha9122 2 жыл бұрын
Ukienda tz kamuone my. Au kama vipi weka oda nduguzo wayafate
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 жыл бұрын
@@ashuuuaisha9122 inshalah ucjali watu km hawa tunafaa tuwaugishe zaidi
@ishipalemypasco2567
@ishipalemypasco2567 2 жыл бұрын
Daaa asanteni sana waandishi wa habali na watanzania kwa ujumla 🙏🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍
@georgepaul5165
@georgepaul5165 2 жыл бұрын
This is the major reason why God created humanity. God replenish and bless them immensely 🙏🏾❤️
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Pole bro Mungu abariki kazi yako ukawe mfano kwa wengine
@eliwazadaniel6535
@eliwazadaniel6535 2 жыл бұрын
Pole kakangu mungu aibariki kazi ya mikono yako
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 жыл бұрын
Dah huyu jamaa hua naumia Sana ninapomuona ila mwenyezi mungu atakufanyia wepesi kwenye kazi zako insha Allah ningekua nipo maeneo ya huko ningenunua sofa kwako ila nawaomba watu wa maeneo ya huko wanunue sofa kwako kwa kila anaehitaji insha Allah 🤲🤲
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Tena fundi mzur tu jmn mashaallah kaka mungu at akufanyiwa wepesi
@busnaoman9981
@busnaoman9981 2 жыл бұрын
Pole sana kaka
@jasminishafii5478
@jasminishafii5478 2 жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi mungu mwingi wa rehma atakuvusha kila hatua,
@ummubukharothmn2183
@ummubukharothmn2183 2 жыл бұрын
Duuh bnadam twaringa buretu jamn
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU mkuu
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 2 жыл бұрын
Allah atakujaalia utafanikiwa inshaallah
@meckmussa1840
@meckmussa1840 2 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@ezekielloylepayon5042
@ezekielloylepayon5042 2 жыл бұрын
MUNGU akuinue na kukupa nguvu Daniel
@nickodemaskawogo8286
@nickodemaskawogo8286 2 жыл бұрын
Mungu akubariki
@rehemahramadhani3428
@rehemahramadhani3428 2 жыл бұрын
kumbe anaweza hivi
@shahdujamada7804
@shahdujamada7804 2 жыл бұрын
Duh pole sana aisee
@mamapasua390
@mamapasua390 2 жыл бұрын
Pole sana jamani mungu akuinue ufike mbalia
@saidaramadhan2099
@saidaramadhan2099 2 жыл бұрын
Mwenyezimungu atakujaalia
@faridadondo2103
@faridadondo2103 2 жыл бұрын
Jamn Kwan hakuna njia mbadala yakufany arudi katk Hali yake yakawaid ngoz yake naon kwanz anapat tabu saan yakuongea naon km anaumia mdomo kiukweli mm Nashindwa kumuangalia namhurumia daah kabla hujafa hujaumbok pole saan kaka
@salha6596
@salha6596 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema kikubwa tumsapoti kwenye biashara
@nahishakiyeassuman5541
@nahishakiyeassuman5541 2 жыл бұрын
Pol sana ndugu yangu kwakweli matatizo ulio kuwa nayo
@jenjoseph7270
@jenjoseph7270 2 жыл бұрын
Jamani mungu mkubwa 🙏🙏🙏🙏🙏😱😱😱
@fatumakassimu5923
@fatumakassimu5923 2 жыл бұрын
Naomba namba yake huyo kaka jamani halafu set mzima bei gani
@asiashaban5809
@asiashaban5809 2 жыл бұрын
Duuuh I'm sorry broo
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Hivi ukipata msaada ukaenda india hawawezi wakakutengenezea ngozi?
@joycemaige8683
@joycemaige8683 2 жыл бұрын
Mimi nimemtafuta huyu kama sikuona kujibiwa txt zangu kama nilivyo tegemea nika block namba from Oman Mungu akutie nguvu
@rukaiyaahmadsuleiman3951
@rukaiyaahmadsuleiman3951 2 жыл бұрын
Mpigie sim muongee watu wengine hawashuhulikii sms huona kama sms ni za mitandao
@joycemaige8683
@joycemaige8683 2 жыл бұрын
@@rukaiyaahmadsuleiman3951 hapa nilipo my maduka ni mbali kidogo tunatumia Wi-Fi kulahisisha habari za vocha my txt ilifunguliwa nikatuma tena nikauliza au wewe siyo mwenye simu ikasomwa haikujibiwa tena nika block basi ivyo
@mwanaishamande8880
@mwanaishamande8880 2 жыл бұрын
Km kablock muache mafi lazma habibty
@joycemaige8683
@joycemaige8683 2 жыл бұрын
@@mwanaishamande8880 😂nimecheka kama mazuli et mafi lazm nzeny ummy mimi ndio nili block baada ya kuona sijibiwi txt na zinasomwa tu my
@yusuphkassimu227
@yusuphkassimu227 2 жыл бұрын
Kilicho Baki ni kumsaport tu Sasa kwenye biashara yake watanzania
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Pole sana
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН
БАБУШКИН КОМПОТ В СОЛО
00:23
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 15 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
UTAUMIA ZAIDI HAPA NDIPO ANAPOLALA KIJANA DANIEL
5:24
Gangana Info Channel
Рет қаралды 10 М.
UZINDUZI MKUBWA WA VYOMBO VYA KIMATAIFA (PA SYSTEM)
14:09
MCRC ONLINE TV
Рет қаралды 4,9 М.
I left my son in Saudi with a mark on his back so I can recognize him | Tuko TV
54:57
KESI YA KOMASAVA Vs HAKUNA MATATA | DIAMOND & MARIOO - USWEGE MURDERER
6:12
DARASA LA UMEME madhara ya Earth Rod fake.
6:18
DARASA LA UMEME
Рет қаралды 17 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 8 МЛН