KIJANA ASIMULIA TUSIYOYAJUA "NILIPIGWA SHOTI, WACHACHE WANANISHANGAA, VIJANA WENGI HAWAPENDI KAZI"

  Рет қаралды 70,481

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 171
@jassontv5366
@jassontv5366 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu muwekee mkono wako kijana mwenzetu huyu katika shughuli zake za utaftaji akafanikiwe pia mpunguzie changamoto apitiazo Eeh Mungu mwenyezi!.
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Huko ulaya wnabadilisha hadi sura , naomba serikali imusaidie huyu kijana,Mungu amsaidie
@jestinakanji8168
@jestinakanji8168 2 жыл бұрын
Eee mungu wng ww ndiyo muweza muwezeshe huyu kijana. Hakuna lisilo wezekana kwako🙏😭😭
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 жыл бұрын
AMEEN Yaarab 😭🤲🤲🤲🙏
@pinkertontv5735
@pinkertontv5735 2 жыл бұрын
Ukafanikiwe sana mdogo wangu. Bado u-Hb upo. We love u💪❤️❤️❤️
@officialabed3989
@officialabed3989 2 жыл бұрын
Pole sana brother yote nisehemu ya maisha pole mungu yuko pa 1 na wew
@maleek11flacko
@maleek11flacko 2 жыл бұрын
ALWAYS APPRECIATE who you are Usiwahi jiona mzuri kulikowenzio 💗🇰🇪
@soudcicoput3701
@soudcicoput3701 2 жыл бұрын
Pole sana mungu akusaidie
@speriussimba6717
@speriussimba6717 2 жыл бұрын
Pole sana eeh Mwenyezi MUNGU mzidishie huyu kaka na mponye katika jina la YESU
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 4 ай бұрын
Ameeeen
@abdallasarai6327
@abdallasarai6327 2 жыл бұрын
Ukiishi, ombaga sana Mungu kwa ulichonacho na machache kwa unayotaka. Namaanisha shukuru Mungu kwa kila hali.
@justblackcode
@justblackcode 2 жыл бұрын
Nashukuru sana watanzania kwa kusikia ombi lake... Mwenyezi Mungu abariki kazi ya mikono yake
@samweliandrea7802
@samweliandrea7802 2 жыл бұрын
Pole sana kaka mpaka kubaki hai jambo lakumshkuru mungu sana usijili utapona kaka
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Binadam si chochote si lolote, lolote laweza kutokea tusiringe kwa chcht kile ulicho jaaliwa, Mungu anaweza akakubadilisha
@Niambiemimiinvestmenttv
@Niambiemimiinvestmenttv 2 жыл бұрын
Duh kweli ujafa ujaumbika mungu ampe itaji la moyo wake kwakweli
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Allah akujalie kazi ya mikono yako 🤲🤲
@Zanga93
@Zanga93 2 жыл бұрын
Dah! Haya maisha cyo kitu chakujivunia sana maana kesho ni Siri 😔😔😔😔
@aminakipande5645
@aminakipande5645 2 жыл бұрын
Kabisaa
@wahidashehe2335
@wahidashehe2335 2 жыл бұрын
Hakika
@godfreylyimo9442
@godfreylyimo9442 2 жыл бұрын
Oh my God.. Mwenyezi Mungu Naomba mfanyie wepesi
@faithzamani1965
@faithzamani1965 2 жыл бұрын
Jamani tumuungishe huyu kaka kwenye biashara yake
@hamadsuleiman5397
@hamadsuleiman5397 2 жыл бұрын
Subuhaan lah one mola we ndie muongozo wetu naomba mungu mpe nguvu afya pia ridhiki.kijana mwenzetu
@mfalmeodinga6417
@mfalmeodinga6417 2 жыл бұрын
Pole sana,mwenyezi Mungu akuongoze
@officialtallybt9354
@officialtallybt9354 2 жыл бұрын
Whaaah touching life story ila Shukran Kwake God coz Brother yupo uhai..
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu, Rabbi yu pamoja nawe wakati wote.
@miriamsimwanza6371
@miriamsimwanza6371 2 жыл бұрын
Mungu atakufanikisha kwa kila unalofanya. Usife moyo ni matatizo ya Dunia. Kikubwa uzima mengine yote ni majaliwa yake
@elizabethbusigara4568
@elizabethbusigara4568 2 жыл бұрын
Pole kaka,Mungu akusaidiee ktk kazi yamikono yako
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Guys tumuombe sana ALLAH katika haya maisha tusidharauliane kwa vipato vyetu na nafasi zetu.guys maisha mafupi guys chochote chawezamkukutokea muda wowote,guys ajali ,magonjwa ,uchawi nk muda wowote yeyote yanamkuta .tujifunze sana kupitia ndugu yetu huyu
@amrirweyemamu8519
@amrirweyemamu8519 2 жыл бұрын
Mungu amuwekee wepesi
@ludanishirima5102
@ludanishirima5102 2 жыл бұрын
Pole sana kaka Mungu ni mwema sana
@wardaomar4828
@wardaomar4828 3 ай бұрын
subhanallah hujafa hujaumbika.pole sana Allah akupe shifaa
@HawaJuma-d2i
@HawaJuma-d2i 20 күн бұрын
Pole kaka mungu atakupa nguvu na mafanikio makubwa sana mshukulu mungu kwa yote yeye ndio mpangaji wayote kaka
@bakarirajabu3783
@bakarirajabu3783 2 жыл бұрын
Pole Sana mdogo wangu mungu atakusaidia wa Tanzania tuko nyuma yako hazisha hiyo kz yako tuta kuja kukuhunga inshaallah
@williamuphilipo7447
@williamuphilipo7447 2 жыл бұрын
Pole sana na hongera sana kwa kutokata tamaa, Mungu azifanikishe ndoto zako.
@halimasuddy9294
@halimasuddy9294 2 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu yu pamoja nawe kila
@ivankivinge2987
@ivankivinge2987 2 жыл бұрын
Asante Mungu
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 2 жыл бұрын
Mungu akujalie sana kuwa na amani maisha sio ya kudumu ishi kwa furaha kadri unavyoweza. Wapo wenye sura zao nzuri na wanaishi kwa tabu zaidi. Jifunze kujikubali usiache kwenda kanisani au msikitini kila siku kulingana na dini yako itakufariji sana na utaishi bila mawazo
@davianofficial6972
@davianofficial6972 2 жыл бұрын
Kikubwa uhai Mungu wetu sio mnafiki alimsaidia akatoka mzima Mungu atajua atamsaidia
@jaqeezmosurprise4499
@jaqeezmosurprise4499 2 жыл бұрын
Allah akulinde mitihan ni ya wa2 wote dunian
@mariajemutai2968
@mariajemutai2968 2 жыл бұрын
Pole sana brother mungu akuponye
@iam_lasco
@iam_lasco 2 жыл бұрын
Daah kweli hujafa haujaumbika
@daviemasai3152
@daviemasai3152 Жыл бұрын
Mungu aendeelee kukupigania daniel...nakuombea mdogo angu
@khamisichado2150
@khamisichado2150 2 жыл бұрын
Pole Sana ndugu yangu Kwa MUNGU kila kitu kitawezekana INSHALLAH
@Views-mf8ir
@Views-mf8ir 2 жыл бұрын
Ujafa ujaumbuka mtu Wangu. .!!. Mungu akusaidie home boy ..
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Naam nkwel kabsa maneno yako sahihi inshaallah kher Allah atufanyie wepesi inshaallah kher
@nassarrostom1919
@nassarrostom1919 2 жыл бұрын
Polee ndugu yangu
@Stainyjacobtv
@Stainyjacobtv 2 жыл бұрын
Mungu akutangulie Sana sana
@athumanmwambashi4584
@athumanmwambashi4584 2 жыл бұрын
pole sana kijana mwenzangu,ALLAH akufanyie wepesi
@natureshirima3937
@natureshirima3937 2 жыл бұрын
Pole Sana broo mungu yupo nawe usikate tamaa amini
@mandomsondo2765
@mandomsondo2765 2 жыл бұрын
pole sana brother mungu ndo mpangaji wa kila kitu pole sna
@daudngerela9602
@daudngerela9602 2 жыл бұрын
Jaman pole ndugu yangu.
@michaelmoro4801
@michaelmoro4801 2 жыл бұрын
😭😭😭 nimeumia sana Mungu ndo Hanajua mwisho wetu
@carptentv6848
@carptentv6848 2 жыл бұрын
Dah huyu mtangazaji ngomba anajitahid sana kuibua habari Kali anawashinda wote happ milady ayoo
@nicholasamosbakar6182
@nicholasamosbakar6182 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu yote nisehem ya maisha Mungu yupo pamoja nawe.
@barakadaprince3742
@barakadaprince3742 2 жыл бұрын
Dah haya maisha ni mafupi sana kwl kuna siri kubwa mungu kutuficha kesho😪😪😪
@sanchdenchiyiki2024
@sanchdenchiyiki2024 Жыл бұрын
Pole sana May god bless you
@odajackson6817
@odajackson6817 2 жыл бұрын
Mungu akusaidie sana...najua kwa ukuu wa Mungu yote yatakua sawa.Amen
@safaribiyaa8693
@safaribiyaa8693 2 жыл бұрын
Pole broo
@faithzamani1965
@faithzamani1965 2 жыл бұрын
Pole sana ❤
@dayanamwambelo6259
@dayanamwambelo6259 2 жыл бұрын
Mungu wetu ni mwaminifu hata utimilifu wa dahali ,pole kaka angu hujafa hujaumbika
@malikimanga221
@malikimanga221 2 жыл бұрын
Pole sana kaka
@josephjohnmagesa8256
@josephjohnmagesa8256 2 жыл бұрын
Pole Sana
@sembasitianayinzaki1253
@sembasitianayinzaki1253 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu yangu tutawasiliana
@kimsamir965
@kimsamir965 2 жыл бұрын
Pole sana kaka mambo y mungu
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 жыл бұрын
Pole ndg yangu
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 2 жыл бұрын
Pole san mdogo angu mushukuru mungu kwa jambo hakika kila jambo halishindikani kwa mungu
@rachelmolleli9926
@rachelmolleli9926 2 жыл бұрын
Pole xna kka Mungu anakupenda xna. Dunia inamambo mengi xna endelea kupambana
@namdokondo1956
@namdokondo1956 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi kwa kila jambo kka yangu
@abdallahiddikatumbi1609
@abdallahiddikatumbi1609 9 ай бұрын
Pole sana ayse
@gambathegreat8997
@gambathegreat8997 2 жыл бұрын
Mungu aendelee kukulinda
@salhaayubu6027
@salhaayubu6027 2 жыл бұрын
Subuhana Allah jaman Allah atakuongoza kwenye maisha yako inshaallah
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 жыл бұрын
Aisee! hujafa hujaumbika
@eveliuskasiita1914
@eveliuskasiita1914 2 жыл бұрын
Pole Sana.Mungu atakufanyia wepesi kwa Kila Jambo ulifanyalo.
@khalossalim3723
@khalossalim3723 2 жыл бұрын
Pole still ur handsome 🥰
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Pole sana km hujafa hujaumbiaka
@ezekieldamas3042
@ezekieldamas3042 2 жыл бұрын
Pole sana jembe mungu akusaidie
@araphahussein4296
@araphahussein4296 2 жыл бұрын
Poleeee sanaaa 😔😔😔
@mudricksaleh7736
@mudricksaleh7736 2 жыл бұрын
Dah pole sn kijana ndio mitihan ya dunia vumilia na mshukuru Mungu maana kila kilichomo ktk mgongo wa dunia na mbinguni nivyake anahaki ya kufanya analo penda pia na anae jiona mzm hanaijua hatimae pole sn
@vailetmwampamba2341
@vailetmwampamba2341 2 жыл бұрын
Kabla hujafa hujaumbika..Mungu akutunze kaka
@ngatunin.p.4292
@ngatunin.p.4292 2 жыл бұрын
Ninaombea baraka za Mungu kwako. 🙏🏿
@alfoncemanda744
@alfoncemanda744 Жыл бұрын
Mungu atakusaidia broo
@samwelimoleli2468
@samwelimoleli2468 Жыл бұрын
Mungu atakusaidia Kaka
@africatanzaniatours
@africatanzaniatours 2 жыл бұрын
Pole Sana mwanangu , mwenyezi azidi kukuongezea moyo wa kutokukata tamaa
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 2 жыл бұрын
Pole dani mwenyez MUNGU akupe moyo wa uvumilivu😢
@kibasiwakibasi5070
@kibasiwakibasi5070 2 жыл бұрын
Daaaah pole kakaaaaaa
@denisnaylorkisitu2339
@denisnaylorkisitu2339 2 жыл бұрын
Pole sana ndugu!
@ahmadkhery4214
@ahmadkhery4214 2 жыл бұрын
Pole sanaa ndugu yangu ila allah atakujaalia inshallah pole sana
@habibahamisi5256
@habibahamisi5256 2 жыл бұрын
Masikin pole mungu yupo nawe
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 2 жыл бұрын
Pole sana 😢
@petercosta1317
@petercosta1317 2 жыл бұрын
Pole sana mungu akusaidiee
@irenemwakalinga4350
@irenemwakalinga4350 2 жыл бұрын
Polee sanaa kaka yangu dah so sad 😞 Mungu mwema atakusaidia kipenzi
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 2 жыл бұрын
SUBHANALLAH . Hujafa hujaumbika
@eastmanonsarigo226
@eastmanonsarigo226 2 жыл бұрын
Take heart bro
@launationsalum1665
@launationsalum1665 Жыл бұрын
Pole
@mzeeloshilusanare4346
@mzeeloshilusanare4346 2 жыл бұрын
Daaah pole sana ndugu yangu
@abdullasleiman796
@abdullasleiman796 2 жыл бұрын
pole sana broo
@oman2029
@oman2029 2 жыл бұрын
Daaaah ujafa ujaumbikaaa jaman mtu hunaishi lakin uijui kesho yako🙌😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@luisojr3480
@luisojr3480 2 жыл бұрын
Pole Sana ndugu Yetu🙏🏾
@philimonsinkamba6072
@philimonsinkamba6072 2 жыл бұрын
Pole sana pole sana ndungu
@kibayasadickson4105
@kibayasadickson4105 2 жыл бұрын
Mungu amsadie
@oman2029
@oman2029 2 жыл бұрын
Daaah😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@hussein0757
@hussein0757 2 жыл бұрын
Pole sana jamaa
@gasparmpangaa8329
@gasparmpangaa8329 2 жыл бұрын
Pole Sana lafiki
@mwljuliuskiwovele
@mwljuliuskiwovele 2 жыл бұрын
Daaah kweli Hujafa hujaumbika ,yaani imenihuzunisha sana kiukweli.Kama kuna uwezekano Asaidie ili akafanikishe surgery ya uso nchi za ulaya zilizoendelea kimaabara
@dorismkoma4228
@dorismkoma4228 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukutetea kaka
@ernestgamba3732
@ernestgamba3732 2 жыл бұрын
Ni Mungu pekee anayeweza kuijua kesho yako...Mungu atafanya jabo kwa ajili yako ndg,endelea kuomba bila kukoma...🙏🙏😱
@nasrikilapo5945
@nasrikilapo5945 2 жыл бұрын
😭😭😭pola Sana mungu akuongoze
@aishalucas3502
@aishalucas3502 2 жыл бұрын
Mungu mwema
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 66 М.
ADMINI WA MASHUJAA FC ANAYETUMIA SOKWE AFUNGUKA KUHUSU UBUNIFU WAKE
14:02
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 7 МЛН