SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@nahyialetomia9284 Жыл бұрын
Joyce is extremely bright
@preciouspeter6126 Жыл бұрын
Huwa sikubaliani na Joyce katika mambo mengi( that's normal) lakini she is very smart. Ana kitu kikubwa na kizuri ndani yake sema experience za dunia zinamvuruga tu sometimes. Kwa interview hii ameongea vizuri. Hongera zake.
@rosemarynitwa162 Жыл бұрын
Shaloom watumishi wa Mungu..Mungu azidi kuwatunza na kuwapigania,nyie ni watumishi wa Mungu fanyeni kazi ya Mungu ya kuwatetea wanawake bila kumuhofu mtu na mwanaadamu..Mungu awatetee wasemeeni wanawake na kuwaelekeza wajitambue wasiishi kwenye ndoa ya manyanyaso na makandamizo ya vipigo ..Mungu awape ufahamu naMungu azidi kuwalinda na kuwabariki
@pudensianalyimo228 Жыл бұрын
You are good Joyce, keep it up!! Yes, confidence is a conquer of this world.
@christinaonditi9341 Жыл бұрын
Lilian, be free huna kasoro yeyote na wewe ni mrembo sana,hiyo shida kdg unayoihisi haipo My usijizibe mdomo wewe ni mzima,naongea kutoka moyoni,ukijiziba ziba ndio unatengeneza mtu kukuzingatia na kila siku itaonekana kama kunashida wakati uko sawa my
@haikamsechu8039 Жыл бұрын
This is so nice! Smart women! Your friend is first God the Lord Jesus, and that is it, there is no such a thing like friend.
@shabanizena2612 Жыл бұрын
Joyce kiriya is like my miror
@xaixaiobrigado4846 Жыл бұрын
Hayo mnayaongea kwa: mume mmoja ,mke mmoja.>>shida. Semeni na ya mume mmoja wake zaidi ya mmoja!>>peace of mind!
@mdubashella2913 Жыл бұрын
Me Joyce nakupendaga sana, sema hujui wahi
@Kidotii Жыл бұрын
Joyce you are Brilliant!
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Kuvalishwa Pete na kuwa karatasi hivyo sio ndoa ,ndoa ni maisha mnayoishi karatasi na Pete ni kuwadhibitisha tu ,unaweza ukawa na karatasi na Pete lakini ndoa huna
@nuruchawe797811 ай бұрын
Aisee na hao wengi mno
@abelhilonga1095 Жыл бұрын
Wanawake wazuri wote hawana marafiki wanawake na kwaajili ya wivu na hawapendi wanawake wenzao huwezi kumpenda mtu ambae sio rafiki yako
@joyce55727 Жыл бұрын
Wajina wangu dd Joyce mm nakubaliana na wewe siwez kukaa kwenye ndoa ya mateso kisa nilifundwa kuvumilia au niogope kutoka kwenye hio ndoa eti nitachekwa hio mm nilishindwa kbs saiz nipo naish pekeangu na maisha yanaendelea vzl tu
@joyce55727 Жыл бұрын
Maana hawa wa nje hawajui ndan nini unacho pitia sasa kwa nn ung'ang'anie hio ndoa acha wakuseme eti unafundisha wanawake kuacha ndoa zao hao wanao kuponda hayajawakuta
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Tupo wengi
@abelhilonga1095 Жыл бұрын
Wanaume hatuhitaji msaada kiukweli kwahiyo na sisi tupambanie haki zetu hapo mmeanza kuwadanganya wanawake
@janemarselngoiso9761 Жыл бұрын
Nakupenda Sana Dada Joyce's
@drmdee Жыл бұрын
Masingle mama wanatokana na Wanawake wengi kukimbia haki za mwanaume kwny ndoa ztawabana kingine usawa hauwez kuwepo kwenye ndoa maana majukum ya mume na mke kwny ndoa hayalinga hvy kwny maamuz ya mwisho kweny kufanya jambo lolote kat Yenu Bado n mwanaume tuu ukianzia kidin na kidunia ttz Wanawake wengi wanataka usawa kwny haki za mwanaume
@marykennedymarwa1641 Жыл бұрын
Wanawake ishini na watoto na sio Kwa sababu ya watoto. Bila hivyo mtakufa sana Kwa kunyanyaswa na wanaume
@olivernyange23494 ай бұрын
Wewe Joyce ni unajielewa kweli,ndoa ni kusaidiana two of them lkn likija swala la malefic mwanamke lazima aende beyond kwa sababu nyumba ni mwanamke
@neemamalila4155 Жыл бұрын
Nawaelewa sana wadada
@hamoodalbusaidi4671 Жыл бұрын
Nakupenda saana
@josephmgeni3997 Жыл бұрын
Ndoa ni taasisi ambayo haihitaji harakati,ni lazima mmoja akubali kuwa mpole ili mambo yaende,aweza kuwa mume au mke,ukileta harakati kwenye ndoa Joyce rejea kumbu kumbu zako uko na ndoa ya tatu sasa,means tatizo siyo wanaume hapa tatizo ni wewe,jitafute tena ujipate,kinyume chake hata hii ya tatu hutodumu nayo!
@saidrusuma8523 Жыл бұрын
Dada Lilian, Mwanaume ni mamlaka na ni kiongozi wa familia, na ni kosa kubwa kumringanisha na mtu anaeitwa mwanamke, na ukitaka kuamini hiki ninachokizungumza...! Kwa Sisi waislam ni marufuku mwanamke kupaza sauti kwa Mumewe, nakama ikitokea basi huyoo Mwanamke anakuwa hana vigezo vya kuwa Mke wa MTU.
@salomewandya7257 Жыл бұрын
@@saidrusuma8523 labda wanawake wa kiislamu wa zamani lkn siyo wa sasa
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
@@saidrusuma8523 unaumwa kweli wewe
@chapter2719 Жыл бұрын
Kwanini Lilian Mwasha anavaa kama Bibi wa miaka 70 siavae magauni ya kanisani au suti its an intervju hayo sio mavazi ya intervju please respect intervju usivae kama unapita sokono
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Hahaha jmn
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
True
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄😄😄
@aishatest4451 Жыл бұрын
safi sana🥰🥰🥰
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
Joyce kupendeza hatariii
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
Joyce needs a lot of education, when it comes to marriage, are you happy? Really? What about the duty and honor of marriage...
@balljmushi9599 Жыл бұрын
Weee,mwnmkeee!!!?,,weee usiongeee ucchokjuaaa...Naona akil zenu zna watosha wenyewee.
@adamwilliam07 Жыл бұрын
Joyce Kiria ni Ferminist , she doesnt have to use the name of God to promote women masculinity . Men and Women should know their role in the families . Kwa nn shetani anatumia nguvu nyingi kumuattack sana mwanamke na siyo mwanaume . Men dies mentally , physically and emotionally than women
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
Wanaume wa kizungu huku marekani wanao wanawake kutoka nchi za Africa na Asia, wamewaacha wanawake wenye kufikiri kama Huyu Joyce na Lilian...
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Kama sijakuelewa
@salomewandya7257 Жыл бұрын
Ata mimi sijakuelewa kwa kweli
@barakadeusdedit8273 Жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 anamaanisha huko Marekani alipo wanaume wa kizungu wameachana na wake zao wenye mawazo kama ya Joyce na kuoa wadada wa kiafrica sio na hio mitizamo ya Joyce
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
@@barakadeusdedit8273 inawezekana kujitambua kwa wanaume wa huko na walio wengi huku kwetu ni tofauti,wanachomaanisha Hawa tuolewe Ila kuolewa si kunyanyaswa au kudhukumiwa utu na thamanj yako kwa niliyowahi kupitia na ninayoyaona na vitu lazima wavielewe yaani wajitambue
@barakadeusdedit8273 Жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 ukitizama kwa makini ndoa si sehemu ya unyanyasaji wala dhuluma. tatizo liko kwenye back grounds za hao wanandoa. nikupe mfano mmoja ukiingia kwenye mahusiano na mtu alieishi maisha ya kunyanyasika, hata ukimsalimia atakuambia unamuongelesha vibaya, hivyo kuna ndoa nyingi ambao ziko na hio shida. sio kila anaelalamika ni kweli kanyanyaswa, wengine wanajinyanyasa wenyewena kudhani wananyanyaswa
@pikanaauntzuu14669 ай бұрын
Mwenye namba ya joyce naombeni jmn
@williamchaula7091 Жыл бұрын
Joyce ni mjivuni sana ndio maana atapata tabu sana kusavive kwenye ndoa na WA awake wakimzingatia atawapoteza sana vitu vingi anavyoongea ni nadharia zaidi sio reality
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Weee anajielewa ndio maana Kuna watu hawamuelewi
@rozapetro1647 Жыл бұрын
🥰🥰🥰
@josephmgeni3997 Жыл бұрын
Kwa hiyo katika hizi ndoa mbili ulizopita na sasa ni ya tatu mara zote ukatili ulifanyiwa wewe tu?
@maryamtan682 Жыл бұрын
Alisha Sema ndoa ya kwanza bd yy alikua ajajitambua na kujua jinsi ya kuishi na mume (utoto) na ya pili ndo amepitia mateso.
@josephmgeni3997 Жыл бұрын
@@maryamtan682 yote kwa yote,upande wa pili hatujausikia,au mwenzetu umewasikia hao waume zake? Vipi km nao walifanyiwa ukatili ?
@zeinababdi4757 Жыл бұрын
What God has to do with domestic violence, there should be laws of the land, Tanzania government which deals with domestic violence, child protection and child support enforcement. Joyce is not holding women responsible for anything...why? She is basically talking about herself and futhering her own agenda by using women's issues which she knows nothing about. Joyce's marriages failed, it takes two to tango...this is her third marriage, she is exuding nothing but masculine energy, the man she is married to now is the biggest simp and a beta male...he is exuding nothing but feminine energy....ladies pls, don't take any marriage advice from this toxic feminist.