SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@melkizedekanthony18342 жыл бұрын
Duniani sio kwetu. Tunasumbuka sana tu. Roho wa Mungu pekee ndiye anaweza kukuongoza katka ndoa. Maneno mengi zaidi ni uongo tu.
@alsam48812 жыл бұрын
Kwenye ndoa inatakiwa kuheshimiana, kupendana, kuvumiliana, kusaidiana, kuaminiana , na pia Mume ni kichwa cha familia , na atabaki kuwa kiongozi ktk familia.
@bonifacewangwe39432 жыл бұрын
Kinacho sumbua ndoa nyingi au mahusiano ya kabla ya ndoa ni vitu kitu kimoja hapa Duniani, hawa mjui Mungu wa kweli yani hiko hivi kila mtu duaniani ana mwanamke wake au Mwanaume wake ambaye Mungu amempangia, kinacho sumbua ndoa nyingi kuvunjika Watu wanaoa na kuolewa na Watu hawaja pangiwa na Mungu yani hiko hivi Watu wanaoa na kuolewa kwa kufata tamaa zao za mwili hiyo ndoo shida Mimi naona binafsi, yani hatu Mshilikishi Mungu kabla Mambo yetu.
@gladnessshola27182 жыл бұрын
Upo sawa kabisa
@berthatz2 жыл бұрын
Joyce uko vzuri mama..Watu tunakua ..na mabadiliko lzm..Hapo ni msumari kwenye jeneneza mama..Shimboni maee Kiriaaa🙌🏾🙌🏾
@neemamassawe80912 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@bmiinsparationtalks56752 жыл бұрын
Ww umeolewa..?
@barakadeusdedit82732 жыл бұрын
joyce kuna kitu unakosea hakuna popote kwenye maandiko pamesema utii uje baada ya upendo, upendo na utii ni maagizo ya Mungu kwa mke na mume, mke aliagizwa mtii mume kwa mambo yote na mume aliagizwa mpende mkeo kama Kristu alivyolipenda kanisa. hivyo kila upande unaajibika kutumiza hilo. tusitengeneza mazingira kua ni lazima upendwe na kufanyiwa mambo mazuri ndipo utii
@christinenere17902 жыл бұрын
Safi sana Joyce ume jibu vizuri sana 🙌🙌🙌
@peterkichochi75102 жыл бұрын
Lili Mungu akupe maisha marefu. You are very smart woman. Blessed your soul lilian
@wemakalama64582 жыл бұрын
Joyce kiria she's right big up 👍👍👍
@ishe_ngo89262 жыл бұрын
Hapo nimeona Joyce umeolewa na mwanaume mvumilivu ila kuna baadhi ya vitu lazima uvitafakari kwa kina, alafu wanawake/wanaume wanatofautiana siyo kila mwanamke utamruhusu anachotaka kufanya na ukiruhusu tu inaweza kuwa chanzo cha ndoa kuvunjika
@gracekessy91502 жыл бұрын
Da joyce umetisha sana nimejifunza kitu👏
@reenyaysher76392 жыл бұрын
Thanks Joy umeeleweka, upo vzur mno
@jastinesamboto46742 жыл бұрын
Lilian uko vizuri sana umekomaa na unaelewa maana halisi ya mwanaume na mwanamke lakin uliyeko naye haelewi anahisi 50 Kwa 50 ni kuforce kufanya anachotaka yeye!
@marymaimu2162 жыл бұрын
Leta Part TWo Joy kaupiga Mwingi
@aairraahseif56482 жыл бұрын
I lo you Joyce kiria ❤️ kusimamia misimamo ktk kutetea haki na mwanamke,hasa ktk Dunia hii ya leo inatubidi sote waume na wake tubadilike kulindana na Dunia hii yaleo Sio ya zamani! na kukubaliana kwa faida ya familia,🙌🙌🙌❤️❤️
@OnlyRuky2 жыл бұрын
👐👐Joyce mitanoo the way unavyojibu maswali
@winifridamushendwa15852 жыл бұрын
Joy upo vizuri, unamaono makubwa Sana. Mungu akubariki.
@ayoubjuma79322 жыл бұрын
Siku unaachika kwa ubishi anaokufundisha Joy hatokuwepo ujue
@peterkichochi75102 жыл бұрын
Joyce ajitambui anajichanganya sana katika kujibu maswali.. she needs a lot of help.
@northerntanzaniatv40332 жыл бұрын
Kabisa aongei uhalisia wa maisha yalivyo kwa sasa yeye anadeal na kuempower wanawake tu aangalii swali linamtaka ajibu nn
@Luscious68262 жыл бұрын
What help?,she is right .Labda ww ndo unaitaji kuelimika lakin yeye yuko sahihi.
@berthatz2 жыл бұрын
Joyce anajibu sawa kabisa,Ila wanaume wachache sana wanaojitambua ndiyo watamuelewa Joyce.🤝
@jocyjocy30502 жыл бұрын
Swali langu ni kwani Mwanaume ni nani!!!??? Si ni binadamu kama wengine ! Au damu yake inazunguka opposite direction, akigongwa na gari Si anakufa kama wengine!!! Tofauti tu ni maumbile, maumbile yake yanatoa mbegu kwa mwanamke na mwanamke anabeba, anazaa na analea. Hizo za Kusema ati mwanaume akisema hapana Ndio basi ni Ego ya wanaume tu, wako wanaume elfu wanafanya maamuzi mabaya huku duniani. Mwanamke, mwanaume wote ni binadamu wa kawaida hakuna aliye zaidi , wote watakufa na wa kwenda motoni ataenda cha muhimu maelewano na upendo
@fobibook2 жыл бұрын
Dada joyce anashindwa kutofautisha baina ya kumsaidia mwanamke na kumkukubalia mwanamke anachotaka
@angelmatebe76872 жыл бұрын
Stay blessed women of God
@BabaBalingasi-hp6gd Жыл бұрын
Silipendagi hiko ki Joyce. Kama alipigwa safi sana..
Acha uongo mungu hakumuuba mwanamke soma vizuri maandiko
@winfridarichard82432 жыл бұрын
kasome vzur kitab cha mwanzo utaona aliumba spirit za jinsia tofaut ndio akaja kuumba kwa udongo😊 soma mwanzo
@prospermushi83922 жыл бұрын
There has been a lot of stereo typing. However wherever there is love every thing goes smooth. Swali langu ni kwamba hivi ikitokea kuwa mwanaume anaona kuwa kuna issue ya usalama wake au usalama wa ndoa yao na akaiweka mezani na akaonesha kuwa hiyo ndiyo sababu ya kumshauri asiendelee na hiyo biashara? Mara nyingi reaction ya mwanamke anaposhauriwa tofauti na anachotaka kufanya inaweza ku trigger magonvi kwa vile tayari kuna hiyo hali ya kufikiri kuwa ni mfumo dume.
@habibajumahabiba67302 жыл бұрын
Joyce wee love you ❤
@happynescostat74202 жыл бұрын
Tunampenda wengi anatetea wanawake kuonewa kwenye mapenzi,
@rozapetro16472 жыл бұрын
I love this hard talk
@harsoshelezi46582 жыл бұрын
HUWEZI Kutumia fikra za usawa na ukombozi wa mwanamke kuboresha ndoa. Itakuwa ni ujuha
@gracethomas6832 жыл бұрын
Asante
@julianapeason62543 ай бұрын
mimi kwanza mwanamke akishajiita mwanaharakati ni kama jina lingine la mwana single, maana huyo mwanamume lazima awe na uvumilivu
@jackiegab93942 жыл бұрын
Ooh Joyce, my dear Joyce ! I congratulate you 👏👏👏 You are focused and very clear with your points! Well spoken 👏👏👏
@rayahamisi1184 ай бұрын
Apo kwenye kupauka😂😂😂😂 nilipitia 😊😊 lkn sasaivi nimetoka wee sijachunda
@gimbanantavyo52172 жыл бұрын
You two are very gorgeous and amazing woman, nawapenda mno, kwanza mko very real I wish to see you one day!
@bestinamafipa20022 жыл бұрын
Asanteni sana nimependa bure. Myself I don't like kitchen party.
@josephmgeni39972 жыл бұрын
Kuna kutokuelewana kati ya Lilian na Joyce,anaulizwa hiki anajibu kile,nadhani ni makusudi ili kile alichonacho kisikike lkn kisilete matokeo chanya,angesimama kati kati ni wazi kuwa kipindi kingekuwa msaada mkubwa kwa jamii nzima!
@karloladislaus452 жыл бұрын
Lillian anaongea kwa upande wa Ndoa ya Kibiblia... Wakati Joyce anaongelea ndoa ya kidunia(uanaharakati wa kimagharibi)... Ndoa ya Kibiblia haisemi mwanamke achangie maendeleo ya familia. Yeye aliambiwa atazaa kwa uchingu tu. Na mwanaume atakula kwa jasho. Sasa hayo ya kuchangia familia yanatoka wapi??.. Mwanaume usioe kama huwezi kuitunza familia yako
@JenniferDenis-q9z7 ай бұрын
Embu soma mithali 31 utaona Mungu anavyo agiza mwanamke kuleta mapato kwa mme wake
@minaelnathanael18462 жыл бұрын
Mmh wachagga hana alichoniambia hapa. Halafu mtangazaji nikuambie umedanganywa, sidhani kama kuna wanawake wengi wa kichagga wanakufa mapema kwa sababu ya stress za ndoa sidhani. Ila wanaume wanawaRIP mapemaaaa
@wilfredmichael19092 жыл бұрын
Kwa mwanaume anaejielewa hawezi kumruhisu mkewe kwa kila anachotaka kufanya. Asili ya mwanamke ni kuongozwa na sio kujiongoza, imeaandikwa "mwanamke ni chombo dhaifu" na "tuishinao kwa akili" pia " ni km chombo cha dongo kikia teleza kimevunjika"!!!... Nitamsikiliza mke wangu, tutajadiliani ila moyo wangu ndio utatoa maamuzi ya mwisho, inawezekana au lah!!..km unampenda mke wako kweli, usimpe uhuru kwa asilimia mia, utakujakujuta. Nina mifano mingi ambayo nimeiona, huo sio utamaduni wetu!!!.
@mauvaisecompagnie9512 жыл бұрын
Business family
@OmanOman-dd5qk Жыл бұрын
Jamani musinikumbushe kunusa lamda mavi ndio utasikia harufu lakinindoa huwezi insane tumuachie mungutu kumbe tupowengi
@winnierichard42652 жыл бұрын
Na biblia inaposema enyi wanawake watiini waume zenu kama kanisa linavyomtii kristo' wanaume inabidi wajue krito ndie alielipenda kanisa kwanza kwahyo watupende kama kristo alivyo lipenda kanisa, sio wanakua na matendo yako kinyume na kristo ila utii wanataka wa kristo, siwezi nikaona image ya shetani alafu nikakupa utii wa kristo Tusidanganyane hivi vitu viwili upendo na utii vinaenda sambamba
@marytarimo1614 Жыл бұрын
Umeweza sanaa
@abeidsanga73612 жыл бұрын
Lilian uko sawa kwa hoja hiyo Joice bado sana nadhani shida
@drmdee2 жыл бұрын
Yaan ukwel uyo dada Joyce huwa sikuwai kupata mda wa kumsikiliza kwenye vipindi vyake ilikuwa kwa ufupi xn ila yan kwa maswali aliyoulizwa na uyo dada hajajibu lolote yan haelew anajibu kwa kupitia din au kidunia hajui ata majukum yanagawanyikaje hasa kwenye Mali mwasha umeongea vzr ttz linaanzia kwny mabadiliko majukum kama mke hayafanywi
@theodoremilenzo94202 жыл бұрын
Joyce Kiria na huyo Lilian Mwasha ni watu wawili tofauti na wenye mitizamo miwili tofauti na tena kwa kiasi kikubwa. Ni sawa sawa na maji na mafuta. Joyce Kiria ni more logical katika mazungumzo yake na huyu mwenzangu na mimi ni so ghetto. Yani arguments zake hata hazifanani
@jocyjocy30502 жыл бұрын
Swali langu ni kwani Mwanaume ni nani!!!??? Si ni binadamu kama wengine ! Au damu yake inazunguka opposite direction, akigongwa na gari Si anakufa kama wengine!!! Tofauti tu ni maumbile, maumbile yake yanatoa mbegu kwa mwanamke na mwanamke anabeba, anazaa na analea. Hizo za Kusema ati mwanaume akisema hapana Ndio basi ni Ego ya wanaume tu, wako wanaume elfu wanafanya maamuzi mabaya huku duniani. Mwanamke, mwanaume wote ni binadamu wa kawaida hakuna aliye zaidi , wote watakufa na wa kwenda motoni ataenda cha muhimu maelewano na upendo
@hildahillary95862 жыл бұрын
You have a point but some people won't understand you
@The71019872 жыл бұрын
Joyce bana upo upande mmoja tu. Mfano Mwanamke akisema Mume wangu nataka kufungua danguro inakuaje? Sio kila kitu unachoomba Mwanaume akubali ndio mapenzi au ndio anakuwa Mwanaume wa kusudi la Mungu, No sio kweli
@msouthtvonline36172 жыл бұрын
Weee Joyce Mbishi saana
@rehemavickie65212 жыл бұрын
According to Mwasha kwamba nikiona biashara nzuri au mishe ya pesa nisifanye sababu sikumwambia mwanaume?? Majukumu yanaongezeka ni vibaya kutafuta pesa? Muhimu ni kushirikishana na mwenzio kwa adabu muelewane. Kadhalika wanaume ni fighters ikitokea na yeye kapata mishe ya pesa nimzuie kisa hakuniambia?? Thats a weak point
@rehemavickie65212 жыл бұрын
Na hakuna mwanaume anayekataa wazo positive la mwanamke mnyenyekevu. Tatizo ni viburi mtu akiwa na kiburi na dharau ndio shida na hao ndio wanakataliwa. Joyce is right
@hekimamtazamo41512 жыл бұрын
Kiukweli mwanamke hatakiwi kumtawala mwanaume kwani hata mwanzo wa dunia hii ningumu sana akitawala hatataka kuwa hivyo ndio yamekuwa mazoewa
@rose_Winchester862 жыл бұрын
Mwanamke ndo anatakiwa kutawaliwa?
@victorishengoma45992 жыл бұрын
Next time muulize Joyce anaelewa nini kuhusu submission kwa mwanamke?..
@valentinetesha85362 жыл бұрын
yani wanawake wana jifanya wame kuwa wao ndio vichwa vya familia ndomana mta achwa sana
@samirakiango957 Жыл бұрын
Joyce hakuna aliemuelewa ila mm nmemuelewa
@petermalley60782 жыл бұрын
Mwanaume ni head of family , akikataa kukuruhusu kufanya jambo fulani lazima umtii(mwanamke amtii mumeo kwa mantiki hiyo ndio ipi?)km bado unasisitiza mwanaume kila mkeo anachotaka amruhusu?mwingine ana sema anaenda Dubai kumbe bosheni MTU yuko Lodge anakula bata, huku watt wanateseka, Hapana, tutafika mbinguni tumechakaa😋
@huldamichael44452 жыл бұрын
Mmmh umependeza,umebadilika mpaka kucha zimebadilika
@nahyialetomia92842 жыл бұрын
🚩 huonekana mapema
@himoda76472 жыл бұрын
Uwezi kuuza mihogo Ukatamani kwenda uturuki namaanisha biashara ikikuwa ndipo unaamua Kwenda nchi yeyote kikubwa Eshima
@fredytarimo91072 жыл бұрын
Joyce ndo maana uliachika aisee.
@engelbertmkindi56482 жыл бұрын
Huyu haeleweki hajatulia kabisa. Sio mkweli. Integrate level yake sio.
@jimmymnuano71652 жыл бұрын
Yaani mwisho wake Tanzania inabadirika na kuwa kama Filipino au Ugiriki kuwa mwanamke ndiyo anayeowa mwanamume yaana mwanamke ndiyo anayetowa mahali kwa kuowa ni hivyo
@novatidamian72362 жыл бұрын
Kama nimekusikitiza vizuti inamana kwamba huyu ulie nae sasa hajakuganya jiko lake inamana unapika nae kesho anapika, unaisha vyombo leo nae kesho zamu yake. Hii ndo inakunawilisha, hata mengine usitudanganye eti hukuandaliwa nihakiri yako mbovu ilikutuma tu ujitaware. Kwanza wewe urihalibiwa n mtandao ulitaka kugiha mambo ya ulaya
@ruqaiamohammed3452 жыл бұрын
Ww una akili timamu? Na michapio yako 🤣lkn kwenye smartphone michapio ni kawaida na hiyo R kwenye L je kwa ww ndio chiz kbs km joy akili yake mbovu 😏😏😏
@zeinababdi47572 жыл бұрын
Wanawake wanalaumu wanaume bila kujua kuwa wanawake nao wana mapungufu mengi.
@barakadeusdedit82732 жыл бұрын
@@fettyrashid9042 dada waza mara mbili, kama nyie wanawake mkiwa wenyewe mnakoseana, mbona ukiwa na mwanaume ujifanye malaika?
@zeinababdi47572 жыл бұрын
Lilian mwasha na hijab.. Allahuakabar.
@adkajisi45362 жыл бұрын
Hicho kilemba hijab haivaliw hivo
@bertinkimati26742 жыл бұрын
Point moja anayosaha anaposema hakubaliani na wanaume kuwakaza wake zao kushiriki biasha au siasa na ametolea mfano wabunge ,madina na hata Rais kufikia vyeo hivyo. Hivi anataka kusema hajasikia wabunge wanaosema wamevuliwa chupi kuzipata nafasi hizo? Hivi kama mmeo anajua udhaifu wako unafikiri atakuruhusu kwa sababu ya mafanikio ya fedha? Mafanikia ya kwanza ni amani ya ndoa mengine mtayapata kwa kushirikia na kuamua njia gani mtumie kuyapata. Huko bungeni ukisikiliza mikashfa na ufuska unaoendelea huko ndoa inavunjika sema siku hizi wanachokifanya hawaachani hadharani . Wakigundua Kuna mauzauza yanafanyika waachana moyoni kila mtu anatafuta faraja kivyake wanalea watoto.
@josephmgeni39972 жыл бұрын
Uko sahihi sana bro!
@daudiissa92562 жыл бұрын
Uyiu dada anonekàna kumtawala ata mumewe coz anaonekana ajui ata misingi ya kidini eiza mumewe anamvumilia tu
@olivemwamengonakilimombeya69512 жыл бұрын
Da joyce habar,nataka kiatu kama chako
@samirakiango957 Жыл бұрын
Mtangazaji unaongea sana bhna unakera
@abelhilonga1095 Жыл бұрын
Joyce mbona kama wewe ni mwanamke mbishi af pia unafosi mambo
@anoldshirima3291 Жыл бұрын
Nyie mbna mnaongea mbali mara uturuki mara Dubai sema temeke tuu hairuhusiwi
@simonballu11242 жыл бұрын
Lilian Mwasha una akili sana yaani unambana huyo hadi akili inamruka if men say no you have to accept with no any doubt, ukitaka kuwza huru baki single maana hata mtoto hufata malezi ya mzazi kuna watoto wako na talent ya mziki lakini kwa vile wazee walikataa leo ni walimu au manesi kila kitu kina itaratibu wewe joyce tulia heshimu maandiko na malezi ya wazazi usifanye kivyako.
@husseinmramba2 жыл бұрын
Yani bro its pain to watch, this modern feminism inaenda kuharibu jamii zaidi wanawake wanatakiwa wawe makini.
@hekimamtazamo41512 жыл бұрын
Lilian na joyce dunia ya leo shetani yuko ndani ya ndoa zetu na kama vize alivyo mdanganya hawa basi ni rahisi kama mnaishi kimwili mtarubuniwa na kuanguka sana mkiwa kiroho mtadumu milele pia
@shukirumahiki10132 жыл бұрын
Umeboa makucha ya bandia
@charleskuyeko44002 жыл бұрын
Eewe Joyce bint yangu. Unataka kila unachobuni wewe mwanaume akubali? Unaweza kuwa huelewi madhara yaliyoko mbele yako yeye anajua akakushauri uache. Kwanini ung'ang'anie? Utii wako uko wapi?
@happynescostat74202 жыл бұрын
Wewe ni Dhahabu🔥🔥🔥ipo cku wanaokupinga watafunguka macho,Nilikata tamaa nilipauka,Nimefitafuta kupitia wewe,
@sleeprelaxation84312 жыл бұрын
This is ridiculous,eti tuwe na mfumo wa elimu wa kufundisha ndoa? mashuleni au wapi? What is this woman talking about? help
@simonballu11242 жыл бұрын
Acha upotoshaji unasomea biblia gesti eti, Mungu hakuumba mwanamke kwa mfano wake aliumba Mwanaume usipotoshe watu kwa upunguwani wako, biblia hairuhusu kuvunja ndoa unaishi na mwanamke na kutoa tendo bila ndoa halafu unasema Mungu.
@josephinenamigadde55182 жыл бұрын
Personal attack 😂😂
@simonballu11242 жыл бұрын
@@josephinenamigadde5518 kwani uongo au na wewe unaungana nae kwamba Mungu alimuumba mwanamke, au kuna andiko linasapoti kuvunja ndoa?
@husseinmramba2 жыл бұрын
@@josephinenamigadde5518acha ushabiki dada angu kuwa makini na huyu anayosema jamaa ni kwel kabsa hapa anapotosha....huyu yuko more masculine hii energy yake atamipotosha mana hvyo vitu haviwezi kukaa pamoja na masculine energy nyengine.
@miriamumbwilo1642 жыл бұрын
Ukisoma Biblia kama story huwez kumwelewa Joyce...
@preciouspeter61262 жыл бұрын
Mwanzo 5:2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa. Kama mwanamke hakuumbwa na Mungu alitoka wapi na Mungu ndio aliumba kila kitu kuanzia mwanzo?
@winnierichard42652 жыл бұрын
Mm naona kama mahusiano yanakudidimiza kiafya, kiuchumi au kiakili ni bora kuachana, haijalishi ni ndoa au vinginevyo, dada mwasha unasemaje mumeo akisema hapana inabidi utii, umesema ni dini naomba unielekeze huo mstari kwenye biblia please