UNATAKA KUMTONGOZA MWANAUME ULIYEMPENDA, JE, UNALIJUA NENO SAHIHI LA KUMWAMBIA? | HARD TALK

  Рет қаралды 42,309

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 79
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 жыл бұрын
Kwan Dr we Ni Nan!!!! We Ni binadamu wa kawaida kwel jaman mbona unaukwel ulionyooka kabisa na una kitu kikubwa mno ambacho hata Mimi sikijui MUNGU AKUTUNZE
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 2 жыл бұрын
huyu mzee anamajibu ya kila swali👌☺ salute
@allymasoudi6780
@allymasoudi6780 2 жыл бұрын
Hatari huyu mzee 🤣🤣🤣🤣
@sabinibra3513
@sabinibra3513 2 жыл бұрын
Umeona eh alaf hasomi popote pale kila kitu kinatoka kichwan
@silverman6930
@silverman6930 Жыл бұрын
Intellectual
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 жыл бұрын
Dr Ellie amebarikiwa upeo wa Hali ya juu kwa upande wa akili Mungu anawajua walio wake
@rosejoseph102
@rosejoseph102 2 жыл бұрын
Inahitaji utulivu sana kumuelewa Dr
@allymasoudi6780
@allymasoudi6780 2 жыл бұрын
Amini kwamba
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 2 жыл бұрын
Sana
@ladygood7384
@ladygood7384 2 жыл бұрын
Dr. Aje tena na tena nimejifunza vitu vingi sana 👏🏾👏🏾
@OnlyRuky
@OnlyRuky 2 жыл бұрын
Jn niliangali nusu ndiyo nimemalizia dada lily thank you kwa kumrudisha Dr Elly anatufundisha mengi saana
@aishajumaa6089
@aishajumaa6089 2 жыл бұрын
Dokta huwa unaniponya sana pale ambapo nakaribia kukata tamaa Ahsante
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 жыл бұрын
Dr Ellie shkamoo kaaah we baba Mungu akupe afya kila siku tujifunze
@shegashega2421
@shegashega2421 2 жыл бұрын
Unamaswali mazuri Sana L. Pia amejibu vizuri sana jaman barikiweni sana
@zainabtumba1186
@zainabtumba1186 2 жыл бұрын
🇹🇿/🇺🇲 DR Elivid Waminiana hukunitosha kwa Matamuu bali Umenikoshaa 💯💕 Mfano wa Kipando ndege. Yaani nimemfahamu Dr ya kuwa Chema acha kijiuzee kisijitembeze. Or as he said Women don't pursue the Man. Let them Come and Carry them As you are ready and Real unshakable land to them with full up women Package! It deep hard talk!! Thanks Lillian I enjoy this and studying a lot of yours talk part 1/2 topics with Dr Waminiana 💥👏👏👏
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 10 ай бұрын
Dr,Mungu akutunze,tunakuhitaji unakitu kikubwaa saana ndani yako Mungu amekupa ututoe gizani
@Masokabya08
@Masokabya08 2 жыл бұрын
jambo dada lilian na kaka tuna homba hili soma lihende lezwe tena tafadhali naomba kaka mungu ame kujaliya neema mubarikiwe sana
@kytv8780
@kytv8780 2 жыл бұрын
Huyu Dkt ni hataree 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 mikono juu ili kumsikiliza narudia tena ili kumsikiliza kaa sehem iliotulia kusiwe hata na upepo utapata mazur sana kwake..usiseme sijakwambia
@pearl3696
@pearl3696 2 жыл бұрын
Dr. Ellie naomba uwe na KZbin channel yako
@VeronicaSalvertory
@VeronicaSalvertory Жыл бұрын
Dr Elie natamani Sana kukutana na wewe
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 жыл бұрын
Dr Ellie nakuelewa sana tena sana yaaan hapo kwenye kupstiana hapo ndio umekosha kabisa mtu anaekupenda hawezi kukufanya matangazo kwenye social media ana kulinda na manyang'au wanao postiwa ni wako kufurahisha jamii anaependwa analindwa ni siri ya jeshi hiyo.
@kytv8780
@kytv8780 2 жыл бұрын
Umeona eeh yan huyu dkt ana madini hataree mim sichokaji kumsikiliza na ukitaka umuelewe huyu yan usikae hata sehem yenye upepo mana duu ana madini ambayo hayatakiw yakupite..salute kwake
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 2 жыл бұрын
@@kytv8780 Hakika kupitwa na kipind chake ni khasara kabisa
@kytv8780
@kytv8780 2 жыл бұрын
Channel yake kama channel ni ipi au ndo hii hii
@khadijawaukweli1964
@khadijawaukweli1964 2 жыл бұрын
Alhamdulillah nimejifunza mengi sana 🙏 mungu akulipe nauzidi kutusaidia
@joelndowo
@joelndowo 2 жыл бұрын
Uliposema hard talk....this is an eye opening talk inakufanya uquestion everything you ever known
@Lily-xw6hg
@Lily-xw6hg Жыл бұрын
Namteza uyu baba KWA jicho la kimajabuu,sio wa kawaidaa,ata kidogo taifa sijui km linajuaa,,
@martingaudence1799
@martingaudence1799 2 жыл бұрын
Lilian sasa unakuwa, ukirudia kujitazama kwenye kipindi upo clauds utatambuwa ninacho maanisha, hongera
@sabinibra3513
@sabinibra3513 2 жыл бұрын
Sasa hivi Yuko mwenyewe Harris hayupo
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 2 жыл бұрын
Wewe baba noma sana unajuwa kufundisha
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Wew doctor ata mmewangu aniudhi vp Niki kusikiliza wew hasira Zina ishaa na najua akuna mkamilifu
@lusajoyuda6145
@lusajoyuda6145 2 жыл бұрын
Smart people talks hards
@kytv8780
@kytv8780 2 жыл бұрын
Jaman lilian naomba namba ya dkt kuna mengne mengi nataka kujua kutoka kwake..yan ukimsikiliza huyu dkt hata njaa huskii..mwenye namba yake naomba
@rittaaziz4470
@rittaaziz4470 Жыл бұрын
DR ELLIE YOU ARE SUCH A GREEEAT TEACHER YAANI UNA TREMENDOUS MAFUNDISHO ... UNAFUNDISHA VZR I LOOOVE LISTENING N LEARNING FROM U JAMANI....GOD BLESS U. WISH I COULD MEET YOU LIVE JUST TO KNOW YOU. MY DEAR LILIAN YOU ARE MY BEST PERSON WE MET AT WASAFI TV REMEMBER IAM ONE OF CHOIR OF UKOMBOZI SINGER MLITUALIKA WASAFI TV. YOU ARE SUCH A GREAT SOUL. HOPE TO SEE YOU MY FRIEND...YAANI I LOVE YOUR PROGRAM SAANAAA. MUCH LOVE.
@salmatanz948
@salmatanz948 2 жыл бұрын
Thankx so much kwa kipindi kizuri
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 2 жыл бұрын
Kumfahamu kunataka akili ila sanyengine uyo anae muhoji pia hamuelewi
@nevagasmsamba5060
@nevagasmsamba5060 2 жыл бұрын
somo zur respect kwenu
@kigenimohammed7847
@kigenimohammed7847 2 жыл бұрын
Asante mungu akubariki mzidi kutufunza mwengi🙏
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 2 жыл бұрын
Dr Shikamo 💕🙏🏾🔥
@T-Fellow
@T-Fellow Жыл бұрын
I really like this guy
@sabinibra3513
@sabinibra3513 2 жыл бұрын
Eh mara hii Lilian kashachanganywa sasa😂 Yan huyu dada🤣🤣🤣 kwel doctor kazi anayo🙌😂
@evasempita1144
@evasempita1144 2 жыл бұрын
Nimeipenda.sana.hiyo had tock.ya.leo.hongera.sana.dada.
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 2 жыл бұрын
Great job, i love it
@mkaliwafashion3116
@mkaliwafashion3116 2 жыл бұрын
Yaani dada anavyogonganisha viganja napenda hatari 😂😂😂😂😂😂
@shamimuhabibu5257
@shamimuhabibu5257 2 жыл бұрын
Tunampataje Dk kwa sisi wahanga
@ArnoldloiloleArnold
@ArnoldloiloleArnold 8 ай бұрын
Broo 1000 nakuelewa najifunza kitu kwako sana
@vicknessngenzi6146
@vicknessngenzi6146 2 жыл бұрын
Dr. sichoki kukusikiliza dah dada Lilly nisaidie nimpate huyu Dr please
@neemanjavike6947
@neemanjavike6947 2 жыл бұрын
Sintachoka kuwaangalia najifunza vingi sana. Naomba namba yako Lilian kipenzi cha wengi.
@dorahmwaqsa168
@dorahmwaqsa168 2 жыл бұрын
Asantee ktk hili somo dr nimekuelewa sana 💪💪
@vanderkakwenzile2159
@vanderkakwenzile2159 2 жыл бұрын
Nakuelewa sanaaaaa 🔥🔥🔥🔥
@ANJAPALLY
@ANJAPALLY 2 ай бұрын
I appreciate
@sabinibra3513
@sabinibra3513 2 жыл бұрын
Hatimaye Lilian ameelewa leo 😂
@tileshopla
@tileshopla Жыл бұрын
simsumbui mume wangu tena aniposti jamani,
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 жыл бұрын
Mbarikiwe nimejifunza
@aureliayuktankabebwa5066
@aureliayuktankabebwa5066 2 жыл бұрын
Point taken👂🏾🙏🏾
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Nakuelewa sawa mzee wangu..
@barakamapasa2947
@barakamapasa2947 2 жыл бұрын
God bless you servant of God
@fatimaalnaqbi3470
@fatimaalnaqbi3470 Жыл бұрын
Thankfully
@gracepaul9733
@gracepaul9733 2 жыл бұрын
Huyu Baba big up sana
@نجمةموبيبي
@نجمةموبيبي 2 жыл бұрын
Da Lilian huyo baba hajamaliza, umemkatisha, tunamuomba tena
@elizabethleonce1089
@elizabethleonce1089 2 жыл бұрын
Huyu baba sijui kasom wap khaa anajuaa
@edwardsamson4937
@edwardsamson4937 2 жыл бұрын
Huyu mdada awe ananyamaza doctor afunguke
@ruthn9381
@ruthn9381 2 жыл бұрын
I know. Very annoying!
@esupatthomas5881
@esupatthomas5881 Жыл бұрын
Hiyo ni interview ndugu
@samwelrobeth7763
@samwelrobeth7763 Жыл бұрын
Yani hapo kwenye kutongoza kanisema mim kabisa,yani sijawahi tongozaga mwanamke hisia tu hadi kufika kwenye tukio daah haya Mambo Kumbe Yana hostoria kubwa
@eyabdimaha3698
@eyabdimaha3698 2 жыл бұрын
Dr asante nimekuelewa sanaa
@naomichuri7983
@naomichuri7983 2 жыл бұрын
🥰🥰 Asante Dr
@sabinibra3513
@sabinibra3513 2 жыл бұрын
Anaposema simstaili yan anamaanisha mfano Kama ww mwanaume ghafla ukatembea na mubeto au mwanamke Ally kina huyu hapa ukalalanae lazma utasikia raha sana kwa sababu mobeto hadh yake ni ya juu
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Duh atar
@farlykunga8599
@farlykunga8599 2 жыл бұрын
Nishakufolow dk,,nilichelewa wap mm..dah..
@magigejoseph255
@magigejoseph255 2 жыл бұрын
unapo zuia Uhuru wa MTU kutokana itikadi zakidini huleta shida nakuanza kutafuta Uhuru
@magigejoseph255
@magigejoseph255 2 жыл бұрын
kuna kifungo mahari hivi
@mlangaliromwenda6945
@mlangaliromwenda6945 2 жыл бұрын
👋👋👋👋👋🙎🙎🙎🙎🙎
@maryschroeder521
@maryschroeder521 2 жыл бұрын
🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯
@josephlorri431
@josephlorri431 2 жыл бұрын
Hili somo ni gumu, inaumiza akili.
@sabinibra3513
@sabinibra3513 2 жыл бұрын
Rudia rudia utaelewa tu
@titongajilo1934
@titongajilo1934 2 жыл бұрын
A
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Women Matters: Ni kweli Mwanaume hawezi kuwa na Mwanamke Mmoja?
28:07
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 91 М.
BABA LEVO ATINGA NAIROBI KUONGEA NA WILLY PAUL !
5:56
USWAZI PODCAST
Рет қаралды 1,4 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kuiteka akili ya mpenzi wako. Part 1
7:31
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН