Dada Lilian umenichekesha sanaaa🤗🤗😘👌👌 hakika kipindi kizuri sanaaa hakuna mfanoo👏👏💞🙌👍🌸🌸Dr.Elie,Dr. Chris mauki, Aunt Sadaka😘 like hapa kama unawakubali hawa wanasaikojia👍
@gloryemmanuel78844 жыл бұрын
Nimewakubali Sana Hawa watu
@luthimunuo88384 жыл бұрын
Kipndi hiki Ni kizuri sana.na kina umuhimu Sana kwa mtu anaependa kujifungua kitu.tatizo mnatumia kiingereza zaidi kuliko kiswahili.wengi kiingereza hatukelewi.hivyo naombeni kiswahili kitumike zaidi .na hiii itahamasisha zaidi🙏🙏🙏🙏
@mariaalsaid36904 жыл бұрын
Dr Ellie is an extraordinary educated person. He really knows what he is talking.
@_meckmill28 ай бұрын
Bando la vijana wa makamo kuishia kwenye vitu positive like this, i sense tutakua na familia stable to the future! Much appreciated to Dr Elly, Dr Chris and Aunty Sadaka if you understand them
@gloriousnp5 жыл бұрын
Dr Ellie’s school of thought siyo ya nchi hii(if y’all know what I mean) 👌👌👌👌😊
@maggymm73025 жыл бұрын
Yaaan he speaks wth senses ths guy..👌👌
@winnienasuwa99625 жыл бұрын
Very deep deep deep!!!
@soamesphares5 жыл бұрын
Nashindwa kuamini kama kuna Watanzania wenye madini kiasi hiki vichwani mwao halafu vijana wa kizazi chetu ndoa zinatusumbua kiasi hiki.!!! Mnafanya kazi nzuri sana; msichoke.
@fatmakiruwasha23785 жыл бұрын
Ujuwe nn wengi wameelemea kwenye muziki ndiyo maana watu km Hawa wapo washeshe sana
@agnessvincent17364 жыл бұрын
I also appreciate.wanafanya kazi nzuri mno
@msetikebwasi68954 жыл бұрын
Huyu dr.elvid wa Amilian huwa ni hatari sana ukimfuatilia.
@GibsonUrassa Жыл бұрын
Mdogo wangu leo nimelishwa sana madini
@salimalaquimane3077 Жыл бұрын
Weng kwenye mitandao wana acha kufuatilia vitu vya maana wengi wapo na udaku na v2 visivyo vya maana
@happyrichards3195 жыл бұрын
Huyu Dr Elly sijui ameshuka from heaven??? Wooi this guy ni next level.. Ana akili vby mno.. I can imagine huyo mke wake.... Inabd umsikilize ukiwa sober na usiwe interrupted.. The guy is toooooo deep...... 👌👌👌
@maryamChumas4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤
@mohamedshaaban32975 жыл бұрын
Uyu Dr Ellie Km Hauna Akili Huwezi Kumuelewa. Jamaa Yuko Deep Kinyamaa.
@magreth79815 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙌☝☝
@kasianandomba67135 жыл бұрын
Hahaha
@christophermshuza56485 жыл бұрын
Jamaa anatisha,inabidi uwe makini kumsikiliza ili umuelewe
@happyrichards3195 жыл бұрын
Deep mno.. Ana akili balaa..
@lizzyshoo80845 жыл бұрын
Ndugu wewe acha tuu Mara yakwanza sikuwa namwelewa kbsa ila kwasasa Duuu namwelewa mnooo🥰🥰🥰😘😘
@antonadam42315 жыл бұрын
mambo haya ni beneficial ktk maisha ya kila siku ni ktk mahusiano tu, thanks Dr. Elie
@husnakh51364 жыл бұрын
Mi najifunza sana... Ahsanteni Dah ! Doctor Ellie , Doctor Chris be blessed !
@ahmedamalj96605 жыл бұрын
I am such a big fan.. All the way from Belgium..
@lysabantu82715 жыл бұрын
Dr. Elie and Dr. Chris are very deep. I like the way you break down a point. I wish you did a lot more shows. Auntie Sadaka you are amazing. I like this platform. Very eye opening.
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Aunty sadaka you sound soo romantic
@prophetess_jblessings5 жыл бұрын
Dr,Ellie i salute you.
@ychimile5 жыл бұрын
Dr Elie... ur taking me to another universe of thinking...ure very philosophical
@georginapaul50135 жыл бұрын
mimi naangalia matamshi hapa kwa Dr Ellie.kinge jamani kinge kwa madaha kabisa
@T1tanGamingCsgoMore5 жыл бұрын
First time i heard this and really opening mind. Thank you very much for making me understand what's the meaning and different between man and woman.
@alphagonga61195 жыл бұрын
Pamoja Sana nimependa
@rittaaziz44702 жыл бұрын
I LOOOOVE THIS TEAM TOGETHER JAMANI. I LISTEN TO YOU 4 SANA. SANA. I LEARN SANA NA...NACHEKA SANA.
@fauziaabdallah221711 ай бұрын
Ilove this team together
@maggymm73025 жыл бұрын
This dr.Elly jmn...his voice n composure poster yke. 👌 thanks for defining n helps me understand love.. upendo sio hisia ni uwezo.
very informative discussion! a lot of explanation from the doc makes a lot of sense....
@yusufuheri6524Ай бұрын
Asanteni sana kwa elimu nzuri
@apostleemmanuelmabuga81485 жыл бұрын
Plz guys Lil just give enough time to Dr Elie coz the guy is having alot of things for us to learn from Him plz plz plz guys give enough time to Dr Elie and Dr Mauki
@dr.mialanotanganyika44015 жыл бұрын
This is so powerful I just learn lot of things from you, I can suggest if you can write a book so that people can buy and have in their house to help tackle family problems. Doctor has emphasis some good points, like love being an ability that many people know as feeling. congratulations for doing such wonderful job that most people who want to get into marriage and those are in marriage will learn lot of things. From Australia much love and respect
@mariaalsaid36904 жыл бұрын
Nimependa sana sana session ya leo. Ni me enjoy sana talk ya Uyo Dr. MashAllah
@aliyambarak50245 жыл бұрын
Salute to you Dr Ellie, na wote mulio endesha kipindi hiki.
@saidhassan39675 жыл бұрын
Dr Ellie ur the great phyilosophy doctor
@SAMISAI. Жыл бұрын
Dr. elie is something else
@bachunyamgudeАй бұрын
Asante kwa elimu bora
@marysalomegregory11 ай бұрын
Such a deep conversations 🎉
@princessenzahoraho13644 жыл бұрын
Munachanganya sana luga ya kiswahili na kingereza. Zungumzeni tu kwa luga ya kiswahili jyu wengi wanaelewa kiswahili.
@mbosothankyouilikeyoursong98505 жыл бұрын
Pardo doctor yooo ozali mutu ya congo ki swaili nayo ezali lokola ba congo tika na yeba doctor merciii mingi 😘
@williamngogo55285 жыл бұрын
Dr Elly umetisha sana
@nadiakabamba73735 жыл бұрын
Kwakweli muna okowa ndowa nyingi sana basi mungu awabariki sana 👌👌
@Swareh-u3s9 ай бұрын
🎉🎉 bg ap man somo zurrrr kinouma
@zuricakes68175 жыл бұрын
Powerful discussion 👌🏾
@rhodahenry55444 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka Sana na nimeelewa Sana coz yanatukuta wengi Kama uko hapa 2020 ngonga like
@linnetmbotto72122 жыл бұрын
Dr Ellie? Mungu akubariki baba!
@mayacel13915 жыл бұрын
Love this shout out to to lily,Aunt Sadat's,Dr Elly and finally Chris loving everything.God bless u guys we r learning slot from u guys.nawapenda nyote.
@raphaelkiria97785 жыл бұрын
Mko vizur kwakweli
@leinamwilongo68904 жыл бұрын
Kipindi hiki waoooo
@veeJesus4 жыл бұрын
Are u kenyan
@happinessngassa48645 жыл бұрын
Dr Elly napenda kukusikiliza mnooo barikiwa sana
@dn.n49835 жыл бұрын
Somo nzuri kuvumiliana maana utapata kodi nyumba itakuwa balaa mjini hapa hawamu tano sio mchezo mchezo
@jennifermlyakalam50005 жыл бұрын
Aisee am looking for this Dr
@jayma15375 жыл бұрын
Thanks our legends Dr ellie and dr Chriss
@dativakyaruzi87695 жыл бұрын
Nazidi kuwapenda sana,nikweli mtupu hasa mazungumzo yenu kuhusu mambo yacm ya mwenzio,love uuuu mwaaa,wataalam wako sahihi kabisa, nainawezekana kabisa kuishi kama wanavoshauri namambo yanakuwa mwakeee
@julianakamese52683 жыл бұрын
Good job❤️❤️
@mytelecom20195 жыл бұрын
MWANAMKE MWILI WAKE NI NYUMBA MWANAUME NI MPANGAJI. Asante DR
@lilianjeremia10245 жыл бұрын
Ndo ivyo
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
The MVP Umeonaee, PATAMU HAPO🤪🤪🤪
@sekimangamjema26165 жыл бұрын
The MVP
@mytelecom20195 жыл бұрын
@@lilianjeremia1024 aya nimekubali klee
@mytelecom20195 жыл бұрын
@@RamazaniMulongeca zaidi ya utamu broo
@maryamibrahimsaid14125 жыл бұрын
I wish lily would be quiet for a second and let the good doctor finish his explanations and also not interrupt and finish his words for him. With all due respect of course.
@ancillabura14574 жыл бұрын
She is annoying one ever seen. Not even respect herself
@Aggrey_Nkololo11 ай бұрын
I was scrolling looking to find this comment. She is interrupting too much, but I'm so glad the good doctor knows how to get back to the lane
@kamilamwitondwa80954 жыл бұрын
Jamani hii vedio has made my day nimeipenda sana.
@jainaboman89525 жыл бұрын
Mashallah nimewapenda sana nimejifunza wenyenyumba mpooooo😘😘
@neysaleo66055 жыл бұрын
Jainab Oman 😚😚😚😍
@faridadeus82884 жыл бұрын
Jainab Oman hahahahahha una matatzo si bure wallah😂😂😂😂😂
@faridadeus82884 жыл бұрын
Jainab Oman hahahahahha una matatzo si bure wallah😂😂😂😂😂
@mickdadsaid23265 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 uyu jamaa anajibu maswali magum sana kwa lugha laisi sna...... nimependa sna.
@ryneblm13785 жыл бұрын
Nawapend sana jamani haswa auntsadaka en Dada sky mnanitoa sehem moja kwenda sehem nyengine, Mungu awabariki
@stemcellstc30superlife775 жыл бұрын
So much to learn from you. Big up🙌
@joventmushwaimi36815 жыл бұрын
Great Dk Elly Mungu akubariki
@mrishosaid41655 ай бұрын
Lilian unakihere here sana tuache tusikilize kwanza
@angiengoti49544 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri mnooo nimejifunza a lot big up.
@queeneva37095 жыл бұрын
Nimecheka mie yaani after 4min unatakiwa umkumbushe mkeo you love her and she is alone whom make your heart beat........😍😍😍😍😍😍😘😘😘
@teddygabriel56624 жыл бұрын
Noma sana
@augostinopaul36013 жыл бұрын
since days one never disappointed #SnS to the world
@تبميالنبنب5 жыл бұрын
Asanteni sana nawapenda sana munaerimisha jami
@annaphilemon8522 жыл бұрын
I love dr Ely
@kamandab79765 жыл бұрын
Doctor nimemfata vizuri sana na nimependa somo ili ila naswali nasija muelewa apo aliposema manaume mategemee wanawake asilimia kubwa anamaana gani na maandiko kutoka wapi ayo 🤔#SNS #women matters #Simulizi na Sauti #Doctor
@jessymalembeka61815 жыл бұрын
Lili safi sana! Kwa maswali yanatufanya tuelewe vizuriiii
@princessenzahoraho13644 жыл бұрын
Asante
@leilaabdul85975 жыл бұрын
I love you Dr Ellie 😍😍😍
@halimasaid49775 жыл бұрын
So nice maongez mashallah
@bebekazungu99233 жыл бұрын
Mimi nawapenda kabisa. nawasikiliza kutoka Ulaya lakini i miss you alot, mpaka nitafika TZ niwaone kabisa. asante kwa kusaidia familiya.
@adamsonmagushi43325 жыл бұрын
kwa maelezo ya Dr. Ellie I have resigned and I would never want being a wife
@allykassim98265 жыл бұрын
Thx SnS..... Kuna watu wanajua bwana
@mariaalsaid36904 жыл бұрын
Profound discussion
@marthaallen11645 жыл бұрын
😍😍😍😍 thank yuu much much dr elly !!!dr chriss
@dayanasiwale81704 жыл бұрын
Kipindi kizuri Sana mungu awabariki
@righitkileo8 ай бұрын
❤❤❤doctor Criss❤❤❤ doctor Ellie❤❤❤❤❤
@stephenasutsa7520Ай бұрын
Nawafatilia hapa kenya mmenisaidia sana
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Asante sana
@lareineminah13535 жыл бұрын
Huwa si commente ila napitwa vipindi vidogo sanaaa kwenye chanelle hii Tnx SNS kila siku tunakuwaaaaaaaaaa😍😍😍😍
@jawakwibe44954 жыл бұрын
Mashauri mazuri sana
@linahleonard39455 жыл бұрын
Hichi kipindi ni kiboko yao! Big up guys you are doing so good
@vickysteven1172 Жыл бұрын
Dr Chris umeongea vyema saana
@makaaya_34495 жыл бұрын
dr elly nimekuelewa sana
@gracenkanwa17814 жыл бұрын
Jmniii Mungu awabariki hawa dr mauki na elly
@veronicajonathan69415 жыл бұрын
thank you so much guys..
@thomasmugenyi46234 жыл бұрын
Very deep
@SitheyCuteradhia Жыл бұрын
lilian your toking more plz😂😂😂ila nimejifunza kitu thank you all ❤
@angellymwasse56895 жыл бұрын
Nimejifunza ktu Leo... Asanten sana
@ummymtitimtiti11405 жыл бұрын
😍😍😹😹😹 kipindi kitamu jaman Daaaah Ahsante 🙏👏👏👏
@Zenaprays5 жыл бұрын
Please tupate na clips fupifupi zenye kuongelea Jambo moja, mfano mda doctor Elly anaongea kuhusu love... Yeni clips zilizobeba maana inayojitegemea ziwekwe KZbin Kwaajili ya notes😂🙏
@SimuliziNaSauti5 жыл бұрын
Asante sana kwa ushauri Zena
@mnzavachris54235 жыл бұрын
@@SimuliziNaSauti dr ellie for lifetime talking taf.
@bahatikashinje55574 жыл бұрын
Angalia clip za kipindi alikua kipindi cha chomoza maada ukweli wa maisha kuanzia sehem ya 31
@lilianjeremia10245 жыл бұрын
Kumbe ndo ivyo baada ya dk 4 tunauliza do you love me? Apo ndo nimeelewa nilijua ni kwang tu maan napenda sana kuuliza
@imamaliridhwa18845 жыл бұрын
Hahaha
@mariamkaaya2145 жыл бұрын
lilian jeremia hata Mimi mpaka anachokaga anajibu sikupendi basi
@ednafiloteus52165 жыл бұрын
Mariam Kaaya pamoja sana mimi ndo bas tena hata hanijibu tena he tell me that,, 'let me act up on u'
@marionsteven81985 жыл бұрын
Dr ELLY ...UR A MY LOL MODOL...🙌
@aggiejohn24104 жыл бұрын
marion steven role model ndo inavyoandikwa sahihi
@irenecharles42484 жыл бұрын
I real appreciate
@devothaemmanuel11455 жыл бұрын
mr elly nimekuelewa👌
@moonpatienceongara56075 жыл бұрын
Dr. Chris na Dr. Ellie nimewaelewa sana
@hadijasalimu18084 жыл бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌asante sana chaKusema sina ila nawashukuru yani iyo kuliza kama unapendwa akia karibu naww kunauwezekano wakukuweka hata vibao nilisha choka mm wallah
@moonpatienceongara56075 жыл бұрын
Dr. Ellie kuna kitu ulianza kusema kuwa mapenzi mengi yanatuumiza sisi wanawake kwasababu hatuanzi na msingi mzuri. Mtu amekuja kupita sisi tunang'ang'ania mahusiano mwishowe tunaumizwa.
@mnzavachris54235 жыл бұрын
?!
@mohamedmakungu16094 жыл бұрын
Jamani naombeni mnisaidie kkutana na dr herie namkubarii sana napenda kujifunza kutoka kwake
@omanigaming64302 жыл бұрын
Nimejifunza mengi hasira za mme nikumchukua chumbani umpoze wengine tunakimbia nyumba kumbe mwenzio umempa nafasi yakwenda nje kutoa hasira zake
@anithakazaula95965 жыл бұрын
Tena simu za wanaume zinatufanya tuzishike coz mtu simu ina ma password hadi kwenye calls ... wanaume ni wazinzi by nature hata ufanye nn hawaridhiki jaman
@chichasam90324 жыл бұрын
Tuliaaaa ww
@hadijasalum63734 жыл бұрын
😁😁😁
@rosenaadolfu994 жыл бұрын
Yani tena Mungu angeamua tu adhihirishi kati ya mwanamke na mwanaume ni akina nani malaya au wazinifu hakika wanaume wangeongoza coz mwanamke akisha olewa kuchepuka ni vigumu sana labda kuna shida ndani humo ila mwanaume hata umbebe na umbeleko wa chuma aise atakusaliti tu. Sijui ni laana gani waliyoachiwa na Mungu.
@abidandastanmaliyatabu13734 ай бұрын
Acha ujinga niwazinzi nani kakwambia we mwenyewe haujatulia unataka wenzako watulie. Ulivyo Mungu anakupa saizi yako
@doreenchiragwile34245 жыл бұрын
Waoooi Dr. Ellie Yuko vizuri
@sifaradjabu87282 жыл бұрын
Mpo sahihi sana
@rehemarwanda60395 жыл бұрын
Women Matters z the best 😘😘
@leylamohamed99395 жыл бұрын
Lili tulia aisee unakatisha sana mada unadakia mada juu kwa juu, tulia mada wamalizie waongee ndipo uongee
@mnzavachris54235 жыл бұрын
hhhh..huyo ndo kiungo na vichekesho vyote, binafsi anifurahisha sn ani!
@stellasungusia71825 жыл бұрын
@@mnzavachris5423 ewaaaaaah
@mnzavachris54235 жыл бұрын
Stella Sungusia na wewe umeona hilo enh!
@dianaroserusimbi60034 жыл бұрын
mi mwenyew nakasirika.... anamkatisha mtu sana•
@halimamangi6414 жыл бұрын
Lily ni mtu anaielewa kazi yake vizuri sana. ndio maana vipindi vyake hupendeza
@zaynabkalombi15795 жыл бұрын
Asante aunt sadaka hapo kwa mume wangu akiambiwa I lv u
@cecyliakuguru64935 жыл бұрын
Mmmh kipindi kizuri sana, huyu Dr ellie jamani ahsante sana ila ukiwa, muite tena lilian huyu Dr ellie