TAZAMA WAANDAMANAJI WALIVYOPIGWA VIRUNGU na KUMWAGIWA MAJI ya KUWASHA MBELE ya RAIS SAMIA - NDUKI!

  Рет қаралды 9,373

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

TAZAMA WAANDAMANAJI WALIVYOPIGWA VIRUNGU na KUMWAGIWA MAJI ya KUWASHA MBELE ya RAIS SAMIA - NDUKI!
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 57
@EliaHiluka
@EliaHiluka Күн бұрын
Hakuna haki hapo polisi tendeni haki hayo sio maonyesho yanayopaswa kuonyeshwa kwa wananchi
@jumamussantuiche
@jumamussantuiche Күн бұрын
Nyumbani kwa je!
@hafsa118ll
@hafsa118ll Күн бұрын
Kinachotakiwa kuwasikiliza wanchi na sio kuwapiga mabom io sio sawa
@MakaveliErnest-sj1tr
@MakaveliErnest-sj1tr Күн бұрын
kwel kabisa wso wangeacha waje wawasikilize kero zao warud🎉🎉
@JumbeOjaso
@JumbeOjaso Күн бұрын
Wananchi wenye maboksi mikononi mnawashambuliaje kwa virungu na nguvu zote hizo? Mfano huu ni wa aibu na ni dhahiri ,jeshi la polisi linawaonea wananchi, waoandamana kwa amani bila kuleta vurugu. Mentality dhahiri ya kidikteta.
@GhaniaSaid-u5k
@GhaniaSaid-u5k Күн бұрын
Nchi hii viongoz akili zao ndg xana
@zephaniasirikwa7495
@zephaniasirikwa7495 Күн бұрын
Sio sawa!!!
@VitusNdaruhekeye
@VitusNdaruhekeye Күн бұрын
Usiwafanye Watanzania kuwa ni wajinga Kam ulivyozoea. Hayo ni maigizo, subiri uhalisia.
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Күн бұрын
Tanzania nchi yangu, R.I.P MAGUFURI
@ameirmanzi2684
@ameirmanzi2684 Күн бұрын
Mh rais oneshe hili sio zuri kwa vile unashabihisha haki za wananch na amani
@EliaHiluka
@EliaHiluka Күн бұрын
Tunahitaji kufahamu madhara yanayotokana na mabomu ya machozi hayo siyo tu kuishia kupiga mabomu
@EliaHiluka
@EliaHiluka Күн бұрын
Sio kila muandamanaji analeta fujo Bali wanadai haki zao
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Күн бұрын
Kwa hiyo munawatisha waliotangaza maandamano!
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Si kawatidhia tu, kawakejeli waliofungwa, tekwa, potezwa, kimbia, vamiwa . Moja kwa moja wote Chadema waliofungwa kwa kuonewa akiwemo Mbowe. Ni kama aliwahurumia na inawabidi wafyate mikia yao. Moja kwa moja imemlenga Lisu , ambaye sasa ni kilema aliyetaka kuuawa kwa kuikosoa serikali. Lema aliyekimbia. Mnyika. Jitafakari sana kama wewe ni mmoja wa hao, raisi anawaelekeza polisi wawashughulikie hadharani kama amiri jeshi. Namngojea ndugu Slaa, Raisi wa TLS, Lisu na Mbowe na maasisi wa makanisa nini watakijibu. Nchi haiko salama. Ni tete sana haijawahi tokea kibiriti kinawashwa dhidi ya raia. Mungu epusha haya yote. Juzi mapadre waliombea heri, umoja, amani. Leo ni kiberiti.
@GhaniaSaid-u5k
@GhaniaSaid-u5k Күн бұрын
Samia halipi mishahara bali wananchi ndo wanaowapa mishahara leo mnawapiga hmko sawa kiakili
@hyy4114
@hyy4114 Күн бұрын
Mungu tunusuru tunapoelekea Tanzania siko hata hao wanawake wenzangu wameacha watoto huko Mwisho mpigwe bure 😢😢
@StephenZacharia-tr4oy
@StephenZacharia-tr4oy Күн бұрын
Kwa huu upumbavu wa polisi w2 nimewadharau ana
@DaudiMakaza
@DaudiMakaza Күн бұрын
Jesh lina siraha wananchi hawana tupambane kw ngumi muone
@EliaHiluka
@EliaHiluka Күн бұрын
Ndani yenu kupitia kitendo hicho hutumia nafasi hiyo vibaya kwakuwadhuru wananchi na unaposema kuwa mabomu Yana lejesha Amani sio kweli kwani mabomu hayawezi kuleta amani
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Raidi umewakisea sana watanzania kwa hili. Hakuna sheria nchini isemayo muwaonee na kuwanyima haki watanzania
@modestatemba2602
@modestatemba2602 Күн бұрын
Police mnatumiwa vibaya kunyanyasa raia, hamna haki za kibinadam tz .
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 Күн бұрын
😂😂😂 yaan tanzania Nia yaajabu sanaa sasahiv wameamua kutoa vitisho kwa waandamani ili waogope
@AsumanIssah
@AsumanIssah Күн бұрын
Daa inasikitisha mbere yalaisi watu wanapigwa vilungu Hawa wanai haki kwamujibu yamaneno yao Sasa kwanini laisi anashindwa kusimama nakuawauliza jee hio haki munayo itaka niipi ,mungu asaidie taifa ra tazania
@Sakinaamani-o1t
@Sakinaamani-o1t Күн бұрын
Nikazi ndogo na rahisi cna kuwatuliza hawa pale tu mnapo wasikiliza wanataka nn
@imanimgaya6607
@imanimgaya6607 Күн бұрын
MC wa hii kwata hajui kunogesha
@rassanleezedon6861
@rassanleezedon6861 Күн бұрын
😂😂😂 raia wanataka haki zao, wanapokelewa kwa vilungu na mabomu.... ndugu mmoja amewahi kusema jeshi la polisi lipo kwaajili ya watu na mali zao. sasa mwezangu na mimi usiye na mali jeshi gani litakulinda 😅😅😅
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi Күн бұрын
Mh kumbe wahitaji haki ndowanaolengwa na virungu na risasi?
@user-pk9yr4go8p
@user-pk9yr4go8p Күн бұрын
Kiukweli ngojatuone
@gastonjohn537
@gastonjohn537 Күн бұрын
Iko siku
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 Күн бұрын
Tanzania mmempoteza raisi makini sana cjui kma tutapata raisi kma magufuli
@Enjoy-ge5cy
@Enjoy-ge5cy Күн бұрын
Hiyo ndio ina maana gani wakuuu😢😢
@shehemohammed1761
@shehemohammed1761 Күн бұрын
Hizo kwata mkuje mpigie gen z muone
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 Күн бұрын
Kuna fujo au ghasia hapo naomba jibu ..mabox yenye maandishi nakuimba kutaka haki zetu ..ni ghasia kwa wengine sio..
@MERCYLINEKATANA-v9o
@MERCYLINEKATANA-v9o Күн бұрын
Mbona akili yenu n duni kufikiria!!! waandamanaji ni haki yao kuandamana na mnafaa muwapatie ulizi s kuwapiga bila kuwasikiza hoja zao.
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws Күн бұрын
Yaan mupo mnaendelea kupiga propaganda n kutisha watu nyiny ndio mnaovunja katiba y tanzania uchawa tu mwingi
@paulinewangila-cs6ys
@paulinewangila-cs6ys Күн бұрын
Mbona maisha mazuri Tz hawa wanaandamana na nini??
@fredyjeremia7074
@fredyjeremia7074 Күн бұрын
Mnatuonesha watu wanaandamana kwa amani,wanataka haki zao na wanasema,nyie mnatuonesha mnajipanga kupambana nao,mpaka silaha za moto,,mbona aibu hiii!!!? Mnatuonesha nini,wanasema hawatendewi haki,,amani itarudi kwenu?
@josephlorri431
@josephlorri431 Күн бұрын
Kuna akili kweli hapo...wananchi wamebeba ujumbe wa malalamiko yao..hawana hata fimbo
@stanymccary7136
@stanymccary7136 Күн бұрын
This is not acceptable at all, waandamanaji kama hawana silaha hakuna haja ya kuwapa
@LeonardGilbert-ox5ul
@LeonardGilbert-ox5ul Күн бұрын
Mnafanyag hivyo afu mnaenda kummalizia
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi Күн бұрын
Mbona sasa mnawaachaga wanafia selo
@DAVIDMMASSY
@DAVIDMMASSY Күн бұрын
Haya ni maigizo mzee watu wakiwa wechafukwa ni mawe yaani askari wenyewe wanakuwa nao wanajificha
@rehemarajabu3655
@rehemarajabu3655 Күн бұрын
hayo maigizo muda ukifika mnyonge akachoka hapatakalika
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 Күн бұрын
hao ni waigizaji wanafanya maonesho kama hamjui
@mwalimhamad3825
@mwalimhamad3825 Күн бұрын
Hawa ni wandamanaji au wafanya fujo?
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Күн бұрын
Kinacho onyeshwa hapo kunamtu anatishiwa nyau
@PAULJULIUS-yi8jl
@PAULJULIUS-yi8jl Күн бұрын
Hamututishi
@joshuarungwe6092
@joshuarungwe6092 Күн бұрын
Kumanisha nini sasa 😅
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Ipingwe kwa nguvu zote.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Haya si smbayo tunayataka Tanzania. Hasa kuyaonyesha mbelevya Raisi naye kukaa kimya. Inamaana Samia anabaruki hizi ghasia za polisi. Ni kinyume cha sheria za nchi. Jeshi, ccm na Raisi haya mnayoyaleta na kuyaonyesha ni kinyumr cha katiba yetu na sheria zetu. Polisi inabidi wawe walinzi tu. Loooo
@EdwardBalloho
@EdwardBalloho Күн бұрын
😅😅😅 𝔨𝔴𝔞𝔥𝔦𝔶𝔬 𝔫𝔡𝔦𝔬 𝔴𝔞𝔪𝔢𝔨𝔲𝔧𝔞 𝔫𝔞 𝔥𝔦𝔦 𝔪𝔟𝔦𝔫𝔲 𝔩𝔞𝔷𝔦𝔪𝔞 𝔱𝔲𝔞𝔫𝔡𝔞𝔪𝔞𝔫𝔢😅😅😅
@user-pk9yr4go8p
@user-pk9yr4go8p Күн бұрын
Huondio utawalawamama
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Utawala wa mabavu.
@ibrahimrajabu8722
@ibrahimrajabu8722 Күн бұрын
😂😂😂😂
@PenuelDismas
@PenuelDismas Күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 48 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 50 МЛН
MO DEWJI AZUNGUMZIA KUHUSU KUTEKWA KWAKE
28:50
BBC News Swahili
Рет қаралды 1,5 МЛН
Sal Khan: How AI Will Revolutionize Education
1:09:12
Commonwealth Club World Affairs (CCWA)
Рет қаралды 109 М.
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
Cadrol&Fatich
Рет қаралды 10 МЛН