JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@giftmwamalabila10 сағат бұрын
Ule hela wewe tena tukutumie na matukio mtaani kwetu .....weka fweeedha😂😂😂
@priscakwannhamfungimipakam923111 сағат бұрын
Hatari sana kutembea na Hela nyingi ila hawa wezi walijuaje Kuna Hela pale
@arafaally28954 сағат бұрын
Mimi hela mbona ningeingia nazo kanisani kuliko kusali huku akili ipo nje
@MCNgakungaJunior3 сағат бұрын
Kabisa!maana 70ML lazima akili iwe nje.Ila lazima huko alikotoka kuna mchongo tu.Maana walijuaje kama kuna Pesa?Lazima kuna muunganiko na alikotoka na hizo fedha.
@unjuusalvatory53315 сағат бұрын
Kwa mnaojua sheria hv ni sheria ipi inasema jambo likiwa linafanyiwa uchunguz hutakiw jambo hilo hta kulisimulia hta kwa lengo la watu kujifunza
@domymerinyo81656 сағат бұрын
Hao waizi wanasumbua mjini acha kabisa wanajua magari ya wafanya biashara karibu wote mjini. Ukipaki gari wanakufuatilia ukitoka bank wanakufuatia.
@GlorydavidJeremiah6 сағат бұрын
Poleni san
@raymondsekabigwa59073 сағат бұрын
Milionin70 unaacha kwenye Gari? Walijuaje kuna hiyo hela? Zest
@edwindavid70373 сағат бұрын
Mil 70?, akizipata atambike. Kwa jinsi gari yao inavyoonekana wangekuwa washakamatwa kitambo
@SeifuSeleman10 сағат бұрын
uwongo huo mil70 kwenye kifuko cha magu hahaha au ilikuwa dola
@evasilaa906410 сағат бұрын
Mtu unatembeaje na hela nyingi hivi? Jumapili 😒
@arafaally28954 сағат бұрын
Sijui walijuaje kama kuna pesa humo kwa gari
@kmotivation11304 сағат бұрын
Hamjui hata kuandika title ya habari
@ChrisUromi4 сағат бұрын
Sadaka zawanyonge ambao awajuh kesho yao acha zichukuliwe dini imekua biashara
@evancemoevt85974 сағат бұрын
Milioni 70 kwenye Kifungashio!!!😂😂😂😂
@mugishamajeba96283 сағат бұрын
???
@kmotivation11304 сағат бұрын
Mshashika hizo milioni au mnaongea tu
@SihabaAbdallah-li6dx6 сағат бұрын
Mi nahis walikua wana kua ana pesa
@COLLINSWaweru-f6m11 сағат бұрын
Pesa ya maskini wa kiroho
@MeryJonh7 сағат бұрын
Kwa nini atembea na ela yote?
@PhilipoMwita-b2x10 сағат бұрын
Ungeambiwa utoe sadaka ungekataa ila sisi mnavyotukazia toa toa
@Tatty-u8p10 сағат бұрын
Jmn huyu si alikuwa mtangazaji wa millrady ayo????
@AmaniManase-x1i3 сағат бұрын
Kuwa makini kwa ufatiliaji,uyu hajawahi kuwa kwa milard ata kwa sawa au kwa ndoto
@SeifuSeleman10 сағат бұрын
michezo hyo
@amedeusfredrick16148 сағат бұрын
Unaachaje mil 70 kwenye gari?
@SAMSUNGNote02011 сағат бұрын
Huyu 1 nawaambia nilimuona Ijimaa saa6 usiku anaerekea mwanza na alikuwa na bag nyeusi na laptop alipandia Njiani tena kwenye Seat 💺 nilio kua nimekaa me alikuwa amevaa hivi hivi nilipo mwangaria sana alivaa alivaa koti na kujifunika usoni
@jasiri256 сағат бұрын
Uko serious😮
@SAMSUNGNote0206 сағат бұрын
@jasiri25 ndio
@HanifaOman-oo4pl5 сағат бұрын
Hatari toa ushilikiano polic
@SAMSUNGNote0205 сағат бұрын
@HanifaOman-oo4pl nnitatoa vipi ushilikiano ndugu hikiwa mimi nilishuka stand nikaenda Zangu Ata sikufatiria sana Mahana sikujuwa Kosa lake
@jasiri255 сағат бұрын
@SAMSUNGNote020 ukitoa taarifa wata track namba ya simu kupitia tiketi yake .. Sabab ticket ni electronics