TAZAMA MUONEKANO WA PICHA ZA JUU DARAJA LA TANZANITE, BAADA YA KUANZA KUTUMIKA...

  Рет қаралды 25,099

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@staralive9260
@staralive9260 3 жыл бұрын
Hongera John Pombe Joseph Magufuli kwa kazi nzuri uliyoiacha. Umefanya makubwa sana mzee.
@shomarymussa6970
@shomarymussa6970 3 жыл бұрын
Nimiaka mingi sijarudi Tanzania ilanafatilia sana kutazama global tv kwakuonyesha maendeleo ya Tanzania hongeleni sana
@mablukmawazo7291
@mablukmawazo7291 3 жыл бұрын
Magufuli magufuli magufuli mungu akulaze maalapema peponi
@robsonlotyloy5678
@robsonlotyloy5678 3 жыл бұрын
Yote ni kazi za mzalendo wa kweli. Maendeo hayana chama. Mungu akustawishe vyema kwenye kiti cha henzi Baba yetu JPM.
@eliassospeter
@eliassospeter 2 жыл бұрын
Millad ayo hawa jamaa wamekupiga tobo picha iko clear kabisa
@natafutapesa9678
@natafutapesa9678 3 жыл бұрын
Pumzika kwa amani jemedali wetu mfalme wetu jpm
@egnomsigwa8418
@egnomsigwa8418 3 жыл бұрын
Tutakukumbuka JPM Kwa kazi yaco njema
@abdangembe4339
@abdangembe4339 3 жыл бұрын
In memory of JPM
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 3 жыл бұрын
Lipunguzwee na joto tu basii Mambo yatakuwa the best 😂
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 3 жыл бұрын
VIVA TANZANIA 🇹🇿💪🇹🇿♥️💪🇹🇿♥️
@erickfilsbayibika1457
@erickfilsbayibika1457 3 жыл бұрын
Safi saaaaaana !!
@anthonypatrice5247
@anthonypatrice5247 3 жыл бұрын
JPM will shall remember you, RIP
@SamsungGalaxy-kx2zj
@SamsungGalaxy-kx2zj 3 жыл бұрын
Tundu lissu Lema jiangalieni kwa macho mliopigia kelele na kudandanya wananchi ona raha hizo daraja limefunguliwa na wananchi wa sifia
@martinelaurence5211
@martinelaurence5211 3 жыл бұрын
Nimeamini JPM unatisha, ila miradi ya mm samia hatuion ,zaidi ya kuteua mafisadi tu
@eliyaombayemko7312
@eliyaombayemko7312 3 жыл бұрын
Kweli umengea kaka
@abuusamiri5224
@abuusamiri5224 3 жыл бұрын
Anamalizia miradi tulieni
@MikereMio
@MikereMio 2 жыл бұрын
Jembe la kweli JPM , nakukumbuka .
@michaelsiweya4969
@michaelsiweya4969 3 жыл бұрын
Camera yenu siyo nzuri
@aminaam2160
@aminaam2160 3 жыл бұрын
Kama ulaya
@mohammedmaduga6638
@mohammedmaduga6638 3 жыл бұрын
Bado xpress ways
@abelytama173
@abelytama173 3 жыл бұрын
Eeee bhana eeeh Apumzike Kwa amani Mzee wetu JPM hakika alikua mjenzi na Mama etu kipenzi kazi iendelee.
@kefamwakipesile275
@kefamwakipesile275 3 жыл бұрын
Nanukuu "Nataka Tz iwe kama ulaya" huyo ndo jemedali,mfalme,Nabii,Baba bora,pia mzalendo wa kweli sio wa maneno bali kwa vitendo,
@nyeurakibura4791
@nyeurakibura4791 3 жыл бұрын
R.I.P JPM
@fredleonardo739
@fredleonardo739 3 жыл бұрын
Naaam R.I.P DADDY WEEE NDIO RAIS PEKEE NINAYEKUPENDA SANA HUYU MWINGINE HUYU ..👠
China's MEGAPROJECTS Are Changing Africa's Future
14:29
Civil Mentors
Рет қаралды 809 М.
Generals Arrested / Scandal in Military Command
12:47
NEXTA Live
Рет қаралды 852 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Ni mwendo wa kuteleza tu daraja la Tanzanite, magari yaanza kupita
2:12
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,8 М.
Inside the V3 Nazi Super Gun
19:52
Blue Paw Print
Рет қаралды 2,6 МЛН
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 671 М.