Who is here 2024 na Bado Yuko anasikiliza hii nyimbo I listen to this song and my heart out for our rate president JPM may our GOD may our god reduce the punishment of the grave😢
@neemabenedictor82116 ай бұрын
Am here😥
@reaganogembo58325 ай бұрын
@@neemabenedictor8211 I am here
@god-livingloyalty66505 ай бұрын
ma ringtone
@solomonedward33792 ай бұрын
dah magufuli we miss you
@ConsolataKalili10 ай бұрын
Jamani kama nakuona magufuli baba mungu akupe pumziko la milele .❤❤❤❤❤
@RashidRajab-oz5ec6 ай бұрын
Daah Tanzania 🇹🇿 yangu tulipoteza shujaa wa kweli mungu tujalie tupate kiongozi bora zaidi magu
@khadijayussph96912 жыл бұрын
Tuloxkia 👂 baba aliita chuchu badala ya zuchu 🤔 waje tuungane tulieni 😭p1 🤝 ikisha tumuombee kw mungu 🙏 amlaze mahali pema pia amsamekh makosa yake alio mkosea 🤲 JEMEDARI 💪 wetu Tutakukumbuka milele baba 😭😭
@neemaevance802 жыл бұрын
Miss you magufuri mungu akupe pumziko jema
@oliverben27932 жыл бұрын
who is here 2022👏 then once i listen to this poping song my heart goes out for our rate president . RIP JPM😢😭
@margarethsolomon98232 жыл бұрын
Ahsante Sana Sana Global TV kwa kututolea kumbukumbu ya burudoza JPM, jembe letu. Pumzika Baba mbele yako nyuma tupo. 😭😭😭
@dotojohn93162 жыл бұрын
Mungu wangu nalia mm kwa uchungu baba cjui katuacha wP jaman😭😭
@enockkikoti31694 жыл бұрын
Asante sana zuchu nyimbo ni kali sana ongengeza juhudi tuko pamoja
@paschaljohn11053 жыл бұрын
Machoz yananitoka kiranapotazama nyimbo iiiiii mungu tusimamie naumsimamie rais wetu turikupenda Sana baba
@marygervas49414 жыл бұрын
Watanzania gonga like kwa zuchu
@lisangiadidja3423 жыл бұрын
Japo tupo namsiba Ila marehe jaman kanichekesha eti ni zuchu au chuchu😂😂😂😂 Allah akurehem baba yetu ulikuwa mcheshi kweli
@mohamedally4496 Жыл бұрын
17th december 2023 baada ya Dp world nimekuja kumsabahi mwambaa Apumzike kwa Amani😢❤❤.
@abubakariaman85753 жыл бұрын
Chuchu RIP Mr president mungu akulinde uendapo inshaalah
@salmaissa62173 жыл бұрын
Niko hapa baada ya magufuli kufariki..Rest in piece anko magu ...tumemiss ucheshi wako tabasam lako
@stevenmaketa80514 жыл бұрын
Daaa hakika zuchu unakipaji saana sio tu chakuimba tu hata kuandika hongera saana ushatoboa weweee wasaaafiiii wcb 4 life🔥🔥🔥🔥
@vivianotieno64884 жыл бұрын
Tanzania's nawapenda Sana Magufuli hoyeee Zuchu nakupenda bureeee from Kenya
@haroubmwenesi42274 жыл бұрын
sisi tunawapendeni pia sima tunachonganishwa na pesa za bure
@josephmonyo13973 жыл бұрын
Sisi pia tunawapenda pia jirani zetu
@belynowiti66944 жыл бұрын
Look at how magu is looking at zuchu while smiling...mob love kenyq
@PauloRichard-q2g2 ай бұрын
Mungu mlaze Mahalia Pema peponi magufuli wetu baba
@samsonzablon4 жыл бұрын
Kama umemwoba Makongoro akiruka Haihai ya Zuchu tujuane hapa, like
@ngolerashidi99744 жыл бұрын
Duuuuuh zuchu bwan kwa wimbo huu ameua!!! Huu ndio wimbo bola kwa wasanii wa bongo fleva!!!! Mbunifu san
@edwardsamson79514 жыл бұрын
Nakubaliana na Wewe kwa Asilimia 110
@edsonbalige37024 жыл бұрын
Kweli aise amejtaid
@boniphacenyamhanga93954 жыл бұрын
Hongere Zuchu nimeupenda Wimbo wako Buree, Jua lile literemke 🔥🔥🔥
@harunamtali43334 жыл бұрын
Yuko njema
@hadijalily96614 жыл бұрын
Inkwell America sana
@hadijalily96614 жыл бұрын
💖💖💖💖💖💖👏👏👏
@julianatweve46944 жыл бұрын
huu wimbo naupenda jamani yani naupenda kuusikiliza kila wakati. magufuli jamani eti chuchu au zuchu duu!!!
@TunuMbega-g2y Жыл бұрын
😂😂chuchu 2023
@solomonedward33792 ай бұрын
magufuli we miss you so much always you l be in our ❤️
@SaidMakoye-wk5qe18 күн бұрын
Zuchu japo nyimbo niyaccm ila mdogo wangu uliimba kizalendo sana napia magu kiongozi wangu nakukumbuka sana ulale salaaama baaaba😢😢😢
@PauloRichard-q2g2 ай бұрын
Hongera dd yañgu zuchu❤❤❤
@makungamapalala79822 ай бұрын
Dr John pombe magufuli pumzika kwa amani
@mszesh56782 жыл бұрын
Continue to rest in paradise of peace magufuli
@happyndomba69654 жыл бұрын
sijaelewa bado nalia nini kila nikiuskia huu wimbo💪💪
@samwelamosmusambwa93023 жыл бұрын
😭
@daudimlamka12392 жыл бұрын
Hadi Leo hiii , Ohoooo RIP JPM
@CatherineAmos-zw8dx9 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@CarlNyangi-nv8pn2 ай бұрын
My tears are overflowing 😢😢😢😢 I cant resist them Mwenyezi Mungu azidi kukupa pumziko la Amani baba Magufuru
Ni vijana. Siku ingine watajua tofauti ya kumburudisha Rais na wajumbe wake wa kamati na sharehe za Fiesta! Usiwe mwepes sana kuwaambia wazee TUSIMAME WOTE....SIO MUHIMU SANA. WEE IMBA TU, WATASIMAMA WENYEWE!... WANAJUA.
@edwardsamson79514 жыл бұрын
Ani kaka umeongea point saana
@fatmaismail63934 жыл бұрын
😄😄
@yohanakobero33872 жыл бұрын
Aisee inaniuma sana. Rest in peace President John Magufuli. I will always love you.
@LuckyLucky-iu2ho4 жыл бұрын
zuchu thanks for the best song kweli magufuli juu
@YakubuMbatta9 ай бұрын
🎉ccm oyeeeee
@irenekavishe2113Ай бұрын
We miss you magu 😢😢
@gracegeorge21324 жыл бұрын
Safi sana dada zuchu umeimba vizur sana
@husnahassan62894 жыл бұрын
Zuchu mdogo wangu Mungu akutangulie mno mno nakuona mbali sana mama
@FatumaAman-z8u2 күн бұрын
Magufuri wetu miss you bab 😢😢
@OmOmabs10 ай бұрын
Nimemkumbuka sana anko mangu mungu ailaze maali pema looyak
@masudimwabushuti5364 жыл бұрын
Hongera zuchu
@gloriamichael36984 жыл бұрын
Zuchu big up sana na mwezi nao utelemke mama na nyota Nazo zitelemke mama aiyaaiya mama. umenikumbusha Ruvu jkt Kwa afande sungura ,meena mwaipyana ,motoka ,machachali,kitomali ......safi sana mwanangu I'm blessed
@roselutumo45024 жыл бұрын
Amejitaid zuch au chuch
@Estherdor4818 ай бұрын
Oh mungu munanifznya niliye machozi nakumbuka magufuli
@AK-rd5zr9 ай бұрын
Mungu kwanini ukamchukua Magufuli 😢😢. Ulituacha wakiwa baba 😢😢
@neemacharles98783 жыл бұрын
unajua jinsi navyokukubar yn nashidwa ata nikueleze vp but l love much much more
@floridajoachim60624 жыл бұрын
Daaa naipendaa had machozii jmn😍😍😍😍😍😍💓💓💓💓💓💓❤😪😪😪
@hope308077 ай бұрын
Dah hiki kipindi ilikuwa raha sana ...ukiingia mtandao kazi ni kufatilia raisi anaenda wapi na anafanya nini ila saivi😥😭
@haleemahaleema85053 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Allahuma amiin thuma amiin Yarrabbi 🙏🙏
@salomewandya72572 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@wmarysella4 жыл бұрын
Am in love,,,,, congratulations 🎊
@mawananasoro44054 жыл бұрын
Hongera baby kichuna nyota inang'ara
@damareshilary6123 жыл бұрын
Nimeangalia baada ya msiba wa Baba yani inauma uwiiii
@asmajacob34903 жыл бұрын
Achatu best inaunguza maini mnoo
@12makondefrommt874 жыл бұрын
Nice Swagger rage Zuchu pongez ngoma kareeee
@mwlraphaelwakiingereza13944 ай бұрын
03/09/2024... Continue Resting in Peace Rais Magufuli. This song made me shed a tear.
@gosbertireneus555811 ай бұрын
daaah!!!! jamani magufuli wetu Mungu akupe pumziko la kheri
@ZainabuZainabu-dt5rs9 ай бұрын
Nimeipenda San lakin nd hatupo nayo Tena rais wetu Ila zuchu kaimba vizur 3:55
@erickotieno39722 ай бұрын
why am I crying 😭😭 now. magufuli continue RIP
@everlineontita63 жыл бұрын
Rest in peace Magufuli
@KhadijaJacob8 ай бұрын
Pumzika kwa amani kipenz chetu😭😭 tunakumic Sana😭😭
@justiny11804 жыл бұрын
Hakika ukiendelea kwa saut hiii u will be first lady kwa bng kalisha wote Nandy na wengne ila jide mwache legendary wangu
@Swahili143 жыл бұрын
Et jide amuache🤣🤣🤣 sukuma ndan wte Zuchu 🌚
@queentyna9711 ай бұрын
Naliagaa kilaa wakt Na huyuu baba Tungekuwa mbaliiiiiiii mweeeeeeee😢😢😢
@amosjoliga71212 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani JPM
@rahelgrayson69274 жыл бұрын
Hongera Sana zuchu upo vizuri Sana wimbo uko poa sana
@perisnaisoi75983 жыл бұрын
Zuchu❤️❤️
@donomar68764 жыл бұрын
Zuchu noma
@SwaleheSaad10 ай бұрын
Zuchu hapa ameimba sauti nzuri sana ila mbona sasa hv sauti lake linakwangua akiimba live
@angeldaniel88634 жыл бұрын
Congrats for zuchu you did it well carry on 🙏🙏
@mariamakungwa53912 жыл бұрын
Zuchu uliimba hongera sana binti
@ibrahimkeya33962 жыл бұрын
Mama Samoa na majaliwa kweli zuchu ulisema ukweli.Baba magufuli lala salama.Tunakumbenda hadi huku Kenya.
@jumamasunga98553 жыл бұрын
Nitakukumbuka Sana baba ck ya kampeni kuja ulaya kilosa na kunipa mkono ulisema hapa kazi tu
@gradiemumba65374 жыл бұрын
CCM ooyeeeeee
@duncanksieleofficial5874 жыл бұрын
Zuchu🔥🔥... All the way from 🇰🇪
@stingermfisadi68243 жыл бұрын
Miss you song
@crephibula50332 жыл бұрын
7
@saumujuma65614 жыл бұрын
W.c.b wako juu
@joycemaregesi41894 жыл бұрын
Hahahahahaha! Et ni chuchu au zuchu ahsante uncle Magu
@OmanShinas-w4k16 күн бұрын
JAMANIII😢😢 HAVI SAHAULIKI KWAKWELI PUMZIKA KWAAMANI
@malkavoice25702 жыл бұрын
Kuna mwamba amekaa nyuma ya Magufuli hapo sura mbovu sana nahisi alikuwa anajua kuwa magu anawindwa kuuawa basi hacheki mzee. Hana amani kabisa
@wadeelegbogun30152 жыл бұрын
Inauma sana 😢mmh
@kingsaidovolcano96514 жыл бұрын
Nakubali zuchu nakufata 100% kbs ww nzuri kbs
@adelinaadoloph53114 жыл бұрын
Ameimba vzr
@PiliShedafa9 ай бұрын
Nakukumbuka San bab magufuli
@msalabanireko15182 жыл бұрын
Zuchu uko vzr mama
@beautybeauty72204 жыл бұрын
Mashallah zuchu kiboko😘 rais asema chuchu😂😂😂😂
@anethkavenuke66104 жыл бұрын
BEAUTY BEAUTY eti chuchu dah
@beautybeauty72204 жыл бұрын
@@anethkavenuke6610 eeeh haha
@beautybeauty72204 жыл бұрын
@@anethkavenuke6610 nilicheka sanaa
@hudagal36774 жыл бұрын
she is talleted lady
@latifaissa76353 жыл бұрын
Jamani magufuli
@AshaMsonde-os6jb10 ай бұрын
Magu jaman we miss you dad 😢😢😢😢
@aishakabogo81894 жыл бұрын
Nakupenda bure zuchu
@godlovejoseph83362 жыл бұрын
wote mulikuwa matapeli tu hakuna kitu mulifanya
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Rest In Peace Rais Wetu Maguful 😭
@goldenphiri60844 жыл бұрын
I will be back home from Zambia house of makufuli makufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@huaweismart66414 жыл бұрын
Zuchu hongera sana upo juu
@Annastazia-q8v9 ай бұрын
Ni hatariiiiiiiii❤
@marygervas49414 жыл бұрын
Nice zuchu
@nchagwamichael59592 жыл бұрын
Keep resting easy bro💔, tuna makovu makubwa Sana kwenye Mioyo yetu, vidonda bado vibichi Faza.