Diamond is king of music in TZ meanwhile Harmonize is prince of music now in Tanzania
@Clahjkmtaeyoongi4 жыл бұрын
Jamani harmonize ungebakii na Diamond see how he lifts your hands to encourage you to keep on 🤩❤😍
@erastosolomon45546 жыл бұрын
Kwa hili natoka team Kiba naingia team Mond 👏👏👏💪💪💪so fantastic kama umependezwa gonga likeeeeeee!!
@mashakaharuna4055 жыл бұрын
Kulia ni furaha ikizidi na hamonazi ametoa shukrani hata mimi nikiiangalia hii huwa nadia sababu kunavitu ukivikumbuka inaumiza
@jeremymakokha47975 жыл бұрын
Ulikuwa umepotea Diamond msanii mwenye utu na atazidi kutamba....From Kenya
@mudrikkhelef38955 жыл бұрын
Hata me nimelia sana kuachana hawa watu
@masumbukonkwabinyaga76444 жыл бұрын
Ww tutakuita mnafiki2
@tekmoofficialАй бұрын
Mzee la vibez
@RaphaelDeogratias6 жыл бұрын
Hakika even if you die today, we will always appreciate you and feel your presence forever. You are real legend with his legacy. I pray that you live longer bro and remain higher forever Diamond platnumz
@nushjbrowne32593 жыл бұрын
His cry was a tears 😭😭 of Joy,he can't imagine how life had turned out in his face n the many fans that had come out to cheer him up.
@andrewskayondo28855 жыл бұрын
Am not atanzania and neither do i speak kiswahili but all i see is Diamond uniting with Harmonize and this is so nice.
@mo.m7myvideos5556 жыл бұрын
Lazima amsujudie kwakweli unafikir haya maisha yakuchezea hakuamin km angefika hapo pesa tamuuu atii ila anajitum naheshim anayo anamuheshim boss wake
@mariajacob18426 жыл бұрын
wow! watching this on youtube all the way from America makes me proud for my country Tanzania you lit #proud of you diamond and harmonize keep it up
@OmanOman-xe7gw4 жыл бұрын
Diamond ungejuwa kama uyu hamoniz hafaee ana roho mbayaa kama haunge mchukuwaa ukamoa iyi maisha Hamonaiz ana roho mbaya kama uso wake diamond ana roho nzuuuuriii
@nerdtheblogger55476 жыл бұрын
Daaahh diamond is the real mentor everyone should follow his steps 🤗🔥🔥
@amosisoni66226 жыл бұрын
Nice Yule anaye kutoa Mumaisha mangumu mupaka kukuinua niwamaana sana mupaka amulilie labda mungu kamupitia emo ili amusaidi 👍👍👍
@collincesiakamnana52983 жыл бұрын
When I heard the infos about the death of this president,I first think about this young musician,because I knew him through the song Magufuli.It's not now more than 2 more I know him trough my nephew who leaves now in USA,but before he was in South Africa.He sent me the song Magufuli,and since then,I fall in love with him.I really like the guy,I know the pain he can now be facing.I wish you all Tanzanians my deep and sincere condolences.It's a big lost for the African continent.Sorry for my english,im a french speaking. Cameroon leaving in Germany
@ninene18593 жыл бұрын
Me to I know him from this song , I was so sad , I’m from Senegal but just like magufuly , was a very bad news and surprising , was thinking to harmonize
@winnychepngetich23863 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️🌹
@rangacanalis3093 жыл бұрын
Chia my heartfelt for this, condolences to all Tanzanian from Cameroon 🇨🇲🇨🇲🇨🇲🇨🇲🇨🇲✊✊✊✊✊✊✊😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@sonyannstar62286 жыл бұрын
Mbona harmonize kalia....ameniliza pia hata kama kisa sijui fan ni hisia....
@alieuvmsesay60723 жыл бұрын
Great performance guys RIP to my Hero Magufuli One love from Liberia 🇱🇷
@jescaflugence32582 жыл бұрын
Nuru na Giza haviwezi kutembea pamoja harmonize ni nuru unamutanguriza mungu hatakuweza ndomaana arikupiga vita unamuzidi kwanza una akiri nyingi na upendo wa dhati unamwamini sana mungu hakuwezi utamuacha mapema
@dockaridk6 жыл бұрын
I just love that camera man @lukamba hes good professional and hes doing a good job. Man keep it up
@onowuizuchukwu72573 жыл бұрын
If not for the heart of a man I nearly cry on seeing this video, am a great fan of Wasafi family and I wonder what have gone wrong between the two Simba and Kondo boy. I do not understand Swahili but I love Tanzanians. Still me @ekpematthew from Lagos Nigeria
@jayzablon72813 жыл бұрын
Well they separated because Konde boy felt like he is a big artist and wanted to bleach a contract so now he has his own label and now Diamond and Konde boy doesn’t get along they beefing now
@onowuizuchukwu72573 жыл бұрын
@@jayzablon7281 thanks you so much,
@tousensemble20236 жыл бұрын
C'était la premières ft de Diamond que j'avais admiré...ça m'avais beaucoup inspiré
@tanzaniatv63986 жыл бұрын
One love wcb record dam zangu ebwana shukuran za zati kwa mondi bila kumsaham konde boy mwezengu nize boy wakilisha MT nyumba ya zahabu shukuran kwa media zote kwa kushilikian na wasafi record one one love 🙏🙏🙏🙏🙏mungu awalinde wanakazi Hawa cb ndo Habari ya mjiniiii
@eliamaghena87216 жыл бұрын
DIAMOND YOUR PROFESSIONAL MUSICIAN.YOU'RE THE BEST.
@menigdjaisa69306 жыл бұрын
💪
@sikuzanshaban51475 жыл бұрын
Baba lao
@dontsto38654 жыл бұрын
Leo ati wakujilinganisha na mondi na kumuimba...daaaaah mungu niepushe na marafiki waivi
@judynyakiba65564 жыл бұрын
Emotional moment thank you simba for such great impact God bless you
@Alice-q4w1k4 ай бұрын
Mtu na riziki yake respect from Kenya 🇰🇪
@Queenfridah16 жыл бұрын
I love you guys representing love from +254
@etsejustindeglo41623 жыл бұрын
You are my first artist
@adjoawodome48493 жыл бұрын
I can't wait to see the day we all will choose one language that we will implement in our schools in Africa for our unity ❤❤❤❤❤❤❤
@lennykiganga47633 жыл бұрын
Siamin macho yangu 2021,naquote ty msitari maana rafiki waleo ndo adui mkubwa wakexho ,namagazet nyumban kwa kukuza habar si unajuaga utasikia tafaran et mond kwa zari amemwagwa na vile nilivyomnyonge tabia yakuajibu sinaga hata harmonize nkimpigia ananifokea kama salam"
@shilebuyo58576 жыл бұрын
harmonize ni mtu anekumbuka Fathila.ni watu wachache sana wa ivo. big up sana kijana
@twahashearer83026 жыл бұрын
Inapendeza kuona wa Tanzania wamebadilika na kupenda vyao, Hongera Wasafi
Yuda huyo, hana shukrani, alisahau alipotoka. Binadamu ndo walivyo
@shakybebe54596 жыл бұрын
Wasanii wabongo tuige mfano huu hata Mimi nimedondosha choz mwamba umetoka mbali furaha hiyo ikutie nguvu yakukaza usimsahau mungu pia respect kwako SIMBA
@alirimanicholaijnr89856 жыл бұрын
Big up Diamond, Big up Harmonize Wcb for life.Huge fun from Ug
@perpeturemwasi37766 жыл бұрын
God sees your tears of appreciation when you cry, you knelt down in Thanksgiving to God u will go far/places my small bro, Diamond my best I looooove you.I found myself crying I don't y
@anniesakala60013 жыл бұрын
My heart is bleeding for you guys much love from me here in Zambia ❤️❤️❤️❤️💋💋💋
@monsterphaam86634 жыл бұрын
Diamond is a real guy
@phanicenatshe32344 жыл бұрын
Harmonize🥺🥺🥺this song is so emotional 😭 😭😭😭😭
@Clintonogwel983 жыл бұрын
First song they did together I guess and his Rise after Aiyola
@angemike21474 жыл бұрын
Je vous aime beaucoup mes frères.je suis congolais de la R D Congo
@ruqayajulieth70316 жыл бұрын
Hongereni sana na m/Mungu aendelee kudumisha umoja wenu
@israelcharles47695 жыл бұрын
Ruqaya Julieth saw
@castymaina50686 жыл бұрын
Napeda mziki wake sana juu yy uwa anaimba kwa upole na pia kunawimbo wake ulinifunza kitu na Nina uyo wimbo sana#matatizo#i like.that song soo much na I love all ur songs ad God bless ur work.
@dalilakaname10725 жыл бұрын
Diamond Platinumz, what an Energy!
@benedictseth46816 жыл бұрын
Pole sana Diamond Platnumz. Kazi nzuri kwenye stage chafu. Ukumbi kama.... Jamani what does Culture and Leasure ministry do?
@Saimonamon6 жыл бұрын
Cloud na range wao watapata tabu nasemaaa watapata tabu sana kama unaamini watapata tabu gonga like 🈵 kisha tukutane wasafi festival 🔥🔥
@isackbaton97596 жыл бұрын
Kama kawa man lazma tukinukishe
@aminatwahir90986 жыл бұрын
ONLY SPORTS katuniya
@salmabintuthman32435 жыл бұрын
Ewe mungu wasaidie wadogo wangu hawa warudi kwako. Ukali wa maisha ndio umewapelekea kuwa waimbaji. I belive iko siku nao watatubia tu.😔
@saymarsaymar46545 жыл бұрын
Salma Bint Uthman Salma watu wengi hawatakuelewa wakiwemo waislam wenzetu kwa sababu ibliis ametushika. Ila dua yako ni njema sana. Uislam ni haraaam mziki hata kama watu wote wataupenda. Hata kama watu watapata pesa uharamu uko pale pale. Salma na ww Allah akupe moyo na uwezo wa kusema ukweli japo waliowengi watachukia
@saymarsaymar46545 жыл бұрын
Mola awaongoe waache mziki, watafute njia nyengine ya kujipatia kipatocha halali. Mziki kwa imani yetu waislam ni haraam hata kama watu wote wataupenda na utakua unafaida itabakia kua haram haibadiliki. Diamond rudi kwa Mola wako kama Sheikh. Mzee yussuf. Maisha ya dunia ni starehe tu. Ukifa hawatakuja kaburini. Tulikua nao sasa hawataji. Kaburini ni ww peke yako.
@salmabintuthman32435 жыл бұрын
Waislamu bora ni wale wanao watakia wenziwao mema. Na mm naomba dua njema kwa vijana wetu. Wako wengi wenye madhambi makubwa makubwa lakini hatuna ruhusa ya kuhukumu mtu, kama mnampenda Nasibu Diamond muuombeeni Mungu yy na wenzake watupe maasia. Kanumba nae alikua star sasa yuwapi? Dunia mapito tu.
@salmabintuthman32435 жыл бұрын
@@saymarsaymar4654 bora aanzishe mashule na viwanda va chakula coz hapo ni biashara za daima
@MemsapSaum6 жыл бұрын
We lov you guys pig up umoja ndio nguvu ya kazi endeleeni kua hivo hivo
@magrethjohn25986 жыл бұрын
Jmn kanichekesha wa kikanzu nimecheka sana kama anapaaa
@sheylaramadhani2355 жыл бұрын
nikweri
@stephanomavumbo12236 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaa💞No one like u in the music game.Hakka unawezaaaaa
@tasolomon3 жыл бұрын
I loved the two of them together ❤️
@abistanysheila85925 жыл бұрын
harmonize are real brothers they connect so easily love you guys
@aminaally936 жыл бұрын
Jmn baba nee ni mtu aisee anapenda watu nanianajuwa kuchangamsha atari,,mungu akulinde lkn pia akujaalie uwoe utulie kwa ndoa yako🙏
@ibrahimkingonde82436 жыл бұрын
duh,,, watu hawa wanatisha
@kibabasituma21396 жыл бұрын
Amina Ally hahaha kweli
@karenwangui91666 жыл бұрын
Tears of joy Their Muziq zinabamba kapsaaaaar love it keep it up
@joleenmasha6 жыл бұрын
hawa ni watu wanakosa na wanapatana na wakipata ndiyo inakuwa moto zaidi na zaidi mungu awalinde musije gonganishwa na wanafiki manake wako kila kipembe
@zainabshabani70766 жыл бұрын
joleen masha kwel kabs
@mgenikijiti98055 жыл бұрын
joleen masha upendo nihazina kubwa pamoko hamoniz
@mwitajumanne84826 жыл бұрын
Daaah adi rahaaa big up xana vijana nawapenda thaanaaa mungu azidi kuwa pamoja nanyi ck zote
@BeYOUtifulwithsly6 жыл бұрын
I'm legit in love with diamond! 🙌🙌🙌
@babulawi40884 жыл бұрын
Nimekukubali konde boy
@winniefrida50924 жыл бұрын
Sasa hivi ety Harmonize ana MPA vijembe mondi jamani maisha hyaaa
@Lassana7554 жыл бұрын
Hhha nimecheka sana jamaaa ni pretender sana
@fredymbawala34835 жыл бұрын
Mondi noma sana huyu jamaa kamsaidia harmonize na bado anamsaidia jivunie harmonize kwa diamond ndugu yako,..
@zainabguthera79236 жыл бұрын
Masha Allah this two connection yao ni wazimu hadi kalia harmo.Allah awape maelewano insha Allah#974loveuguys
@64aaa6 жыл бұрын
Amelia kwa furaha sana maana anakumbuka ile siku kwa mara ya kwanza kukutana nae ilikuwa hapo hapo Dar live. Wcb ni 🔥🔥🔥🔥🔥✌💞
@danielwachira58366 жыл бұрын
Haha uyo mama alikua analetea Diamond pesa ndioooo
@64aaa6 жыл бұрын
Daniel Wachira umemuona. 🤣🤣🤣 ni furaha imemzidi kumuona Simbaaaaa😂
@winfridajosefaty54936 жыл бұрын
Abdiilah Awaf 😂😂😂😂😂
@kibabasituma21396 жыл бұрын
Abdiilah Awaf hakika.
@islamomara73806 жыл бұрын
mondi nimpeda watu
@sephaniaayubu18775 жыл бұрын
Dahh harmonz mamae zako kumbe wew ni snichiiii semaaaa
@youngkillermsodoki76646 жыл бұрын
SHOW Ya kwanza ya konde boy mjini dar ni 🔥🔥🔥🔥 simb ni simba 2
@erastusomolo85896 жыл бұрын
Tears of joy from Harmonize,Bila simba hangemake
@Azizimusic4 жыл бұрын
Kama unaamini mond simba kwa muziki wa bongo piga like halafu nifuate upige subscribe ....
@nickmuriz94476 жыл бұрын
Diamond inaonekana security walikulet down hukufurahishwa nao, ikabidi utoke stage. Lakini naikubali performance yako kaka, big up from Dubai.
@turyamhebwahussein1816 жыл бұрын
Really he has too cos if he remembers where he has gotten him and where he is now Harmo thx for appreciating
@sylviekamirogosa2226 жыл бұрын
Daimond wewe kweli una hakili saana mungu akujaliye
@pharisjane68566 жыл бұрын
electric performance by the duo.
@officialteeh12133 жыл бұрын
Walikua wanaendana wakiwa pamoja but I don't know how part them decide to create a big jealous bettewen they hearts, but his still your father and you are the first born just get a place in your heart and for give whatever happens sports each other after rolls you guys you are from one country and you are doing the same business so and to make the matter wars you are all Muslims we funs we love you together and we want to see you happy to each other big love wishing you guys all the best ❤️
@Apo_onlineTV6 жыл бұрын
Huyu daimond huyuu daah! Mungu amuongoze love it brother
@jonaselias77296 жыл бұрын
I real realised that Harmonize love Diamond for real kwanza kaishiwa pozi kumuona pili kila akifanya jambo anafanya hata akivua suruali na yeye atavua that's what happened when you see you're role model....
@sheilaabungana54164 жыл бұрын
God loves you ❤️🙏❤️
@mariammsigala43126 жыл бұрын
😘😘😘😘😘show qaliii cmba n balaa wanaomchukia wampende tuu mana wanazkosea roho zao
@dydgirshysburdhfjtgydtyrfu85026 жыл бұрын
Hamonize na platnumz good job
@anitaatieno39394 жыл бұрын
Kusema ukweli na wapenda wote wa tz music and everything may God bless u so much...in whatever ur doing .....
@shodristvtv61216 жыл бұрын
Kama unakubali simba ndo king wa music tz gonga like
@simbaboe83506 жыл бұрын
Hatareeeeee
@bernardmutua74036 жыл бұрын
bradock shomary shodri nt only tz BT eastern Africa #kenya
@bisajidayahaya7316 жыл бұрын
Hatareeeee
@SwahiliPrideBongoMovie20186 жыл бұрын
KAMA UNAKUBALI BONGO MOVIE SUBSCRIBE KWA CHANNEL YANGU , wadau wa kweli
@lightmource65546 жыл бұрын
Naomba unitumie 10000 plz we Ni mkal xana
@angelbaraka52216 жыл бұрын
Harmonize alilia kwa furaha kumuona bos wake kuja kumpa kampani ata kama ni mimi ningelia sana kwa furaha diamond hana shida ni mzungu mweusi safi sanaa
@simonnembomadola75126 жыл бұрын
Kawaida jamani ujue kila mtu anajua maisha yake ametokea wapi na mtu kamsaidia vipi.Tunatakiwa kujifunza moyo wa kusaidiana na kuwafariji wengine na wewe ipo siku mtu atalia kwa furaha kwa sababu ya msaada wako
@mwanaishambili2416 жыл бұрын
Pole harmonize kwani chozi lko linamaana nyigi ni vzury mtu kkumbuka hisani na cyo kila chozi ni la uchungu anayo yajuwa mwenyewe kitu muhimu mzindi kushikamana kwani umoja ni nguvu utengano ni udhaifu from Saudi
@wilonjahatua20676 жыл бұрын
Kama unaamin hawa WCB ndio wenye muziki wao hapa tanzania acha wenye wivu wakae kando yaan hawa jamaa miili midogo lakin akili bahari yaan kama unawakubali simba na vijana wake acha kuvunga gonga like yako hapa
@yunusyusuph89486 жыл бұрын
Safi sana
@neemapeter64546 жыл бұрын
Hatar San mod yup vizr San mung azid kumpigania
@gomezonline51026 жыл бұрын
Watu weweee sio poa
@sylviareuben83875 жыл бұрын
Kwa nyimbo za matusi ni sawa
@vailetywelema59455 жыл бұрын
Poc
@mabrukihussein93434 жыл бұрын
Inapendeza sana kwakweli munguamijalie maelewno siku zote inshaallah
@mgazamwesh56176 жыл бұрын
Kama unajua simba ndio kusema pinga like
@joyajah63473 жыл бұрын
RIP Tanzania God fearing President..
@mwikamwika48516 жыл бұрын
Acheni wivu wa kipuuzi. Wcb wanajituma sana ktk kazi zao
@rehemambugulu96186 жыл бұрын
Kweloli kabsa yani
@rehemambugulu96186 жыл бұрын
Kweli kbs ilo alina ubishi.
@rukyaabdilo79216 жыл бұрын
Ukweli ndio wanapata nyingi
@mussacosmas515 жыл бұрын
Wcb wanafany hat wale wanaoimba mzki wainua kimziki
@unarmewamajinayubu46025 жыл бұрын
Kanunva
@olivianakanjako14365 жыл бұрын
Lv u guys one day I will cm Tanzania because ov u guys
@beatriceotieno69716 жыл бұрын
Tears of joy, I like that keep it up guyz
@judymoraamachongo993 жыл бұрын
This guys they do great job anyone who will follow there footsteps will not regrate,, let God give u more powers and good health
@jensennashon61476 жыл бұрын
shalom kwa WCB
@dorcaskiria20306 жыл бұрын
maskini mmemtoa nwenzenu na alijuwa anajiburudisha..kanzu man,I like u energy
@rauhiyaally33586 жыл бұрын
They love each other
@faroukeyplatnumz Жыл бұрын
Powerfully performance my Simba it's grateful
@sadamzm85186 жыл бұрын
*vijana wako good sana kama unakubali muziki wao tembeza like yako ili twende sawa*
@isayaerenest48666 жыл бұрын
sadamz m ms
@tevinrukundo58193 жыл бұрын
Kbx vijan
@jessicargeofreybuninange32676 жыл бұрын
Daaaah imenigusa sanaaa😥😥😥😥😥kama mapacha jamani ilove this guys jamani
@fathiafathia87014 жыл бұрын
2020 nana anacheki hii show kama mm nikiona konde akilia
@radiIbrahimnuhu4 жыл бұрын
Tupo
@neemashao53146 жыл бұрын
Diamond Mungu akubariki kwa upendo wako na wasanii mwenzio pacpo unafiki
@tellymapito87266 жыл бұрын
Simba na hamo like 3 zote zenu
@olamitiadeoyejoseph.67033 жыл бұрын
More love ❤️ from Nigeria 🇳🇬
@divinahkemunto14296 жыл бұрын
😐😐😢😭it's ok to cry ma ❤,,it makes you feel relieved,,,,Love sucks 😏😏
@enocksengo43254 жыл бұрын
live mondi watoe watao kushkuru fresh wataokukejeli na kukudhalau basi mana binafam hatufanani big up simbaaaaaa nakubali kazi zako bro
@LeeAmiaDwayne6 жыл бұрын
Have cried too, its really wonderful oooiii
@lucyamri32494 жыл бұрын
jackie 28 🤣🤣🤣🤣 watu wanatabu
@alikarisa61565 жыл бұрын
Apaa hungeamini harmo atakujatoka daah time flies😥
@mwikamwika48516 жыл бұрын
Ana kila sababu ya kulia. Tambua binadamu anaweza akalizwa kwa FURAHA na hudhuni? Hiyo ni siku muhimu kwake lakini analia kwakuwa anakumbuka historia yake na historia ya alipaanza muziki hspohapo Dar live tena kwa kuchukuliwa na MTU mwenye roho nzuri kwake. So yeyote angeweza kulia. Pig up WCB,fanyeni Mapinduzi ya sanaa
@emmyantony70486 жыл бұрын
Kweli kabisa
@jzjuma83416 жыл бұрын
Nice san
@ashleykipuge12466 жыл бұрын
huwa nashangaa sana hata wanapomshindanisha kiba, huyu jama level zingine kabisaa!