Pia nimeamini Diamond ni MTU mzuri sana nimarafiki wachache wanaokwambia siri kama hiyo Diamond Mungu akutunze ulipo popote
@celinelihaka23624 жыл бұрын
Mungu alikwepusha na jinamizi wolper! Sijui Harmo angekuwa mgeni wa nani saivi kuishi na malaya kazi sana.
@virginiakavinya12913 жыл бұрын
Diamond is a good friend ,,,,, congrats you did your best ,,,,,, harmonize take hat
@antonykinya3 жыл бұрын
Ckuwahi sikiza huu ujumbe lakn leo nmeusikza vema,inaumiza Sana..pole sana
@josephatmayanja75093 жыл бұрын
It's good he shared it , now his heart is clean, yameisha Sasa, let him focus with his business
@ntakilutandato3 жыл бұрын
Pole kijana, unahitaji kujua nini haswa unataka kwenye maisha yako kabla hujadanganywa na kusema watu udhaifu wao kwa mtandao kalamu isiyofutika people and things keep changing, kwa mapenzi tu, yalimtesa hata Adamu na Hawa ambao hawakuwa na binadamu wa tatu kati yao. BARIKIWA, NAKUOMBEA UKAMILIFU KTK YESU PEKEE ILA KTK MWANADAMU MPENDE TU ILA SIKUHAKIKISHII KUPATA YOTE UTAKAYO TOKA KWAKE
@charitywanjiru75724 жыл бұрын
Diamond is a true friend harmonize
@mariamrio82363 жыл бұрын
Acheni miziki ya kiduniani mtumikie mungu wenu kwakila kitu atakacho taka mungu wa mbinguni Ata wapa
@princesscindysian15964 жыл бұрын
Congratulations kwa kufunguka kaka mob love kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@beatricejackson52924 жыл бұрын
Mapenz mapenz mapenz unayempenda hakupend usyempenda anakupenda duuu!!!!! Pole Sana harmonize
@braisonwillibard74444 жыл бұрын
Dah kumbe uliumizwa sana harmo pole sana jmn😥😥
@taufiqkimpa16524 жыл бұрын
Mond alikua anakukubali Sana konde ila ndoivotenaa
@moshiaboubakar17323 жыл бұрын
pore broo
@kanaelimbise54093 жыл бұрын
I'd be happy too much of
@kanaelimbise54093 жыл бұрын
aand'reremailU you are doing
@kanaelimbise54093 жыл бұрын
I will back in Anderson@@taufiqkimpa1652 Ande willrson I
@mitchelanjere77584 жыл бұрын
Too much love my best artist, nakupenda sana
@murugindungu4 жыл бұрын
Diamond did good by telling you harmonize that's a true brother who showed he cared
@allykalimu83534 жыл бұрын
Pole can
@enelisambalale44104 жыл бұрын
Sana. Diamond amekuwa kaka wa kweli katika hili.
@kiplaakirui25274 жыл бұрын
Yea that's true Lucy and that's humanity....
@Grafafaizl14 жыл бұрын
@@enelisambalale4410 🤔🤔🤔🤔🤔
@sellymichelle52593 жыл бұрын
I thought diamond snaked him
@paulomaona28114 жыл бұрын
Pole sana kakq harmo yashapita hayo sasa tupo na mrembo wet hatutak shobo achana nae huy kungulu ataiso pret namba
Hongera sana hamonaizi nakutakia maisha mema na mkewako onyesha mfano daa achana na maraya wanaishi kwa kudanga maduka wanaweka kizingisio tu
@happymunish51814 жыл бұрын
Ila diamond anakupenda Sana pamoja na mapungufu yake lakn alikuthamin na kukwambia ukwel ingekuwa wanaume wengine angetembea nae bla kujal huyu ni mpnz wa rafk yake mungu azid kuwatia nguvu mapenz ndivyo yalivyo unampenda mtu kumbe anampenda mwingine inauma Sana Sana
@kiplaakirui25274 жыл бұрын
Kweli bro hapa umeongea kama watu kumi
@kiplaakirui25274 жыл бұрын
Daaaa pole kaka ata mie pia nishapitia hayo matatizo kama yako maradi tu mola ako nazi kwa yetu...... tumshukuru mungu tu sana kwa kila jambo manake ni mitiani tunapitia kwa maisha.......
@mozaibrahim65124 жыл бұрын
Pole ham nakupenda sana nakutakia kila la kheri na mafanikio maishani mwako❣️
@wemamaseta40123 жыл бұрын
Nyo
@2pack133 жыл бұрын
@@wemamaseta4012 oo
@abdallahshariff36083 жыл бұрын
Wasichana bpmba wanejaa ila nyie mnababaika na haya mdungayembe yaliyoshinsikana, bongo pisi Kali kibao ila nyie hamuoni mpaka muyachukue haya yaliyokubuhu
@geofreykemboi48693 жыл бұрын
Pole sana Jeshi naumia hata mimi kama shabiki wako ishallah mwangu Mungu atakuonekania
@asmahanyally32254 жыл бұрын
Wolpa una laana ya Harmonize na hautakaa upate mwanaume kama harmonize utadanga mpaka uzeeni ww bahati haiji mara mbili dada.....Pole Konde boy 😭😭😭😭
@fadhilsanga28474 жыл бұрын
Harmonize..... Umeongea kitu sahihi sana ........
@fadhilsanga28474 жыл бұрын
Wolper na tunda hawana utofauti ......yani kila mwanaume twende tu
@janembawala60094 жыл бұрын
Ananuka k nan amtake
@fadhilsanga28474 жыл бұрын
@@janembawala6009 Jane
@shukriolati46334 жыл бұрын
😂😂😂😂wolper= wallpaper anybody can use it, as long as you download it. shameless woman
@deborayunucy47914 жыл бұрын
Pole mdogo wangu huwez juwa mungu alikuepusha na mengi mushukuru mungu
@Mb0g0z4 жыл бұрын
Ukiona mwanaume anakumbuka tarehe za matukio ujue aliumia, wolper hebu mpumzishe sarah kila siku interview unamwita majina ooh mlezi wa wana,sponsor.umemchokoza harmo umelipata
@wowwow7234 жыл бұрын
Pole sana harmoniz ira urivumiria sana kiukweri
@zafnatyally14404 жыл бұрын
Anamuonea choyooo
@fadyanassor70934 жыл бұрын
Amempata vizuri sana, sasa na yey wolper si atafte wa kumlea atakia nni maisha ya harmo
@nyesamgeta75224 жыл бұрын
Kumbe mshenzi sana huyu dada ila akae akijua tamaa ni mbaya na mwisho wake ni mbaya atajikuta pabaya cku
@liliandevic56484 жыл бұрын
J
@jembeboy45963 жыл бұрын
Dula!! Inauma sana Pole jeshi
@mrsochu-hv7bm4 жыл бұрын
Mmh makubwa haya🤔🤔.....wadada wa dizan hii ya wolpa wapo wengi wasio ridhika na mwanaume mmoja utadhan K zao ni choo cha stend kila mtu anakitumia khaaaaa badiliken jaman.....Nakupenda OTHMANI uku niliko najihemu najitunza na kujithani mpenzi cna mwingine zaid yako 🇹🇿🇴🇲
@saviomgaya53814 жыл бұрын
Dah aiseee haikua kaz lahiss sana kaka raji mungu akulinde katika safr yako na sara
@sekelamwangosi32894 жыл бұрын
Afu harmonize maskin anapenda kwel tangu nimemfahaam ex wake ni jack tu saiz kajitulilia na mzungu wake hana kutangatanga maskin😭
@jovialke_update69404 жыл бұрын
😭😭🙆🙆🙆maskini hamonize
@theprincejr14174 жыл бұрын
Kbsa asee
@deboradaniel79294 жыл бұрын
Kweli kabisa
@issachambuso72524 жыл бұрын
@@jovialke_update6940 vpmuzlm
@nancyruoruo10254 жыл бұрын
Ukweli
@MaikoNyondo2 ай бұрын
Pole sana kijana hayo ndio mambo ya wanawake huwa hawaliziki hataufanyeje unamtoa ujinga bado atakuzinguatuu
@esterslyvester55484 жыл бұрын
Daaah yaani mwili umenisisimka wallah🙌
@jackilinemwanja65964 жыл бұрын
Poleee shemeji yangu kondeee boy ,bora umeyasemaa pengne dukuduku limekukaa kwa mda mref,now fanya yako
@khayriyamussa62744 жыл бұрын
hujakosea kaka kusema Allah amjaalie sara akuzalie mtoto mwema mwenye kher naww nitakuandalia majina kama utakubali ktok kwa shabiki yako😘
@nyotaaastarkipndaa82534 жыл бұрын
I love him now . 💯😍😍
@harrisonmwanengo76114 жыл бұрын
Ahaaa,
@salehally87883 жыл бұрын
Hahahaha
@mohamedjeizan59294 жыл бұрын
Inabidi na ww urudishe shukrani kwa diamond kwa kukudokeza hiyo hbr
@jonniedimpoz69694 жыл бұрын
Daaah Harmonize nakusikiliza hadi machozi yananitoka😔😔😔😔pole sana wanawake sometimes ni nyoka japokuwa ni mama zetu
@enelisambalale44104 жыл бұрын
Yaani so painful. Wanaume huwa hawasemi ila mpaka kasema ameumia sana sana
@lucyakhaende6374 жыл бұрын
😂😂😂😂
@madammaggie77794 жыл бұрын
Duuh,harmo maneno yako yamenigusa sana mwanzo nilijiskia vibaya ulipoachana Na wolper nikadhani kuwa ilitaka kumchexea tu,kumbe sio,pole sana
@patoka2543 жыл бұрын
Kama wampenda konde boy mikono juu 🙌🙌🙌
@careenismail80924 жыл бұрын
Daaah mpaka nimelia jamani kweli ukimpata anae kupenda pendeza pole sana kaka angu
@khamisilyova63924 жыл бұрын
Sema mchambo umenoga mnoo ulivyosndikizwa na beat kma zile hadithi za usaliti wa mapenzi😎
@rosemaryenos62044 жыл бұрын
Hahaha Yan ww😁😁
@chrissclassic72764 жыл бұрын
😂😂😂
@rehemasimba16394 жыл бұрын
Pole kaka Mmakonde Mwenzangu,Nimaisha kupenda sio kazi kazi nikupata anae kupenda.Mapenzi yanaumiza saana.
@shopilo.xd_mabango4 жыл бұрын
Dah!! pole sana God is good all the time
@BarakaPatrick-ue2qz5 ай бұрын
Wanawake ni wasati kabisa ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@faisamansul17354 жыл бұрын
People with glass houses should never throw stones. Jackie brought this all to herself akasahau Harmo can also talk. Let's wait and see how this plays out🤔.
@adamsilumbe83564 жыл бұрын
I know Jacqueline she don't care trust me what am say😂
@S.colaaa4 жыл бұрын
He it’s a
@sarahogama95404 жыл бұрын
Mm humpenda harmo Sana koz ata alivotoka wcb nilifurahi Sana koz nilijua tu kuna kitu harmo hajakipenda na ndio maana aliamua kuondoka na ndio huyo sai ametulia na mke wake Sarah ilhali hao wasanii wengine kazi nikuachana na mabibi zao kila kukicha.... congratulations harmo ww ndio mwanaume asili sasa
@zenaibrahim23734 жыл бұрын
Mungu wangu😳
@kimpalambapj4 жыл бұрын
Pole boy. Nimeguswa sana na kisa hicho. Hakika ulimpenda. Sijui wanawake walio wengi wanakwama wapi, dah!
@johnmwadime45904 жыл бұрын
🤔🤔🤔 Kha!! Wolper Weeee 🙆🙆🙊
@christianfelex50782 жыл бұрын
Na kampa namimba kabisa duh pole sana
@zulfamangapi30392 жыл бұрын
Tulioangalia baada ya pete tujuane
@rafalivertheprince67433 жыл бұрын
Pole san konde boy god blees you
@arnestomsanifusikuku77414 жыл бұрын
Kitu Mimi napenda songs zako ,,wewe huimba from Experience bro ,,Tena nyimbo za mafunzo👊👊👊🔥🔥🔥 msanii napenda kazi yake huko TZ ni WEWE HARMONIZE,,,
@annashirima72713 жыл бұрын
Kaka pole sanaa jmn wanawake tunakwama wapi jmn? Tamaa mbaya sana
@dicksonkakinda8054 жыл бұрын
Mungu awe nanyi mpaka kifo kiwatenganishe wew na Sarah"
@hadija8464 жыл бұрын
Amiin🙏🏼😍
@zafnatyally14404 жыл бұрын
Amiin
@halimately36094 жыл бұрын
Kumbuka akumfumania na diamond platnumz aliongea akiwaamelewa
@nyesamgeta75224 жыл бұрын
Na wazae Watoto watano
@faizamohamed69934 жыл бұрын
Kweli harmonize hatujasikia una michapuko na unapenda kikweli..hicho kibibi cha kichaga mbona mpaka leo hajazaa na umri unampa kisogo
@tatuseleman73034 жыл бұрын
Duuh nimeumia sana pole harmonize u big malipo duniani
@amosvasco47233 жыл бұрын
pole mwanangu kwa yote uliopitia, Diamond behaved like a true friend, wish u all the best from Kenya 🇰🇪
@manasemariki61862 жыл бұрын
O p
@johnsonisack11332 жыл бұрын
So touching story
@marwaaliow40672 жыл бұрын
Harmonize ni kweli kuacha mzungu ni maumivu Sana but please Rudi kwa wolper tu I love that woman so much ❤️🥰
@bonnysureolkokolaboy43424 жыл бұрын
Harmonize umeua kweli wanawake hawafai na Alivokua anaongea kwenye interview na Millard Ayo mbwa ww
@deboramrema28614 жыл бұрын
Safi sana umefanya la maana anaumia anajuta kukupoteza ila hamo najua umemsitiri kwa muda ila umefika mwisho bora umemwaga ukweli
@paulmtungalyambo20654 жыл бұрын
Harmonize unamoyo mkubwa sanaa broo Daaa Nimeamini wanaokuchukia wana Matatizo yaooo Hatar
@salomevenance95554 жыл бұрын
Alafu mpole sana
@trafficmanager29244 жыл бұрын
Pole kaka
@abdalaabdala98894 жыл бұрын
Na mungu atansaidiya kwa hilo
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Si m subscribe kwangu pia jameni mm mwenzenu
@jamesgeorge20243 жыл бұрын
Q
@jacobkijida42904 жыл бұрын
Mmh... Ad mi nimeumia Sana'a..pole broo
@juliaayieta25784 жыл бұрын
Daah!!! Pole sana 😢😢😢
@ShadiaIdrisa4 ай бұрын
Mungu akubariki San diamond kuwasayidiya watu
@blankakecy24644 жыл бұрын
Da Jack Unatuaibisha Sana Wachaga Wenzako na Wadogo Zako Tujifunze Nin Mbona huzeeki wew dada looh unatembea na vitoto vinakuchezea vinakuacha mshenzi sana
@hanifamasudi79194 жыл бұрын
Duuuh pole sana kwa shida uliopata
@sophierseyyd11624 жыл бұрын
Mapenz yanauma Sana jaman pole saana kunakitu kimemsukuma mpk kusema hvy pole konde 😞
@myunaniniahmad64634 жыл бұрын
Mamilioni ya pesa mnaonga wanawake, mama zenu wamechoka mbaya. Na ndugu zeu.
@theprincejr14174 жыл бұрын
C ndo wanawake kutangazia wanaume
@claudiangowi95854 жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 acha tu ndugu
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Mm mwenzenu jameni si mnihelp Ku subscribe kwa channel yangu aki
@manyandacharles72443 жыл бұрын
🙋🔥
@edgertarimo7714 жыл бұрын
Pole jeshiiiiii
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
Uwiii jamani wachaga acheni janja janja ona aibu kubwa kwa Wolper, sijui ataweka wapi uso wake. Nashauri asijibu akae kimya.. au amsingizie kuwa ana mkono wa Sweta haaaaa haaaa Ni shidaaaaa
@jacklineulomi77804 жыл бұрын
Weee kaa kimya sema wolper na sio usme wachaga
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
@@jacklineulomi7780 si mchaga jamani mbona unanifokea wangu sio poa
@jacklineulomi77804 жыл бұрын
@@mtanzaniahalisimungunimwem673 sikufokei hahaaa mtaje wolper tu usituchanganye
@khayriyamussa62744 жыл бұрын
Asie na utu haez kua na aibu
@mtanzaniahalisimungunimwem6734 жыл бұрын
@@jacklineulomi7780 au wewe Ni Mchaga? Ngoja nijikague tabia usikute na mm Ni mchaga uwiiii .... Ila sio wote bhana wako hivyo
@dariuskasitu15684 жыл бұрын
Pole aisee keshi naona umetoa ya moyon
@teller_julio4 жыл бұрын
Wolper = wallpaper , so any body can download and use it , in case his phone can support to download it ,
@eggysulle79884 жыл бұрын
😂😂😂
@shukriolati46334 жыл бұрын
😂😂😂
@herymwagike32193 жыл бұрын
Duuuuh pole sanaaa bro ndo wanawake walivyo
@nasraabdallah8504 жыл бұрын
🤦♀️🤦♀️Dah 😪😪worp alimumiza sn kumbe hamonaz jmn mpaka kusema hayo hamonaz kweli kaumia sn ju yamkewake sarah
@nicksongerson64164 жыл бұрын
Acha ushoga wewe wa kiume
@نااوتتت3 жыл бұрын
Maski'inii.pole.sanaaa
@nimohabdalla9874 жыл бұрын
Wolper wacha umalaya...stop playing with boy child feelings
@antonynjuguna18012 жыл бұрын
Background music really nice..
@mwasumohamed81464 жыл бұрын
Ilikuwa story nzuri sana yan tuliokuw tunasikiliza live watu waliumia san na story hii
@samwelisembuche72963 жыл бұрын
Da konde 💯💯💯tuko pamoja
@samwelisembuche72963 жыл бұрын
Da konde 💯💯💯tuko pamoja
@bigdady82133 жыл бұрын
Pole Sana konde
@tuyisengesamuel41613 жыл бұрын
Hermo umenifanya niliye sana, history yako na worper iko same na yangu.
@jonathanicrisatijonathanic67083 жыл бұрын
Mucheki jiva ana ngoma kali
@Lizsimaloi4 жыл бұрын
Then diamond was a good frd to you 😊
@nadikugenda58044 жыл бұрын
BIGUP CEO/WCB/MR NASEEB UMEMSTIRI MDG WK UKUBWA NI MAARIFA CO NO KWANI ATA WAJINGA UZEEKA NA UJINGA WAO PIA POLE HARMONIZE KAZA IYO NI TRAILER2 UTAKUTANA NA MENGI MBELE MTANGULIZE MWENYEZI MUNGU MBELE UTAYASHINDA YOTE
@tabikanini29204 жыл бұрын
Kazi ipo waaaaaaa
@barakapetermp87844 жыл бұрын
Mapenz kwel yanauma pole sana conde
@lenniefei67104 жыл бұрын
Wachaga na wakikuyu wa Kenya...jora moja ! Penzi lao liko kwa hela,mahaba kwao hamna kitu. Habari ndo hiyo waTanzania.
@selfmademillionaire2964 жыл бұрын
😂😂😂😂
@kenyattaeverlyne2413 жыл бұрын
Diamond is greatful friend so nicely
@natashachao28623 жыл бұрын
I got chills through out this confession..thanks harmonize
@emiryfaida24373 жыл бұрын
Good hmz for nice story
@nicholauskiuyo84874 жыл бұрын
Pole konde
@jumannebundala25944 жыл бұрын
Bro una moyo sana pia unayoongea ni kwel kabisa kwa mtu anayewajua vizuri hawa dada zetu wasiokuwa na maadili lazima aamini
@abubakaryalmas76734 жыл бұрын
Mwana kulifind mwana kuliget 😂😂😂 atulie sasa aache kudanga anaitembeza sana loh ingekua inaongeaga ile kitu kwa wengine ingesema nipunzishe
@beverlykadenge20954 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aishakabogo81894 жыл бұрын
Ahihahahahahaaaa
@shukriolati46334 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@lewinakilaja46584 жыл бұрын
Pole sana harmo,huyo malaya tu
@lisajackson58674 жыл бұрын
asante kaka angu harmonize nilishawah comment hapa juu y wolper kw yule kaka aliymvisha pete chidi kwamba wolper ni tapel w mapenz nilichambwa sana daah leo jibu mmpeta hakuna mtu mchu naji kwa wanaume kama wolper ndo mn tunachezewa sana wanawake kwaajil y tamaa zetu
@jovialke_update69404 жыл бұрын
🙄🙄🙄imebidi nigodoe macho maybe naota,surely chidi na Pete badala ya jemila na Pete ya dhahabu daaah,wolper unafanya makekes
@kelvingeorge-vg6zz4 жыл бұрын
jamn pole horm dah mzee uy
@bihemorukambura39864 жыл бұрын
Bonge la innovation ,,,nimekubali
@Dozo0014 жыл бұрын
Salute to brother Diamond for sharing with you the story
@mctimo48443 жыл бұрын
Vp
@husamshorts9503 жыл бұрын
Sio diamond
@stevendaudi32904 жыл бұрын
Aisee pole sana harmoniz ndo maisha
@ezekiambise25954 жыл бұрын
Damn!it is shade my eyes with tears! Glory to God now you got a right woman who loves,cares& respect you.do never live her
@stevenisanja66534 жыл бұрын
Dar inaumaa sanaa mungu atamlipa jeshii
@adamsilumbe83564 жыл бұрын
Kazi imeanza uuuupya ndo raha yakua na smartphone ivo tutegemee mengi kuhusu huu mkasa