Mungu!ndiye kila kitu ,hatatupa jaribu litakalo tuzidi uwezo wetu wa kibinadamu,tuombe atujalie moyo wa upendo kwa nchi yetu,uvumilive,hekima,busara na matumaini,hongera sana Nape.
@fatumahassan82125 жыл бұрын
Dalili za watu wenye upendo wa dhati kwako mheshimiwa nape, khakika mwanadamu mwenye mapenzi ya dhati yupo tayari kukuonyesha dhakhiry kwa vitendo , Mungu akusimamiye kwa kila hatuwa baadhi ya watanzania tunafahamu uwepo wako muhimu sana nikiongozi bora, changamoto vitu vya kawaida ktk majukumu.....👏👏👏👏🇹🇿
@priscambwambo10304 жыл бұрын
Kaka Nape nakupenda kaka yangu maana umekuwa mnyenyekevu kwelikweli. Umefata nyayo za Baba yetu na Rais wetu Magufuli .wewe sasa ni ndugu yangu wa damu. Mungu akubariki . Sifa ya uongozi ni Unyenyekevu kama hamuamini Muangalieni Mtoto wa Babu yangu Mwinyi. Kijana wake ni kijana meenye hekima nyingi na mnyenyekevu sana. Namkumbuka wakati alipata uwaziri mara ya kwanza kabisa alikuja kwa hotel fulani kubwa nilikuwa nafanya kazi. Sasa wakati wahudumu wa hoteli wanamhudumia na kunyrnyekea sana kama ilivyokuwa, desturi ya kali isiyosahihi ya kuamini kuwa kiongozi lazima anyenyekewe na wana nchi! Chakushangaza yule Kijana alisema NAWAOMBA MNIHUDUMIE KAMA MTU WA KAWAIDA SANA MIMI NI KAMA NYIE HATUNA TOFAUTI YEYOTE.NIMENUKUU!. HE tulibaki tukishangaa sana, maana hao wengine walikuwa wakija wanataka waonekane miungu watu. Ila kijana wa Baba wa awamu ya pili na baba yangu alikuwa wa tofauti. Hivyo basi siri ya kuwa kiongozi mzuri ni kuwanyenyekea walio chini yako!
@rinadismas48316 жыл бұрын
Nape big up. Nakupa jina jipya "Nabii wa nyumbani"Mungu akutunze.
@salimliemba34583 жыл бұрын
Mh waziri wa habar karibu Tena 🔥🔥🔥
@Purity4937 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda, may God be with you Nape
@salmaseif60735 жыл бұрын
Nape nakupenda sana
@ibrahimharuna98214 жыл бұрын
NABII HAKUBALIKI KWAO LKN KWAKO NAPE UNEKUBALIKA HONGERA SANA BRO SASA UNA DENI KWA WATU WAKO,MUNGU AKUTANGULIE INSHA ALLAH
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Aa !! Hao ndiyo wanasiasa bwana utawaambia Nini,wananchi vumbi ,juakali na adha nyingi lakini wapi bwana 😅😅😅
@karundeomari36714 жыл бұрын
Asante baba
@jacklinelyimo74077 жыл бұрын
Mungu yupo juu yako Nape kweli kipenzi cha watu wa mtama aliyekufanya ukatoa machozi Mungu anamuona
@mkude3 жыл бұрын
Naleo hii karudishiwa uwaziri mungu mkubwa
@lucymgulunde73297 жыл бұрын
mwenyewe nampenda saana nape
@famaubafundi5476 жыл бұрын
Viva Nape
@skjjsj18893 жыл бұрын
Nape Hilo tumbo karibu litashika jini kitambi😁😁
@abdalla9677 жыл бұрын
Dah maskini mpaka huruma kama unaona alivyofanyiwa nape hakistahili kabisa weka... Like za kutosha hapa
@mariammarco15547 жыл бұрын
mode the mlitaka atolewe nani ili msiongee?
@mariammarco15547 жыл бұрын
mode the mlitaka atolewe nani ili msiongee?
@abdalla9677 жыл бұрын
Mariam Marco sio swala la kutolewa mtu hapa ni swala la uwajibikaji yeye kafanya kazi yake kama waziri au mlitaka anyamaze kimya ili aonekane kama hajafanya kazi na pia kitendo cha vyombo vya usalama kukosa heshima na viongozi mpaka kufikia hatua ya kutoa bastola ni hatari Sana kwa nchi yeyote wewe unafkiri ile bastola ingefyetuka bahati mbaya kungekua na usalama kweli? serikali kwa ujumla wake ingewaambia nini wananchi ili waelewe na ilhali yule ni kiongozi mkubwa na Jana yake tu alikua waziri wewe kwa mtizamo wako unaona ingeleta picha gani kwa rais?
@eliamwankenja70874 жыл бұрын
Pamoja mkuu
@ZainabZainab-ok8tm7 жыл бұрын
mashallah napee ucjal mungu yu pamoja nawee
@Amuka_SaSA7 жыл бұрын
This man can becoming the future president of TZ
@sirfabiano7675 жыл бұрын
Mzuka sasa Forget
@sirfabiano7675 жыл бұрын
Mzuka sasa never happen
@teddymwageni17634 жыл бұрын
Ndo hakarabati barabara kwa kiwango Cha Rami c kupita kwenye mavumbi km hayo
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Pole sana!!!
@nzomukundafatuma53647 жыл бұрын
mungu akulinde baba
@getrudemax97707 жыл бұрын
Tutakukukumbuka kwa kutuzimia bunge live 😞😞😞😞😞😞😞
@magynzioka11227 жыл бұрын
mimi mkenya na mpenda sana siasa zake ni zakujenga tz amina
@mashakathomas99924 жыл бұрын
Kalibu tz utafikia hata kwangu kwa muungwana mwenzako
@janewacera78127 жыл бұрын
We love nape
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
wimbo ume dogea mpaka vikongwe MWANDA WAZIMU KAINGIAJE CHEZEA CHIBU DANGOTE KIBOKO YA VIKONGWE
Usiwasahau ktk ufalme wako ona watu wanavokupenda alaf mkipata mnadharau jamani mungu atawaona
@priskaboma78274 жыл бұрын
Duh inauma Sana
@mwajumabakari37304 жыл бұрын
Yaan mm huo nampenda Sana nape toka awali toka 2015 enzi alipokua mwenezi
@brotherkayu19907 жыл бұрын
duh
@georgekagiraffe7837 жыл бұрын
I Appreciate Yu My Broooh
@hadnahhohammed386 жыл бұрын
bon m musik
@maimunaseleman14427 жыл бұрын
kiukweli wapigakura wengi wa chama chamapinduzi ni wakina mama ndiomaana unawaona wamejaateleeeeeeh apana chezea watoto wa kucni bhana
@speciozakisukulu31977 жыл бұрын
big up nape
@EcoEssence_wellness7 жыл бұрын
Okay
@athonyfrancis88897 жыл бұрын
ulistahili heshima hiyo MHE.NAPE daima unapendwa hata mimi nakukubali jembe
@arafsaaa88447 жыл бұрын
Athony Francis m ndo zaid yaa namkubal sna huyu baba
@andarsonungani21607 жыл бұрын
Athony Francis
@jumaaomary30807 жыл бұрын
Indiasong
@godfreymwakipesile19996 жыл бұрын
daimondi
@godfreymwakipesile19996 жыл бұрын
daimodi
@mariyammohammedjuxnakukuba97917 жыл бұрын
hadi rah jmn
@halimamohamedy35717 жыл бұрын
mashallah lnapendeza kwakwel
@jemakhalifa68076 жыл бұрын
home sweet home
@saulmwakyusa10017 жыл бұрын
salute nape
@selemanamtwe11917 жыл бұрын
jogo
@florachogo55374 жыл бұрын
safi raisi mtarajiwa
@tanzaniakwanza95647 жыл бұрын
ni jambo zuri kupendwa ila cjapenda ulivyo wakanyaga watu unapita juu yao hata kama ni kwa hiyari yao lkini kwa busara zako kama kiongozi hukupaswa kufanya hivyo kwani ni udharirishaji wa hali yajuu Mfano Rowasa pamoja na kukubalika kwake kipind cha uchaguzi hakuwahi fanya hvo, chaajabu wao hawajalia cuz hawakujua maana yake ila ww ulowapandia unalia eti upendo!!!! Sijapenda kwa udharirishaji huu Mh.
@abdulmtausi66727 жыл бұрын
acha vita ieendeleeee,hapa kazi tu,hakuna kuangalia makunyaziiiiii,ukimwaga mboga namwaga ugali,hongera nape,home sweet home
@roselugendo69434 жыл бұрын
Mtu kwao. Nyumbani ni nyumbani
@officialmologa7 жыл бұрын
kwenye jamaa kinamama wakikupenda bas ume win....
@trophainamagogwa79665 жыл бұрын
U note hilo,mama ni vyoote
@abdallamohd19376 жыл бұрын
Nape ucwaze uko kwenye hak ulikokuepo hakuna her na ww M'Mungu atakuweka kwenye her na ww wakat unacmamia hak
@happinessnyambita81397 жыл бұрын
hadi rahaaaaa......
@gracejohn8864 жыл бұрын
Nape oyeeeeee
@bahatiboma28247 жыл бұрын
Hadi raha mtu kwao bana
@lameckshillah75007 жыл бұрын
b blessed too sir Nape
@abeidmayanga8097 жыл бұрын
alistahili heshima uliyopewa nakuonya nape nauye kwamaba usije potoka ukaacha kuwa mkweli km tulivyo kuzoea so tunakuamini
@oyay28217 жыл бұрын
maximum respect to you Nape
@richardmboka74677 жыл бұрын
nape nakupenda sana
@meshackngujati29054 жыл бұрын
Cna hata cha kusema nape kuhusu ccm lakini mungu anajua
@binurarassi81567 жыл бұрын
kweli nyumbani ni nyumbani.
@consolathasaimon25457 жыл бұрын
nakupenda sana mh nape ww ni jembe
@missmuunasharifu23237 жыл бұрын
mm sio mwanasiasa ila mapokez hayo yamenivutia kupita kias huo ndio upendo wakweli tunataka na viongoz wengine waliochaguliwa na wananch waonyeshe mapnz kwa wananch like nape.
@africanchild45257 жыл бұрын
Mcheza kwao hutunzwa.
@isackndessa76804 жыл бұрын
Usaniiiii
@danielmbwile96444 жыл бұрын
Umesahau ulicho fanyiwa yatakukuta tena tumbuuuuwa
@fadhilikyandofadhilikyando77146 жыл бұрын
tumepoteza waziri mzurii kwenye sekita ya michezo mweeer
@rodayared4354 жыл бұрын
Mtu kwao bhana
@ladsonmshana99207 жыл бұрын
Kweli ccm ni mashetan mchango wa nape unajulikana
@rahimaaaaa86996 жыл бұрын
LADSON MSHANA MAGUFULI MUNGU ANAMUONA. ALISHIMDWA NINI KUMUITA NA KUMKANYA.PALE.ANAPOKOSEA.
@loner_wolf4 жыл бұрын
sasa unamaanisha nn? Mbna hujaeleweka
@loner_wolf4 жыл бұрын
Hivi mnadhani nchi ni kama timu ya mpira wa miguu, yaani mmoja anafua jezi, mwingne anaenda kwa mganga na mwingne anamtafuta refa nyumbani kwake kuongeanaye kisha wote watapangwa kikosi cha kwanza...... Hii ni nchi ya watu Mil 60, wala ccm cio chama cha mtu, ni mali ya watanzania wote, hata hao unaowasikia wanapiga kelele sasa hivi huko chadema walikuwa ccm na kadi wanazo ila kwasasa huwez kuwasikia wakisema kadi wanazo mpk watapoamuwa kutaka kupumzika au kustaafu kisiasa, kwahiyo unaposema nape alipaswa kuitwa, usifikir rais ni mjinga, rais ni taasisi kubwa sana, wala nape hawez kumuita rais bali rais ndio anaweza kumuita nape lkn rais akimuita nape, ataita wangapi sasa? Je majukumu yke ni kuita? No, rais anateua mtu amsaudie, akiona humsaidii anaweka mwingine na hili si kwasababu ni mwanachama, no.... Ndiomana rais anaweza kumteua mtu hata sio mwanasiasa, akampa ubungo na kisha uwazir.......
@frankgibore98134 жыл бұрын
Amekumbuka bastola za dar,
@omarymwigula54797 жыл бұрын
Mnafiki tu analilia uwaziri tu huyo yeye kawatendea mangapi wenzake huyu huyu katufungia bunge live
@daybrelimite61267 жыл бұрын
Acha waisome namba
@tumainicharles86567 жыл бұрын
Hilo ni jembe letu l #Mtama watu Wa mtama hatuja Fanya makosa kumchagua #Nape ni chaguo letu.
@lameckdeofficial72056 жыл бұрын
Tumaini Charles ggg
@fatumahassan82124 жыл бұрын
Khakika mheshimiwa nape ni kiongozi mwenye ueledi wakina uimara mkubwa sana katika utumishi wake
@richardmakweta8875 Жыл бұрын
Kivipi Kama umeamua kumsifia msifie tu usizungumzie vitu ambavyo havipo,hata Ange fanya makosa ungesema amefanya vizuri 😊😊😊
@deifyallymagongo7937 жыл бұрын
jamani mm sio liccm mbona nape kaongea keel
@tzommyoriginali91447 жыл бұрын
ulipo tupo kiongoz wetu nape
@nyamwanzirukamba69826 жыл бұрын
jembe
@officialmilo70507 жыл бұрын
nakukubali sana ww ni jembe
@joshuakwelimoto64947 жыл бұрын
NAPE ULIVYOIMBA MTAISOMA NAMBA ULIJUA ATAISOMA NANI .MLIONA WALIO NJE YA CCM NI WAKENYA SAFI MAGU WOTE WANYOOSHE WAIJUE KUWA CCM HOVYO
@matiassaleh52506 жыл бұрын
Joshua kweli Mo to
@andrewnyambega55907 жыл бұрын
hapo ndo ujue daimond km maji usipomuoga utamnywa
@Io-xz8bi5 жыл бұрын
Mimi hapo mwisho hoa Yani Raha 254
@malaki0474 жыл бұрын
Sai yote amesahau ashakua kma mkiya
@mohamedishabani76626 жыл бұрын
nape unapenda nakila MTU hilo halifichiki
@levinalevinaleonsi23197 жыл бұрын
nampendaga jamani
@patrickcoshan62877 жыл бұрын
Diamond oman
@patrickngwaulanga97586 жыл бұрын
Hakuna nyimbo za ccm tena hapo kwa heri
@agfelicia37164 жыл бұрын
Mbele yako nyuma yetu baba
@ashaakidotkidotlyova28817 жыл бұрын
sas hapa wanaimba au
@kinotasontravel38837 жыл бұрын
wahimize wananchi walime
@festontandu17477 жыл бұрын
we love u nape
@tegemeanyunza79486 жыл бұрын
Apendwe asipendwe ss tunawatumbua 2
@lucasjohn47807 жыл бұрын
ndo goli la mkono uliolisema iloo
@zuuniece66357 жыл бұрын
wewe ni mtu wawatu baba
@arafsaaa88447 жыл бұрын
zuu niece kabisaaaa kipenz cha weng
@lazarojohn64014 жыл бұрын
Bahati bukuku
@kingcobra92387 жыл бұрын
bashite anawivu mtani
@tumainikassanga76597 жыл бұрын
hongera nauye.
@phiniaspaul95666 жыл бұрын
Mkutano wa nape mbunge
@abdulkareemramadhani86017 жыл бұрын
Mbona Wamejaa Wakina Mama Wengi?!!
@kinotasontravel38837 жыл бұрын
Abdulkareem Ramadhani ndio wapo wengi duniani
@arafatimjungu25107 жыл бұрын
mungu yuko pamoja na wewe
@daktar_kapaku_natural5295 жыл бұрын
Acha ujinga
@husseinkombe90087 жыл бұрын
sa mbona wananchi wamechoka ivyo? hahaha wale mitaji hao wanakupenda sanaa
@pendomollel50997 жыл бұрын
watambua majibu wanajionea wanyeweeeeeeee
@bashiruahmad4184 жыл бұрын
P
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
wanawake wana mfuta uso kwa lazima jamani wanawakeeeeeeeeee viuno mbwara hata chupi hamna dou hamja olewa