UWEZO WA KUONGOZA ZANIZBAR TUNAO HILO HALIPINGIKI NA LIKO WAZI KABISA

  Рет қаралды 3,513

Vuga Online Tv

Vuga Online Tv

Күн бұрын

Join this channel to get access to perks:
/ @vugaonlinetv
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Channel Rasmi ya Chama Cha ACT Wazalendo Habari zote kuhusu Act Wazalendo utazipata kupitia channel hii
Usipitwe na Habari Moto Moto Kutoka Katika Chama Chet Cha ACT Wazalendo makala Tofauti Tofauti Habari nyengine nyingi Kuhusu Chama Chetu Utazipata Hapa
#actwazalendotv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa mnamo mwaka 2014 na ni chama kinachoendelea kukua kwa kasi nchini Tanzania. Sisi ni vuguvugu lenye lengo la kutengeneza Tanzania huru, yenye maendeleo na mafanikio ambayo misingi yake itakuwa ni uhuru, uwajibikaji, na uwazi.
Dira yetu ni kwa Tanzania kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kupitia:
1.Kujenga uchumi shirikishi unaoshamiri na wenye kukua na kuweza kutengeneza ajira.
2.Miundombinu imara inayochochea sekta zote za uchumi unaokuwa.
3.Upatikanaji wa elimu bora.
4.Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wote.
5.Kujenga taasisi ya polisi huru na inayozingatia taaluma ili iweze kuwahudumia na kuwalinda watu wote.
6.Muungano wenye kuweka maslahi ya watu wa pande zote mbele, wa haki na wa usawa utakaowekewa msingi wake kwenye Katiba ya watu.
7.Vita dhidi ya rushwa na aina zote za ufisadi.
8.Utoaji wa hifadhi ya jamii iliyobora kwa wasiojiweza, masikini na watu wengine wasiojiweza.
9.Makazi ambayo watu wanaweza kuyamudu, na kupatikana kwa wote.
10.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa watu wote.

Пікірлер: 22
@m.seifsaid4836
@m.seifsaid4836 Жыл бұрын
Ndugu Kiongozi mmoja wa kamati kuu ya ACT hongera sana sana maneno yako na nasaha nzuri na zenye maana kwa nchi yetu ya Zanzibar na wananchi wake.👍
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
Mashaallah in ACT kila kiongozi anamshinda mwenziwe kwa umakini.. May Allah awahifadhi watukombolee zanzibar yetu
@khamisjuma8501
@khamisjuma8501 Жыл бұрын
Speaking up my brother never give up zanzibar home
@ashaali7506
@ashaali7506 Жыл бұрын
Hongera kiongozi wetu tupo pamoja mimi na zanzibar zanzibar na mimi ❤ 2025 kura yangu kwa ACT wazalendo
@MWIGAADAM-r3e
@MWIGAADAM-r3e Жыл бұрын
ZANZIBAR kwanzaaaaaa🎉🎉🎉🎉
@Mursalin68680
@Mursalin68680 Жыл бұрын
Mimi na Zanzibar, Zanzibar na Mimi inshallah 2025 kura yang Kwa omo
@salyali7807
@salyali7807 Жыл бұрын
I like this man.. very intelligent
@نوفل-س5ر
@نوفل-س5ر Жыл бұрын
Hiii Zanzibar ingekua si mungu na mtume na mh Othman massoud ingekua ishauzwa ivi
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Wallahy si uongo. Alipokataa bunge la katiba, hapo ndipo alipovunja adhma mbaya ya ccm. Maana alisema akiwa ni Mwanasheria wa serikali.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
​@@FarhatSeif-p3t Hebu acheni upuuzi iuzwe kwa nani na ili iwe je. Usitowe sifa za kumtoa mtu kwenye sifa, aliyotoa ni maoni yake ni haki yake na muda wote amepewa fursa hata UAMSHO walipokuwa ndani alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali pia.
@suleimanfaki1764
@suleimanfaki1764 Жыл бұрын
Act wazalendo online tv tunakupongezeni
@vugaonlinetv
@vugaonlinetv Жыл бұрын
Asante
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Wazanzibari nyote msifanye mchezo kura zenu kwa ACT ili muikoe nchi yenu znz.
@suleimanfaki1764
@suleimanfaki1764 Жыл бұрын
Tunaomba mikutano ya jussa ,babu Duni na omo ya Tanzania bara
@AllyOmarHamad
@AllyOmarHamad Жыл бұрын
Pamoja sana viongozi wangu wapendwa
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Жыл бұрын
Iwe ndio mwisho kuletewa viongozi kutoka TANGANYIKA, 2025 ZANZIBAR iongozwe na WAZANZIBARI WENYEWE.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Vyama vyote Makao Makuu yake ni Bara tofauti ni mitaa tu.
@wakwetu2444
@wakwetu2444 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa. Tatizo ni kupewa hiyo Serikali.
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Mama Raisa❤
@suleimanfaki1764
@suleimanfaki1764 Жыл бұрын
Tunaomba mutuleteee mikutano yote
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Bi Raisa vp uligombea na kuitetea nafasi yako ya Mwenyekiti?
@suleimanfaki1764
@suleimanfaki1764 Жыл бұрын
Ila hii video sauti inakoroma 😂😂 may be mic ni mbovu
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 821 М.
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19