Рет қаралды 4,275
UZIMA MPYA CHOIR kutoka kanisa la ceep saction 02 kambini nyarugusu wana kuleteya wimbo wa NIMEAMUA ambao una patikana katika album yetu ya SUBIRI WAKATI WA BWANA album iyo inabeba nyimbo 08 za injili.
KARIBUNI TUTANGAZE INJILI KWA PAMOJA KWA NJIYA YA NYIMBO