Mi mwana simba...Nakukubali sana Nakuheshimu sana nikuombe sana ndugu yangu Usijibizane na Watu Tuliza Jaziba..Ukitaka kujibu mtu Mjibu kisomi..mbona Unaelimu kubwa sana..Nikuombe kwa heshima tu...na ningemjuwa Aliyeongea Vibaya mpaka kakukela ningemsii nae Aiache Tabia hii.
@SilimaHassaniАй бұрын
Semaji umetisha sana
@ZahariaKassimuАй бұрын
Ulijuaje kama yanga wanga kama ww huangi
@EDWINIBRAHIM-hr2kcАй бұрын
Ushamba unawatesa sio kwao ni wa halmashauri😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@GraceMarine-vo9huАй бұрын
😂😂😂😂fyoko fyoko Fyoko we kwako
@AlhajiJumanne-g5eАй бұрын
Kucheza hamzuiliwi shida uchawi wetu ndio changamoto ila safari hii ni ubaya ubwela