Gwakukaja ndaga,hakika Mungu akazidi kukuinua katka huduma yako.
@nancyjohn88034 жыл бұрын
Amina barikiwa sana dada yangu kwa ujumbe mzuri💞💞💞
@josephjoackim26724 жыл бұрын
Daah wimbo mzuri, melody, sauti, video na ujumbe vyote vina uhalisia kwa ujumla kazi nzuri sana, Mungu azidi kuibariki kazi yako
@marykapologwe66964 жыл бұрын
Safi sana dadaa wimbo mzuri sana .ujumbe Mzuri sauti nzuri ubarikiwe sana
@vumiliacharles26684 жыл бұрын
Hongera Sana dada kwa wimbo mzuri na wenye ujumbe mzuri
@elizabethseni28504 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, bado pigo moja
@ajestersteven85804 жыл бұрын
Wimbo mzuur Mungu akuinue zaidi mamy love u
@edinamwangole38364 жыл бұрын
hongera sana dada kwa wimbo wenye ujumbe mzur
@innocentbizaye9226 Жыл бұрын
Mungu akubariki mama unatutiya nguvu kabisa
@devinaemanuel88384 жыл бұрын
Barikiwa my dia maana naona wanaenda kusambalatishwa bado pgo nusu tu kwenye moja watakoma! Mungu yupo aminaa
@yunispatrick86139 ай бұрын
Great song, Good voice,bado pigo moja 💃💃💃🔥🔥,am in love with this song, Glory be to God 🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo9 ай бұрын
Amina
@marrymaganga85854 жыл бұрын
Hongera sana dada wimbo mzuri sana
@shemokoko45463 жыл бұрын
Nimekusiliza ktka ujumbe huu ,nimekumbuka siku mchungaji wangu mdogo alipoligawanya kanisa na kuondoka na washirika baada yangu kuwa mbali kwa muda,,niliporudi kanisa na waliosalia tukashindwa kulipa kodi likafungwa jumapili moja,kumbe ndo lokuwa pigo LA mwisho, ,Mungu akuinue. Sasa hivi tuko sawa na injili inasonga
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
MUNGU ni mwema sana
@EstherKinya-ow5dn Жыл бұрын
Hallelujah and amen 🙏🙏🙌🙌🙌
@faithkomen22582 жыл бұрын
Hallelujah, hakika bado pigo moja Barikiwa sana 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@TUMAINIMBEMBELA74 жыл бұрын
Wimbo ambao najikuta narudia Mara kadhaa kuangalia maana bado pigo moja thanks kwa ujumbe
@mamakesamary12092 жыл бұрын
Amen, barikiwa sana wacha azidi kukupa kibali ufike mbali kwa kubariki watu wake kwa nyimbo hizi zenye kutitia moyo na nguvu,,, always feel blessed na songs zako mum 🙏🙏🥰
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@johnmulelamuthoka2310 Жыл бұрын
From Kenya 🇰🇪 🙏
@raymagambo4 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana. Barikiwa
@janetminyoso77743 жыл бұрын
Nyimbo zako zote zina fundisha barikiwa
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
Shukrani sana
@user-lt4tm1pq8vАй бұрын
I just love your songs I can't get enough of it, your songs ilinifariji wakati nilipoteza baba mzazi ndio maana siwezi lala bila kuskiza , barikiwa dada😘😘😘😘🙏
@andreylaizer86384 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Mtu wa MUNGU Ujumbe Ni Mzuri Sana Bado tunasubiria Wokovu wa MUNGU wetu...🙏
@jamesyusuph95104 жыл бұрын
Wow umenibariki sana mtumishi. 🙏🙏🙏
@jaylossbaynoth85914 күн бұрын
Wewe nihatal sana
@anethemmanuel82182 жыл бұрын
Ubarikiwe mpendwa mungu akuinue zaidi
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@brightonmwinuka29994 жыл бұрын
Mungu aendelee kukuinua mpendwa nimeupenda huu wimbo
@adelaphilip80892 жыл бұрын
Nyimbo zakozinabarik dada Mungu azid kukupigania ufike mbal love you ❤️
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Thanks much
@bupesauly22562 жыл бұрын
Mungu amekubaliki sauti nzuri sana na ujumbe mzurii balikiwa
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa
@florencemackenzi2684 жыл бұрын
Hongera Sana mtumishi
@benardnyaoke5318 Жыл бұрын
bado pigo Moja mwanangu.
@salamamkini80694 жыл бұрын
God bless you mom kazi nzuri
@irinecherono62562 жыл бұрын
Wow wimbo huu inatia moyo
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Shukrani
@salamamkini80694 жыл бұрын
Hakika bado pigo moja najua kuna mahali Mungu ananipeleka na sitabaki kama nilivyo Mungu wa mbinguni akubariki dada Vaileth Mungu aendelee kukutumia Kwa viwango vya juu zaidi
@matredpatrice3399 Жыл бұрын
Watching from Kenya be blessed mamaa
@ludovickmwamsaku75572 жыл бұрын
Moyo umechokaaa.
@gracejob11293 жыл бұрын
Wao Hakika bado pigo moja, Mungu nipe nguvu ya kulisubiri
@fanuelryoba6062 жыл бұрын
Wimbo mtamu na wenye ujumbe kwa watu,ahsante wote mnaousikiliza mziki huu
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@graciennevutara66163 жыл бұрын
Ubarikiwe mama
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Amina sana dada
@violethmeja18483 жыл бұрын
Wajina barikiwa sana unanyimbo nzuri sana zinaujumbe mzuri
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
Amina wajina shukrani
@fleviancalvin46153 жыл бұрын
Bado pigo moja,barikiwa sana ni wimbo unaotutia moyo mola azidi kukuinua kila siku
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
Amina
@elizabethatieno98942 жыл бұрын
Amen🙏🙏
@nziegamaleys31444 жыл бұрын
Wimbo unaujumbe mzuri Sana bado pigo moja
@faithngomo7522 жыл бұрын
I love you mum 💕
@benardnyaoke5318 Жыл бұрын
kuna mahali mungu anatupeleka hapo tulipo simahali kwetu..
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@mariammwasabeja24654 жыл бұрын
Wimbo unatia moyo sanaaa... Tuwapo dhaifu ndipo tuwapo na nguvu katika Bwana... Bado pigo moja
@mercywambura36662 жыл бұрын
Mama your just a blessing to me ❤️
@precious52772 жыл бұрын
Valieth 🥰 💞 👌 🥰 💞 👌 🥰 💞 👌 🥰 love you more mama 😘 ❤ 💗 💖 💕 barikiwa sana
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina 🥰🥰🥰
@apialugenge52904 жыл бұрын
Mungu ni mwema aibariki kazi yako , nimeupenda wimbo huu
@ajstartz83034 жыл бұрын
Amen kubwa MY lovely MUNGU azidi kukutumia kazi nzuri
@ezlalongo21543 жыл бұрын
Hakika kuna mahali Mungu anatupeleka, barikiwa mtumishi Wa Mungu.
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
Amina
@godeli67074 жыл бұрын
Ujumbe mzuri kwa watu wa Mungu
@mamakememu99092 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako mummy hua inanifariji sana,mungu aendelee kukuinua kwa hiyo uduma yako
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@janetjano87022 жыл бұрын
Naomba mungu anivute machozi wakati huu napitia mambo maguu
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@florenceamonde24552 жыл бұрын
Wow wow napenda hii Mungu akuzidishe
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@onesmojilaoneka55794 жыл бұрын
Barikiwa sana mt Mungu aendelee kuweka maneno yake kinywani mwako nasi tuyapate kwaurahisi
@jofreymsomba46524 жыл бұрын
Barikiwa sana Ndugu yangu MUNGU anatenda
@nnalaya-toivo41444 жыл бұрын
Mbingu zimefunguka Kwa Kweli ubarikiwe sana
@jemimaernest51004 жыл бұрын
Asante my kwa ujumbe mzuri wenye faraja barikiwa sana