#vailethmwaisumo #umebakimwenyewe.Channel Administered by Huru Digital Instagram: / hurudigital
Пікірлер: 757
@julietkatumo11326 күн бұрын
What a soul Nourishing song.........whose here 2024
@babajayden20154 жыл бұрын
Hii nyimbo ukiimba kwa kumaanisha huku unacheza utaona vifungo vinapofunguliwa Sifa na utukufu kwa aliye juu😍😍
@Godfrey_lusekeloАй бұрын
Ohooooo hallelujah
@pauloalfayo18682 жыл бұрын
Kunywa soda mtumishi na usikubali kutembelewa jirani ni mbaya sana alitaka kumdanganya yesu ,eti akimwambia atampa Kila kilichopo ulimwenguni,yesu akamwambia,na akamshinda Kwa neno ubarikiwe dada sana
@wemabukuku65525 жыл бұрын
Hakika amebak mwenyewe tu ma penda sanaa ww da vaileth kipenz Mungu azd kukuvisha vaz la sifa my love
@nazaelimathayo16284 жыл бұрын
@@vailethmwaisumo Jamni kumbe ndo wew Dada angu nakupenda sana
@nazaelimathayo16284 жыл бұрын
@@vailethmwaisumo sawa Upo poa sana
@esnaschebet9233 жыл бұрын
Ahsante sana, naupenda wimbo huu sana
@oscarshiyonzoАй бұрын
The only friend you will always remain with,no matter the time and the situation you're going through #realy umebaki mwenyewe 😢
@elinamwankina88445 жыл бұрын
Ongera my dear mungu akubariki sana
@angelnzuga68485 жыл бұрын
Asante da mkubwa umenibariki my dada barikiwa
@lightnessmacha31265 жыл бұрын
Daah wimbo mzuri na umenibariki mnoo Mungu azidi kukuinua katika viwango wa juu zaidi
@saraphinaomary1950 Жыл бұрын
Unanifariji saana huu wimbo sina mawazo mabovu amiiiiina umebaki mwenyewe Baba aluluuuuuuuuh oooh haleluya
@lightnesssekajingo59445 жыл бұрын
Wimbo huu nausikilza kila saaa, unanibariki mnoo
@mariamjuma13712 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa huu wimbo
@mercykasika2000 Жыл бұрын
@@mariamjuma1371O'Toole's I my friend good
@christinemkamau34952 жыл бұрын
Umebaki mweyewe Baba kwa daima naakungoja Baba nakuhitaji
@ElizabethMakokha-ov9xe Жыл бұрын
Hata Kama life n ngumu mungu hawezi kukuwacha Kwa sababu yeye n mweza yote,,, mungu akubariki sana mum❤❤🙏
@pamelamboma67254 жыл бұрын
Amen, Mungu Mfan Njia na afanye Njia. Umebaki mwenyewe Baba
@agnessmangu59295 жыл бұрын
Nabarikiwa dada Mungu akupandishe viwango
@jescajesca57385 жыл бұрын
hongera Mamy nyimbo nzur San imenigusa
@barakamaingu98584 жыл бұрын
Da vaileth nimefurahi sana kuona ukitimiza NDOTO yako ya kuwa mwimbaji bora kabisa, hongera sana dada, nakumbuka yukiya chuo kikuu ulikuwa ukisoma sana na kutuma nyimbo za kumsifu mungu, Hongera sana
@rachaeldiana256210 ай бұрын
Amina🙏🙏umebaki mwenyewe Baba🙏🙏upon you we all surrender 🙏🙏
@stellaelisha51555 жыл бұрын
Mungu akubariki dada yangu ujumbe mzuri sana na hakika amebaki yesu pekee hasa katika dunia yetu hii
@wafulawasieba87772 жыл бұрын
Hakika Kristo Yesu ndiye suluhisho la mwisho na ni la kipekee katika maisha ya kila mmoja wetu.
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@lightnesssekajingo59445 жыл бұрын
Wimbo mzur saana mpendwa barikiwa saana
@blessingmwakalindile5854 жыл бұрын
Nani bado anaangangalia hii video twenty twenty...(2020)...mtumishi wa Mungu Vaileth mwaisumo nakukubari saana .NA MUNGU AMEWABARIKI MNOO MNA KITU CHA PEKEE NA MME WAKO MCHUNGAJI AMANI KIWALE.MUNGU AWATANULIE MIPAKA YA HUDUMA YENU ZAIDI.ambao bado mnaanga hii video mwaka huu naomba niwaone like zenu.
@perischari3630 Жыл бұрын
Katika hii majaribu na vita ninazopitia Yesu Kristo umebaki mwenyewe unishindanie
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@user-yj1gu8de9g2 ай бұрын
Ubarikiwe kwa nyimbo zako mungu umebaki mwenyewe kwenye maisha yangu
@beatricepeter16415 жыл бұрын
Barikiwa kwa ujumbe mzurii
@mcwillehard54225 жыл бұрын
Umenibariki Sana na huu wimbo. Mrs Mc Willehard
@rachelsaid67645 жыл бұрын
Hakika ni wimbo mzuri sana unatia nguvu Mungu akubariki na aendleee kukutumia
@annamlawa32855 жыл бұрын
HAKIKA UMEBAKI MWENYEWE BABA WA KUNISAIDIA, BARIKIWA SANA DADA VAILETH MWAISUMO. LOVE U SANA 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Anna Mlawa shukrani sana mpendwa wangu love you more
@christiansifa2156 Жыл бұрын
Ameeen Kwa situation nko nayo n ww mungu umebaki mwenyewe maana SS hatuwezi
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@samwelrupoja47955 жыл бұрын
Balikiwa San dada kwel amebaki mwenyewe to hakuna kama yeye
@shanvickline11843 жыл бұрын
In my situation now,umebaki mwwnyewe Yesu,pokea sifa Bwana
@aliceelia77195 жыл бұрын
Kazi nzur ,barikiwa
@AmosMsambilaMission265 жыл бұрын
Dada Vaileth Mungu akuinue zaidi, kazi nzuri imenitia moyo sana
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Amos Msambila shukrani sana kaka Amos
@atanasmkondya59523 жыл бұрын
Mungu akutuze na akupe afya njema ili uzid kutufundisha mema ya mungu
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
Amina mpendwa
@lilianjulius11345 жыл бұрын
Daaa nimebarikiwa Sana kwa wimbo huu,Ukawe kichwa nas mkiaa ktk uimbaj wako,
@mildredwekesa33572 жыл бұрын
Ameen,,n wewe 2 baba umebaki kwa maisha yangu.asante mum
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@magrethemmanuel27735 жыл бұрын
Hakika umebaki mwenyewe 🙏wimbo mzuli sana mpendwa.. Barikiwa sana
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Magreth Emmanuel amina mpendwa wangu barikiwa sana
@aidandondole90365 жыл бұрын
Hakika wanadamu wanaweza kukuacha lakini Mungu anabaki na wewe daima. Asante na barikiwa pia katika huduma yako Dada.
@JosephKamau-fj8hl3 ай бұрын
may god blessed you so much mwimbaji vaileth mwaisumo endelea hvyo hvyo mungu ako na wewe usikatee tamaa dadangu twakupenda sana
@vailethmwaisumo3 ай бұрын
Shukrani sana
@fransiscaeligi86745 жыл бұрын
Hakika amebaki yeye tu Kwa Maisha yangu ,ubarikiwe mumy
@christinemfune77045 жыл бұрын
Amina hakika amebaki Mungu mwenyewe mpendwa barikiwa mtumishi
@isayabukuku82362 жыл бұрын
Munguuu azidii kukuinuaa juuu zaidii kwakwer ubarikiwe nimependaa wimbo mzur xana
@catherinerugano34655 жыл бұрын
Ameen Hakika Mungu umebaki mwenyewe ebeneza kimbilio letu
@ngolokagrace26665 жыл бұрын
Hakika Mungu wetu umebaki mwenyewe ....barikiwa mpnz kwa wimbo mzur
@miriamkilonzo7254 Жыл бұрын
Barikiwa sana dada yangu iyo wimbo imeguza moyo wangu sana hakika mungu amebaki mwenyewe hakuna kama yy
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@levocakatusimathiasi45794 жыл бұрын
Ameen sana nimebalikiwa kwa kiwango kikubwa sana kama na wewe ukopamoja tujuwane wapendwa amen
@levocakatusimathiasi45794 жыл бұрын
Vaileth Mwaisumo mm najiuliza naipataje sasa nataka niwe nayo kwenye cm
@irenemwamfupe89945 жыл бұрын
Nabarikiwa sna na hii nyimbo Mtumishi Mungu mwema azidi kukutumia na kukuinua zaidi. Nakupenda unajua mama
@victoriachangandu74332 жыл бұрын
Kweli dada wakati wa shida hata yule wakaribu nami , ataniacha ila tu Mungu ndiye hawezi niacha kamwe. Barikiwa dadangu.
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@neemacarl9685 жыл бұрын
Hongera kwa wimbo mzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiu
@lilianjaruha9955 жыл бұрын
Barikiwa dada
@samwelmwaijumba60184 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada huduma yako ni njema sana.....kwa kwel amebaki mwenyewe Baba....
@wilfredmremi82745 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wako.
@sulleyboy8275 жыл бұрын
Barikiwa da vai Mungu akutunze
@josephjoackim26724 жыл бұрын
Hakika "UMEBAKI MWENYEWE BABA" ni wimbo ambao kiukweli una ujumbe mzuri sana aisee maana MUNGU ndo kimbilio la matatizo yote, iwe njaa hutushibisha, huzuni yeye ndo mfariji pekee, kwahiyo ni vizuri kumtegemea yeye katika shida zote. Hongera sana Dada Mungu azidi kukubariki na kukuinua katika kazi ya uimbaji🙏🙏
@jacquelinembanda5 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Jacqueline Mbanda shukrani sana
@jacquelinembanda5 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@juliuskitojomwery8795 Жыл бұрын
Tambua kuwa ni kweli mungu hafananishwi vyote vitapita na bado neno litasimama
@judithbruno26432 жыл бұрын
Oooooh hallelujah . Umebaki mwenyew tu YESU 🙌🙌🙌🙌🙌🙆
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amen
@leminakasindi9814 жыл бұрын
Kazii mzuriii kweli amebakiii mwenyeweee Mungu maan hamuna msaada wangu zaidii ya mwenyeweee ubarikiwe
@leminakasindi9814 жыл бұрын
@@vailethmwaisumo Amina
@KibongeWaYesu5 жыл бұрын
hakika amebaki Yesu tu ... Mungu akubariki kwa wimbo mzuri na wenye nguvu dada yangu
@samwelimwashinga32805 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wimbo mzuri na ujumbe mzuri
@solomonmwamfupe42435 жыл бұрын
God bless you my sister good song
@paulinacosmas63555 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa
@vivahvanilla37655 жыл бұрын
safi sister kazi nzuri Mwenyez MUNGU akusisamie vyema kaka utendaji kaz wako mzuri
@sarahsimsokwe25212 жыл бұрын
Oooh,,haleluya,ubarikiwe sana mdogo wangu Mungu akupe hatua nyingine ya kutumika Vaileth
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@furahavalerian42245 жыл бұрын
nyimbo nzuri barikiwa sana
@subirajames94695 жыл бұрын
Kaz nzuri sana dada🤝🤝
@moseschamwada44072 жыл бұрын
Asante kwa wimbo huu am so unajaza moyo tens umenifariji Sana dada God bless.
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@moseswanyonyi7411 Жыл бұрын
Umenibariki sana na huu wimbo, Amebaki mungu tu,
@tumainigodchance51725 жыл бұрын
Woow. Umenibariki. Na. Kunisogeza kwa wimbo huu mpendwa. HAKIKA AMEBAKI MWENYEWE. HAKUNA ZAIDI YAKE🙏🙏💜
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Tumaini Godchance shukrani sana mpendwa wangu
@tumainigodchance51725 жыл бұрын
vaileth mwaisumo tuko Pamoja Sister Wang
@juliussanane18605 жыл бұрын
Video nzuri sana na ujumbe Safi kabisa kazi yako ikapate kibali mbele ya Mungu baba
@jasminiomary77745 жыл бұрын
Nyimbo nzr xanaa🔥🔥
@sheilakegode65832 жыл бұрын
Whatapp status brought me here and glory to God for this song
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Thanks much
@estatem71114 жыл бұрын
Mbona huu wimbo Kama umeniambia mm 🙆🙆🙏🙏barikiwa sanaa
4 sure its only God amebaki my dia szy God akuinue katika viwango vyote
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@bernadetampungah65355 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana na huu wimbo hakika umebaki mwenyewe barikiwa sana mtumishi
@victoriachangandu74332 жыл бұрын
Amen Amen wimbo mzuri unaonipa nguvu yakusonga mbele, barikiwa dadangu.
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@alphonceokello12212 жыл бұрын
Naku Salimu kwa Jina LA Yesu Bwana asifiwe
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@modern93115 жыл бұрын
Hakika dada MUNGU Anaishi ndani yetu bila kutuchoka Atabaki Kuwa Mlezi Wetu Milele Daima Nikwambie Tu Kitu dada hii ni nyimbo Ya Kuhudimia Watu Na Kuwakumbusha Watu Kutokumtegemea Mwanadamu maana,wanadam wanatuchoka lakini MUNGU hatuchoki Ujumbe mzuri dada Angu Nimeipenda Sana
@Gospelwinners5 жыл бұрын
FABIAN MODERN amina kaka barikiwa
@hildakageha36222 жыл бұрын
Mungu ndiye Baba wetu wa haki hawezi tuacha japo changamoto kubwa
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@maggyolindi790 Жыл бұрын
Nyimbo zako,hunisongesha Karibu 🙏🙏 l feel God in my veins,my you live long mommie.
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@enockmabulls Жыл бұрын
Mungu akujalie dada uzidi kutubariki na nyimbo yako tamu❤️❤️
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@carolynekanyanga39112 жыл бұрын
True umebaki mwenyewe baba🇰🇪🇰🇪
@jackmassawe21474 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Dada yangu, ni mambo mengi nayapitia kwa sasa, ila naona ushindi mbele yangu kwa kuwa ninayemwamini ni mshindi. Ubarikiwe sana Dada kwa ujumbe na Mungu wa mbinguni azid kukuinua kwa viwango vingine.
@paulinevigeshi Жыл бұрын
Lovely 🌹🌹🌹🌹 and blessed 😇 direct from TikTok 🙏
@hamismambo32745 жыл бұрын
🎶Kazi nzuri sana Dada yang
@dianahmuema20452 жыл бұрын
Keep on PRESSING. You even bless me..I feel healing.
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amen dear
@sombamuhu7669 Жыл бұрын
Huu wimbo umepata wakati unaofa,hpa C Cha wazazi Wala marafiki ni Mungu tu
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Hatakuacha
@maryogaya4959 Жыл бұрын
thats the point I am Mungu umebaki mwenye in deed, we are trusting in you lord, God bless you my sister continues minister to us
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@benimagaya29684 жыл бұрын
Mungu Akuinue Zaidi Mtumishi 👍
@user-ri6bp7pg1d Жыл бұрын
You're ahero dada nasikiza nyimbo hii umebaki mwenyewe nafarijika hapa saudia ubarikiwe sana dadangu
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@anjelineaoor41402 жыл бұрын
Hii nyimbo nilisikia kwa Tiktok leo nimeitazama vizuri Thanks 👏👏👏
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Thanks
@modestamodesta39402 жыл бұрын
Umenifarij sana huu wimbo ❤️
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amina
@wilfredmanga50795 жыл бұрын
Kazi nzuri hii
@marrymdullah29525 жыл бұрын
Hongera kwa wimbo mzuri, una ujumbe mzr mungu akubariki sana
@musamwambughi55623 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi, amebaki Yesu peke yake kunisaidia.
@vailethmwaisumo3 жыл бұрын
Amina
@alexlusaka13155 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana dadaangu Mungu aikuze maradufu huduma yako hii
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Alex Benjamin shukrani kaka
@ambelefrank3273 Жыл бұрын
Daah!! Hakika Mungu umebaki mwenyewe 🙏🏼🙏🏼 ubarikiwe sana dada
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@eunicegerminus1937 ай бұрын
Umebaki mwenyewe ondoa aibu nivishe heshima
@glorymushi15505 жыл бұрын
Hongera na dada wimbo mzuri
@Gospelwinners5 жыл бұрын
Glory Mushi shukrani sana mpendwa wangu
@noelswai26605 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana, hakika amebaki mwenyewe Mungu wetu.
@jonathannoah71844 жыл бұрын
Hongera kazi nzuri Dada angu .mungu akubaliki amina
@joyceadema79042 жыл бұрын
May God bless you servant of God vaillet
@vailethmwaisumo2 жыл бұрын
Amen
@suedyscoud25674 жыл бұрын
Umebaki mwenyew ,,,,vizuli sana dada yangu nakupenda sana
@suedyscoud25674 жыл бұрын
Sawa nakutakia kazi njema
@fencilatemesi33412 жыл бұрын
Woooow ooooh God😭😭😭😭😭😭 thnks dada for a powerful song may God bless u abudantly akie umeugusa moyo wangu Hakika 🙏🙏🙏🙏