Vaileth Mwaisumo ft Martha mwaipaja- Naomba Usinyamaze (Official Video) SKIZA CODES -7639624

  Рет қаралды 4,510,490

Vaileth Mwaisumo

Vaileth Mwaisumo

3 жыл бұрын

Wimbo huu ni wimbo wa kumsihi MUNGU asimame atende sawa sawa na Yer 33:3. Tumemuita MUNGU akutane na kila hitaji gumu na hakika sikio lake si zito atatenda.
#VailethMwaisumo#MarthaMwaipaja#Usinyamaze.

Пікірлер: 1 900
@neftedymakukulu6561
@neftedymakukulu6561 Жыл бұрын
Sitaki tena kuugua maana nikiuguwa wengine wanafrahi Asante yesu
@benardkivunja
@benardkivunja Жыл бұрын
Baba wa mbinguni usinyamaze vile tulivyo kuomba sikia Baba jibu tu kwa neema na rehema zako tu
@mamabinti7115
@mamabinti7115 Жыл бұрын
Napenda unvyoimba nyimbo za kutia moyo ubarikiwe zaidi dadangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@mwajumamatembezi1554
@mwajumamatembezi1554 Жыл бұрын
Mungu akurinde nakupenda dada
@gabrielmakomere1022
@gabrielmakomere1022 Жыл бұрын
Kwa kweli tuko na maadui wengi katika familia zetu ni Hali mungu naomba usinyamaze nipaginie baba hasanteni kwa wimbo huu
@EstheryAtieno-sw8sc
@EstheryAtieno-sw8sc Ай бұрын
Mungu wangu usinyamaze kwa ndoa yangu tenda jambo
@esthernyaboke7479
@esthernyaboke7479 Жыл бұрын
Amina,ii Mwaka naomba usinyamaze maadui wangu wafurahi,Nibariki,nifungulie njia na uniinu akwa sifa na utukufu wa jina lako.AMINA
@AnnKipsang
@AnnKipsang 14 күн бұрын
Usinyamaze baba adui wasije wakafuraĥi ❤❤❤
@MaureenMalusha
@MaureenMalusha 20 күн бұрын
Mungu wangu usinyamaze kimya sema neno moja tuu na na moyo wangu utapona na ndoa yangu wimbo huu umenibariki sana
@leopodinadominic4391
@leopodinadominic4391 Жыл бұрын
Nimechoka kulia, sitaki tena kuwa chini! Mwenyezi uwe nasi daima! Usinyamaze ninakuomba 😢
@isaackariuki197
@isaackariuki197 Жыл бұрын
Usinyamaze Bwana...nimechoka kuugua moyoni mwangu..nipiganie
@mukambalundimu
@mukambalundimu Ай бұрын
Atakwangu kwangu Nami usinyamanze peke yangu sita weza maaadui niwengi saaaana.
@danielkalori5373
@danielkalori5373 Жыл бұрын
Jamani wapendwa wa TZ MUNGU huwatumia kwa njia ya uimbaji ooh endeleni kua baraka ketu from Kenya
@samuelkibusu-sh9hu
@samuelkibusu-sh9hu Жыл бұрын
Mungu asinyamaze maadui wafurahie,,,,,,,mungu atete na wso wanaoteta NAMI,apigane na wanaopigana nami.thnks sana watumishi wa mungu kwa wimbo huu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@Saramutinda673
@Saramutinda673 5 ай бұрын
Bado naucheza huu wimbo🙏 Naomba usinyamaze baba yangu🙏🙏 Neema itoshe sana
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
MAADUI NI WENGI SANAÀ. MUNGU USITUNYAZIE TUNAKUOMBA.
@everlineeverlinewamalwa243
@everlineeverlinewamalwa243 8 ай бұрын
Mungu hatanyamaza kamwe, yupo nasi site🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 8 ай бұрын
Aimen
@charitynyclin4086
@charitynyclin4086 Жыл бұрын
🙏🙏🙏 keep it up good work 🙏
@patriciaS.Vincent
@patriciaS.Vincent 10 ай бұрын
Ooh nimebarikiwa🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 10 ай бұрын
Amen
@michaelmuasya976
@michaelmuasya976 Жыл бұрын
Aky naomba usinyamaze pekeyangu siwezi .kuja karibu jeohova
@ricardolavie7679
@ricardolavie7679 Жыл бұрын
Asante mubarikiwe sana Jéhovah inaomba atambulike katikati ya muungu kweli Mutakatifu nani kama wewe
@ruthnelima6181
@ruthnelima6181 Жыл бұрын
Mungu usinyamaze Nimechoka kulia sitaki kuwa chini🙏🙏🙏🙏
@KuiMunyiri-nn8op
@KuiMunyiri-nn8op 11 ай бұрын
Usinyamaze mungu wangu Usiache maadui zangu wafurahie matezo yangu baba
@wkjshsxbbsbs6392
@wkjshsxbbsbs6392 2 жыл бұрын
Ooooh.mungu usinyamaze maana jeshi ni kubwa LA kudai kiniangamiza naomba usiruhusu nianguke mikononi mwao
@user-iq1hm8mo8s
@user-iq1hm8mo8s 5 ай бұрын
Mwimbaji huo Mungu aendeleye kumuchunga
@jaxonmwanasiasa8852
@jaxonmwanasiasa8852 Жыл бұрын
Baba naomba usinyamaze kwa maisha yañgu na ya yeyote anayeuskiza wimbo huu maana tumechoka kusononeka
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@clintonlmakanga
@clintonlmakanga Жыл бұрын
Mungu kwa kweli maadui n wengii naomba usiniachilie usinyamaze mungu fight 4 me battles l can't fight
@marthamashinji6830
@marthamashinji6830 2 жыл бұрын
Wimbo mzuri barikiwa sana karibu kwenye akaunti yangu ya martha mashinji
@naomimatayo2456
@naomimatayo2456 Жыл бұрын
Naomba usinyamaze Jehova nitazame stk tena kuugua;;;;;;;; mbarikiwe sana watumish wa Mungu ;;;;; Mungu awatumie kwa viwango vya juu sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@onsarigoemily2644
@onsarigoemily2644 Жыл бұрын
So touching ,God am tired crying day and night do a new thing to my life to wipe my tears,don't let my enemies to throw stones at me and defeat me
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@florencemokua8905
@florencemokua8905 5 ай бұрын
Kindly Mungu usininyamazie,nipee hatua nyingine,Kwa macho waone nko nawewe Mola,wewe ni kila kitu,Jitukuze Mimi mwanao Mola😊
@dafrosanassoro5055
@dafrosanassoro5055 3 жыл бұрын
Naomba usinyamaze ninamwaka sasa nimelala kitandani siwezi hata kusimama Baba naomba usinyamaze niinue na Mimi 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 machozi yamekuwa divai yangu yesu naomba usinyamaze ubarikiwe dd wimbo umenifariji sana mbarikiwe
@faithjahendah9409
@faithjahendah9409 3 жыл бұрын
May healing be your portion 😭🙏
@silvestererasto9890
@silvestererasto9890 3 жыл бұрын
Neema na huruma za Bwana zikuguse pokea uponyaji wako
@phoebecheye810
@phoebecheye810 3 жыл бұрын
Pona kwa jina laYesu🙏🙏
@sylviaanota5039
@sylviaanota5039 26 күн бұрын
Mungu na akakuamshe Pale mahali umelala.
@magrethkapinga1811
@magrethkapinga1811 13 күн бұрын
Mungu atakuinua usichoke kumuomba Ammen
@user-bd9uu8li9x
@user-bd9uu8li9x 4 ай бұрын
Mungu Wang usinyamanze kwamaisha yang
@user-ii6uw1wk2x
@user-ii6uw1wk2x 5 ай бұрын
mungu awainuwe watumishi siku baada ya nyingine maana mumekuwa baraka kwangu sana
@philispouline-wb7yl
@philispouline-wb7yl 10 ай бұрын
This song is just a blessing to me , Isaiah 41 :10 haleluhya
@enocktweve3900
@enocktweve3900 Жыл бұрын
Naungana nawewe mungu wetu nimsikivu
@neemamsigwa382
@neemamsigwa382 2 жыл бұрын
Kweli baba ukinyamaza peke yetu hatuweza
@WendyOchieng-hu1gd
@WendyOchieng-hu1gd 11 ай бұрын
Usinyamaze Baba yuwajuwa shida zangu,,
@albertwilsonalbert01
@albertwilsonalbert01 3 жыл бұрын
Hata kwangu Usinyamaze, Vita ni vikali. Bila msaada wako Eee Yesu siwezi. Usininyamazie
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@meryfredy5413
@meryfredy5413 3 жыл бұрын
Amina
@maggymshay7666
@maggymshay7666 3 жыл бұрын
Nikiona Jina Martha mwaipaja siezi pita huo wimbo bila kusikiza❤️❤️
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Barikiwa
@dayanajonas2926
@dayanajonas2926 3 жыл бұрын
Ndivo ilivyo kwangu nampenda sana huyu Dada!! Naomba usinyamaze Mungu
@elizadaniel9642
@elizadaniel9642 3 жыл бұрын
Hii ni kwel jmn martha 🙌🙌
@happypius3078
@happypius3078 3 жыл бұрын
Hata mimi kwa kweli
@jameskenzedex
@jameskenzedex 3 жыл бұрын
kumbe wewe sawa na mm napenda nyimbo zake sana
@LILIANOMONDI-pr8lq
@LILIANOMONDI-pr8lq 20 күн бұрын
Hiyo wimbo inanikumbusha mbali sana
@user-de5og8pe9w
@user-de5og8pe9w 5 ай бұрын
Usinyamanze usikiye utazamezame mungu abaliki muimbajiuyu
@visrerssusan
@visrerssusan Жыл бұрын
Amen Amen, maadui ni wengi lakini sitanyamaza kamwe ntazidi kumuita Mungu 🙏🏻
@Empressever254
@Empressever254 Жыл бұрын
May God bless you abundantly our sisters 🙌🙌i know I'll never be th same 😢God's in control I'll rise again 🙏hve suffered alot😏 it's my time for breakthrough 🙌God I adore you,,, hear my voice🙏
@achiengachieng1508
@achiengachieng1508 Ай бұрын
Kwa macho ijulikane niko na wewe man of war
@jenniferkimtai5938
@jenniferkimtai5938 3 күн бұрын
Naomba usinyamaze ewe bwana
@imeldambilinyi6335
@imeldambilinyi6335 3 жыл бұрын
Hii nayo pili pili nyingine kwa shetan,,,,usinyamaze imekuja kitofauti hongera mtumishi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa wangu
@siwemamsesa520
@siwemamsesa520 Жыл бұрын
Nawapenda sana Dada zangu, Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@ErickMahese-wm4yp
@ErickMahese-wm4yp Ай бұрын
❤❤❤❤❤baba usinyamaze nikiliya kwako
@veronicajevance4573
@veronicajevance4573 Жыл бұрын
Vita nivikal mungu hasa wakat huu mungu angalia wates wanavyonifuatilia
@ezekielikashi9791
@ezekielikashi9791 Жыл бұрын
Hiii NI moja ya nyimbo zako ninazozipenda sana. Na kazi zako zimejaaa ujumbe mzuri. Mungu akubariki Sana. Hakika Mungu asinyamaze kwangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@estherngari2954
@estherngari2954 Жыл бұрын
May God bless you more 🥰,it's a wonderful song
@RodaNanjala
@RodaNanjala 7 күн бұрын
Napendwa nyimbo zenu❤❤❤
@doricedastan1049
@doricedastan1049 3 жыл бұрын
Zidi kuinuliwa mtumishi hakika unabariki wengi kupitia nyimbo zako mungu azidi kukuinua asinyamaze juu yako nawengine wanaomtumaini ktk Rohonakweli
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina mpendwa
@jacquelinemassengo5466
@jacquelinemassengo5466 3 жыл бұрын
Amen, USINYAMAZE babangu, ADUI NI WENGI VITA VIKALi, PEKE YANGU SIWEZI
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina mpendwa
@maryammohammad4828
@maryammohammad4828 3 жыл бұрын
Time kujiamini like zenu hapa, tunapo omba mungu wetu, asinyamaze katikati yamapito yetu
@veronicantamya543
@veronicantamya543 3 жыл бұрын
Naomba usnyamaze kwenyemaisha yangu
@marychai3405
@marychai3405 3 жыл бұрын
Mj.mbarikiwe sana mungu awazidishie
@BonnaceObita
@BonnaceObita 2 ай бұрын
Naomba,mungu wangu utende qwangu
@everlinedemesi6225
@everlinedemesi6225 8 ай бұрын
Mungu usinyamaze Kwa maisha yangu maana maadui n wengi 😂😂love the song
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 8 ай бұрын
Amina
@K....ing006
@K....ing006 3 жыл бұрын
Naomba usinyamaze Mungu wa Daniel usinyamaze wanangoja niabike naomba usinyamaze wakafanya sherehe kwaajili ya anguko langu nitazame Mungu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭nimechoka kulia mm jmn sitaki tena kuwa chini
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina
@binrobert4046
@binrobert4046 3 жыл бұрын
Usinyamaze Baba. Don't be silent God. Greetings from Kenya. God is indeed not silent on my life affairs.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amen
@neemashabani8431
@neemashabani8431 2 жыл бұрын
Elf 5 kwa Leo kwakusikiliza unachokiimba Dada Martha na sitojutia kamwe salio langu nakupenda pia Dada vailet mwaisumo mmekua wafariji nataman siku moja niwaone
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@user-wb1fg1fk8o
@user-wb1fg1fk8o 10 ай бұрын
Wap ilatu ahatishi Kwasabbu anaye dushindia ananguv kuliko wawo ubalikie Tena dada wetu kipenzi
@Resudahexiaomianbao
@Resudahexiaomianbao 2 жыл бұрын
Amen. Mungu wangu naomba usinyamazee katika maisha yangu madui wengi sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@faithchemtai2800
@faithchemtai2800 2 жыл бұрын
Ata sijui ni how many times naangalia huu wimbo,,for real is a good song 'naomba usinyamaze mungu' keep up watumishi wa wangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@user-oj5ui9ro6u
@user-oj5ui9ro6u 4 ай бұрын
Hakika mungu usinyamaze staki kuteseka tena uwe nami daima
@puritykarimi8058
@puritykarimi8058 Жыл бұрын
Usininyamazie Yesu wangu. Jeremiah 29:10-14. Jehovah ukinena umenena
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amina
@SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE
@SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE Жыл бұрын
Naombo uzinyimanze Kwa madui zangu mungu🙏🙏
@oshimamsungu3294
@oshimamsungu3294 3 жыл бұрын
usinyamaze, usinyamaze Baba, mubarikiwe sana watumishi wa Mungu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina Mtumishi wa MUNGU barikiwa sana
@jescarmauwa920
@jescarmauwa920 3 жыл бұрын
Mungu akuzidishie martha nakupenda Sana mama yangu👏👏👏👏👏👏👏👏
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 жыл бұрын
Baba wa mimi uko wap Naomba usininyamazie Mbarikiwe watumishi Wimbo Unatubarik mno
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina
@paulinajohn5911
@paulinajohn5911 3 жыл бұрын
Usinyamaze Baba,Dada Martha hujawahi kosea.Mungu atakuvisha taji.songa mbele
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Barikiwa
@onsarigoemily2644
@onsarigoemily2644 9 ай бұрын
Indeed you nailed this song by the spirit of God be blessed our sisters Martha and Mwaisumo ❤❤ luv your songs so much
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 9 ай бұрын
Amen
@lynelee5846
@lynelee5846 3 жыл бұрын
Hata kunyoa ni style 🤸🤸🤸🤸 anyway am in love with your songs Martha 🥰🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Thanks
@kennedykisasatibarasa8664
@kennedykisasatibarasa8664 2 жыл бұрын
MUNGU usinyamazee naomba lija vita ni kali usinyamazee . barikiwiweni sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@peterheritage5694
@peterheritage5694 Жыл бұрын
Mtoe ingine kama hiyo naomba msinyamaze
@shebahkemm-Nyabuto
@shebahkemm-Nyabuto 3 жыл бұрын
Bwana usinyamanze such amazing song it really touches me team kenya🇰🇪🇰🇪 viewers zifike a million in Jesus name
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amen thanks Shebah
@margretyego4647
@margretyego4647 3 жыл бұрын
Ubarikiwe dada
@shebahkemm-Nyabuto
@shebahkemm-Nyabuto 3 жыл бұрын
@@vailethmwaisumo see God now we are almost and it will happen in Jesus🇰🇪🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
@@shebahkemm-Nyabuto Amen GOD is Soo good
@shebahkemm-Nyabuto
@shebahkemm-Nyabuto 2 жыл бұрын
And finally we have made it,keep blessing us with such songs,God bless you sister
@graceomedokhatenje5551
@graceomedokhatenje5551 3 жыл бұрын
Madui n wengi wengi,,vita vikali peke yangu cwezi..Mungu usininyamazie wakafanya sherehe....Lord you know what my heart demands,iam tired of crying ohh Lord .please Daddy change my destiny 😰😰😰😰
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina
@neemashirima6121
@neemashirima6121 2 жыл бұрын
Hakika Mungu anaweza. usinyamaze juu ya familia ya shirima na watoto wake maaana vita nikali tunapitia.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@natashaissa1266
@natashaissa1266 3 жыл бұрын
Naomba usinyamaze baba wakafurah nibariki waone ukuu wako ee baba sikia baba nitazame mwanao niinuee
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina mpendwa
@angelamwikali9977
@angelamwikali9977 2 жыл бұрын
Naomba usinyamaze bwana huu mwaka nishuhudie ukuu wako nyamazisha adui jehovah .whenever i listen to this song i feel like God will never abandon me nimechoka kuugua na kuteseka .Be blessed @vaileth $ martha
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@JusterKarambu-xi5vy
@JusterKarambu-xi5vy 9 ай бұрын
​@@vailethmwaisumo❤😊theroyiimodell 3:12
@paulodhiambo7937
@paulodhiambo7937 3 жыл бұрын
a very good combination. Martha Kenyans love you
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@paulodhiambo7937
@paulodhiambo7937 3 жыл бұрын
Barikiwa pia mum
@hildashilote8089
@hildashilote8089 Жыл бұрын
Vita nilvo navoo mungu wa Danielle ujee
@chrissifuna7358
@chrissifuna7358 Жыл бұрын
Sitanyamaza , Mimi mungu wangu ntamuita anipikanie,🙏🙏💐
@mathiasjoely7183
@mathiasjoely7183 3 жыл бұрын
Ameen! Naomba usinyamaze Baba maadui zangu ni wengi sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Barikiwa sana mpendwa wangu
@leahmbugua2966
@leahmbugua2966 Жыл бұрын
These wowen of God are my favourite from Tz.Nyimbo zenyu hua zina ni bariki sana🙏.Mungu Aendelee kuwa bless tu saaana🙏.l thank God for you,you are such a blessing 💕🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@user-zm1ri7lj9p
@user-zm1ri7lj9p 8 ай бұрын
Naomba kwangu baba nitetee
@lucykanzaa6049
@lucykanzaa6049 Жыл бұрын
Usinyamaze Mungu wangu 🙏🙏🙏🙏 Vita vikali pekeangu siwezi nisaidie baba (I need your breakthrough in my business God)🙏🙏🙏🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Amen
@godwinmercy5918
@godwinmercy5918 3 жыл бұрын
Wow kweli Dada zangu huu wimbo wenu umenibariki sana wakati nikiwa mwishow wa shida zangu 🙏🙏🙏 Barikiwa sana ❤❤❤ tunawapenda sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪humu Kenya🇰🇪❤🙏🙏💃💃
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Shukrani sana mpendwa wangu barikiwa sana
@godwinmercy5918
@godwinmercy5918 3 жыл бұрын
@@vailethmwaisumo Amina🙏🙏nawe pia Dada❤💃💃
@joselinetibera7794
@joselinetibera7794 2 жыл бұрын
Nice songs.Mbarikiwe na Mungu azidi kuwainua
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@sundayngenzi1848
@sundayngenzi1848 Жыл бұрын
Teacher naelewa unacho kifanya upo serious stay blessed.
@rombomoja1250
@rombomoja1250 2 жыл бұрын
Nimechoka kua CHINI ee Mungu maadui wanafuhi asante Vailethi barikiwa
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@rahemachirundo8120
@rahemachirundo8120 Жыл бұрын
Huu wimbo umenbariki Sana mungu awatie nguvu hawa aimbaji
@adisaayuma9522
@adisaayuma9522 3 жыл бұрын
Like za wakenya ziko wapi,, Mungu wetu usinyamaze...
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Hakika asinyamaze kwetu
@mauriceokelo8272
@mauriceokelo8272 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ,Mungu azidi kukuinua,,nimebarikiwa
@adisaayuma9522
@adisaayuma9522 3 жыл бұрын
@@mauriceokelo8272 Mungu wetu nimwaminifu.
@maryodindo1029
@maryodindo1029 3 жыл бұрын
So much blessed ilove u Martha u natured many from 🇰🇪🇰🇪
@rimepeter789
@rimepeter789 3 жыл бұрын
Amen
@samwelsimon4800
@samwelsimon4800 Жыл бұрын
Nakupenda xna huu wimbo
@jescacharles569
@jescacharles569 2 жыл бұрын
Kweli MUNGU ucnyamaze tafadhari BABA angu nikumbuke
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amina
@vailethmagwisha4071
@vailethmagwisha4071 2 жыл бұрын
Kaz nzuuur watumishi MUNGU awaweke viwango vya juu zaidi,, nabarkiwa na nyimbo zenu😍😍😍🙏🙏
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Shukrani sana
@josephinemwambe3385
@josephinemwambe3385 2 жыл бұрын
Huu wimbo waniguza Sana... Barikiweni Sana dada zangu... Wacha mungu wa Daniel na David asinyamaze🙏🙏🙏🙏🇰🇪
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 2 жыл бұрын
Amen
@matridakilumile2588
@matridakilumile2588 Жыл бұрын
VAIETH usisuke ukinyoa unapendeza zaidi wangu
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo Жыл бұрын
Shukrani
@heavenkingdom6025
@heavenkingdom6025 3 жыл бұрын
naona mmekutana watu wangu wa nguvu nawakuri sana nyinyi Mungu awabariki sana
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amina mpendwa wangu barikiwa pia
@givangilead2880
@givangilead2880 Жыл бұрын
The only area i salute Tanzanians. God bless Mwaipaja.
@mwakipundahenry5235
@mwakipundahenry5235 3 жыл бұрын
"Naomba usinyamaze, adui ni wengi, vita vikali peke yangu siwezi, niliowaita wamenyamaza, MUNGU wa Daniel, ........" Mmejua kunibariki nyie wadada. Ujumbe konki, Rangi konki, Location konki, Chemistry konki, Ndaga mwimbile mwe bhana umwee.
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Ndagha fijo Kaka gwangu Usajigwege
@gracecakes2534
@gracecakes2534 3 жыл бұрын
Usinyamaze baba nimechoka kusononeka
@gloriarimba4080
@gloriarimba4080 9 ай бұрын
Nakuomba baba usinyamanze vita ni vingi sana..bila wewe siwezi..ooh baba nitie nguvu🙏😭🎉🎉🎉
@kerrycarol
@kerrycarol 3 жыл бұрын
Woow.usinyamaze yesu.wimbo mtamu.jamani Martha Mungu akuinue umeinua mioyo ya wengi
@vailethmwaisumo
@vailethmwaisumo 3 жыл бұрын
Amen
Martha Mwaipaja - Muhukumu wa haki (Official Music Video)
7:07
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 3,7 МЛН
OMG😳 #tiktok #shorts #potapova_blog
00:58
Potapova_blog
Рет қаралды 4,3 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
Я нашел кто меня пранкует!
00:51
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
Vaileth Mwaisumo - Atafanya Njia ( Official Video) SMS SKIZA 8089705 to 811
7:40
BAABA NATAMANI NIKUONE, NISEME NINI BABA AND WEWE NI BABA MWEMA KWANGU
26:31
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 1,6 МЛН
Vaileth Mwaisumo - Vita si Yangu (Official Music Video)Skiza *860*287#
4:42
Dj James Presents Martha Mwaipaja Mixtape Volume Two (Audio Link 👇)
1:23:28
Dj James The Rockstar ⭐ TV
Рет қаралды 725 М.
SARAH ADAM ft MARTHA MWAIPAJA-BABA UNANIPENDA Official Video
6:16
Sarah Adam
Рет қаралды 3,5 МЛН
Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
9:14
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 4,9 МЛН
Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe (Official Video)
7:39
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 19 МЛН
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 5 МЛН
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 6 МЛН
Iliyas Kabdyray ft. Amre - Армандадым
2:41
Amre Official
Рет қаралды 495 М.
Say mo & QAISAR & ESKARA ЖАҢА ХИТ
2:23
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 1,2 МЛН
LISA - ROCKSTAR (Official Music Video)
2:48
LLOUD Official
Рет қаралды 84 МЛН
Zattybek & ESKARA ЖАҢА ХИТ 2024
2:03
Ескара Бейбітов
Рет қаралды 143 М.