Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)

  Рет қаралды 5,660,256

Martha Mwaipaja

Martha Mwaipaja

Күн бұрын

kuna kesho Imepangwa.na Mungu kwa Ajili yako Usikate Tamaa na Mazingira ya Sasa Kesho yako inakuja Barikiwa na Wimbo huu #marthamwaipaja#Naionakesho#OfficalVideo

Пікірлер: 1 300
@christaineza3925
@christaineza3925 Жыл бұрын
Naiona kesho yenye ushindi maaaana Mungu ananipeleka mahali napostahili🙌🙌
@AdelaPetlo-f2m
@AdelaPetlo-f2m Ай бұрын
🙏🙏❤
@yuppiesam3955
@yuppiesam3955 3 ай бұрын
Neema ya kumalizia mwaka 2024 karibu sana 2025 Kesho yetu🙏🙏🙏
@ohiobigback
@ohiobigback 5 күн бұрын
Wd
@PeterkenyaOfficial
@PeterkenyaOfficial 3 жыл бұрын
Naiona Kesho Mimi iliyopangwa na Mungu🙏🙏 Whoever is reading this wacha Mungu akaibariki kesho yakoo🙌🙌 +254🤝❤️
@nusramunini9650
@nusramunini9650 3 жыл бұрын
AMEEN pia nawe
@solomonweru9556
@solomonweru9556 2 жыл бұрын
Amen
@joanawino5717
@joanawino5717 2 жыл бұрын
Amen
@juliusmugode5169
@juliusmugode5169 2 жыл бұрын
Amen
@mnoi6748
@mnoi6748 2 жыл бұрын
Amen.
@nancybogita1884
@nancybogita1884 11 ай бұрын
The worst l am in this moment 😢😢 naomba Mungu anigeuziw kesho yangu iwe ...ya uzuri
@dorcasdinnah9723
@dorcasdinnah9723 2 жыл бұрын
Naiona kesho iliyopangwa na mungu, binadamu will judge you na waseme umeisha lakini God knows your tomorrow. just trust the process.. i believe it shall be joyous ahead.
@nancycheptanui6982
@nancycheptanui6982 2 жыл бұрын
The darkness is not falling forever the sun will rise again hallelujah ,God is working for your tomorrow wapi like ya Martha wapendwa.
@annaotondo6682
@annaotondo6682 Жыл бұрын
I remember this song 2020 l work as house manager l cry every day with this song but know l thank God for know am happy
@LydiaDidas
@LydiaDidas 22 күн бұрын
Huu wimbo umenijenga sana barikiwa sana mtumishi
@moderatorempress4752
@moderatorempress4752 Жыл бұрын
May my tomorrow be beautiful, am blessed
@benedictotieno-rn2gq
@benedictotieno-rn2gq Жыл бұрын
This song reminds me the challenges I passed through,by then I was form four forsaken by my relatives and friends , I became homeless and no one accepted me when I needed there support. I thank God for the favour I found by uniting me with one of my classmate who took me to their home and her mother treated us equally , finally I passed my exam now am a student of Taita taveta university glory be to God.
@lydianyachama2286
@lydianyachama2286 Жыл бұрын
Grory to God 🙏🙏
@francismutinda7386
@francismutinda7386 Жыл бұрын
Take heart dear
@proviaprojectus7350
@proviaprojectus7350 Жыл бұрын
Hallelujah 😊🙏
@ephyotieno9068
@ephyotieno9068 Жыл бұрын
Amen
@YudaChristian-fy9oz
@YudaChristian-fy9oz Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤
@lilianowti5477
@lilianowti5477 Жыл бұрын
Nani anarudiarudia huu wimbo kama Mimi hapa hadi nakuwa emotional.
@Classics4132
@Classics4132 Жыл бұрын
This song blessed me every? morning and evening always on replay can't seem to get enough of it ❤
@EdithMutua-m4t
@EdithMutua-m4t 3 ай бұрын
We are sailing in one boat
@BarackOtieno-ws4qw
@BarackOtieno-ws4qw 11 ай бұрын
Usitazame nyuma mwezangu mungu ako nasi❤😊
@BarackOtieno-ws4qw
@BarackOtieno-ws4qw 11 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu, kwa hiyo wimbo, my favourite song, I really love it ❤
@iddyomary6512
@iddyomary6512 2 жыл бұрын
Mama Umeimba Nyimbo nzuri Sana Inanifanya nisikate Tamaa Katika Maisha Mungu Akupe Moyo mziri kwa kila mtu
@yvonnejoyce
@yvonnejoyce 15 күн бұрын
Amen 🙏 who is here watching with me in 2025 truth be told God is GREAT 🙏🙏
@linetnyamusi8843
@linetnyamusi8843 2 жыл бұрын
Listening to this song at 23:45 pm,tomorrow is a Monday and I'm so broke.No school fees for my kids,I'm hopeless but I believe God is going to open my way.Please God answer me so that I come back and give a testimony.AMEN
@jamesmbogo7186
@jamesmbogo7186 Жыл бұрын
Hope He did 🙏 He's merciful
@loisealukweotwera_ministry6433
@loisealukweotwera_ministry6433 Жыл бұрын
My dear sister if God didn't for me and my family, he shall do it forme
@EnesiaJulias-fr6uj
@EnesiaJulias-fr6uj Жыл бұрын
Pole saaana
@lilianowti5477
@lilianowti5477 11 ай бұрын
I was so hopeless last year coz of 3 kids in high school,I even gave up towards this year's beginning before re-opening of schools,2wks after still had no hopes of taking them back to school.this was my song daily from 3am ,to my surprise ALMIGHTY GOD caught me unaware with school fees for the 3kids and now am rejoicing every moment with this song emotionally for HIS MERCIES,sister hold on to th Lord for your breakthrough, He did for me ,it is your turn receive in Jesus name!
@speciozakaloli
@speciozakaloli 10 ай бұрын
@martinnduati1280
@martinnduati1280 Сағат бұрын
Mungu naomba niione kesho yangu niache kutazama leo kwa maana "you declare the end from the biggining ohh thank you My Master 🙏
@peninahkimeru1979
@peninahkimeru1979 15 күн бұрын
This song reminds me on 2017,😢😢it was just tears,but today am lifted by God...what a great God we serve..
@judithfaustine2861
@judithfaustine2861 3 жыл бұрын
love u so much sisiter unanibarik kwa nyimbo zako nataman siku moja nawe kama wew na nataman nikuone
@damarismuli570
@damarismuli570 2 жыл бұрын
My song during hard time..a song of hope...
@JenipherRabar-ws2kj
@JenipherRabar-ws2kj 4 ай бұрын
Kuna majira yalifika ,,,,nikamjua,,,AMEN
@andrewabuga9567
@andrewabuga9567 2 күн бұрын
I ❤❤❤❤❤ this song.....
@monicwambo434
@monicwambo434 Жыл бұрын
Facing rejection, joblessness and hate may my tommorow be better than my today..God hear my players😢
@phelixokeyo3522
@phelixokeyo3522 9 ай бұрын
God already did it for you
@Nkurunziza-g2n
@Nkurunziza-g2n 4 ай бұрын
Atafanya malango Amen
@Noblynie
@Noblynie Жыл бұрын
I am a Nigerian, I do not understand what the song says but I align my soul and body with it. God is the greatest.
@alexissangali8650
@alexissangali8650 Жыл бұрын
@Ogo Obasi the song is all about seeing new tomorrow, which is full hope, Godly arranged, which will make to forget all pain of the past, today may not be good,full of disappointments, discouraging but 2mor is very brighter
@Noblynie
@Noblynie Жыл бұрын
@@alexissangali8650 thank you very much. Most grateful
@annamulungu2876
@annamulungu2876 6 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha nilipousikia kwa mara ya kwanza nikiwa Chuoni Mzumbe-Morogoro wakati napitia magumu sana!. Sikujua kama kuna siku nitacheka. Namshukuru Mungu kwa huyu Muimbaji Martha....
@annietosh3962
@annietosh3962 2 жыл бұрын
I used to play this song from 2018 when I was working as a nanny to raise my campus fee. I would play it every morning as I took my boss kids to school. Four years as a nanny wasn't a joke. Thankfully, God changed my story. I graduated and got a job and I can hire a nanny if need be. God I'm grateful🙏. Looking forward for more grace
@bobachila7615
@bobachila7615 2 жыл бұрын
I like this staying forcust is what GOD needs from us just keep it my dear sister OUR GOD as never fails.
@kitoo320_soldier
@kitoo320_soldier 2 жыл бұрын
may your God see me through am facing alot that can't be related....oh poor me and my wrecked life 😭😭😭😭😭
@annietosh3962
@annietosh3962 2 жыл бұрын
@@bobachila7615 Amen
@annietosh3962
@annietosh3962 2 жыл бұрын
@@kitoo320_soldier I would like to offer you an ear
@enockbosire6849
@enockbosire6849 2 жыл бұрын
AMEN 🙏
@lawrenceangila7089
@lawrenceangila7089 3 жыл бұрын
This song motivated me during 2020 Covid-19 era when I lost my Job, sold my car and plot at a throw away price to take care of my family. I would listen to the song on my bed the whole day and cry to God. Thanks Martha for this song because now God answered my prayer all I lost are soon coming back.God above all
@jdjdjdjjdjdj180
@jdjdjdjjdjdj180 3 жыл бұрын
May God open more doors 4 u sir in Jesus name.
@christopherisrael8920
@christopherisrael8920 3 жыл бұрын
So sorry dear Angila, Life,life life,sometimes can be very cruel.I am happy you have kept the faith and together with you,I thank God in every situation. He will return all that you lost brother,at least He kept you and your family.
@josepholum346
@josepholum346 2 жыл бұрын
Ooh pole ndugu utabarikiwa kwa jina la yesu kristo
@moraaednah7453
@moraaednah7453 2 жыл бұрын
Amen...may God see you through
@ismaelleloon4528
@ismaelleloon4528 2 жыл бұрын
Stay strong...
@Mr.KoechBlessed
@Mr.KoechBlessed 4 ай бұрын
Hope one day when I will come back to this section I will be greatfull🤗🤗 For what Lord has done for me
@bassasamuel9281
@bassasamuel9281 3 жыл бұрын
Akuna sauhuti mzuri hii ku Afrique muzima ni moja hii Mungu akubariki Mama 💃🙌🇨🇩🇨🇩
@DavidTalanga
@DavidTalanga Жыл бұрын
I love the song so much,I used to listen to it at night while on duty as a watchman,Ione day I made a prayer that God give me a new job,today I am a supervisor at a real estate
@adisamwanzi9019
@adisamwanzi9019 Жыл бұрын
Glory to God🙏
@jadie-jk9tj
@jadie-jk9tj Жыл бұрын
Glory to God
@edwardotieno2713
@edwardotieno2713 10 ай бұрын
Glory be to God
@paulinemutunga7906
@paulinemutunga7906 10 ай бұрын
Amen
@geoffreyokwemba7876
@geoffreyokwemba7876 6 ай бұрын
Wow🎉🎉🎉 Amen🙏❤️
@Smodestar
@Smodestar 3 жыл бұрын
Team Gulf wezangu this is our song. Hatuitazami Leo yetu... 🕺 🕺 Team 🇰🇪 🇰🇪
@ritaocholah8758
@ritaocholah8758 3 жыл бұрын
🇰🇪🙋‍♀️💪❤🙏
@diananadia9528
@diananadia9528 2 жыл бұрын
💪💪💪💪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mrconfidencecypherofficial
@mrconfidencecypherofficial Жыл бұрын
Amen team Gulf acha Mungu atupiganie 🙏🙏🇰🇪🇧🇭
@MadoVan-c9y
@MadoVan-c9y Жыл бұрын
Qqq 4:59 ​@@ritaocholah8758
@nancymathenge1977
@nancymathenge1977 3 ай бұрын
Huu wimbo hunijumbusha mbali nilikotoka,na pia hunipa matumaini ya kesho njema❤️
@lucygichiriri8369
@lucygichiriri8369 3 жыл бұрын
Naomba mungu anipe neema ya kua kama wewe na hata ifike siku niimbe na wewe kwa jina la yesu!nakupenda sana dada🥰🇰🇪
@loisealukwe3348
@loisealukwe3348 2 жыл бұрын
Tutaimba dada
@HappyBeachCoast-we3eq
@HappyBeachCoast-we3eq 9 ай бұрын
5:08 ​@@loisealukwe3348
@kaisikiproduction9710
@kaisikiproduction9710 3 ай бұрын
Pokea🎉
@allyhassan7522
@allyhassan7522 2 жыл бұрын
Hii nyimbo haki ilinifanya nitoe machozi mengi mbele ya mwanaume mwenzangu bila kujizuia.Hakika nililia na uislamu wangu bila Haibu.Leo nimeng'ang'ana humu KZbin kutafuta nyimbo inaitwaje hadi nimeipata.Asante!
@siwemamsesa520
@siwemamsesa520 2 жыл бұрын
Naiona kesho yangu iliyopangwa na Mungu wangu, Be Blessed my lovely Sister
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 Жыл бұрын
Nakuona aunt unaimba kwa furaha kabisa ,unaamini keshoyo itakuwa bora zaidi ,mungu nifanye na mimi kesho yangu iwe nzuri na baraka,Mungu naomba ifanye kesho yangu iwe bora kuliko leo .
@DigitalNews254
@DigitalNews254 2 жыл бұрын
I listened to this song while in a bedsitter and a drunkaholic. Today I have a family and a career.....naiona kesho
@quinterodhiambo1011
@quinterodhiambo1011 4 ай бұрын
Wow 🤗🤗🤗
@robertmwita2522
@robertmwita2522 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni,hakuzidishie uvuvio ktk nyimbo zako,zote na Amina"
@beatricemulama9046
@beatricemulama9046 3 жыл бұрын
Usiitazame Leo yako.your tomorrow must be better than today.watu wa kuvumilia huku tukiomba mungu tupige like.
@ericmunuve4986
@ericmunuve4986 2 жыл бұрын
Vile watu wanavyokuona Leo sivyo utakavyokuwa kesho
@abdalahjuma3047
@abdalahjuma3047 2 жыл бұрын
Akika kesho yetu inakuja
@abdalahjuma3047
@abdalahjuma3047 2 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana dada angu mungu akutunze kwenye huduma hii unatutiya moyo sana
@justinklins335
@justinklins335 2 жыл бұрын
sisi watu watumishi mungu nilazima tupiye mangu njotupate mazuri yetu mungu ametuandaliya
@eunicembesa6140
@eunicembesa6140 2 жыл бұрын
Q1
@sheilaadhiambo2503
@sheilaadhiambo2503 2 жыл бұрын
when i thought the world was swallowing me .Jesus blessed my womb ,gave me a new name jameni Yesu ana weza
@devinahkerubo3100
@devinahkerubo3100 2 жыл бұрын
Amen
@kitoo320_soldier
@kitoo320_soldier 2 жыл бұрын
glory to God
@marwamairabe2282
@marwamairabe2282 2 жыл бұрын
Dada Martha wewe ni mkali zaidi tena sana Mungu awaweke maadui zako wote mbali na wewe songs mbele zaidi
@patriciaaromo59
@patriciaaromo59 3 жыл бұрын
This song gives me a reason to hold on. It is tough but "naiona kesho iliyopangwa na Mungu."
@caleblesayion1157
@caleblesayion1157 3 жыл бұрын
Caleb i love it blessing song
@hadijaabdul8765
@hadijaabdul8765 2 жыл бұрын
Hongera mtumishi
@liliankwamboka2868
@liliankwamboka2868 2 жыл бұрын
He is called God my everything...even if am in problems I know tat God is fulfilling my life...forever I lyk this song it always motivates me in which ever situation am in🙏🙏🙏🙏💯
@liliankwamboka2868
@liliankwamboka2868 2 жыл бұрын
Kwa kwel Mungu ni wa maajabu sana🙏🙏He can remove you from zero to hero
@EdwinBor-u9u
@EdwinBor-u9u 8 күн бұрын
Nakupenda xan damartha unani bariki xan
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Ай бұрын
Ninachompendea Martha Mwaipaja anamuimbia Mungu na siyo Yesu. Kila mstari katika nyimbo zake huwa anamtaja Mungu tu siyo kama wengine wanamtukuza Yesu kuliko Mungu mwenyew. Hii inamfanya nyimbo zake zipendwe hata na watu wasio wakristo ambao wanaamini katika Mungu mmoja pia. Nyimbo nyingi za gospel ni nzuri sana lkn wanamsifu Yesu tu na siyo Mungu baba mwenyew. Wanasahau kwamba huyo Yesu kaumbwa na Mungu hivyo kuna mwenye nguvu na uwezo zaid ya huyo Yesu wanayemtukuza kila wakati.
@yunaisamidd7587
@yunaisamidd7587 Ай бұрын
Kwel mimi ni muislam lakin na mpenda kwel❤
@PhyllisWambua-l6m
@PhyllisWambua-l6m Ай бұрын
Kuna Mungu Jeova nakuna miungu so tofautisha wanaomtaja Yesu wanamwimbia Mungu bt waiomtaja Yesu kuna masharti Fulani wanafata
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Ай бұрын
@PhyllisWambua-l6m mtazamo wako huo sikupingi.
@wandiamuema8950
@wandiamuema8950 Ай бұрын
Asante, ukweli ni kwamba Yesu tu ndiye Njia tuliopewa na Mungu..Mungu baba alimtuma Yesu aturejeshe sote kwa ufalme wake
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 Ай бұрын
@@wandiamuema8950 tusali, tuimbe na tumtukuze Mungu na siyo Yesu bcoz Yesu ni mjumbe tu aliyeletwa na Mungu kuja kuyasema na kuyatenda yale aliyoelekezwa na Mungu so sifa na utukufu wote uende kwa Mungu na siyo Yesu. Mbinguni kiti cha enzi ni kimoja tu so tumtukuze yule mmoja anayekalia kiti cha enzi na si mwingine yeyote yule. Inanishangaza kuona sehemu nyingi anatajwa na kutukuzwa Yesu na kumwacha Mungu mwenyewe. NB: Katu sikio haliwezi kuzidi kichwa so Mungu atabaki kuwa Mungu na Yesu ni mtu aliyekuja kusambaza ujumbe wa Mungu tu hivyo asitukuzwe Yesu kuliko Mungu.
@kenmutua1261
@kenmutua1261 Жыл бұрын
Hii wimbo unikumbusha venye nlikuwa nmefika mwisho lakini mungu akatenda kabla ya wanadamu kutenda
@gabrielygodfrey7815
@gabrielygodfrey7815 3 жыл бұрын
"Naitafakari Leo yangu Huu wimbo unanipa picha ya kesho yangu ni Suala la Mda tu" Amina sana
@janetkuvuna2348
@janetkuvuna2348 4 ай бұрын
Atleast roho inatulia nikiskiza hii naona Kesho yangu
@estheragiza161
@estheragiza161 3 жыл бұрын
For those who are passing alot just start singing this song everyday GOD will make you to make it,this is my song I have been listening to with faith and GOD has done for me
@mudengeerneste1075
@mudengeerneste1075 3 жыл бұрын
As ante
@swesschao3095
@swesschao3095 3 жыл бұрын
Wooooow AMEEEEEN!!!!
@lyne4542
@lyne4542 3 жыл бұрын
Amen
@wickliffnchore78
@wickliffnchore78 3 жыл бұрын
Amen Esther
@pascallaboso8747
@pascallaboso8747 3 жыл бұрын
True
@lemsimwelamuvi763
@lemsimwelamuvi763 2 ай бұрын
❤❤🎉nyimbo yangu pendwa sana kila napokanyaga kazini Asubuhi inanipa nguvu na kuamini kua mda bado upo wakati wangu wa kufulahia unakuja mbele ❤❤🎉😊
@joyicefaith9326
@joyicefaith9326 Жыл бұрын
Watching from Saudi Arabia 2023 but a Ugandan for sure it's only God who fights all our enemies,b blessed sister for this nice song
@marwamairabe2282
@marwamairabe2282 2 жыл бұрын
Dada Martha Mwaipaja naomba uje mkoa wa Mara wiliya Rorya upige shooo jamani
@JosephJuma-n7m
@JosephJuma-n7m Жыл бұрын
Lakini martha natamani sana kusikia wimbo mpya wakati ❤ tupo kwenye maandalizi ya❤ kuingia b mwaka mpya wa 2024
@DenisOtondi-zc5fy
@DenisOtondi-zc5fy 10 ай бұрын
Mungu fariji moyo wangu kwa magumu ninayona
@annabellemumbi9100
@annabellemumbi9100 2 ай бұрын
I shall graduate next year, in Jesus name 🙏
@irinenaipanoi1977
@irinenaipanoi1977 18 күн бұрын
This song reminds me the year 2023 be addimitted at Kenyatta hospital undergoing 3 surgery sheading tears day and night without help being forsaken but God safe me 🙏🙏🙏I'm now very strong and healthy God is great 🙏🙏 naiona kesho yangu
@KaboyeRonald
@KaboyeRonald 2 жыл бұрын
I don't know Swahil, but this song speaks a million words, and from the time I got it from a stranger in East Africa, UpTo now, it's a song that draws me to God and I believe it's a miracle song
@carolinegithua543
@carolinegithua543 Жыл бұрын
It's says that tomorrow is planned by God
@serelifestyle3713
@serelifestyle3713 Жыл бұрын
a better tomorrow from the lord@@carolinegithua543
@elizabethmahenge2231
@elizabethmahenge2231 3 ай бұрын
is a miracle song because it says about your tomorrow which God has created for you will come true! Believe on respectful, blessed, etc that comes to you
@jimmykanzi
@jimmykanzi 11 ай бұрын
A great song Usihukumu kesho yako kulingana na leo yako kuna Mungu mngeuza kesho
@valentinnerngaoh3558
@valentinnerngaoh3558 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kipenz mwenyezi Mungu akubariki
@car-rein4908
@car-rein4908 3 жыл бұрын
Katika maisha kuna majaribu hata machungu but the way out is to tell God here I am take over... Nione kesho uliyoipanga Jehovah.
@winnieamanya1550
@winnieamanya1550 3 жыл бұрын
Baba nifanyie wepesi... Nichunge salama babangu maana we ndio unaejua kesho yangu 😭😭
@leoniasamwel6387
@leoniasamwel6387 3 жыл бұрын
Huu wimb kipindi umetok ulikuwa ni chakula chngu na kwel nimeiona kesho yangu bad Kuna kesho yng nyingine
@terrymutua
@terrymutua Жыл бұрын
As people are giving out their testimonies,am soon coming back with a testimony in the name of Jesus Christ 🙏 🙏 Naiona kesho iliyopangwa na Mungu 🙏
@CharlesJohn-m6w
@CharlesJohn-m6w Жыл бұрын
Mungu nimwema
@filemonmwampulotz1643
@filemonmwampulotz1643 3 жыл бұрын
Hatar na nusu ... Barikiwa sana Dada kwa kazi nzur
@bensonrigo9618
@bensonrigo9618 2 жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki Dada Martha. Mwenyezi Mungu azidi kuinua kwa huduma hii unayoifanya. Mungu wa mbinguni atakufungulia milango.
@wamsufitness3217
@wamsufitness3217 11 ай бұрын
Amen Japo sioni mlango mwenzenu baba atatengeneza amesema ❤🙏
@joycerobert6967
@joycerobert6967 3 жыл бұрын
Martha jina la mama yangu..nakupenda dada kwa uinjilishaji wako Mungu..pia unapenda sikokinko Kama mm japo m marefuu 🤭🤭🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️
@gracewahito
@gracewahito 5 ай бұрын
Hili ni jibu la swali nikitazama leo yangu 😢.Moyo wangu muamini Mungu 😊
@GraceldaMafusa-uw9cj
@GraceldaMafusa-uw9cj 2 ай бұрын
2025 will be year of transformation in the mighyty name of Jesus.
@lavineanyango455
@lavineanyango455 2 ай бұрын
Kesho ya ushindi iliyo pangwa na Baba🤲🤲
@MilkaAdhiambo-wq2dn
@MilkaAdhiambo-wq2dn 3 ай бұрын
A very encouraging song Kesho utakuwa njema kuliko lea .My tomorrow will be better than today .Asente Sana
@Ben.dot.K
@Ben.dot.K 2 жыл бұрын
For someone facing rejection,joblessness,this is my song😭,Mungu fanya kesho yangu iwe nyepesi🙏🏿
@tiffanykisiero7112
@tiffanykisiero7112 2 жыл бұрын
Amen!
@RamathaniManyanya
@RamathaniManyanya Жыл бұрын
Wachwi
@gladnesswanjala-xx3bp
@gladnesswanjala-xx3bp 4 ай бұрын
Amen
@ity510
@ity510 8 ай бұрын
My favorite song, may the lord guide you ninaposikiza huu wimbo roho inatulia but naamini ipo siku🙏🙏🙏
@winniek.8855
@winniek.8855 3 жыл бұрын
Namwamini Yesu kwa kesho yangu. Ubarikiwe dada Martha na Mungu azidi kukutumia
@justusomori6828
@justusomori6828 Жыл бұрын
Powerful message hayo ndio tunayopitia palikiwa sana dada mambo yanaingia kabisa
@HenryChenya
@HenryChenya 11 ай бұрын
Be blessed mama anice song touches many
@everlineoloo3123
@everlineoloo3123 3 жыл бұрын
I love you so much siz , zidi kufanya KAZI ya Bwana ,
@julianamakokha2757
@julianamakokha2757 8 ай бұрын
19/5/2024..3:41am 😢😢 crying like a baby coz this is too much for me😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@MaryMackori
@MaryMackori Жыл бұрын
Am coming back here after A Year...I see Myself working for a prestigious International Organization ,I see myself married and Pregnant 🤰.Amen.Naiona Kesho Yenye Utukufu Na Baraka Tele.Amen
@joelbore4941
@joelbore4941 Жыл бұрын
Exactly,may God grant your requests if not
@astonmnguruta3500
@astonmnguruta3500 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana kwa uimbaji wako mzri Sana mungu awe na we milele
@georgeskenyacomedian2348
@georgeskenyacomedian2348 3 жыл бұрын
Halleluyaaaaah this is my song,nakumbuka ule wakati nikipitia hali ngumu I used to listen to this song na bado nauskiza and it's my ringtone tune, ubarikiwe sana dada Mwaipaja 👏👏👏
@fatumamohammed9964
@fatumamohammed9964 3 жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa nasikiliza nikiw na amani teleeee
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 3 жыл бұрын
Asante dadangu kwa kunifsrji
@JmarieNahumuremyi
@JmarieNahumuremyi 2 ай бұрын
Asante kwa hivyo,mungu ni mwamba tu,ulikuwa umedupigania,endelee paka viwango vya juu
@pendolema2845
@pendolema2845 3 жыл бұрын
Naiona kesho huwa inanitoa machozi sana, God bless you dada Martha
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Bonge la ngoma bonge la video bonge la idea bonge la mama
@anselmnwakuna8432
@anselmnwakuna8432 Жыл бұрын
This is a song of hope and victorious one. When I was doing my PhD project and it seemed it impossible at the end but God gave me strength and every ended in praises. My tomorrow will be blessed always.
@swernymumba2834
@swernymumba2834 Жыл бұрын
Amen
@sylvesterodiero
@sylvesterodiero Жыл бұрын
amen yaani nabarikiwa sana .. hakika naiona kesho yangu mungu anatenda mazuri
@rukiamkumbwa
@rukiamkumbwa Жыл бұрын
Naiona kesho yangu iliyopangwa na baba sitaki kuitaza leo yangu 😢😢
@SOPHIAAMBIYO
@SOPHIAAMBIYO Жыл бұрын
itazame vizuri sna kna😂
@RehemaAli-z6g
@RehemaAli-z6g Жыл бұрын
Iyo nyimbo yanikumbusha mbali sana dada uko vizuri mungu akuzidishie mungu nataka kuona kesho yangu
@petroemanuel3226
@petroemanuel3226 3 жыл бұрын
Mungu akutangulie kwenye huduma yako Dada martha
@MusombeDaina
@MusombeDaina 2 ай бұрын
Thank you very much for your song God bless you Amen
@rehemamikidadi4771
@rehemamikidadi4771 Жыл бұрын
I still believe on my tomorrow, that it will be more than i expect. In JESUS NAME.. AMEN
@kadunawewe7248
@kadunawewe7248 3 жыл бұрын
Ameen naiona kesho yangu ubarikiwe mtu.wa mungu
@stephenchege3042
@stephenchege3042 7 ай бұрын
My tomorrow must be brighter than my today in Jesus mighty name.
@irenefavorcontessa7613
@irenefavorcontessa7613 2 ай бұрын
Back 2017 when i had no job no nothing but God came through for me,kesho ndio hii.I used to listen to this song and I can a test that God lives.
@moselydiah2408
@moselydiah2408 2 жыл бұрын
At one point in my life, I was so lost. This was among my best songs. Later on, all I had prayed for was answered. Whatever you go through, there is always an answer. The life that you live now, is one of your answered prayers, always keep this is mind. God bless you and uplift you in everything.
@cynthiaawuor-bk8eg
@cynthiaawuor-bk8eg Жыл бұрын
Amen n Amen
@kathyluzubu4602
@kathyluzubu4602 Жыл бұрын
Les paroles de la chanson
@valaryakinyi4129
@valaryakinyi4129 Жыл бұрын
amen
@WatsonMbomba
@WatsonMbomba Жыл бұрын
Exactly,,,,,,GOD is a faithful God
@SOHANSINGH-zt1ue
@SOHANSINGH-zt1ue Жыл бұрын
POWERFUL
@MohamedAlly-h4u
@MohamedAlly-h4u Ай бұрын
Ila Martha kipaji anacho jamani...hayo mambo mengine ni yeye na mungu wake kwani mkamilifu hakuna duniani. Mungu ampe maisha marefu dada yetu
@mulongocommunications7468
@mulongocommunications7468 3 жыл бұрын
I liked listening this song 3yrs ago to give hope to some point. And apparently kesho yangu imebadilika na itazidi kung'aa
@selinanguku
@selinanguku Жыл бұрын
Naina.kesho.yangu.mungu.hawai.wala.hachelewi.eemungu.naomba.unisaidie,🙏
@nelithamimwani4516
@nelithamimwani4516 3 жыл бұрын
Hakika nabarikiwa sana na nyimbo zako MUNGU azidi kukutumia kwa viwango vya juuu sana🙏🙏
@sheilacherotich6017
@sheilacherotich6017 2 жыл бұрын
Were it not for this song i would have been dead. Thank God it came at the right time. And it was God who did this through this wornderfull singer martha..more grace martha.
@maureenatieno007
@maureenatieno007 3 жыл бұрын
Kama unajua life story ya Martha then wajua the importance of this song to her. Powerful.
@kimnanjala9671
@kimnanjala9671 2 жыл бұрын
What's her life story in brief. Kindly
Martha Mwaipaja  - OMBI LANGU KWA MUNGU (Officia Video)
9:11
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 1,3 МЛН
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe (Official Video)
7:39
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 21 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 786 М.
UKIONA MWANAUME UNAMTEGEMEA MWANAMKE  KWA KILA KITU HUNA AKILI "PASTOR MGOGO
19:14
Sarah Magesa -  NIMEBAKI NA WEWE (Official Video) HD
8:46
Sarah Magesa
Рет қаралды 10 МЛН
William Yilima-Hii siyo ndoto yangu {Official Video HD}
8:50
Muhubiri Production
Рет қаралды 21 МЛН
Martha Mwaipaja- NIFUNDISHE KUNYAMAZA (Official Video)
9:46
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 6 МЛН
Swahili Worship Gospel Mix | Best Nonstop Swahili Worship songs Video Mix 2024
1:02:44