Рет қаралды 119,931
Duniani kuna vingi vya kuvunja moyo na kukatisha tamaa lakini lipo Tumaini ukimtazama YESU. Wimbo huu ukukumbushe kuwa hata ukifika mwisho kibinadamu ukimwita MUNGU, ukimtegemea MUNGU ukimtazama MUNGU hakika utavuka kwenye pito lako maana MUNGU wetu hashindwi na anaweza yote. #VailethMwaisumo #Niangalie #Usilie.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital