I am a Nigerian and though I don't understand you dialete yet, I enjoy your praise and worship that's spirit inspired. Keep up brethren in the vineyard of the most high, it is well with you in Jesus Name. Amen.
@alexchebwao650511 ай бұрын
Papi na Dorcas, mungu awabariki sana. Nyimbo hizi ni za uponyaji.
@JohnKiwarii-r3l12 күн бұрын
Roho wa mungu huingia ndaani zetu anakulete kwa hizi nyimbo unamsifu mungu adi anapatwa na usingizi akiwa kwa kiti cha enzi naye anatumbariki
@DesixBusoga6 ай бұрын
Nimebarikiwa sana kupitiya nyimbo hizi. Mungu awabariki.
@UwimanaBeatrice-y2sАй бұрын
❤
@EdinaChrispin10 ай бұрын
Mungu awabariki watoto wa mungu kwa sauti mmebarikiwa mno.
@JacintaKhaombi-t9y2 ай бұрын
Am totally much happier and blessed Mbarikiwe zaidi AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
@PeshoRamazani19 күн бұрын
Mungu wa BaBa wetu Yesu kristo Atubariki saana na zaidi kupitia izi nyimbo za wokovu
@RaymondBizimana-u7t11 күн бұрын
Asante sana kwakutuburudisha na nyimbo za uokovu mwebale mwebalile dala
@MarthaGreen-q5k10 ай бұрын
Hizi zinanijaza sana.Mungu azidi kuwabariki.Amen Amen
@IsaacJoseph-h1u10 ай бұрын
Kila inaitwa Leo Mwaka huu wa 2024 huku Zambia nikisikiza hizi nyimbo najiskia kama nimepanda MLIMANI. ASANTE SANA Kwa ninyi mliojitolea kufurahisha Nyoyo Zetu. Mubarikiwe SANA nyote !!!
@BernardChamare10 ай бұрын
Nawapenda sana nyimbo zenu nzur sana baraka vipaji vizidi kukua kila siku
@janewairimu8 күн бұрын
These songs can relieve ones burdens..be blessed
@omondijackline6307 Жыл бұрын
Hallelujah baraka tele Neema zaidi ni ombi langu kwenu 2024 you always bless my Heart Soul n Spirit 🙏May the Almighty God bless you both ❤❤❤❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@jeannettenyirasafari749 Жыл бұрын
Mungu awajaze Neema ,upendo na Nguvu zake , Anastahili kuabudiwa Tena abaliki kazi za mikono yenu ,tunawatakia mwaka mpya wa Amani kwenu na familia zenu ! Nawapenda sana watumishi wa mungu ❤❤❤❤ more blessings our God father bless your steps abundantly nukuri I can't express my feelings to your songs !❤❤
@MARYNJERI-s6l11 ай бұрын
What a blessing you have been to my life of salvation.The Lord bless you abundantly and keep you in the paths of righteousness..How do I download your songs please?
@PatriciaSidi-c4w26 күн бұрын
Barikiweni sana kw nyimbo z kumutukuza Mungu wetu aliye hai, tunaburudika sana, Mungu azidi kuwapingania nyote na Mzidi kusonga mbele na Mungu azidi na zaidi, wkenya tunawapenda sana kw nyimbo zenu tamu za kiroho zinatuinua sana barikiweni sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉❤❤❤
@JoyJoyce-ts1wk Жыл бұрын
Thank you for kiswahili collection God bless you
@mabakodesire209210 ай бұрын
Najazwa sana, mwenyezi Mungu azidi ku habudiwa na ili kundi la wa himbaji wa barikiwe Amen
@phaloneloumbou42819 ай бұрын
Belle chanson ❤❤je ne comprends pas mais je loue mon créateur Merci seigneur et merci à vous mes frères de nous bénir ❤❤
@christinehabiba930610 ай бұрын
Que Dieu vous bénisse abondamment, même sans comprendre la langue ces chants me connecte directement au Saint Esprit et je suis bercée par la présence de Dieu❤.
@egbertcharles Жыл бұрын
Thank you for uploading my best songs in on link. God Bless you all and Happy New Year to You all "Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist". Nawasikiliza Kutokea China but am From Tanzania.
@OlesoitEnoch-mq8ln10 ай бұрын
Among the christian gospel singers, this is among the best songs with much anointing. I don't like this so-called modern songs which can't take me to prayer and tears to God. I just feel the spirit of God moving. Oh, hallelujah 🙏
@RuthMakena-w8z2 ай бұрын
Smuimbe kama mnaandika tushangilie sote,nyimbo tamu kweli ❤❤❤❤
@evayego67809 ай бұрын
powerfull worships songs heart toughing and uplifting
@RevHuru9 ай бұрын
Nyimbo za wokovu. Nabarikiwa nazo kweli. Roho aliwapitikia mkitunga hizi. Mbarikiwe zaidi
@LaureanMarwa9 ай бұрын
I truely enjoying your God blessing songs. God bless you all.
@sadickchuwa57847 ай бұрын
ni nyimbo zinazonifanya nalia sana mbele za bwana zinanipa sana amani ya moyo na kutambua nini kusudi la mungu juu yetu wanadamu hapa dunian
@JulienneMukembanyi-gn4ob7 ай бұрын
Ni hivyo kweli.Bwana Yesu apewe sifa zote milele
@NehemieZongwe6 ай бұрын
Merci mon Dieu pr c cantique je suis fortifié je suis a Kinshasa en mission d'évangélisation ...je viens de prendre la force pr l'éternité ... gloire au seigneur Jésus Christ
@RODAHRodah-y7s23 күн бұрын
Jamani huwa nabarikiwa Sana nahizi nyinbo kiukweki
@Patience76311 ай бұрын
Hongarani watumisha wa MUNGU kweli hii muliitwa na MUNGU kwa huduma ya uimbajiii nyimbo hizi hunitoa kwali tofauti ninapo sikia
@henrimutelo4 ай бұрын
Que mon Dieu vous bénisse , je suis vraiment béni par ces cantiques , et même fortifié chaque fois que j'écoute ça. ça me rend conscient de mon identité d'enfant de Dieu.
@GeofreyNdungu-wt3qo10 ай бұрын
good gospel song . congratulations dear brothers and sisters
Nimebarikiwa sana na nyimbo hizi. Mungu awabariki na aendelee kuwalinda. Nina rafiki yangu yupo Zambia anawafatilia sana,na anabarikiwa sana na nyimbo zenu japo kuwa hafahamu kiswahili ila namsaidia kutafsiri na kuimba pia hadi sasa anaimba vizuri na kuelewa vizuri. Yote kwa yote Mungu akujalie nguvu na afya ili muendelee kumtumikia na kutangaza jina lake. Amen .
@VitarMunyentwali-u6j Жыл бұрын
Nawapenda Sana kutoka Yaoundé Cameroun.
@carolynesore43449 ай бұрын
Good one, my favourite is the first song, God bless you trio🙏🙏
@MelissaOngayo-r7u3 ай бұрын
Nyimbo zenu zina nibariki Sana,Sana zina nijaza sana
@BagayaMitima6 ай бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki. Maana izi ndizo nyimbo zinaoleta uwepo wa roho mtakatifu.
@fridolinumba-b3h4 ай бұрын
Amen,mubarikiwe vile vile,aksanti
@AsumaniOmari-x9j24 күн бұрын
Ni asili yangu kuhimba nyimbo hizi za wokovu kabla ya kulala , usiku wa manane, na asubuhii mapema kabla ya kuanza shughuli zangu. Baraka nimewai kupokea hadi sasa ni pamoja na mafanikio( ya haraka) kitika mipango yangu ya maisha, watoto wangu kujenga urafiki na Mungu, kupona ajali za ghari mara mbili, na kuhishi bila kusononeka uku nihisi kuwa karibu na Mungu. Natoa shukrani hizi nikiwa jimbo la Illinois, Marekani. Natamani siku moja ningeongea na kiongozi wa kundi hili: Papi Clever!
@CelestineJeptoo-jw4jj Жыл бұрын
Happy new year ,Papi Clever,Dorcas and Merci. May the LORD, bless your songs always, Shalom, from Kenya
@suorsalvinamakonde10 ай бұрын
mko Vizuri sana. sasa kuweni macho Mungu huangalia mwisho wa mtu siyo mwanzo. endeleeni kusimama na Mungu. huo uwepo tunataka baada ya 5 Years tuukute. barikiweni sana. nini Siri ya Mafanikio yenu? Safi sana
@OmarySagara-j2hАй бұрын
Mungu awabariki saaana amejua kuwatumi veema ,musimwache mungu mkaendele kuwa baraka kwetu
@emmachauvet982711 ай бұрын
Amen 💖 balikiwa sana nawapenda kutoka France
@esronniyonkuru168511 ай бұрын
I swear, muri abantu banje! Uno musi wa 25/01/2024 munkoreye umusi
@godfreywanjala-fh7xx Жыл бұрын
Amen you know why your born in Kenya munawariki wakenya wengi sana.
@NakayeAgnes-l8d6 ай бұрын
My God bless you guys we really appreciate you and love your songs 🥰🥰 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@marcmuteba429613 сағат бұрын
Je suis vraiment très heureux de sentir Au fond de moi, une paix paisible depuis que j'ai écouté cette belle arrangement musicale, que Dieu vous bénisse !
@Joycemarina-i2f6 ай бұрын
Bwana wetu Yesu Kristo awape mwisho mzuri katika maisha yenyu hapa ulimwenguni
@MoiseIgirimbabazi10 ай бұрын
Munatumbariki zaidi asante sans
@maombieloheeka9778 Жыл бұрын
What playlist,God bless you servant of God
@josepholenga80204 ай бұрын
Trio "CLEDOMER", Une grande bénédiction pour le Corps de Christ.
@estherokanga905910 ай бұрын
What ablessing ..umeinua imani yangu kwa kiwango ya juu,more mercy
@LeonieKabezya6 ай бұрын
Amina Amina sifa kwake Baba mungu asante sahna mungu kwa uhuh kuuu nehema zake ziongeezeke kumaicha yangu❤❤❤❤❤
@FetyAbeid5 ай бұрын
Mungu awabariki sana Kwa nyimbo hizi za wokovu Yani ninaposikiliza Yani nafurahi nakujua siku moja nitafika Kwa baba yngu yesu anisadie pamoja nanyi tufike mbinguni mbarakiwe sana ndugu zangu
@japhetchristian4 ай бұрын
Nime ridhika kupitiya nyimbo hizi, mubarikiwe sana,jamani,,
@georgendungu763110 ай бұрын
❤ glory to God Almighty,,,,, inspired
@olivierwitamushingilwa398410 ай бұрын
Que le tout-puissant Dieu du ciel et de la terre Vous bénisse, et vous augmentez temps D'inspiration 🙌🙌👏👏❤️❤️
@SalimaJuma-en8km4 сағат бұрын
Mungu wa mbinguni awabariki sana nimebubu jika kupitiya nyimbo zeno japo sikupata kibali cha kufika kanisani ila nabarikiwa sana
@ChamySalunda10 ай бұрын
we are truly blessed by these preachings; these teachings which pass in these songs may God bless you abundantly
@carolinebarongo922010 ай бұрын
Thanks,,happy couples n our brother...be blessed
@MutuaAli10 ай бұрын
Napenda sana kusikiliza nyimbo zenu
@isaacnana925 ай бұрын
Tangu nianze kusikiza nyimbo za injili, sijawaipata nyimbo zote tamu kwa album. Huwa za kwanza kwanza ndo zinakua tamu lakini kuanzia kati kati hadi mwisho ni boring. Lakini acha niseme hizi nyimbo ziko tamu zote na zinabariki. Mungu wetu awabariki na awalinde. Asanteni kwa kunibariki
@joselyne30 Жыл бұрын
Imberecyane bantu bange❤❤❤
@DieudonneMAHANGO-ws3do10 ай бұрын
Amin ,safi kabisa amani yake Bwana iwe pamoja nasi .
@valeriemozzi546010 ай бұрын
ALLÉLUIA ALLÉLUIA ALLÉLUIA GLOIRE ❤❤❤❤
@DaniMgaji11 ай бұрын
Very nice gospel music mgaji!
@GraceKayinda-i7o12 күн бұрын
Félicitations frère endeleya usitdtshoke
@stignantboytheno45657 ай бұрын
Haleluya! Nyimbo zinatuweka katika uwepo wa Mungu , utukufú kwake, Mungu awabariki muimbe kwa ajili ya utukufu wake nyenyekeeni sana mbele zàke ñaye atawàkweza , HALELUYAÀ!!
@charleskamau69726 ай бұрын
May this team soar to greater heights of Gods grace. Am listening from nakuru kenya.
@patm8251 Жыл бұрын
I recently discovered your channel. I can’t stop listening to these songs. Imana ibahe imigisha.
@olivermahindu4379 ай бұрын
Hakika hii wimbo inaniguza May God bless you all
@AinasiaMacha-j7zАй бұрын
Mungu aibariki kazi yenu nimebarikiwa sanaa❤
@GodfreyHezekiah11 ай бұрын
Great work ❤❤
@IreneNjambi-n3e5 ай бұрын
Baraka tele tele munanibariki sana katika uimbaji wenyu. Mungu awabariki sana 🎉
@NyandwiCharles-m4e3 ай бұрын
Mungu awabariki ❤❤❤🥰🥰🙌🙏
@GentilKampara11 ай бұрын
Mungu awabariki sasa maananyimbo hizi zina nipa humain ya maicha na kumukumbuka mungu wangu aliye ni umba na kunicunga kwa maicha yangu yote nikisikiya Uzuni nyimbo inapita furaha
I always feel at peace,hoping for a better tomorrow
@jeanclaudengayaberura315111 ай бұрын
IMANA IJYE IHORA IBAHAZA IBYIZA
@j.o.mbabjared.5565 Жыл бұрын
Very nice, an orderly collection as a package containing all blessings given in form of your good work in the area. Thank you very much blessed ones of God 🎉🎉❤ and happy new year 2024 of new blessings 😊❤
TIMESTAMPS SWAHILI COLLECTION NYIMBO ZA WOKOVU (2023) 1.Ameniweka huru 00:00 - 06:25 2.Mwokozi wetu 06:25 - 13:36 3.Roho yangu 13:36 - 20:21 4.Tu watu huru 20:21 - 26:17 5.Sawa na kisima 26:17 - 32:02 6.Nilikwenda mbali 32:02 - 38:08 7.Je umelisikia 38:08 - 42:34 8.Neema ya Goliath 42:34 - 48:10 9.Tutazame kule 48:10 - 52:55 10.Damu yako 52:55 - 59:07 11.Fanyia Mungu 59:07 - 01:03:54 12.E mungu mwenye kweli 01:03:54 - 01:08:26 13.E Mungu mwenye haki 01:08:26 - 01:14:54 14.Bwana Yesu anatuuliza 01:14:54 - 01:20:53 15.Matendo ya Mungu 01:20:53 - 01:25:10 16.Kuna mji huko juu 01:25:10 - 01:30:29 17.Enyi kundi 01:30:29 - 01:38:34 18.Siku moja mavuno 01:38:34 - 01:45:33 19.Kisima Chema 01:45:33 - 01:51:54 20.Yesu ni furaha 01:51:54 - 01:55:46 21.Msifuni Msifuni 01:55:46 - 01:59:52 22.Pendo la Mungu 01:59:52 - 02:04:43 23.Uzima ninao 02:04:43 - 02:10:16 24.Maisha katika dunia 02:10:16 - 02:14:49 25.Kitambo bado 02:14:49 - 02:19:52 26.Ahadi zote za Mungu 02:19:52 - 02:24:45 27.Mwokozi wangu ni mwamba 02:24:45 - 02:30:55 28.Niliye msafili 02:30:55 - 02:37:50 29.Nchi nzuri 02:37:50 - 02:45:02 30.Uhesabumibaraka 02:45:02 - End
@MiriamSospeter10 ай бұрын
Natamn kupata audio au flash ya hii combo nabarikiwa sana na hii 🙏
@SimonKono7 ай бұрын
Nyimbo hizi zanibariki saana saana
@SimonKono7 ай бұрын
Nyimbo hizi zanibariki saana saana
@FarajaMadege11 ай бұрын
Nabarikiwa mnoooo
@AnusiataAlex4 күн бұрын
Mungu awatie nguvu
@JohnMwongela-uv3mr8 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo za kusikiza bana zinazotufanya kumjua yesu zaidi.....si zile za kupigana na adui zetu bana yesu alituletea upatanisho,mungu awatie nguvu zaidi za kumtumikia yeye,i feel so blessed when l listen your music,hata nkilala zinaimba tuh hadi asubui jaman l feel so blessed, sijue nieleze vipi lkn hawa watu wananibarikigi sana🎉🎉
@shelvinshisanya7763 ай бұрын
Nyimbo zenye utakaso,huniongoza kunapokucha
@PeterKakwaba2 ай бұрын
This album touched since I started listening to it keep it up God bless you 🙏
@valeriemozzi546011 ай бұрын
AMEN AMEN AMEN GESÙ CRISTO ❤❤❤❤❤
@MillyIngaso7 ай бұрын
Napenda sana kumwimbia bwana aliyejuu mbinguni yeye hunilinda Kila siku za maisha yangu
@arebyrebsha87709 ай бұрын
Wow hiyi wimbo inanifariji sana mungu awainwe sana
@MusimwaMusimwa-d8t2 ай бұрын
Que Dieu vous bénisse ❤🎉
@INARUKUNDOJEANNINE5 ай бұрын
Mubalikiwe sana munanifulaishaga sana kwa kunibaliki na mimi kwenye nyimbo za okovu za mukitabo na zingine zote za katike❤
@LindaNandwa8 ай бұрын
The best gospel compilation I have listened to since I knew u tube. So soothing can lead one into prayer session ❤
@johnnykaloki954511 ай бұрын
Indeed God has true gospel worshippers,always this makes me complete with a quench to seek Gods" face now and then, be blessed!
@JNy-rh9yg10 ай бұрын
Yahweh abahezagire caane abongere inkomezi namavuta ya MPWEMU YERA mwizina rya YESU Christo umwami numucunguzi wacu 🙏🙏🙏🙌🙌🙌❤❤❤